Jamani tuache mihemko, Hiyo bajaji haijapewa kibali kwasababu haikidhi vigezo vya usalama kwenye dimension zake. Nini anatakiwa kufanya? Anachotakiwa kufanya ni kuunda bajaji nyingine ambayo itazingatia zaidi dimension zinazokubalika halafu aombe tena kibali na ikiwezekana achanganye mawazo na engineer wa mekanika na umeme. Tusidhani nchi za wenzetu huwa wanaruhusu tu vitu hatarishi vitumiwe na watu wao! Unavoambiwa utafiti ni gharama ni gharama kweli maana unaunda model ya kwanza baada ya majaribio kwa asilimia kubwa huwa ni ya maonesho tu, ya pili nayo huwa ni ya maonesho tu lkn inakuwa improved, ya tatu wachache wanaanza kutumia, inakuwa kama ipo kwenye majaribio. Baada ya hatua zote hizo ndio inaingia barabarani kibiashara. Mzee asilalamike kukosa kibali, bali alalamikie kutokuwa na mtaji.
Unastahili pongezi kwa hicho ulicho kifanya so far.But mzee wangu UNGE JITAHIDI TU ukidhi viwango tu vinavyo hitajika(just meet the stardands ) ..am sure nikwa lengo zuri tu wamekweleza kwa sababu baada ya hapo kumbuka hicho chombo ni cha moto na kitabeba binadamu, so vigezo ni muhimu. and dont poison ur mind kw kujiaminisha /au kuaminishwa eti kwamba umekwamishwa tayari but amini kwamba unakaribia kufanikisha..itakupa nguvu sana.. na utafanikiwa kabisa. #big up mzee wetu
km hai-meet physical standards za kuitwa bajaji bac iitwe jina lingine.. ila cha msingi iwe na capacity inayoendana na ukubwa wake plus matumiz yake.. mbona vyombo vingine vya moto mbona huwa vinakuja na sizes tofautitofauti kwann sio bajaj na ikiwa engineers wapo wa kuthibitisha ubora kwa maana ya strength na sio physical dimensions bila kuchek capacity yake
Kwa cm 10 hii ni kumkwamisha. Maana hata hicho kitabu walichomuonyesha si cha Tanzania ni cha Wahindi sasa kama ni ubunifu Sio lazima tucopy kila kitu kutoka kwa mtindo hata aina ya mazingira ya kwao india ni tofauti na ya kwetu.
Shida ni barabara zetu pia hatukutengeneza wenyewe kwa standards zetu so inabd tufuate formats zao pia kwa maghari na kuna kitu kinaitwa international statards hizo zinatengenezwa kwa makubaliano ya dunia mfano USB dunia nzima zina same structure same as vyombo vya moto
@@phoncechriss hapo haupo sawa.. Barabara zimejengwa kwa mfumo wa viwango visivyo vya kulariri, ktk barabara kinachomata ni capacity ya barabara kubeba mzigo wa magari na ku-accomodate traffic na c mfumo huu wa kuiga phyisical dimensions za wengine na kuiweka hatiani yako bila kuconsider capacity ya hiyo mashine.. Hawaangali hata magari mbona yapo ya forms tofautitofauti?? Shida ni capacity tu, kama inaweza kubeba na physical dimensions zake haziathiri ukubwa wa barabara zetu na haisababishi uharibifu wowote wa kimazingira.. Sukumilia ndaaaaaan..
hongera sana brother, lakin daaah..kama ndo kupingana kiasi hiki tanzania haitotoboa tunatakiwa tuwasupport watu kama hawa ,mungu akusaidie we are beyond of you.God will prevaili
Millard Ayo, Jaribu kumpeleka mbele zaidi japo kwa waziri tuone, maana hii inchi bana na taasisi za kupitisha bithaa ni tabu saba hasa za mtanzania, mungu atuongoze.
Tatizo ni kwamba tunamodify vitu vilivyokuwa intended kwa matumizi tofauti kwa hiyo inakuwa ni issue ya safety. Na wenye hiyo engine wakiona hiyo modification sijuwi watareact vipi
Good idea, good surface finish. Mzee umekwamishwa na watu wanaosoma makaratasi.. lkn uwezo wakutengeneza hiyo hawana. Sentimita 10 maana yake nini??? Hongera, lkn pole kwa kukwamishwa.
upumbavu hautakaa utuishe vichwani mwetu,tatizo wanaokabidhiwa office za umma huwa wanakariri/kumeza maandishi kama dodoki,ingekuwa imetoka kwa mchina au mkorea tayari ingekuwa iko barabarani hii.Mimi kiukweli nawachukia sana wasomi wetu,ndiyo waliotufanya tuwe hapa.Wamekuwa kikwazo cha maendeleo ya wabunifu wengi sana,badala ya kumpa msaada wa kuboresha hayo mapungufu walioyaona wao wanazuia yapata mwaka sasa hakuna kinachoendelea,mwisho wa siku Mr.Mbanga ataishi,atakufa na ujuzi wake bila kuona matunda yake katika jamii.Inaumiza sana,Wakija wageni kufanya assembling ya magari au pikipiki hapa nchini utakuta ndiyo meno yote nje,Anyways acha tuendelee kuzurura kutafuta wawekezaji kila kukicha,ndiyo maisha tuliyo yachagua
Tanzania sijui tutaendelea lin maana kila kinachotengenezwa ndani ya nchi kinapingwa, siku zile jamaa Fulani alianza kutengeneza bunduki wakasema wanamkamata na kumpeleka mahakamani na leo huyu nae anajaribu kutengeneza bajaji anaambiwa haijakidhi vigezo, Kwan tunataka Tanzania ya viwanda iwe ya aina gani? au mpaka wazungu waje ndo tuite Tanzania ya viwanda
#MasikiniTanzania Angekua Ulaya Ashasaidiwa tena Kwa kugombaniwa ila tz Dah tsitsitsitsi inackitixha Sana na inatia hacra but Mungu mwema ameona juhudi yako father lazma atakubariki mzee
daaaaah cjawahi fanya kazi tbs lakin kwa designer Mr. Andrew cjajua kuzidi kwa boad unaasithili vip ubora, je, katka muonekano au capacity of carring passenger au walitaka iwe vip ili lengo la mbunifu huyu litimie la bajaji yenye uwezo wa kubeba watu sita ? kama mfanyakazi yyte wa tbs apitapo ktk kulasa hii atufahamishe kigezo cha ubunifu huu unaasili nn hasa
Nini maana ya Uzalendo sasa hapo. Vitu vingapi vinatengezwa China havina viwango na vinakuja hadi kwetu? Mnashindwa kumpa go ahead hata ya vigezo. Labda isiingine barabara kubwa, itumike hapa na pale. Ili auze aendeshe maisha na atengeneze bora zaidi.
nafikiri wa kuikubali ni sisi wana nchi kwanza kabla ya Serikali .serikali ni sisi bila sisi hakuna serikali kwa lazima serikali ikubali isikubali lazima wayipasishe tumuunge mkono Mzee wetu baba yetu mzazi wetu bila kinyongo
Na ndo maana hatuendelei badala hata ya kuamua wao wamsupoort ila wanakwamisha maendeleo. Hii ilikuwa ni moja ya vitu vya kuja kujivunia katika uongozi huu wa awamu ya tano.
Bongo bhn mambo kidogokidogo hvyhvy ataweka xawa bajaji nyengine lkn mnamzingua... Yule jamaa alietengeneza Helcopter mulimzingua mukamvunja nguvu South Africa wakamchukua mpaka leo yupo huko.. Ila Bongo mnaua vipaji
sasa badala wamsaidie ili aweze kuendeleza ujuzi huu na ata kufundisha wengine,ndio imezidi cm 10,hana mtaji je nyie Kama mliopewa dhamana mmefanya nn kumsaidia huyu mzee,Mzee hebu jaribu kwenda sido uone kivipi watakusaidia,mungu akuwezeshe!.
hiyo tofauti wameitoa wapi wakati kilanchi inasheliazake auhiyo tofauti niya kimataifa haohawataki juhudi za hapa kazi hapo pana majipu yapasuliwe halaka hawaangalii muda galama alizotumia
kukwamishana ...kwa ufahamu wangu mfupi standards za vitu zimekuja baada ya kugunduliwa na watu ...hivyo tra hawa sababu ya kusema design yake imezidi cm 10....ikiwa yeye ndo mgunduzi wa design hiyo hata ingezizi cm 20 angekuwa sahihi kwakuwa ni sehemu ya kazi yenye ubora
Mi nahisi labda kwa sababu nyingine ni katumia pikipiki ya kubeba watu wawili yeye kaifanya bajaji ya kubeba watu sita ndio maana wamenyima kibali. Atafute engine ya bajaji maybe
Mmmh hiii nchi ishazoea kitonga kununua tuu kutok nchi zingne yaan baada ya kumuelekeza na kumuwezesha ili afanye kitu kizur zaid wao wamemkatisha tamaa duuu Atari sana
Tatizo Tanzania tunawakubali wageni kuliko wenyeji wanaona bora mapato yaende nje ili tukandamizwe zaidi huku tukiambiwa Tanzania ni Nchi maskini.Wakati ukifuata kisheria hii nchi sio masikini lakini umasikini tunautaka mwenyewe.
Jamaaa afanye mpango akutane na raisi... aeleze ya moyoni... tuna weza fungua kiwanda cha bajaji tuka udumia ndan na njee ya nchi mwisho wa siku uchumi una kua
Cathereen Exzavery umesikiliza lakin sababu iliyofanya asipate kibali. nadhani tatizo ambalo sote tuwaulize ama kuuliza hizi mamlaka ni kumuachia aendelee kusota mtaani akiwa na ujuzi wa namna hii tena kwa yeye pekee kulifanya kwa pungufu ya 6 miaka.?
Akili mgando za kukopi vitu vya wengine ndilo tatizo kubwa la TBS, bajaji hii ingetengenezwa na nchi yeyote ya Ulaya,Asia au Amerika TBS wangeipitisha. Lakini pia wivu mbaya ni tatizo. Aah eti Mmbaga Mtanzania amebuni, Nyumbu trucks ziko wapi ?
Naiomba wizara ya sayansi na teknolojia Tanzania kuikagua wakiona haina madhara kwa kushirikiana na TBS basi huyu mtaalamu anzishe kiwanda faster watu tupige pesa
kila kitu vigezo ,hadi ubunifu wa bajaji nao vigezo,vigezo vyenyewe ni vyawazungu sio vya kitanzania ,hivi waafrika tutakuwa huru mpaka lini ?hamtaki kubuni vya kwenu na kuvikubali basi endeleeni kuwa mipunda kwa wazungu
Chombo hiki hakiitwi Bajaj. Bajaj ni jina la kampuni ya vyombo vya usafiri n.k. iliyopo India, Bajaj Group. Hii ni three wheeler au auto rickshaw. Kama vile dawa ya meno haiitwi colgate ila inaitwa toothpaste.
Rais wetu, tumuoneeni huruma mbunifu huyu maana ana ubunifu ambao dira ya chama tawala inatilia mkazo. Ni kwa nini mtu huyu asipewe kibali ili aweze kutengeneza bajaji nyingi zaidi? Tutaagiza bajaji kutoka nje hadi lini? Daaah! Inauma sana kusikia TBS ndio waliomkwamisha.
TBS nao miyeyusho kwakweli. Hivyo vipimo vinaingiliaje hapo wakati ni ubunifu wake na hatengenezi kopi ya kampuni flani?! Hatari na ni kitu kibaya sana kumnyima
@@saidasimba9979 Nipo china na Bajaj za hivyo zipo nyingi ambazo hazijakidhi vigezo ila kujaribu kuondoa umaskini nchini kwao, hizi bajaj zipo lakini zinapita kwa waenda kwa miguu.
@@mnzavachris5423 Tembea nchi za watu utajua. China zipo Bajaj za hivyo zipo nyingi sana ambazo hazijakidhi vigezo lakini serikali imeruhusu na kuwaambia wapite kwa waenda kwa miguu
MaTz Vlog hivi umejisikiliza vizuri.? Maana unasema :- 1. Umeiona UCHINA, sasa kaka waanza fananisha Uchina na hapa kweli, hakuna watu wanaojua kutoa njia mbadala kama hao watu pamoja na kuwa sijawahi fika uko kwao. Ukiitzamia kwenye mutandao ya kijamii tu utawaelewa hawa jamaa. 2. "TEMBELEA NJIA YA MIGUU" Unasema hivyo labda kma mwenzngu co mswahili wa kiTZ, maana ni kweli na wala sikulaumu kutamka kufikiria hivyo kusema tu watapitia njia za miguu maana kweli zinapsw kuwepo kama haki ya mtembea kwa miguu barbrni. Sasa ushawai tembea huo mji wetu mkuu wa kibiashara na kuona ni mitaa gani ambako KIUHALISIA kabs njia ya KWANZA kbs ZIPO, Pili zikitumika kama imekusudiwa kutumika kama njia ya kwenda kwa miguu. Bila kusahau ile mitaro yetu mikuuubwa na mishimo/mashimo kma bomba la kusafirisha gesi la bara na ipo wazi. Usisahau dereva wa hicho kifaa hatokuwa na uhitaji wa leseni ya kuendesha gari ama chombo cha moto, ni mtu tu binafsi atapenda aendeshe.,huoni kwamba ni.. HATARI! Kwaio yatupasa kuwa na njia mbadala kama ya wenzetu kutembea kwa njia ya miguu ambayo yapasw jengwa ama kuwepo kwanz kabl ya kuiruhusu. Vinginevyo, ni mimi kuendelea kusemea kwann hawamfadhili wao na kumuendeleza wao kama costech maana sasa kama wasipomuendeleza wao sijui kina nani wa kiTZ atakuja muendeleza zaidi ya kumpoteza kwa wageni wakimuon. nafikiri tunakie hapo kabla ya kusema aruhusiwe akapoteze maisha ya watu zaidi brbrn. Nashukuru.
Angetengeneza mhindi au mchina iwe hivo hivo Naamini msingeizuia. Kweli nabii hakubaliki kwao.
Jamani tuache mihemko, Hiyo bajaji haijapewa kibali kwasababu haikidhi vigezo vya usalama kwenye dimension zake. Nini anatakiwa kufanya? Anachotakiwa kufanya ni kuunda bajaji nyingine ambayo itazingatia zaidi dimension zinazokubalika halafu aombe tena kibali na ikiwezekana achanganye mawazo na engineer wa mekanika na umeme. Tusidhani nchi za wenzetu huwa wanaruhusu tu vitu hatarishi vitumiwe na watu wao! Unavoambiwa utafiti ni gharama ni gharama kweli maana unaunda model ya kwanza baada ya majaribio kwa asilimia kubwa huwa ni ya maonesho tu, ya pili nayo huwa ni ya maonesho tu lkn inakuwa improved, ya tatu wachache wanaanza kutumia, inakuwa kama ipo kwenye majaribio. Baada ya hatua zote hizo ndio inaingia barabarani kibiashara. Mzee asilalamike kukosa kibali, bali alalamikie kutokuwa na mtaji.
😃😂😃
@@allymwatima5401🤽🤽💯
@@allymwatima5401 uhatari wa hiyo bajaji ni upi ambao haupo kwenye hizi za Kihindi?
Pole sana uko sawa mashaallah,tatizo tbs wamekukwamisha sababu tanzania haina kiwanda ina gereji tu.
Mkataa kwao mtumwa. Msipende kutukuza vya wazungu. Mpeni kibali. Hongera Mbaga kwa ubunifu
Unastahili pongezi kwa hicho ulicho kifanya so far.But mzee wangu UNGE JITAHIDI TU ukidhi viwango tu vinavyo hitajika(just meet the stardands ) ..am sure nikwa lengo zuri tu wamekweleza kwa sababu baada ya hapo kumbuka hicho chombo ni cha moto na kitabeba binadamu, so vigezo ni muhimu. and dont poison ur mind kw kujiaminisha /au kuaminishwa eti kwamba umekwamishwa tayari but amini kwamba unakaribia kufanikisha..itakupa nguvu sana.. na utafanikiwa kabisa. #big up mzee wetu
Kati ya comments hii ni moja wapo yenye maana
km hai-meet physical standards za kuitwa bajaji bac iitwe jina lingine.. ila cha msingi iwe na capacity inayoendana na ukubwa wake plus matumiz yake.. mbona vyombo vingine vya moto mbona huwa vinakuja na sizes tofautitofauti kwann sio bajaj na ikiwa engineers wapo wa kuthibitisha ubora kwa maana ya strength na sio physical dimensions bila kuchek capacity yake
Kwa cm 10 hii ni kumkwamisha.
Maana hata hicho kitabu walichomuonyesha si cha Tanzania ni cha Wahindi sasa kama ni ubunifu Sio lazima tucopy kila kitu kutoka kwa mtindo hata aina ya mazingira ya kwao india ni tofauti na ya kwetu.
Shida ni barabara zetu pia hatukutengeneza wenyewe kwa standards zetu so inabd tufuate formats zao pia kwa maghari na kuna kitu kinaitwa international statards hizo zinatengenezwa kwa makubaliano ya dunia mfano USB dunia nzima zina same structure same as vyombo vya moto
@@phoncechriss hapo haupo sawa.. Barabara zimejengwa kwa mfumo wa viwango visivyo vya kulariri, ktk barabara kinachomata ni capacity ya barabara kubeba mzigo wa magari na ku-accomodate traffic na c mfumo huu wa kuiga phyisical dimensions za wengine na kuiweka hatiani yako bila kuconsider capacity ya hiyo mashine.. Hawaangali hata magari mbona yapo ya forms tofautitofauti?? Shida ni capacity tu, kama inaweza kubeba na physical dimensions zake haziathiri ukubwa wa barabara zetu na haisababishi uharibifu wowote wa kimazingira.. Sukumilia ndaaaaaan..
hii ndio Tanzania yetu vitu vilivyo tengenezwa hapahapa haviaminiki aiiiseeh inauma sana jamn😭😭😭
Wale wano imba tanzania ya viwanda wako wapi?
cc ni ng'ombe
kwaiyo tuko zzn mwa
Tanzania yapaswa kutulia jamani 🙅🙅🙅🙅
Nabii kwao akubaliki
Daaaaaah😥😥
Kumbe watanzania tuko vzr kwny ubunifu ila tatzo n hawa watu wanaoitwa viongozi n wa ajabu xn
hongera sana brother,
lakin daaah..kama ndo kupingana kiasi hiki tanzania haitotoboa
tunatakiwa tuwasupport watu kama hawa ,mungu akusaidie we are beyond of you.God will prevaili
Ongera sana
Utumwa Bado upo kumbe
Yaani ukibuni kitu vipimo mpaka viwe sawa na vya ugaibuni sijui uko nako wanatoa wapi vipimo
Millard Ayo, Jaribu kumpeleka mbele zaidi japo kwa waziri tuone, maana hii inchi bana na taasisi za kupitisha bithaa ni tabu saba hasa za mtanzania, mungu atuongoze.
Mashallah, vizuri Mzee kwa kipaji chako
Hongera sana sana. Jamani Serikali mpeni msaada hili ni jambo la sifa kwa nchi yetu , tujivunie ubunifu wa wananchi wetu.
MZee bigup sana chakwanza chombo kina nafasi kumbwa ukilingisha na ya muhindi nimatatizo matupu .
Tatizo ni kwamba tunamodify vitu vilivyokuwa intended kwa matumizi tofauti kwa hiyo inakuwa ni issue ya safety. Na wenye hiyo engine wakiona hiyo modification sijuwi watareact vipi
Good idea, good surface finish. Mzee umekwamishwa na watu wanaosoma makaratasi.. lkn uwezo wakutengeneza hiyo hawana. Sentimita 10 maana yake nini???
Hongera, lkn pole kwa kukwamishwa.
upumbavu hautakaa utuishe vichwani mwetu,tatizo wanaokabidhiwa office za umma huwa wanakariri/kumeza maandishi kama dodoki,ingekuwa imetoka kwa mchina au mkorea tayari ingekuwa iko barabarani hii.Mimi kiukweli nawachukia sana wasomi wetu,ndiyo waliotufanya tuwe hapa.Wamekuwa kikwazo cha maendeleo ya wabunifu wengi sana,badala ya kumpa msaada wa kuboresha hayo mapungufu walioyaona wao wanazuia yapata mwaka sasa hakuna kinachoendelea,mwisho wa siku Mr.Mbanga ataishi,atakufa na ujuzi wake bila kuona matunda yake katika jamii.Inaumiza sana,Wakija wageni kufanya assembling ya magari au pikipiki hapa nchini utakuta ndiyo meno yote nje,Anyways acha tuendelee kuzurura kutafuta wawekezaji kila kukicha,ndiyo maisha tuliyo yachagua
Ikipasishwa na mimi nita hitaji kaka. Ila pole sana, Africa vpo vitu vya ajabu sana!
Yaani nchi hii bwana watu wapo tayari kununua za wachina lakini ngumu kusaidia watu wa nyumbani wenye ubunifu hivi jamani tutabadilika lini
Tanzania sijui tutaendelea lin maana kila kinachotengenezwa ndani ya nchi kinapingwa, siku zile jamaa Fulani alianza kutengeneza bunduki wakasema wanamkamata na kumpeleka mahakamani na leo huyu nae anajaribu kutengeneza bajaji anaambiwa haijakidhi vigezo, Kwan tunataka Tanzania ya viwanda iwe ya aina gani? au mpaka wazungu waje ndo tuite Tanzania ya viwanda
Labdaa viwanda ya masabuni ya maji ambayo yanatiwa alovera si ndio kitu kinachopatikana tz yaan kiukweli inakatisha tamaa ati
umesikiliza vzr na kuitathmini na kuielewa sababu iliyo mnyima kibali.?
bora tushikilie ni kwann ss baada ya kuona kasoro bdo wmemuacha mtaani?
Tanzania hatufanikiw kwajili ya hawa watu wanao jiita viongoz ss ni viongoz wa nn kama mubunif ameshindwa kupewa vbl da hi ndo tanzania
#MasikiniTanzania
Angekua Ulaya Ashasaidiwa tena Kwa kugombaniwa ila tz Dah tsitsitsitsi inackitixha Sana na inatia hacra but Mungu mwema ameona juhudi yako father lazma atakubariki mzee
Tukijua tunanini nakuthamini tutasonga mbele the future is very bright mzee wangu
Acheni mbbbbbifu,Hongera Eric
Amen Amen. Mungu akusaidie na hao wakakusikilize. Amen.
Kwa kweli nimehuzunika Sana kuona juhudi nzuri na zenye tija, za NDUGU yetu Mtanzania zinaishia Patupu.
Watanzani tu mshukuru mungu viongonzi tuwasapoti
Du tz ikopoa ila hatujithamin tunathamin vinavyo kuja pole sana mzee wangu
Nice job brother ayo
Bajaji ni Nzur
Good strategy keep it up father
Magufuli Anaweza Kukusupport!Anapenda Watu Wa Aina Hii
Naomba mwenye namba ya Andrew Mbaga Mbunifu ya Bajaji ya watu saba anipatie
daaaaah cjawahi fanya kazi tbs lakin kwa designer Mr. Andrew cjajua kuzidi kwa boad unaasithili vip ubora, je, katka muonekano au capacity of carring passenger au walitaka iwe vip ili lengo la mbunifu huyu litimie la bajaji yenye uwezo wa kubeba watu sita ? kama mfanyakazi yyte wa tbs apitapo ktk kulasa hii atufahamishe kigezo cha ubunifu huu unaasili nn hasa
Amefanya kazi nzuri
hongera,baba unakipaji ila nchiyetu ndio hivyo tena tunarudishwa nyuma kimaendekeo
mzee amefanya kazi nzuri sana
Et cm 10 ndo iliyomkwamisha ila kwa nini tunawathamin ngoz nyeupe kuliko sis wenyewe?
Nini maana ya Uzalendo sasa hapo. Vitu vingapi vinatengezwa China havina viwango na vinakuja hadi kwetu? Mnashindwa kumpa go ahead hata ya vigezo. Labda isiingine barabara kubwa, itumike hapa na pale. Ili auze aendeshe maisha na atengeneze bora zaidi.
Chuki na roho mbaya ndio mana hatuendelei...very sad
tz wanayumba sana an so kam kenya
Na ina Uma kwa kiwango ki kubwa Sanaa
Huyu lazma atatafutwa aende nchi za jirani akapewe contract,,
Walishasema ukim delete wenzio watamdownload😀
Tanzania ya viwanda, kwann tunashindwa kumpush but tunamrudisha nyuma please give him support..
Ungekuta hata imetengenezwa na mzungu hapa hapa tz . Angepewa kibali ila ngozi nyeuc ndo zinatuponza . Inauma sana
Safi sana
Engine ni kampuni gani?
Pole
nafikiri wa kuikubali ni sisi wana nchi kwanza kabla ya Serikali .serikali ni sisi bila sisi hakuna serikali kwa lazima serikali ikubali isikubali lazima wayipasishe tumuunge mkono Mzee wetu baba yetu mzazi wetu bila kinyongo
Bongo viongoz tunafeli wapi jamani saivi tungekuw kama China
Hongera sana Mzee, hama nchi utafanikiwa Sana.
Sasa mtu kashafikia hapo. Kwa nini sasa wasimsupot ili aendelee. Yani Tanzania bhana.kwa kweli kunakatisha tamaa.
Iko vizuri
Ingetengenezwa na wachina ingekuwa bora ila sisi kwa sisi haikos makosa wasenge Sana hao
Na ndo maana hatuendelei badala hata ya kuamua wao wamsupoort ila wanakwamisha maendeleo.
Hii ilikuwa ni moja ya vitu vya kuja kujivunia katika uongozi huu wa awamu ya tano.
Karibuni chuo cha taifa cha usafirishaji mkutane na ubunifu.. Gari inayotumia Umeme. Iliokidhi standards za TBS
Bongo bhn mambo kidogokidogo hvyhvy ataweka xawa bajaji nyengine lkn mnamzingua...
Yule jamaa alietengeneza Helcopter mulimzingua mukamvunja nguvu South Africa wakamchukua mpaka leo yupo huko..
Ila Bongo mnaua vipaji
Wanaboa sana me mwenyewe na kipaji cha kutengeneza Basi kwa mtindo huu nampango wa kwenda USA tu hakuna namna Tz
Tena nzuri tyu kuliko za wachina
Mungu akusimamie baba
Serikali Iangalie Namna Nzuri Ya Kumsupport!
sasa badala wamsaidie ili aweze kuendeleza ujuzi huu na ata kufundisha wengine,ndio imezidi cm 10,hana mtaji je nyie Kama mliopewa dhamana mmefanya nn kumsaidia huyu mzee,Mzee hebu jaribu kwenda sido uone kivipi watakusaidia,mungu akuwezeshe!.
hiyo tofauti wameitoa wapi wakati kilanchi inasheliazake auhiyo tofauti niya kimataifa haohawataki juhudi za hapa kazi hapo pana majipu yapasuliwe halaka hawaangalii muda galama alizotumia
iya ata dubai upati ii tazania ninoma
magufulia msaidie mzee ameweza kufanya kazi hi ndiyo mungu ibariki Tanzania maendeleo yanakuwa
JPM jamaniii angekwepo duh??
Dah kwann wasiendeleze hiv vipaji vya ubunifu
kukwamishana ...kwa ufahamu wangu mfupi standards za vitu zimekuja baada ya kugunduliwa na watu ...hivyo tra hawa sababu ya kusema design yake imezidi cm 10....ikiwa yeye ndo mgunduzi wa design hiyo hata ingezizi cm 20 angekuwa sahihi kwakuwa ni sehemu ya kazi yenye ubora
I have alot of creative ideas lakini siwezi kuleta Tanzania kwasababu hamna support from the government, bora niende SA ambapo nitapata support
Mi nahisi labda kwa sababu nyingine ni katumia pikipiki ya kubeba watu wawili yeye kaifanya bajaji ya kubeba watu sita ndio maana wamenyima kibali. Atafute engine ya bajaji maybe
Mmmh hiii nchi ishazoea kitonga kununua tuu kutok nchi zingne yaan baada ya kumuelekeza na kumuwezesha ili afanye kitu kizur zaid wao wamemkatisha tamaa duuu Atari sana
This is TANZANIA.😯
gabriel joseph tell bro
vipaji ni vingi ila wakuviendeleza uwii mpaka utoke umehenya,ila everything is possible under the sun.
gabriel joseph mmmm
Tatizo Tanzania tunawakubali wageni kuliko wenyeji wanaona bora mapato yaende nje ili tukandamizwe zaidi huku tukiambiwa Tanzania ni Nchi maskini.Wakati ukifuata kisheria hii nchi sio masikini lakini umasikini tunautaka mwenyewe.
Jamaaa afanye mpango akutane na raisi... aeleze ya moyoni... tuna weza fungua kiwanda cha bajaji tuka udumia ndan na njee ya nchi mwisho wa siku uchumi una kua
Watanzania tuweza kirakitu sisi tunajua hiraserekari inatunzingua magufuri angaria vipaji
jaman hiii tanzania vip jaman tbs huo wivu asa tujiamin usiwe tegemezi kutegemea vitu vya njee ata si tunaweza tupeane furusa
Inaumiza sana aisee pamoja na juhudi kubwa et kikwazo ni centimeters 10.
Aibu hii
Bio bajaji angeweka tairi nne Tu Kama gari nahisi ndio ingekua salama zaidi.by the way hongera Sana Mzee wetu
kweli vyoo yaani Tz bahati mbaya
Wampe kibari ajipatir ridhiki,kizuri zaidi hajataka kwenda hovyo barabarani
Cathereen Exzavery umesikiliza lakin sababu iliyofanya asipate kibali.
nadhani tatizo ambalo sote tuwaulize ama kuuliza hizi mamlaka ni kumuachia aendelee kusota mtaani akiwa na ujuzi wa namna hii tena kwa yeye pekee kulifanya kwa pungufu ya 6 miaka.?
Alaf tunahitaj Tanzania ya vuwanda,na wakat huo huo tunashindwa ki empower watu kama hawa weye uwezo binafi wa kubuni na kutengeneza
Akili mgando za kukopi vitu vya wengine ndilo tatizo kubwa la TBS, bajaji hii ingetengenezwa na nchi yeyote ya Ulaya,Asia au Amerika TBS wangeipitisha. Lakini pia wivu mbaya ni tatizo. Aah eti Mmbaga Mtanzania amebuni, Nyumbu trucks ziko wapi ?
Rudio tena kutengeneze
Daah...wale wenye moyo safi na nchi hawapewi fursa je tutafika viwandani kwel
Mbona land cruiser za kubeba watalii zimeongezwa urefu na ziko barabarani?
Naiomba wizara ya sayansi na teknolojia Tanzania kuikagua wakiona haina madhara kwa kushirikiana na TBS basi huyu mtaalamu anzishe kiwanda faster watu tupige pesa
This is funny. Strange as it may seen Tanzania ya viwanda leo hii inawakataa wabunifu wao badala ya kuwasuport bila hata ya kuwa na vizuizi juu yao
Unastahili pongezi ndugu ila usikate tamaa hivo vikwazo utavishinda 2
Kwa heshima yako rais wetu mpe ruhsa afungue kiwanda cha pikipiki ulisema unataka Tanzania ya viwanda
God is good Tanzania watu wanavipaji
Ezekiel Jotham, ila vibali vinatukwamisha
kila kitu vigezo ,hadi ubunifu wa bajaji nao vigezo,vigezo vyenyewe ni vyawazungu sio vya kitanzania ,hivi waafrika tutakuwa huru mpaka lini ?hamtaki kubuni vya kwenu na kuvikubali basi endeleeni kuwa mipunda kwa wazungu
Chombo hiki hakiitwi Bajaj. Bajaj ni jina la kampuni ya vyombo vya usafiri n.k. iliyopo India, Bajaj Group. Hii ni three wheeler au auto rickshaw. Kama vile dawa ya meno haiitwi colgate ila inaitwa toothpaste.
Tatizo kubwa tunakadiriaje kodi
Rais wetu, tumuoneeni huruma mbunifu huyu maana ana ubunifu ambao dira ya chama tawala inatilia mkazo. Ni kwa nini mtu huyu asipewe kibali ili aweze kutengeneza bajaji nyingi zaidi? Tutaagiza bajaji kutoka nje hadi lini? Daaah! Inauma sana kusikia TBS ndio waliomkwamisha.
Baadhi ya watendaji wanamuangusha sana mh Rais,Mkuu anaposema Tz ya viwanda ni pamoja na kuwapa sapoti watu kama hawa badala ya vikwazo ,
Mumumsaidie uyo mzee anajishuhulisha jmn mpeni.kibari pia mgague chombo chake muache roho mbaya.
sio bajaji tu, watu mtuashatengeneza adi helicopta(chopa) akazuiliwa eti adi akasomehe urubani, wa helicopta yake aliyoitngeza, ni maajabu kweli kweli
This is Tanzania duh maajabu sna
TBS nao miyeyusho kwakweli. Hivyo vipimo vinaingiliaje hapo wakati ni ubunifu wake na hatengenezi kopi ya kampuni flani?! Hatari na ni kitu kibaya sana kumnyima
ruipa ruipa upana na urefu unamaana yake katika usalama wa chombo chewe mambo ya balaz yanauhusiano na umbo la chombo
umesikiliza na kushirikisha ubongo lakin vzr kabla ya kutoa ilo dukuduku lako?
@@saidasimba9979 Nipo china na Bajaj za hivyo zipo nyingi ambazo hazijakidhi vigezo ila kujaribu kuondoa umaskini nchini kwao, hizi bajaj zipo lakini zinapita kwa waenda kwa miguu.
@@mnzavachris5423 Tembea nchi za watu utajua. China zipo Bajaj za hivyo zipo nyingi sana ambazo hazijakidhi vigezo lakini serikali imeruhusu na kuwaambia wapite kwa waenda kwa miguu
MaTz Vlog hivi umejisikiliza vizuri.?
Maana unasema :-
1. Umeiona UCHINA, sasa kaka waanza fananisha Uchina na hapa kweli, hakuna watu wanaojua kutoa njia mbadala kama hao watu pamoja na kuwa sijawahi fika uko kwao. Ukiitzamia kwenye mutandao ya kijamii tu utawaelewa hawa jamaa.
2. "TEMBELEA NJIA YA MIGUU"
Unasema hivyo labda kma mwenzngu co mswahili wa kiTZ, maana ni kweli na wala sikulaumu kutamka kufikiria hivyo kusema tu watapitia njia za miguu maana kweli zinapsw kuwepo kama haki ya mtembea kwa miguu barbrni.
Sasa ushawai tembea huo mji wetu mkuu wa kibiashara na kuona ni mitaa gani ambako KIUHALISIA kabs njia ya KWANZA kbs ZIPO, Pili zikitumika kama imekusudiwa kutumika kama njia ya kwenda kwa miguu.
Bila kusahau ile mitaro yetu mikuuubwa na mishimo/mashimo kma bomba la kusafirisha gesi la bara na ipo wazi.
Usisahau dereva wa hicho kifaa hatokuwa na uhitaji wa leseni ya kuendesha gari ama chombo cha moto, ni mtu tu binafsi atapenda aendeshe.,huoni kwamba ni..
HATARI!
Kwaio yatupasa kuwa na njia mbadala kama ya wenzetu kutembea kwa njia ya miguu ambayo yapasw jengwa ama kuwepo kwanz kabl ya kuiruhusu.
Vinginevyo, ni mimi kuendelea kusemea kwann hawamfadhili wao na kumuendeleza wao kama costech maana sasa kama wasipomuendeleza wao sijui kina nani wa kiTZ atakuja muendeleza zaidi ya kumpoteza kwa wageni wakimuon.
nafikiri tunakie hapo kabla ya kusema aruhusiwe akapoteze maisha ya watu zaidi brbrn.
Nashukuru.
Magufuri BABA ....HEBU MUONEEE HUYU MZEEE MUYAJENGEEEE....TUTASONGAA MBELEE NA ILE DHANA YA VIWANDA
Tha ads are so hatefull
Mimi nakushauri usikate tamaa kama serekali walikuambia imezidi upana kuliko bajaji nyengeni basi ipunguze na i
yaan hawajamaa wabunifu wako wengi,yaan wangepata mkono Wa serikali tungekuwa mbali sana.
Ndoo Tanzania yetu hii
Nimeumia sana mzee huyu kunyimwa kibali
Kwan lazima tufuate vipimo vya wazungu wakati sisi ni taifa huru
Shida ya bongo...iyooo
Millard unaleta utofauti wa media tangu 2015 nakuona uko safi