Mke wa "Remmy Ongala" Alezea Alivyokutana na Remmy hadi Kuolewa kwake.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 164

  • @deebrown7908
    @deebrown7908 5 ปีที่แล้ว +4

    Anakijuwa kiingereza
    lakini uliskia kiingereza hapo
    Mjifunze wa Tz
    Ikiwa intervie ya kiswahili ongea swahili tu
    Ikiwa ya kiingereza ongea kiingereza
    Asante sana mke wa Remmy ongala

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 5 ปีที่แล้ว +11

    Leo hii Mswahili kumuoa mwarabu ni ishu ngumu ila mwarabu kumuoa au kumchezea Mswahili ni simple akati wanajiita raia wa Tz.ila ukiangalia tatzo ni ubaguzi wa kmya kmya,ila wazungu wako simple na ndo ngozi nyeupe inayompa hadhi mtu mweusi

  • @Sangoyamboka
    @Sangoyamboka 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa hiyo ushuuda.
    Mimi kijana, nilikuwa ku masomo ya msingi Congo Zaïre, ku mji wa Bukavu 1972, nilienda kumuona Rémy Ongala alipiga muziki mu kundi ya Grand Mike Jazz. Yeye alikuwaka mkubwa Lida wa kundi na alitunga nyimbo nyinyi zenye hazijulikane Tanzania Sawa Sukuma yembe, no smoking, Kilkenny, kauli ya wazee...
    Rémy alikuwa mtu nzuri na mwema Sana.

  • @mohamedsasma879
    @mohamedsasma879 6 ปีที่แล้ว +12

    Nimependa sana ulivyojibu bibi. Hongera kwa kweli sana. Wewe ni mwenzetu.

  • @husseinomary4466
    @husseinomary4466 5 ปีที่แล้ว +27

    Nachukua wazazi yangu nakua wazazi yetu🤣🤣🤣🤣 asante bibi

  • @TRAVELANDTASTETANZANIA
    @TRAVELANDTASTETANZANIA 6 ปีที่แล้ว +65

    Mzungu umetisha Wi-Fi wa Taifaaaa....tena hujachanganya Kiswahili na Kiingereza.....wewe ni Mwanamke Jasiri Ulimpenda Remy kama alivyo.....🔊

    • @kiki-ko8vi
      @kiki-ko8vi 6 ปีที่แล้ว

      DADA WA KITUMBUA ORIGINALEEE 😹et wifi wa taifa

    • @salumuhaji4182
      @salumuhaji4182 6 ปีที่แล้ว

      DADA WA KITUMBUA ORIGINALEEE hicho kitumbua original nakihitaji

    • @shabanshaban2322
      @shabanshaban2322 6 ปีที่แล้ว

      DADA WA KITUMBUA ORIGINALEEE i

    • @jeromechembe2206
      @jeromechembe2206 6 ปีที่แล้ว

      Aisee, umenifurahisha sana. Ni kweli ANASTAHILI kupewa jina hili, yaani SHEMEJI kwa sisi wanaume na WIFI kwa ninyi wanawake, WA TAIFA. Hapo umesema vyema nami NAPENDEKEZA aitwe hivyo, tafadhali

    • @saudarajabu5504
      @saudarajabu5504 6 ปีที่แล้ว

      DADA WA KITUMBUA ORIGINALEEE ni kweli Wifi

  • @Myright888
    @Myright888 6 ปีที่แล้ว +40

    Unajua mi nimegundua kwa nini washwahili tunafanya KISWAKINGE, ni kwamba kila mswahili anatamani aongee Kingereza sasa kwa kuwa hajui chote vizuri basi anajikuta ni lazima achanganye.
    Hawa wazungu wapo kama huyu mama wapenda Kiswahili sana na wakikijua huwa hawachanganyi hata kama wanaongea kwa shida.
    Mtazamo tu.

    • @joyceandrew5682
      @joyceandrew5682 5 ปีที่แล้ว +1

      Nyaso ume acha kuigiza sasa ivi mamy

  • @roberttagaya3498
    @roberttagaya3498 6 ปีที่แล้ว +46

    Mwandishi wa habari umepungukiwa na ustarabu. Siku nyingine jifunze namna ya kuongea na watu wanao kuzidi umri. Shubaaamiti.

    • @issahhussein1922
      @issahhussein1922 5 ปีที่แล้ว +1

      Kweli hata mimi nimeliona hlo

    • @mbondokambi8053
      @mbondokambi8053 5 ปีที่แล้ว +2

      Mtangazaji uhuni uhuni tu

    • @frankmaria6717
      @frankmaria6717 5 ปีที่แล้ว +1

      Ukishika mic unaongea chochote na mtu yeyote wa rika lolote,wangepita chuoni kusoma hata certificate ya utangazaji au uandishi wangeelewa ABC's za kazi zao

    • @Ninjaboytz57
      @Ninjaboytz57 5 ปีที่แล้ว +1

      Learn english

  • @maishacosta567
    @maishacosta567 6 ปีที่แล้ว +80

    Hapo ndo tofaut ya mzungu na mswaili yaani Hapo pamoja na kutojua kiswahili vzur lakini hajachachanganya hata neno moja la kingelezaa ana akili sana huyu bibi

    • @naimakweyamba5340
      @naimakweyamba5340 5 ปีที่แล้ว +1

      Umeona Eeeee...

    • @deebrown7908
      @deebrown7908 5 ปีที่แล้ว +5

      Kweli kbs
      Angekuwa mtanzania
      Anahacha lugha yao anahingilia lugha zawengine

    • @هلااهليني
      @هلااهليني 5 ปีที่แล้ว

      Angekua mbongo apo 😅

    • @edmundmbele4307
      @edmundmbele4307 5 ปีที่แล้ว +2

      NDUGU YANGU UMEONGEA KITU AMBACHO NI CHA KWELI KABISA YANI

    • @pascalcharles3084
      @pascalcharles3084 5 ปีที่แล้ว

      Cha ajabu jamaa ndio kachomekea kingereza🤣🤣🤣🤣

  • @هلااهليني
    @هلااهليني 5 ปีที่แล้ว +7

    Jamani wazungu hawana ubaguzi sana kama aya mawarabu mmmh Atali kwa kwer

  • @nataemsuya
    @nataemsuya 6 ปีที่แล้ว +17

    Angekuwa mswahili anahojiwa, tulivo malimbukeni wa kushabikia kingereza na kukidharau kiswahil, mahojiano yote yangekuwa Kiswa-kinge (kiswahil na Kingereza)....

    • @saumuhassan6365
      @saumuhassan6365 6 ปีที่แล้ว

      Hawa Madiwa Wallah true wala ujakosea.

    • @geofreykupenda2147
      @geofreykupenda2147 6 ปีที่แล้ว

      Saumu Hassan 👍💚

    • @sultanmganzira4388
      @sultanmganzira4388 5 ปีที่แล้ว

      Hawa Madiwa mpka anamaliza mtu walasaba anakuwa hajaelewakitu wananikera sana

  • @sylvanusinjomango2169
    @sylvanusinjomango2169 6 ปีที่แล้ว +13

    Yeye mwenyewe natongoza mimi nimecheka saaaaaaaaaana

    • @carrenkapia7841
      @carrenkapia7841 6 ปีที่แล้ว

      Sylvanusi Njomango 😂😂😂😂😂😂

  • @sospetermsalamo8354
    @sospetermsalamo8354 7 หลายเดือนก่อน +1

    2024

  • @musasisia9803
    @musasisia9803 3 ปีที่แล้ว +1

    IAM very impressed to history of Remy ongala Muse makasy by the wife

  • @youngshiner172
    @youngshiner172 5 ปีที่แล้ว +15

    yan waandishi wa habari wengine hawana adabu kabixa , akwambie maneno alioambiwa wkt anamtongoza ina kuhusu nn ww😡😡

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 6 ปีที่แล้ว +2

    upendo wa milele.Mungu azidi kukuimalisha bibietu.Asanteni waandishi wa habari kwa kumuona huyu Bibi.

  • @jonathankabuyayakhake3119
    @jonathankabuyayakhake3119 2 ปีที่แล้ว

    Ongala nafurahiya nyimbo zako,sikukujuwa zamani bali nina kufwata ku network,mimi niko Lumumbiste nina tizama jinsi tunaweza kuinuwa kile chama Mungu wa mababu akubariki

  • @kahawathungu
    @kahawathungu 6 ปีที่แล้ว +2

    uwezo wa kujifunza lugha / ndimi mpya katika utu uzima unatofautiana kutoka mtu mmoja hadi mwengine. wengine wana ndimi nyepesi na wengine inakua vigumu kwao. Mama amejaribu sana kujieleza kwa kiswahili na wengi wetu tumemuelewa. Kabla mtu hajamkejeli ajifunze lugha geni akiwa na umri mkubwa ndio ataelewa changa moto zilizopo.

  • @alidookhalidalidoo9561
    @alidookhalidalidoo9561 6 ปีที่แล้ว +8

    Mamayetu katisha mpaka leo baso hajui kiswahili 😂🤣😂🤔mamaaye

  • @franciscakerubo3587
    @franciscakerubo3587 4 ปีที่แล้ว +1

    Beautiful Toni Ongala.

  • @hamzamoshi8275
    @hamzamoshi8275 6 ปีที่แล้ว +7

    Hivi jamani hawa watangazaji wasiku hizi wanasomea kwwli haya maswala yahabari au wanapeana kazi kishkaji tu ... yaani unamuhoji mama kama huyu mwenye heshima zake maswali yakipumbavu halafu nikama unamdhalilisha tu nandio maana kakukwepa kukujb hayo maswali yako yakijinga hii kazi yauandishi wa habari imevamiwa siku hz kama ualimu 😏

  • @jafarsalum8656
    @jafarsalum8656 6 ปีที่แล้ว +45

    Waaandishi siku hiz kama wamevurugwa eti unaweza kuniambia kakutongoza VIP what kind of question?

    • @rukiahassan9959
      @rukiahassan9959 6 ปีที่แล้ว +1

      siwezi kunambia hahahaaaaaa

    • @fadhilisaid8878
      @fadhilisaid8878 6 ปีที่แล้ว +1

      uzuri wa mzungu mkweli sana

    • @amanducmatupa3329
      @amanducmatupa3329 6 ปีที่แล้ว +1

      Ndo maswali yenyewe ayo bro......

    • @dorothyannan4857
      @dorothyannan4857 6 ปีที่แล้ว +1

      Hahahahaha

    • @godfreywilliam2994
      @godfreywilliam2994 6 ปีที่แล้ว +1

      Dorothy Annan sijui wamesomea chuo gani huwezi kumwuliza mtu hadharani swali la kiwendawazi km hilo stupid kbs

  • @khamisjuma4691
    @khamisjuma4691 6 ปีที่แล้ว

    Kinanpendedha.kiswahili.chake.hakunakitu.amekosea.will love so.much. miss ongala.salam USA marekani. Nakubuka.ongala.anacheza.mpira

  • @josephmpemba8951
    @josephmpemba8951 6 ปีที่แล้ว +5

    Bibi yuko vizuri sana hajathubutu hata kiswanglish kuongea du!! Mkareeeeeee

  • @eshynassor5666
    @eshynassor5666 4 ปีที่แล้ว +1

    Wewe vipi mbona unamhoji vibaya? Huyu mama mzee

  • @ivravan2658
    @ivravan2658 6 ปีที่แล้ว +18

    Love don't cost a thing🙏

  • @janetwandeharris3934
    @janetwandeharris3934 6 ปีที่แล้ว +2

    My wifii yanguu jmn toni love her so much

  • @hadjihelper5466
    @hadjihelper5466 6 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kwa kumuenzi Mzee. Tupo pamoja!

  • @christde1
    @christde1 6 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Mama Toni Karibu sana , danke

  • @anthonywawire
    @anthonywawire 9 หลายเดือนก่อน

    I love this feeling..Love ended those days

  • @gabrielmugabo9223
    @gabrielmugabo9223 6 ปีที่แล้ว +9

    Hii ndio tofauti ya wanahabari na makanjanja

  • @rajabmartojr3302
    @rajabmartojr3302 5 ปีที่แล้ว

    Hongera maam

  • @theafrican3752
    @theafrican3752 3 ปีที่แล้ว +1

    1:44 Dogo unazingua heshimu wakubwa zako aisee!

  • @rahimmarions5712
    @rahimmarions5712 5 ปีที่แล้ว +1

    Tujifunze ktk hili,pamoja na mama kutojua vizur kiswahili ila kuongea ivyo ivyo mwanzo mwisho,angekua mbongo hapo yes yes kibao ili aonekane tu anajua kingereza.sijui nan ametuloga aisee

    • @sultanmganzira4388
      @sultanmganzira4388 5 ปีที่แล้ว

      Hasa wasanii wakina mobeto wema wanajifanya hawajui kiswahili mkome nyie

  • @geofreykupenda2147
    @geofreykupenda2147 6 ปีที่แล้ว +19

    Angae kuwa shishi uchebe hapo ungesikia tu the are the are silesha is kwanja kwanja is fyekeo thank you is asante sana

    • @nyamogafamily4262
      @nyamogafamily4262 6 ปีที่แล้ว +1

      Geofrey kupenda 😂😂😂😂😂

    • @hermanaaron6945
      @hermanaaron6945 6 ปีที่แล้ว +1

      Geofrey kupenda haaha

    • @daimonipatrick1853
      @daimonipatrick1853 6 ปีที่แล้ว +1

      Geofrey kupenda hahahaaaqaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    • @hejmabohejhej9
      @hejmabohejhej9 6 ปีที่แล้ว +1

      Geofrey kupenda ha wewe mwisho.

    • @ramaiddi7217
      @ramaiddi7217 6 ปีที่แล้ว +1

      Geofrey kupenda duh nimecheka hatar

  • @gabrielisack7786
    @gabrielisack7786 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana mama remmy yaani unajitambua.

  • @reginaphilimon782
    @reginaphilimon782 5 ปีที่แล้ว +3

    walikutana ubungo ambapo kulikuwa bar zamani kwa sasa nikanisa la warokole ambapo nikanisa la gwajima

  • @ebbyramadhani
    @ebbyramadhani 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimegundua mambo mawili
    1.Sisi Hatupendi lugha yetu kama inavopendwa na watu wa mbali
    2.Huyu mama ameonesha kuwa alitosheka na utajir wa moyo wake kulidhika na Remmy
    Na si kuangalia uwezo wa kifedha kama ilivo kwa dada zetu

  • @aishaallyb8718
    @aishaallyb8718 6 ปีที่แล้ว +1

    kwa kweri Watangazaji wa Sasa hivi hatali Sana.Mwaswali Yao hayana kichwa Wala miguu.

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 6 ปีที่แล้ว +5

    Hahahahha mie sijaelewa pale kwenye wazazi anachukua mzazi wangu na mm mzazi angu alikuwa yatima mimi nachukua na rommy na baba yangu wanafurah🤣🤩🤩 Hongera mke wa Rommy ibua vipaji baba 👏🏾🤓

    • @jafarym77
      @jafarym77 6 ปีที่แล้ว +3

      Kitone Kantasha1 Pale alikuwa na maana hii; remmy alikuwa yatima kwahiyo aliwachukulia wazazi wa mke wake Kama wazazi wake. Na alipendana sana na baba mkwe wake hadi kutoa ule wimbo wa kifo baada ya baba mkwe wake kufariki.

    • @fortnataangelo4805
      @fortnataangelo4805 6 ปีที่แล้ว

      asante kutuelewesha na wengine

  • @mariamm2724
    @mariamm2724 4 ปีที่แล้ว

    Mmmmh mwandishi umekosa nidham huweximuuliza mambo nyeti ikiwa ww ji mjukuu wake jifunzeni kuangalia lika

  • @godwinmsuya6080
    @godwinmsuya6080 6 ปีที่แล้ว

    Hata uwe mzuri.. wakupindukiaaa tabia yako ikiwa mbay watakuchikia, uzuri si hoja....tabia njema nisilaha utapendwa popote ohoooo....x2

  • @agnesoqwaa9848
    @agnesoqwaa9848 4 ปีที่แล้ว

    Nice Mrs rammy

  • @sallykanze
    @sallykanze 6 ปีที่แล้ว +6

    Tumemuelewa vizuri mno

  • @denniskalisti2570
    @denniskalisti2570 6 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe mke wake alikuwa mzungu jmn mungu awatie nguvu

  • @robertmanase6423
    @robertmanase6423 5 ปีที่แล้ว +3

    Mweee mtangazaji hovyooo kabisa hadi aibu

  • @SefrozaMafuru
    @SefrozaMafuru 5 ปีที่แล้ว +1

    Hana mbwembwe...
    Saf sana..mkute mswahil anaongea hapo..hizo Yes,No hmmmh jamn

  • @jongojongo9388
    @jongojongo9388 6 ปีที่แล้ว +1

    akuna l know apo wangekuwa wale washamba wa bongo mov mmmmh yes no kibaoo

  • @killianjohn4794
    @killianjohn4794 4 ปีที่แล้ว

    Nidhamu ya waamdishi wa habari imepotea sana..kwa sababu ya kutokua na busara ya kuuliza..anauliza kana kwamba anaongea na waswahili wenzake uswahilini kwao.

  • @amisichance4980
    @amisichance4980 5 ปีที่แล้ว

    Kunafunzo nyingi sana ukifatilia maneno ya maman huyu mwenye hekima.

  • @asiazuberi9722
    @asiazuberi9722 6 ปีที่แล้ว +2

    Bibi uko vzr 😍😍

  • @ernestchilongan6778
    @ernestchilongan6778 5 ปีที่แล้ว +3

    kaeleweka sana.

  • @IssaSaid-eh3jj
    @IssaSaid-eh3jj 10 หลายเดือนก่อน

    Hatua aliyo fikia Chid ni mbaya sana mtumia madawa yeyote akifikia hatua ya kufanya vitu pasi na kuona aibu kama mwanadamu wa kaiwa basi amekwisha kbs

  • @yusufetiang5493
    @yusufetiang5493 3 ปีที่แล้ว

    Sawa mama

  • @fatmamajuu5255
    @fatmamajuu5255 5 ปีที่แล้ว

    Kiswahili kigumu huyo mama kakaa miaka chungu mzima tz lakini kiswahili bado hakipandi vizuri

  • @Electri-ambi
    @Electri-ambi 6 ปีที่แล้ว +5

    wachache sana watu kama hawa Tanzania wameisha wamebaki wadangaji

  • @marywambui519
    @marywambui519 5 ปีที่แล้ว

    Alafu wakenya wanajifanya eti waezi ongea kiswahili bila kuongeza kizungu kubafu...mzungu anaongea kiswahili bila hata kuchocha na lugha yake pongezi mzungu

  • @johncavishe353
    @johncavishe353 4 ปีที่แล้ว

    Unaoji ad ambavyo avfai acha umbea ad abar zaktongozwa

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 6 ปีที่แล้ว +1

    Hongera shemej

  • @BarakaWaya
    @BarakaWaya 5 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji mbovu mnoooooo

  • @kibongobongo4608
    @kibongobongo4608 6 ปีที่แล้ว +3

    Hahaaa yani nimewaza tu ndo Shilole anahojiwa Ai Ai Ai. ....

  • @greatiq8234
    @greatiq8234 5 ปีที่แล้ว

    The guy fetched a coin inside the well! She's so pretty!

  • @qaboossaid2259
    @qaboossaid2259 6 ปีที่แล้ว

    Nimependa mulivyo anza hadi kumalizia uzee,angekuepo leo hii angelijisikia faraja sana

  • @burundishallsmile1day109
    @burundishallsmile1day109 3 ปีที่แล้ว

    😊😊😊
    👍🏾

  • @omaryadamn4560
    @omaryadamn4560 5 ปีที่แล้ว

    Tisha sana

  • @joshuamkupi6893
    @joshuamkupi6893 6 ปีที่แล้ว +2

    Angalia watoto Wa Marehemu Remy Ongala waliovomuenzi baba yao

  • @sabraali9941
    @sabraali9941 3 ปีที่แล้ว

    Wewe mwandishi auna adabu umenikera sana muulize mama yako maneno gani aliambiwa na baba yako wakati ana mtongoza uone kama atafurahia kuwa na adabu utaheshimika

  • @henrymalekela1093
    @henrymalekela1093 3 ปีที่แล้ว

    Uyu mwandishi kasoma kweli huyuuuuuuuu

  • @josphinedarani6203
    @josphinedarani6203 5 ปีที่แล้ว

    Hakii nilikua sijui remmy hayuko rest in peace nilikua nakupenda saana

  • @ramadhaniathumanimlenge6641
    @ramadhaniathumanimlenge6641 6 ปีที่แล้ว +1

    Vizuri

  • @ggjghh6245
    @ggjghh6245 6 ปีที่แล้ว

    Apo angeulizwa mbongo ungesikia bati me ende bati nn ongeeni kiswahili kama unataka kuongea kinge ongea kinge lakini wabongo wana tindi nganya sana kinge mala kiswahili ona bibi kaongea vizuli kabisa

  • @christianchazinho4104
    @christianchazinho4104 5 ปีที่แล้ว

    Nooma sana r.i.p remmy ongala

  • @turibamweali8661
    @turibamweali8661 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu muzungu anaheshima sana ya lugha ya bamukwewake ! Namupenda sana anahakiri nyingi nahawo watangazaji wajinga eti umetongozwa aje ? Hawoni kama ni mama yake ? Mukosa hakili tupu .

  • @nattjones2745
    @nattjones2745 6 ปีที่แล้ว

    Wow

  • @gabrielmugabo9223
    @gabrielmugabo9223 6 ปีที่แล้ว +3

    Hivi mwandishi wa habari mwenye akili timam unamuuliza bibi maswali kama hayo,yanatusaidia nini sisi watazamaji na wasikilizaji?

    • @kibongobongo4608
      @kibongobongo4608 6 ปีที่แล้ว

      Gabriel Mugabo Kwani umesahau kama wanamaswali waliokariri huulizwa watu tofauti tofauti? Tena hapo kastahi kidogo angemuuliza "siku waliolala kwa mara ya kwanza alijisikiaje "mwe! !!

    • @gabrielmugabo9223
      @gabrielmugabo9223 6 ปีที่แล้ว

      kibongo bongo kweli brother wanakalili

    • @gabrielmugabo9223
      @gabrielmugabo9223 6 ปีที่แล้ว

      Hussein Love kwa wapumbavu kama wewe ndio mnafurahia

    • @jeromechembe2206
      @jeromechembe2206 6 ปีที่แล้ว

      Kuna tatizo la KIWELEDI kwa wengi wa Wanahabari wetu tumvumilie tu maana angalau umetuwezesha kufahamu mengi kuhusu huyu SHEMEJI yetu wa TAIFA wengine tulikuwa hatumjui. Lakini Waandishi wetu wanakera sana hata kuwaudhi wanaowahoji wakati mwingine. Ndo maana wengine wanaambulia vichapo na polisi huenda ni kwa sababu hizi hadi WANAKERA na KUTIA HASIRA. Tuwavumilie tu na kuwasamehe.

  • @afandechanel1507
    @afandechanel1507 5 ปีที่แล้ว

    Interview fupi why !!!!!!!! ???????

  • @maimunaathman4664
    @maimunaathman4664 6 ปีที่แล้ว

    Hhhhhhhh hatari lakini salama

  • @PetVMyinga
    @PetVMyinga 6 ปีที่แล้ว +1

    swali gani hilo

  • @vincentbirir1776
    @vincentbirir1776 5 ปีที่แล้ว

    Remi rip King of wide eastafrica

  • @myself4128
    @myself4128 5 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji bwege kabisaaa unadhania wazungu wanatongoza kwa kusema i love you?? Utampendaje mtu usiyemjua? Umeonana na mtu sikuhiyo utamtongozaje kwa kumwambia eti nakupenda🙄🙄🙄🙄

  • @mwawiyaomari3796
    @mwawiyaomari3796 5 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji ni kilaza

  • @skyclarking-123
    @skyclarking-123 ปีที่แล้ว

    Was this Remmy's wife?

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 5 ปีที่แล้ว

    Haki waandishi wa tz wengine bure kabisa mwandishi hunaaheshima kabisa moja huyo mama sioumri wako 2hatamimi niliyeumri wako huwezi kuniuliza habari zabwanaangu kihivyo hivi Kwanini galimatías? sieliwi

  • @vascojuma2158
    @vascojuma2158 3 ปีที่แล้ว

    Yan mwandishi kwel uyo mama unamuuliza alikutongozJe iv akil unayo wewe

  • @chrisogonas
    @chrisogonas 6 ปีที่แล้ว

    hehehe interesting!!

  • @nestoryseleman1801
    @nestoryseleman1801 5 ปีที่แล้ว

    Mwandishi hana busara ya kuuliza maswali

  • @enosmchomvu6649
    @enosmchomvu6649 6 ปีที่แล้ว

    Ulikua wakudanga

  • @maryamoman5926
    @maryamoman5926 5 ปีที่แล้ว

    😀😀😀

  • @jemusiobedi1107
    @jemusiobedi1107 5 ปีที่แล้ว

    Usela mwingi wee jamaa heshimu wakubwa 😏

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 5 ปีที่แล้ว

    😂😂😂Santhaaa Bibi

  • @marykesia3105
    @marykesia3105 5 ปีที่แล้ว

    Mwandishi Wa Habari Hana akili. Maswali ya kitoto, kasahau anaminterview mtu mzima.

  • @husseinmunga9591
    @husseinmunga9591 5 ปีที่แล้ว

    how can you talk with westerner like this? you are host men!

  • @irenewanjiku2746
    @irenewanjiku2746 6 ปีที่แล้ว

    She is old!!!

    • @steveswakei9600
      @steveswakei9600 6 ปีที่แล้ว

      unatarajia awe young kiasi gani mwanamke umesikia aliolewa 1978??

  • @kelvinjonathan4772
    @kelvinjonathan4772 5 ปีที่แล้ว

    😁😁😁😁😁😀😀😀😀

  • @hamiswawa5872
    @hamiswawa5872 5 ปีที่แล้ว

    🔨🔨🔨

  • @mustaphahassan589
    @mustaphahassan589 6 ปีที่แล้ว

    karibu kwenye channel yangu ndugu zangu

    • @jeromechembe2206
      @jeromechembe2206 6 ปีที่แล้ว

      Channel yako inaitwaje na inahusu mambo gani? Nipe tovuti yake tafadhali.

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 6 ปีที่แล้ว

    Nime mpeenda