THE BEAST "MNYAMA" GARI ya AJABU anayotumia RAISI wa MAREKANI,ni zaidi ya KIFARU CHA VITA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 160

  • @josephndunda6390
    @josephndunda6390 2 ปีที่แล้ว

    Asante xna kwa kutujuza mengi kuhusu ndege na gari la raisi wa marekani

  • @masterwong6412
    @masterwong6412 4 ปีที่แล้ว +1

    So nice and high tech plane

  • @Ulayafacts
    @Ulayafacts 4 ปีที่แล้ว +1

    Naona bongo faster anakuja juuu now tufike viewers 1M

  • @chimuychabaggah7276
    @chimuychabaggah7276 4 ปีที่แล้ว +12

    Big up bongo fasta je unaikubi bongo fast gonga like apa

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว

      Asante sana kwa sapoti

  • @muriukiwaruru9768
    @muriukiwaruru9768 4 ปีที่แล้ว +2

    He is the best President America has ever had....he deserves it.

  • @ameirameir2165
    @ameirameir2165 ปีที่แล้ว

    Mlinzi ni Mungu peke ake jamni akisema kuwa bas linakua hata uwe na ulinzi wa Hali ya juu

  • @evanceruyumbu6347
    @evanceruyumbu6347 4 ปีที่แล้ว +5

    Kweli ana ulinzi mkali lakini Corona bado inamsumbua kichwa.

  • @adijahmunyasia1449
    @adijahmunyasia1449 4 ปีที่แล้ว +12

    Kifo kikija kumchukua raisi huyo ama mtu yeyote Yule hata awe na ulinzi namna gani roho yake itachukuliwa tu..laiti angelijua hukmu imsubiriayo kule akhera hangekubali hao walinzi...Sifa zote kwa Allah aliyeficha kifo,siri hiyo aijua Allah mmiliki na Hakimu wa siku hiyo..Hamjui raisi wala mzalendo wa kawaida..inna lillahi wa inna illaihi rajiun! Woe to him!

  • @farajanaket626
    @farajanaket626 4 ปีที่แล้ว +2

    Daaah nikitaka kununua hii c nauza Mali ya clan yote but still utackia it is not enough,love it😍😍

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว

      Haha labda ukoo wako uwe na mali nyingu sana.

    • @omaar5693
      @omaar5693 4 ปีที่แล้ว

      Baiskeli unayo???

  • @masterwong6412
    @masterwong6412 4 ปีที่แล้ว +1

    It's incredible

  • @revocatuxmakoi5553
    @revocatuxmakoi5553 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 4 ปีที่แล้ว +35

    Kwa Mungu ulinzi wote huo sio kitu. Dunia nzima tunashindwa na Coronavirus. Allah Akbar.

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว

      Mungu ndie muweza wa yote

    • @ayiikmonybuk7012
      @ayiikmonybuk7012 4 ปีที่แล้ว

      @@BONGOFASTA akoli moses

    • @williammaganga3586
      @williammaganga3586 4 ปีที่แล้ว

      Kweli ni taifa pekee dunian lenye ulinzi mkubwa

    • @ABUUHCHUMA
      @ABUUHCHUMA ปีที่แล้ว

      Ndiyo ni kwelil

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 4 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo kuharibiwa duuuh so fantastic

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว +1

      Wanafuta ushahidi kabisa

  • @NiderTV
    @NiderTV 4 ปีที่แล้ว +1

    Hatari Sana

  • @nasloyal5886
    @nasloyal5886 4 ปีที่แล้ว +7

    USA 🇺🇸 is the most secure country in the world

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว +1

      Thats very known those guys know how to secure their assets.

    • @josephjosephat7826
      @josephjosephat7826 4 ปีที่แล้ว +1

      Except for corona

    • @adijahmunyasia1449
      @adijahmunyasia1449 4 ปีที่แล้ว

      Bt put in mind that no human being shall ever escape death! Death is always above all...Allahu Akbar! Allah is the Only Superpower!

    • @adijahmunyasia1449
      @adijahmunyasia1449 4 ปีที่แล้ว

      @@BONGOFASTA why are they dieing with Coronavirus now if they are secure or without corona? Secured people are those who fear God,those who supplicate to God Almighty ONLY,those whose hands never involve in murder or bad things,those who never worship idols nor satan not those who are secured in worldly evil!

    • @nasloyal5886
      @nasloyal5886 4 ปีที่แล้ว

      Adijah Munyasia you talking something everyone’s knows about when i said USA is most secure country it means secure against another country Or enemy’s i don’t know why you mention about corona virus 🦠 Lmao

  • @abdykingomela848
    @abdykingomela848 4 ปีที่แล้ว

    very nice

  • @priscamaina4176
    @priscamaina4176 4 ปีที่แล้ว +6

    Hatari sana hii gari, lakini wapi dawa ya Corona

  • @thewayitis9656
    @thewayitis9656 4 ปีที่แล้ว +2

    Gari hili imepewa uwezo kuliko maisha yangu

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว +1

      Haha hapana maisha yako ni ya juu zaidi.

    • @thewayitis9656
      @thewayitis9656 4 ปีที่แล้ว

      Mm natokea kenya ,,napenda bongo fasta xana xana ,,asante kwa kujibu message yangu ila ombi langu hamjawahi nifanyia ,,kila video zenu zote nishagalia na kusucribe ila niliomba mnieleze kwa kina vile hawa magicians ufanya hio magics ....tafadhali naomba bongo fasta ,,nawaamini sana sana

  • @athmanshalo7875
    @athmanshalo7875 4 ปีที่แล้ว

    Ni kweli hii

  • @gracejohn4256
    @gracejohn4256 4 ปีที่แล้ว

    Sanaaaaaaaaa

  • @hanisetimchael4973
    @hanisetimchael4973 4 ปีที่แล้ว

    nyau

  • @bahatimwangoka649
    @bahatimwangoka649 3 ปีที่แล้ว

    kaka iv baada ya kumaliza muda wao wa utawala huwa wanakua na ulinzi gan pia

  • @kelvinthiongo2504
    @kelvinthiongo2504 4 ปีที่แล้ว +1

    8:07 Kuwekwa mafuta yasiyo sahihi hayawezi sababisha kukwama kwa gari hilo. Common sense.

  • @kulwaabidi9501
    @kulwaabidi9501 4 ปีที่แล้ว +3

    Siku ikifika huo ulinzi utakua si chochote

    • @michaelwandera-ur3ul
      @michaelwandera-ur3ul 10 หลายเดือนก่อน

      Jitahidi ulindwe ,si kushinda ukiomba siku ifike,,Even God doesn't love the poor!😔😫

  • @samsonkibona7376
    @samsonkibona7376 4 ปีที่แล้ว

    ebhana kazi nzuri sana ndugu

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว

      Asante sana kwa kutazama samson.

  • @hemedmasoud9306
    @hemedmasoud9306 4 ปีที่แล้ว +4

    Ajenayo uku Mogadishu Somalia tuone kam kitapenya au vp

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว

      Hahhaa itapenda tu

  • @chescomwakipese3422
    @chescomwakipese3422 4 ปีที่แล้ว +2

    MNGU yupo lakin naww jiadhar

  • @harrisonmpangile9538
    @harrisonmpangile9538 4 ปีที่แล้ว +5

    Historia ya isac newton

  • @aarthuranangwe532
    @aarthuranangwe532 4 ปีที่แล้ว +2

    Pia airforce one huaribiwa baada ya Rais kutamatisha awamu yake ama?

    • @nicksongerson6416
      @nicksongerson6416 4 ปีที่แล้ว

      Uongo mtupu ... Billion tatu kwako ndio hela nyingi.

  • @isayansi
    @isayansi 4 ปีที่แล้ว +2

    Ad more

  • @jackilinejohn2491
    @jackilinejohn2491 4 ปีที่แล้ว +1

    Uwoniufahari tuy waduniani je anaweza kusaidiaje wananchiwake au nikutuonesha ufahar anayetulinda ni mungu tuy

  • @Babaverah
    @Babaverah 4 ปีที่แล้ว

    Noma sana

  • @blackmamba7553
    @blackmamba7553 4 ปีที่แล้ว +8

    Had kesho hii video itakua kwenye trending video

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว

      Haha nasubiri hapa unabii utimie.

    • @geofreydaniely1470
      @geofreydaniely1470 3 ปีที่แล้ว

      Misiwe nayaharibu hayo magar baada ya kumaliza muda waviongozi hao, mtuuzie sisi tuwape wakurugenzi wetu wa Tanzania wanapenda sana bata.

  • @mohamedfaraxs2783
    @mohamedfaraxs2783 4 ปีที่แล้ว

    Wararka maanta Somalia

  • @zacariaszecanganongano6883
    @zacariaszecanganongano6883 4 ปีที่แล้ว

    Boa tard

  • @toshaawam623
    @toshaawam623 4 ปีที่แล้ว +2

    Tutafutieni historia ye Paul Walker please

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว +1

      Sawa itakuja hapa hapa

    • @toshaawam623
      @toshaawam623 4 ปีที่แล้ว +1

      Kama akuta kuwa tabu mnaweza weka na fist lady wamarekani

  • @mansulikufakunoga8977
    @mansulikufakunoga8977 4 ปีที่แล้ว

    Nouma sana

  • @ismailjuma3692
    @ismailjuma3692 4 ปีที่แล้ว +2

    vipi malakal mauti kashajipanga?

  • @veniceochieng5128
    @veniceochieng5128 4 ปีที่แล้ว

    Supreme superpower

  • @anasiamacha2543
    @anasiamacha2543 4 ปีที่แล้ว +1

    Daaaaaaah

  • @jacklinejosephat9973
    @jacklinejosephat9973 4 ปีที่แล้ว +3

    Vp za kigiriki😷😷 yaaan nakaa nasubr upost

  • @mohammedamour9281
    @mohammedamour9281 4 ปีที่แล้ว +11

    Corona inaingia humo

  • @saisaikalyasi5998
    @saisaikalyasi5998 4 ปีที่แล้ว +24

    5 view, na nipeni like 5 tyu znatosha

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว

      Hahha zimefika 8

    • @saisaikalyasi5998
      @saisaikalyasi5998 4 ปีที่แล้ว

      @@BONGOFASTA 😂😂🙏🙏

    • @omaar5693
      @omaar5693 4 ปีที่แล้ว +1

      Ebanae ee yani watu hawaelewi umeomba tano umepewa 9,,, so nimeona niongeze ili ziwe 10 ukigawa kwa 2 utapata ile 5 uliyotaka.

    • @lawagustino1887
      @lawagustino1887 4 ปีที่แล้ว

      Za kazi gani

    • @saisaikalyasi5998
      @saisaikalyasi5998 4 ปีที่แล้ว

      @@omaar5693 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @fikiraahamadi8242
    @fikiraahamadi8242 4 ปีที่แล้ว

    corona noma ajali kitu kuusu ilogali anaingia2

  • @BongoVibesTV
    @BongoVibesTV 4 ปีที่แล้ว

    Hiyo gar ije bongo...

  • @valentinesaydi8335
    @valentinesaydi8335 4 ปีที่แล้ว

    Kijana aliyelelewa na nyàni

  • @aboudjuma523
    @aboudjuma523 4 ปีที่แล้ว +3

    Sasa twende kazi..!!😅

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว +1

      Mimi naitwa justin shed

    • @innocentboykid2442
      @innocentboykid2442 4 ปีที่แล้ว

      @@BONGOFASTA umemfunika sana yule jamaa wa wasafi the story book wajina💪

  • @maxlattinokiki8105
    @maxlattinokiki8105 4 ปีที่แล้ว +2

    Bwebwe zote hizo Corona ndio kiboko yake 😁😁😁

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 4 ปีที่แล้ว

    Hiyo gari ni aghali mno

  • @moniquewilliams5417
    @moniquewilliams5417 4 ปีที่แล้ว +4

    Why don't that beast stop covid 19, ?

  • @lwichemedia8325
    @lwichemedia8325 4 ปีที่แล้ว +1

    Lwiche media

  • @maliyawatubusiness
    @maliyawatubusiness 4 ปีที่แล้ว

    Ipo poa

  • @mrefumedia8681
    @mrefumedia8681 4 ปีที่แล้ว +1

    Hello wapi simulizi ya pombei Italy

  • @luganojacob
    @luganojacob 4 ปีที่แล้ว +4

    Picha hii ikionekana bongo tutaizindua

  • @fasconeroh8740
    @fasconeroh8740 4 ปีที่แล้ว +6

    First viewer dadeki 😂😂

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว

      Asante sana kwa sapoti fasco

  • @elizabethzimbo8673
    @elizabethzimbo8673 4 ปีที่แล้ว +1

    Mgumba us laid wamalekani

  • @s2kizzyog740
    @s2kizzyog740 4 ปีที่แล้ว +2

    Ekizatire.kama.ileyangu

  • @captbobbywatamu6637
    @captbobbywatamu6637 4 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @sedubenjamin5
    @sedubenjamin5 4 ปีที่แล้ว

    hili gari linaeza tibu corona

  • @dicksonkikungwe4459
    @dicksonkikungwe4459 4 ปีที่แล้ว +3

    Tunaomba tujue ndege ya rais wa Russia, Gari lake na secret service

  • @nelsonsiwo8011
    @nelsonsiwo8011 4 ปีที่แล้ว

    THATS USA

  • @jordanclassic7849
    @jordanclassic7849 4 ปีที่แล้ว +1

    UFUNUO 13:18 soma hiyo

  • @charlesmushi5350
    @charlesmushi5350 2 ปีที่แล้ว

    But death 💀 are their right

  • @abuuissa1642
    @abuuissa1642 4 ปีที่แล้ว +1

    Je raia wa kawaida anaruhusiwa kuimiliki?

    • @nasloyal5886
      @nasloyal5886 4 ปีที่แล้ว

      Abuu ISSA izo gari zinatengenezwa kwa order

    • @moniquewilliams5417
      @moniquewilliams5417 4 ปีที่แล้ว

      Nas Loyal nikitoa order nitainunua au vipi?

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว +2

      Nadhani inawezekana lakini raia wengi hawako katika hatari ya kushambuliwa kiasi hiki

  • @Kapunyu
    @Kapunyu 4 ปีที่แล้ว

    Haya wajilinde na korona

  • @hillarybuzwah6352
    @hillarybuzwah6352 4 ปีที่แล้ว

    Nataka mbili pesa ngapy

  • @anthonyzambi4415
    @anthonyzambi4415 4 ปีที่แล้ว +2

    UFUNUO 13:18

  • @brayansai4667
    @brayansai4667 4 ปีที่แล้ว

    Shilingi ngapi kibongobongo hilo dinga

    • @huey_crazy6528
      @huey_crazy6528 4 ปีที่แล้ว

      brayan Sai laki moja na nusu

  • @HurlingEditz420
    @HurlingEditz420 3 ปีที่แล้ว

    Y

  • @sharifaabdulla1890
    @sharifaabdulla1890 4 ปีที่แล้ว +2

    Corona haipiti humo au?

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว

      Haha hiyo inaweza pita

  • @yussufsalim7306
    @yussufsalim7306 4 ปีที่แล้ว +2

    Siku akitumwa malakulmauti kwenye gar ataipata2 roho

  • @enriquemotv7679
    @enriquemotv7679 4 ปีที่แล้ว

    Og

  • @peterbukwimba8215
    @peterbukwimba8215 4 ปีที่แล้ว

    Nakubaliana nae hoja ya covid 19 kunena kuwa created at china

  • @jacklinejosephat9973
    @jacklinejosephat9973 4 ปีที่แล้ว +3

    Atimae nmekua wapil

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว

      Asante sana kwa upendo wako

  • @Ulayafacts
    @Ulayafacts 4 ปีที่แล้ว

    Bermuda triangle bro

  • @karimmkejina980
    @karimmkejina980 4 ปีที่แล้ว

    Corona vip imewashinda hao marekani

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว

      Nasikia wamemkamata alietengeneza

  • @user-qm2up2ly4b
    @user-qm2up2ly4b 4 ปีที่แล้ว +2

    kampuni gani inatengeneza gari hiyo?

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว

      Kampuni ya GM "General Motors"

  • @innocentboykid2442
    @innocentboykid2442 4 ปีที่แล้ว

    Mimi naitwa Justin shed😁😁😁😁

  • @moveattufrank2308
    @moveattufrank2308 3 ปีที่แล้ว

    Kanga.moj

  • @hassanally4867
    @hassanally4867 4 ปีที่แล้ว

    yuko vzuri

  • @deniseinstein2479
    @deniseinstein2479 4 ปีที่แล้ว

    Ha,majabu😥😥🧐🧐

  • @thomaskimaro625
    @thomaskimaro625 4 ปีที่แล้ว +1

    😁😁

  • @samsonkibona7376
    @samsonkibona7376 4 ปีที่แล้ว +1

    wa four 😂

  • @kulwaswetu4457
    @kulwaswetu4457 4 ปีที่แล้ว

    Kwakuvikuza vyawenjenu? M

  • @izowingendi2901
    @izowingendi2901 4 ปีที่แล้ว +1

    Shetani!

    • @christinangayalina6198
      @christinangayalina6198 4 ปีที่แล้ว

      Hata Kama iwe Kama Nini, kiboko yake Corona ndo inakuna kichwa chake

  • @abrahamkibona7038
    @abrahamkibona7038 4 ปีที่แล้ว +1

    Beast ni mnyama aliyetajwa kwenye Biblia Sasa hili gari linamilikiwa na huyo mnyama 666, duuh! Siku za mwisho hizi, ole wako wewe mwanadamu

    • @geoffreystafford7194
      @geoffreystafford7194 4 ปีที่แล้ว

      wew si bangi

    • @eunicehezron3481
      @eunicehezron3481 4 ปีที่แล้ว

      Na YESU ANARUDI KUCHUKUA WALIO WAKE WALA MSIJALI HIZO ZITAZIMWA KAMA KIBATARI SUKUHIYO LAITI ANGELIJUA HILO HANGE FANYA HAYO MAOBYESHO BUBU.

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว

      Amen hakika siku zinakuja

  • @alfoncejohn2104
    @alfoncejohn2104 4 ปีที่แล้ว

    We mpumbavu. Huna cha kuelimisha

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว +1

      Watu wanazidi kuelimika katika hili.

    • @frankhoffa8356
      @frankhoffa8356 4 ปีที่แล้ว +1

      Wivu tu. Lete nawewe

    • @alfoncejohn2104
      @alfoncejohn2104 4 ปีที่แล้ว

      mwishowe mtatangaza mpaka rangi ya mavi ya Rais wa marekani .huo ni ujinga elimisha watu vitu vya maana

    • @davidmbogoma2307
      @davidmbogoma2307 4 ปีที่แล้ว +2

      @@alfoncejohn2104 kama hujaridhika sio lazma ukoment pita vile....wengine tumeelimika nacho.

    • @gastordominic410
      @gastordominic410 4 ปีที่แล้ว

      Tuelimishe ww

  • @evanceruyumbu6347
    @evanceruyumbu6347 4 ปีที่แล้ว +4

    Kweli ana ulinzi mkali lakini Corona bado inamsumbua kichwa.

  • @revocatuxmakoi5553
    @revocatuxmakoi5553 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali