Alex Kiria Nina 37 lakini sijui chochote kuhusu bongo flavour, Naujua vizuri sana Music wa Tanzania japo kutokana na kujibidiisha kutafuta na kufuatilia habari za music na wana music wa Tanzania. Tuendelee kuufuatilia music wetu huu pendwa
Hii gonna like inaudhi saana....It should be voluntary......Kwani watu wanalipwa????...Let it flow...Hii so biashara......let it come from the heart....sio...saa zote gonga....gonga....Lakini naomba msamaha kwa kuongea Naomi haya!...Love
lakini waungwana mbona huyu mtoa history anatudanganya?? amesema remy akiwa na miaka 6 mzee wake alikufa, tena akiwa na miaka 9 mama akpotea tena ikiwa ni tofauti ya miaka 3, tena hapa tunaambiwa baada ya wazazi kufa yeye ndie alikuwa mlezi wa wadogo zake hawa walitoka wapi ikiwa remi ni mtoto wa pekee tena aliyezaliwa kwa mbinde??? naombeni jibu kabla muendelee kunidanganya
@@Cambarada Ajasema lakini amesema wazazi wake walikuwa na shida ya kupata mtoto ndio wakaenda kwa mganga na remmy akazaliwa, kutoka hapo hajatajwa mtoto mwingine katikati maana remmy alipatikana kwa nguvu za mganga, mzee akafa akiwa na 6yrs na mama akiwa na 9yrs tofauti ya miaka mitatu, eu skiza tena hapo
Kila kwenye visa vyako siwez Acha kukomenti,umetisha unajua kupangilia Stori unajua kufanya vitu vionekana vya uhalisia zaidi,RIP remmy waganga wa siku izo atarii wa siku izii wapo TH-cam insta na facebook
Hapa Kenya wasafi tunaifurahikia kazi nzuri mnayoifanya
Paul Wangonya
Kiukweli mtangazaji mpaka raha kumsikiliza
Mtangazaji ana sauti na lugha tamu sana ongera kiswahili kituguswe
😂😂😂
Dahhh msimuliziii safiiiii.... Kaz nzr sana. ... The way anazngumza anamanisha
Nakuhali sana
Oh my GOD. 😭🙏🏻💔. May he soul Rest In Peace
Sauti kaka iyo unafaa kuwa mtangazaj bora wa mwaka
kuna jembe linaitwa anania mkali atar
Kuna kifaa kinaitwa ANANIAS EDGA na mzee DULLA PLANET wekambali sana na watoto mita buku
Ila jamaa nay yuk vzr
@@gabbymnyamaa4148 kwa kutangaza jamaa tanzania no namba moja, no one like him
Sauti tu ndio inampa mtu utangazaji Bora ......
Tunahitaji more more story za kiafrica zaidi bless👏👏👏
Mtangazaji is very Gifted tunaomba historia ya SITI BINTI SAAD na BIBI KiDUDE
Imeanza leo skiliza wasaf fm
Kwelii
Kama una mwelewa msimulizi vizuri gonga like hapa usipite ivo bila kujuwana
Subiri
natural born killer
😝😝😝😝
Jamaa anajua sana
tchakala byiringiro
Napenda Sana hizi fafanuzi mko Safi hongeren Sana clip zenu zinahit Sana
tunaombaa utuletee story ya bibi titi muhamed
Mtangazaji ana golden voice.
Ninamyaka 28 nampenda sana Na penda mziki wake sana R.I.P baba Remmy Allah amsamehe madhambi yake 😢😢😢😢
Mama nampeda remiogala
ah! kweli yatakiwa kuendelea,
Ndiyo nimejuwa hakuwa Mtanzania;;;~
haaaaaa aiseeeee kweli kifo hakina huruma. tungempa rushwa atusamehe. kama unamkubali remmy gonga like
Times flies but memory remains
Mhuuu Mtangazaji unasaut nzuuuri sana yani haichoshi kusikiliza
Am loving REMMY ONGALA MORE Na inauma sikupata nafasi ya kumuaga alivyokufa KINGS OF KINGS
Nilijua millard wallah🤔🤔🤔🤔brother nice vokoleee
Perfect perfect 👌👌 Asante msimulizi nimejifunza mengi
Nani yupo hapa2020 kujiliwaza na mtiga,,ila jamaa anajua sana,,kk muyamalize mana siye wengn nimestaafu kidg na story book.
Kama una on msimulizi yuko fresh gonga like hapo
Msimulizi yuko pw sana
Sanaaa
Amen amen. Rufaa ya kifo ipo kwa Mungu peke yale. Tunapo mlilia katika roho na kweli na Mungu atatusikia. Corola ipo jiadhari.
Wadau huyu mtu nae alikuwa noma nina umri mdogo ila napenda sana nyimbo za remy unakuta nazisikiliza hadi vijana wenzangu wananishangaa
R.I.P
Kama mm
Daaah km mm huwa nazpend
Musa sawa hizi nyimbo tamu mno
Respect Remy
Alex Kiria
Nina 37 lakini sijui chochote kuhusu bongo flavour, Naujua vizuri sana Music wa Tanzania japo kutokana na kujibidiisha kutafuta na kufuatilia habari za music na wana music wa Tanzania. Tuendelee kuufuatilia music wetu huu pendwa
Hongera sanaa Kaka saut nzur na unajuwa kuhadsia story
Ila hujasema alikijajekujaje Tanzania na ilikuwaje aende kuishi Songea ni story nzuri I love Remy Music The super Matimila Band.
Voice of Africans! Bg up brother
Nilikuwa sijuwi thanks so much 👍👍
kifo akuna huruma jamani kazi nzuri na simulizi nzuri sauti nzuri sana
King of story ,,naomba like na comments zenu
Respect brother naomba underee usikate tamaa naniwewakwanza kupata makala zako
Kama unaipenda story book na remi ongala bas gunga like apa# wasafi itabak kileleni👑👑
Kamana wwe umemuona huyo dada anakata mauono ungana na mmi
Safi saana msimulizi hstry nzuri saana
I say mtangazaji mungu akudhidishie
Mashallah
Daaaaaa hawa wakujita super stars hawatoweza kbsa hta wapige show ulaya dadek R.I.P REMY
Wasafi media nawapenda kweli kweli
Hii gonna like inaudhi saana....It should be voluntary......Kwani watu wanalipwa????...Let it flow...Hii so biashara......let it come from the heart....sio...saa zote gonga....gonga....Lakini naomba msamaha kwa kuongea Naomi haya!...Love
So good story, sauti nzuri sana ya mtangazaji
Aiseeee bro nimekukubal na nimeinjoy
nakukubali sana mtangazaji you are the best tunakukubali huku +254
Punzika Kwa Amani Remy
Legend 🙌🙌 2022 nmemsikiliza nkiwa mtoto ata sielewiii
Hongereni wcb
Napenda sanaa hiki kipindi najifunza mengi sanaaa
lakini waungwana mbona huyu mtoa history anatudanganya?? amesema remy akiwa na miaka 6 mzee wake alikufa, tena akiwa na miaka 9 mama akpotea tena ikiwa ni tofauti ya miaka 3, tena hapa tunaambiwa baada ya wazazi kufa yeye ndie alikuwa mlezi wa wadogo zake hawa walitoka wapi ikiwa remi ni mtoto wa pekee tena aliyezaliwa kwa mbinde??? naombeni jibu kabla muendelee kunidanganya
Labda baada ya kuzaliwa Remmy walizaliwa wadogo zake wengine. Sijui lakini hata mimi hapo kanichanganya kdg labda atakujibu
Hakuna mahali amesema alikuwa mtoto wa pekee, sikiliza vizur joh
Nilikuwa nimesaau ujue! Kweli kajichanganya
@@Cambarada Ajasema lakini amesema wazazi wake walikuwa na shida ya kupata mtoto ndio wakaenda kwa mganga na remmy akazaliwa, kutoka hapo hajatajwa mtoto mwingine katikati maana remmy alipatikana kwa nguvu za mganga, mzee akafa akiwa na 6yrs na mama akiwa na 9yrs tofauti ya miaka mitatu, eu skiza tena hapo
@muhuburi Production Labda baada ya kuzaliwa Remy walipata mtoto mwingine bila kwenda kwa mganga tena
Msipende tu kusikiliza stori remy ongala aliacha mziki wa kidunia akamrudia Mungu akatoa nyimbo za kumtukuza Bwana Yesu
Yes akiwa na chidumule,. .
Mtiga Uko vizur bro wangu
Vizazi vitaenda, vizazi vitarudi ila tutaenzi sanaa yako...
R.I.P Remmy Ongala
One of the best artists Africa ever birthed.
Remmy is a true Legend
Unajitahidi sana unazifuata nyayo za akina Ananias Edgar na Dulla planet
Leo nimekubali kumbe kuna uwezekano na Mimi kumuiga Edgar.
Dullah ushuzi tu
Narrator Yuko vizuriiiii saaana.bigup 💪💪
Tusisahau kuwa pia aliimba nyimbo za Gospel Baada ya Kuwa ameokoka
Heavenly Patric naona amekwepesha huyu anaonekana ni mwislam anae simulia
Aliyeokoka ni Chidumule
Heavenly Patric kuwa makn unapocklza ctor kumbuka ameongelea kuhusu kuokoka
Nimekuelewa vizuri sana
Daaaaaah nazpenda saaana nyimbo zake
Ramadhan Ongala, sanaa brooo sauti nikwer
long live ongala...great music from this legend....God bless....
Asante Aisee.Nimefurahi
very nice broh mtiga abdallah
Mungu ailaze roho ya doctor ongala
Umeeleza vizuri sanaaaaa
Napenda Sana mziki wake....kwanza kila mziki na asili yake
Napenda xna mwamba unvyosimulia. .Sema ungenipa story za kina cleopatra ningefurahi zaid ya hapo
Safi sana,lakini nakumbuka,aliimba mziki wa injili,na aliweza kunyoa nywele zake,
Mungu ailaze roho yake mahala pema.
Uko vzr but naomba kujua wadogo zake walitoka wap na kati umesema yy alipatika kwa dawa na wazaz wake walikuw hawajazaa
de avis tz kweli maana hata mm sijaelewa apo
@@michaelliungo7811 nakwambia TH-cam ni kituo cha uongo
2010,Nilikuwa Class VI.Kifo chake kiliniumiza sana.from Zambia
Kumbe huyu jamaa kiasili sio Mtanzania?
Ndiyo. Ukimsikiliza nyimbo zake za mwanzo ni kiswahili cha kikongo
Mwung amlaz mahal pem pepon
Edward Nyihande ..from Congo
Kenya gospel
Mtangazaji Hakupendelewa kifanya Kazi WASAFI.
Subir
Daaah yani wasafi wanacho kifanya sio poa bwana
daah story nzuri sana
Aisee bro unatupaisha duu
🔥🔥🔥🔥🔥 mtiga Abdallah
Daaaa gd Sana nimeipenda
Kazi nzuri Sana mtangazaji
Kila kwenye visa vyako siwez Acha kukomenti,umetisha unajua kupangilia Stori unajua kufanya vitu vionekana vya uhalisia zaidi,RIP remmy waganga wa siku izo atarii wa siku izii wapo TH-cam insta na facebook
Nampa asilimia 97
waganga dot com wa kizazi kipya,wakupe mimba uzae sinduna kama tundo.
Mnatufunza mengi ,
Hongeren
m t i g a umenigusa sana mzee nakubali sana
Natamani nibaki nakusikiliza mutangazaji mambo kwa soksi😂😂
Haujazungumzia alikuwa na mke Mzungu ,, watoto kuhamia Tanzania kutoka congo
Kama aliishi na izo nywele kwa kuamini mganga basi hakuamini mungu. Alikua na upungufu wakumjua mungu.. Mungu Amuepushie adhabu ya kabri
Hongera kaka unajua kutangaza vizur sana
Mpo sawa
Usiniulize why anaitwa doctor na hajasoma mamae wallah
Traverse Ammathowzy 😂😂😂
Alipewa udaktari wa heshima
Dokt wa muziki ni kama heshima
Pole sana Remmy kwa masaibu uliopata Rip mungu akuweke mahali pema
Mtangazaji ni noma sana ,,,nice voice brooo
Penz letu Kama bomba la baiskel kaa mbele 🤩🤩
Msimuliaji unakosea Sanaa. comparing Diamond and Alikiba ni matusi. tena matusi ya nguoni.. Diamond usimfananishe na mtu bwana
Afananishwe na Nani?? Or Angel Diamond ni binadamu tu he's not special
@@rebeccaasiyo4223 sio bnadamu ni mfano wa mungu ..
Kwani diamond ni mungu wako bure kabisa
@@chefjosh4466 bure mama yako..kama sioo mungu m2 fanya anachokifanya tuone .
@@chefjosh4466 tatizo mnaabudu mungu wa uongo.tafuta mungu anayekuonesha namna ya kuwa kama yeye.
daa historian nzuri sana lkn ibatisha
Kipenda roho 🤦🏽♂️🙏💯💯
Mambo kwa soksi hahahahh. Wangapi wanatamani waisikilize tujuwane hapa
Mavumbi Mavumbi kama unayonitumie best
hahaha
Nice story
🤣🤣🤣 kwakweli noma sana et mashindano ya sura Mbaya...
Kama unaelewa Mtiga anachokifanya Gonga like mwana twenzetu
Uko vizur Sana aisee
Daaah nimechelewa kweli
Dah inaskitisha kwel
Sasa Kama alizaliwa inchini Congo je aliingia Tanzania mwaka gani?
Hitoya..huyumwanamuziki.dockita.rimi.arikuwa.mwanaziki..marufuu.sana.mungu.amurazemaharipeponi
Daah hatariiii sana
Bigup story
Mm namkubali san mtiga anajuwa kuadithia
Kwa hivyo hakufa kwa sababu y kunyoa nywele msimulizi, hapo kwa watu wenye sura mbaya haki nimecheka😂😂😂😂😂😂
Nzur Sana Kwakweli
mtangazaji nimekukubali bure yani sauti yako ni quality mno!
Duh mtiga noma ett Penzi letu baskeli kaa bomba la mbele haaa haaa haaa