MWIJAKU ALIVYOMKERA ALIKIBA KUOMBAOMBA HELA KWA MATAJIRI/HII TABIA SIO NZURI KABISA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 25

  • @chrixmadunda8846
    @chrixmadunda8846 3 หลายเดือนก่อน +9

    Unacho andika kiendane n content usik mfano mzur chukuen kwa millan ayo tv...

  • @rodgersnsabe1760
    @rodgersnsabe1760 3 หลายเดือนก่อน +3

    nyumba inahusiana vp na kula 😂😂😂

  • @faidamashala4206
    @faidamashala4206 3 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu jamaaa ana akiri kuliko anatumia upumbavu wa wale wanajifanya wajuaji kupiga pesa

    • @Yollah-ym7zg
      @Yollah-ym7zg 3 หลายเดือนก่อน

      Msambaa wawap wewe😂

    • @FranciscoKatakwa
      @FranciscoKatakwa 3 หลายเดือนก่อน +1

      Nchi inawajinga weng na ww n miongoni mwao

    • @yaedlifemedia3203
      @yaedlifemedia3203 2 หลายเดือนก่อน

      Akili au ujinga.kula kwa styl iyo hapana aisee

  • @AsiaJuma-i6p
    @AsiaJuma-i6p 3 หลายเดือนก่อน +2

    Leo ndio nimezijua akili za mwijaku vyema. .... Yanilijamaa flani iv kama zoba ila lina akili sana

  • @littlebunny462
    @littlebunny462 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mwijaku hajielewi huyu mzee hivi hajishangai???😼😼

  • @AdamJuma-ws2zc
    @AdamJuma-ws2zc 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenye tabia yakulopoka uwahaachi hataaendewapi

  • @JninjaH2R
    @JninjaH2R 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mwijaku ana kera Sana

  • @KassimHanga-xr7rb
    @KassimHanga-xr7rb 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kipaji ni ajira Mwinjaku big up piga kazi

    • @karyori69
      @karyori69 3 หลายเดือนก่อน

      Kipaji au karaha?

  • @MrMichaelHbog
    @MrMichaelHbog 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tatizo alikiba hajazoe mambo kama ya mwijaku kazi ipo

  • @STRIKEKIBUTI
    @STRIKEKIBUTI 3 หลายเดือนก่อน

    HUYUUUUUU JAMAAAAA ANA TAMAAAA SASA CHECK ALIVO NA NJAAAAAAAA

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 3 หลายเดือนก่อน

    MWijaku kwa kuropoka hajambo

  • @paulmwacha9870
    @paulmwacha9870 3 หลายเดือนก่อน

    Ila mwijaku bhana 😂😂

  • @kasabukuanthony6208
    @kasabukuanthony6208 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mwijaku ameanza kuongea kama babalevo

  • @Naju645
    @Naju645 3 หลายเดือนก่อน

    😏

  • @rehemamahendeka-rm2ek
    @rehemamahendeka-rm2ek 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika njaa inaadhiri vjn,yaani mtu unapiga mizinga kimtindo,daah atai kwei kwei😂😂😂😂

  • @chrixmadunda8846
    @chrixmadunda8846 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kama una cha kuandika uwe una post video bila kuandika chochot nd man bongo atuendelei

  • @Gades106
    @Gades106 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa kaomba nani hela 😒alie posti hii video arudi kujifunza hualisia wa maneno na video

  • @williamchenjelu3838
    @williamchenjelu3838 3 หลายเดือนก่อน

    Mwijaku sjui unajinsia ya kike we jamaa

  • @Baruti-ofice
    @Baruti-ofice 3 หลายเดือนก่อน

    Stamfukuza

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 3 หลายเดือนก่อน

    Too much