Dokta samahan mimi nina tatizo moja nilikua natumia uzazi wampango wanjia ya sindano lakini kwanzia nimeacha kuchoma nina kama miezi mitatu sijaona siku zangu dada nitumie nini dada ili nione siku zangu alafu pia nataka kubeba mimba ila inashindikana jaman nisaidie tafadhali
Mimi nimetumia hiyo ila sasa nakwambia nimekua mkavu zaidi ila siwashwi na mume anafurahia shida umekua mkavu sana hii ni noma nili loweka siku 5 then nikanawa kila nilipotoka kukojoa
Iyo nimetumiya kukosha sehemu ya Siri nimeona mabadiliko kwakeli maana nimekuwa nasikiya muwacho kwenye sehemu nakutoka vitu vye upe ivi sibioni tena mungu akubari my dear 🙏🙏🙏
Dokta samahan mimi nina tatizo moja nilikua natumia uzazi wampango wanjia ya sindano lakini kwanzia nimeacha kuchoma nina kama miezi mitatu sijaona siku zangu dada nitumie nini dada ili nione siku zangu alafu pia nataka kubeba mimba ila inashindikana jaman nisaidie tafadhali
Tumia mizizi ya mukunde pori ukiwa kwenye sikuzako ukitoka unaacha unaichemusha unakunywa kutwa mara tatu kikombe cha chai utanishukuru
Tumia ayo maji ya karafuu kwa kunywa
Tunawapenda sana mungu awabarik awape sikunying za kuish❤❤
Asante daa mana uke wangu uko mkubwa na lakini yangu niyaunga nikiweka sai ikifika kesho imekuwa braun sana aki nakushkuru acha niifanyie kazi❤❤❤❤
ukinawa unaingiza kdole au unaosha tuu kawaida njee??
Asante nimekuelewa
Asante 🙏 kabisa
Asanten mungu awazidishie baraka milele amii maashallah
Ni nzuri sana yamenisaidia mno
Nasi tuelekeze jinsi ulivyofanya dada angu please
Nashukuru dada angu niko mkavu nimetumia nabamia niko vizurii😋
nimeiroweka Siku ine alafu naingine kaenda nakunywa lakini n'a sikiya Dani ya tumbo muna guruma sana itakuwa ni Nini??
Nawawia sehemu zako za siri 😊
Doctor naomba msada mimi nina umri60 na mume wangu anataka mtoto nifanyeje nisaidien jamani mana aelewi somo
Shukran
Mimi nimetumia hiyo ila sasa nakwambia nimekua mkavu zaidi ila siwashwi na mume anafurahia shida umekua mkavu sana hii ni noma nili loweka siku 5 then nikanawa kila nilipotoka kukojoa
Unaweka maji kissing gani?
Ute unakua mkavuu
Kunywa maji ya bamia au tafuna bamia mbich
Unaosha ndan au nje yauke
Nataman hata nikuone nikuonje ulivyo mkavu
Kakini tunaitaji nambayako dada
Madam samahani Mimi nilijisahau nikajikuta nimeichemusha Kwa muda wa dk tano itakuwa haifai kunitumia au inafaa plz naomba unijulishe
Asante sana my dear
You are welcome😊
Dada kama nimetoka kujifungua naruhusiwa kutumia
Upo vizur
naweza kuchanganya karafuu na kitunguu swaumu kwa usiku kucha kisha nikanywa?
Yeah
Asante daa ❤
Thanks
Kitunguu saumu unatafuna au unameza?na ni punje ngapi?
Asante kwa SoMo zuri ila naomba kutuliza je hutibu uke unao Jamba
Sorry mumy unasubiri ipoe ndo ufunike au unafunika mara baada ya kuweka maji moto?
Unachujaa au unaoshea na hayo makapi piaaa?
Shukran maa Allah akubariki
Ameen
Kalafuu.awashi.ikiwekwa.ukeni
Nikuuliz daa unaosh mpak ndan au inje
mm nakunywa lakini nashuta kila wakati
😂😂😂😂 nimecheka iyo kushuta umenikumbusha mbali
Kushuta ndio nini
😂😂😂😂shuta mwaya kushuta ni freeee
Kama natumia uzaz wa mpango naweza tumia hii kitu?
Naomba unijib mpenzi. Naosha ndani kabisa ya uke au njeee najitawadhia tu juu
Ni kwel my atueleweshe hapo
Tunaomba jibu
Kasema kabisa unawe kama unavotawadha ukikijoa ,,yaani unayanawa kama unavinawaga siku zingine na maji ,
Unaoshea juu juu tu
Ni inje ya uke jmn
Unakuja au unaoshea?
Hayo msji unatumia wiki nzima
Asanteh dada uke wng mkubwa jmn ntafanyia kazi
Asanteee naomba namba yako
Asante sana
Dada jee na mwanaume anakunywa
Chai ya viungo hakikisha haikosi
Shukran mpenzi
❤❤
Asante daa
🥰🥰🥰🥰🥰
Asante
Habarii dada naomba namba zako ninashida
Habar dada unaosha kwa hayo maji ya karafuu tuu au unachanganya na mengine
😮😮mashallah❤❤
❤❤
Waaw
MashaAllah
Iyo nimetumiya kukosha sehemu ya Siri nimeona mabadiliko kwakeli maana nimekuwa nasikiya muwacho kwenye sehemu nakutoka vitu vye upe ivi sibioni tena mungu akubari my dear 🙏🙏🙏
Ina washa lakini
Inawasha?
Sas ikiwash njoo inaponyesh
Na ule umuash na bile byeupe kuyok ndo mwish habitorud ten
Na kutokwa na damu ya kuvutika ni tatizo gani jaman
Habar dada naomba namba yako ninashida sana
unajiosha kwa ndani au nje tuu
Unaez tumia ht kama unatumia uzaz wa mpng
Dada nina weza pata namba yako
Ya unga si waezatumia ama lazima hii ingine
Mimi nimetumia dada kuoshea kwa be harusi nikawa nawashwa
Ulifanya strong
Same nmewashwa sana hadi nikajikuna tena
Tunafanya aje sasa nafaa kufanya aje jamani
😂😂😂 nacheka kama mazur
Mbona nimenawa alafu inauma ni Sawa au nimekosea
Itakuwa umechubuka
Naomba namba zako
Naomba unisaidie dada numekua sishikiujauzito
Mwenzngu na mm
Asante daa naomb number yko plz
Unaosha Kwa ndan au nje
Shukurn sana mama
Unaosha ndani kabisa au nje
Naweza pata mawasiliano Yako tafadhar
Kwaiyo unanawa tu kwannje
Una tumiaj hayo maji jaman na hiyo karafu na weka vp
❤
Tumbo langu la nguruma shida n nn
Tumia tu kama una tatzo la gesi pia inasaidia
Ya unga inafaa
Unaosha ndan au kwa nje tuu
Kwa nje tu ukiweza weka kwenye beseni kalia
Utajiosha nayo ama
Karafuu ni nini
Cloves
Soda
Dadaangu naomba namba zako za wasap
Hiyo punje mbili nakula venyeiko anameza kama dawa au natafuna
Kuuliza sio mbaya Kuna mwenye anauliza karafu ni majani Kani hatuielewi
Cloves
Naomba namba zako dada naija
Je ninaweza ongeza chumvi kwa karafu nikiosha uke
Mtidi Nini
Yoghurt or curds
Maziwa
Dawa yakukaushavipele kwenye uke
Me nimetumia ndimu
Let me be honest sijui mnacho zungumzia...but Halima ndimu an't too harsh?...wee hopefully ilisaidia.
Pendelea kujipaka ndimu au limau vitapotea.
Unaosha ndani au kwa nje?
😮😮😅😬🙈
❤❤❤
Hello
@@ZainabuAthumani-lt1yy hi
Hi
Naomb unifundishe jinsi yakuoshe kweny uko ayo maji ya karafuu ...je nanawa juu tu au naingiza vidole ndan kbs plz nielekeze mpenz
Mtindi ni maziwa ya mgando vipenzi
Jaman unatawadha kwa ndan au kwa nje tu, na vipi inarekebisha homorn😊
pia swez chkuwa maji na karafuu nkachesha moja kwamoja alf nkawa natumia
Unaweza
Karabu ni nini
cloves
Asante dear naomba namba yako Niko nama swali
Mtindi ni nini jamani
Maziwa ya mgando dear
Yoghurt or curds
nikisha rowek siku ine hao maji yakarafuu naeza nikatia kwa freeg ili niwe natumia kidog kidog
Maji ya karafu ndio wafanyaje sijakufahamu mm
Unaroweka karafuu Kwa siku nne kisha unaosha kibibi chako mpaka upate size nayotaka mwenyewe..inaweza kuwa utaosha Kwa wiki wiki mbili it up to you
@@najlaskitchen1572 samhn habbty nlkuwa nauliza waweza kuosha kila sku na ayo maji ya karafuu
@@najlaskitchen1572 shuran mpenzii nimeanza zoezii leo toka nimeroeka
@@najlaskitchen1572 ❤
Je naosha kwa mud gn...?
Tunawapenda sana mungu awabarik awape sikunying za kuish❤❤
Asante sana
MashaAllah
❤
Asante