BALAA HAYA NDIYO MAKAO MAKUU YA CROWN FM NA CROWN TV JUMBA LA KIFAHARI/ALIKIBA ASHIKIKI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 22

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 9 หลายเดือนก่อน

    Very good guy, hana scandals kama wengine. Good on you brother!. Na hana uchafu wa kutoboa pua, masikio etc, wala hasuki nywele,

  • @Bless-sk8uv
    @Bless-sk8uv 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mwijaku.You are a mirror of society, every human being has his own vision when he is born, respect each other's position, you cannot force one's life to be the same as another's, hunger bothers you

  • @LetdiscussBusiness
    @LetdiscussBusiness 9 หลายเดือนก่อน

    Diamond kwani aliwah kumwalika xo kila mtu ana njia yake u do the best King be real stay v.o.g

  • @thomasbutingo17
    @thomasbutingo17 9 หลายเดือนก่อน +1

    yes mfalme wa Muziki Nchini ni Alikiba

  • @johnmwasilu7087
    @johnmwasilu7087 9 หลายเดือนก่อน +3

    Angekuwa hana roho ya kisasi au chuki basi angemwalika Diamond kwenye uzinduzi wa Crown FM

    • @izack9191
      @izack9191 9 หลายเดือนก่อน +1

      Diamond limwalikaga kipindi anazindua hiyo tv ya sijui nani

    • @RukiaJuma-ib3no
      @RukiaJuma-ib3no 9 หลายเดือนก่อน

      Yy diamond alimualika wapi sijawahi kuona akimwalika allay

  • @ZeyanaAbdi
    @ZeyanaAbdi 9 หลายเดือนก่อน

    Hongera Ali k

  • @MashaFakih
    @MashaFakih 9 หลายเดือนก่อน

    PESA YA UONGO YA SHETANI WA MZIKI HUYU MWIJAKU HAJUWI ANACHOKISEMA KUFURU NYINGI TU ETI MPIGAMZIKI UNAMWAMBIYA ASIKUZIKE SIMANENO YA KUSEMA ANAKUFURU KWA MIZIKI YA WATU ANACHECHEYA UHARAMU KWA NJAAZAKE MWIJAKU INNALLILLAHI WAINNAILLAIHI RAJIUN 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @MsafiriBaruti
    @MsafiriBaruti 9 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa ana mdomo kama mkundu wa kuku

  • @leawistoni7141
    @leawistoni7141 9 หลายเดือนก่อน +1

    safi sana king kiba

  • @Princeoftanzania
    @Princeoftanzania 9 หลายเดือนก่อน

    Mwinjaku unasemaga ukweli
    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 9 หลายเดือนก่อน

    Kwenye hii industry ya Media msicheze na Kazi. Kuna Redio zipo zipo tu kuziendesha ni Gharama kubwa.

  • @mussamtupa
    @mussamtupa 9 หลายเดือนก่อน

    Usitake tumjengee Chuki Ali kiba mwijaku bwege ww
    Cc tuna Akili timamu
    Tunajua Diamondi nafasi yake na Ali kiba tunajua nafasi yake. Acha kutengeza Chuki

  • @GERADOnesmo
    @GERADOnesmo 9 หลายเดือนก่อน

    Mijako roho ya kutunchuki.binafsi acha Kwa mondi

  • @salimsibabu9027
    @salimsibabu9027 9 หลายเดือนก่อน

    Imefika kukosa kuzikana bz ya mziki hapo umekosea .Omba msahama kwa hilo.

  • @blastermkama7579
    @blastermkama7579 9 หลายเดือนก่อน

    Huyùuu kichaa ndo maana kaolewa

  • @EliezaRichard
    @EliezaRichard 9 หลายเดือนก่อน

    Eti tandale

    • @nailaomar4810
      @nailaomar4810 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

  • @sautiisiyosema
    @sautiisiyosema 9 หลายเดือนก่อน

    Poa