- 189
- 638 994
DAUDA MEDIA
เข้าร่วมเมื่อ 24 พ.ค. 2024
MAIMATHA "AMJIBU JUMA LOKOLE"KAJALA ANALALA KITANDA KIMOJA NA HARMONIZE KWAHIYO NI BABA YAKE PAULA
MAIMATHA "AMJIBU JUMA LOKOLE"KAJALA ANALALA KITANDA KIMOJA NA HARMONIZE KWAHIYO NI BABA YAKE PAULA
มุมมอง: 73
วีดีโอ
JUMA LOKOLE ATAPIKA NYONGO BAADA YA KUPIGWA NA MWIJAKU NA STAN BAKORA"MWIJAKU ANAMAMBO YA KIKE SANA
มุมมอง 40913 ชั่วโมงที่ผ่านมา
JUMA LOKOLE ATAPIKA NYONGO BAADA YA KUPIGWA NA MWIJAKU NA STAN BAKORA"MWIJAKU ANAMAMBO YA KIKE SANA
BABA LEVO AZINDUA MJENGO HUU NI BALAA "NILIWAMBIA ILE NYUMBA YA MWIJAKU NI UCHOCHORO HII NDIO NYUMBA
มุมมอง 50K2 ชั่วโมงที่ผ่านมา
BABA LEVO AZINDUA MJENGO HUU NI BALAA "NILIWAMBIA ILE NYUMBA YA MWIJAKU NI UCHOCHORO HII NDIO NYUMBA
JUMA LOKOLE NA MWIJAKU WAGOMBANA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI"STAN BAKORA ANARUKA MATEKE KAMA JETLEE
มุมมอง 1K2 ชั่วโมงที่ผ่านมา
JUMA LOKOLE NA MWIJAKU WAGOMBANA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI"STAN BAKORA ANARUKA MATEKE KAMA JETLEE
SHEIKH SHARIF MAJINI ATABIRI"MWISHO WA MWAKA HUU WATU WATAKUFA SANA VIONGOZI WATATUMBULIWA MAKONDA
มุมมอง 117 ชั่วโมงที่ผ่านมา
SHEIKH SHARIF MAJINI ATABIRI"MWISHO WA MWAKA HUU WATU WATAKUFA SANA VIONGOZI WATATUMBULIWA MAKONDA
MAIMATHER ATOBOA SIRI:HARMONIZE NA KAJALA WAMERUDIANA/PAULA HAMTAKI HARMONIZ/WANAONA AIBU/PENZI MOTO
มุมมอง 9409 ชั่วโมงที่ผ่านมา
maimather wa jese leo kaweka wazi #harmonize kurudiana na #kajala ila wanaogopa kuweka wapi kwa sasa #paula anamchukia sana harmonize hataki hata kumsikia alimfanyia kitendo kibaya sana
CHINO WANAMAN AKERWA NA WILLY PAUL KUTAFUTA BIFU NA DIAMOND "HATUWEZI KUMPENDA KWANZA HAJUI KUIMBA
มุมมอง 5189 ชั่วโมงที่ผ่านมา
CHINO WANAMAN AKERWA NA WILLY PAUL KUTAFUTA BIFU NA DIAMOND "HATUWEZI KUMPENDA KWANZA HAJUI KUIMBA
BIFU LA DIAMOND NA WILLY PAUL LIMEZIDI KUA KUBWA DIAMOND AOMBA MSAMAHA KWA WAKENYA
มุมมอง 1814 ชั่วโมงที่ผ่านมา
BIFU LA DIAMOND NA WILLY PAUL LIMEZIDI KUA KUBWA DIAMOND AOMBA MSAMAHA KWA WAKENYA
MALAIKA QUTY AMKATAA HARMONIZE MBELE YA WAANDISHI "SIWEZI KUMPENDA HARMONIZE/KAJALA ANAMPENDA SANA
มุมมอง 2216 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MALAIKA QUTY AMKATAA HARMONIZE MBELE YA WAANDISHI "SIWEZI KUMPENDA HARMONIZE/KAJALA ANAMPENDA SANA
ZUCHU ATOBOA SIRI INAYOFANYA DIAMOND AMPENDE SANA "HAPA HAWEZI KUCHOMOKA NAMKATIKIA NA KANGA MOKO
มุมมอง 42516 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#zuchu chu anatamba kwa kuwambia mashabiki zake "nyie mnaachwa kwa sababu viburi inabidi uvalie kanga moko huku ukimwimbia mpenzi wako wimbo huu nisamehe huku ukikatika kidogo 😂 bas mashabiki wamempigia yoe la maana wengi ndio wakasema kwa maneno haya #diamondplatnumz hawezi kuchomoka
BABA LEVO "ALIKIBA NA DIAMOND WOTE WATAKUJA HAPA KUFANYA SHOW/MARIOO HAWEZI KUKATAA/KANIPA MILIONI18
มุมมอง 68วันที่ผ่านมา
BABA LEVO "ALIKIBA NA DIAMOND WOTE WATAKUJA HAPA KUFANYA SHOW/MARIOO HAWEZI KUKATAA/KANIPA MILIONI18
BABA LEVO AKUTANA NA MLEZI WA WATOTO YATIMA MBISHI 🤣 WAJIBIZANA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI
มุมมอง 796วันที่ผ่านมา
BABA LEVO AKUTANA NA MLEZI WA WATOTO YATIMA MBISHI 🤣 WAJIBIZANA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI
BABA LEVO AWAVUA NGUO MWIJAKU NA JOTI BAADA YA KUWAPIGA CHINI KWENYE TUZO"MWIJAKU ANA MAKALIO MAKUBW
มุมมอง 97614 วันที่ผ่านมา
baba levo kawapiga vijembo joti na mwijaku baada ya kuwashinda kwenye kinyan'ganyiro cha tuzo za influencer bora tanzania kwanza kila kitu wanaiga kwangu alafu wanakua na jeuri
YOUNG LUNYA AMTUKANA HARMONIZE KWENYE SHOW "KUSHOBOKEA MADEMU WAWATU WENYE MAKALIO IPO SIKU UTAKALIW
มุมมอง 2.3K14 วันที่ผ่านมา
YOUNG LUNYA AMTUKANA HARMONIZE KWENYE SHOW "KUSHOBOKEA MADEMU WAWATU WENYE MAKALIO IPO SIKU UTAKALIW
DJ MAKONDA KWENYE MOJA NA MBILI 😂 HATAKI MASIHARA CHEKI ANAVYO SCRATCH MAGOMA HAPA
มุมมอง 40414 วันที่ผ่านมา
DJ MAKONDA KWENYE MOJA NA MBILI 😂 HATAKI MASIHARA CHEKI ANAVYO SCRATCH MAGOMA HAPA
MASHABIKI WA SIMBA WALIAMSHA ARUSHA,WAWACHEKA YANGA KUFUNGWA KILA SIKU
มุมมอง 2414 วันที่ผ่านมา
MASHABIKI WA SIMBA WALIAMSHA ARUSHA,WAWACHEKA YANGA KUFUNGWA KILA SIKU
WADUDU WA ARUSHA WAKILIAMSHA BAADA YA MOKONDA KURUHUSU WATU WAANZE KULA BATA 😂 UTAVUNJA MBAVU
มุมมอง 7914 วันที่ผ่านมา
WADUDU WA ARUSHA WAKILIAMSHA BAADA YA MOKONDA KURUHUSU WATU WAANZE KULA BATA 😂 UTAVUNJA MBAVU
ARUSHA INAWAKA MOTO NA BATA LA RC MAKONDA/CHEKI WANENGUAJI WALIVYOPAGAWISHA HAPA
มุมมอง 63914 วันที่ผ่านมา
ARUSHA INAWAKA MOTO NA BATA LA RC MAKONDA/CHEKI WANENGUAJI WALIVYOPAGAWISHA HAPA
ALIKIBA AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA "MIMI NINA WATOTO WATANO WAKIKE WAWILI NA WAKIUME WATATU
มุมมอง 3721 วันที่ผ่านมา
ALIKIBA AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA "MIMI NINA WATOTO WATANO WAKIKE WAWILI NA WAKIUME WATATU
MASKINI YAMMY ATANGAZA SINA MAHUSIANO NA MBOSSO "ZUCHU WALIITA WIFI/NANDY NA BILLNAS WALIKUA WANAJUA
มุมมอง 58121 วันที่ผ่านมา
MASKINI YAMMY ATANGAZA SINA MAHUSIANO NA MBOSSO "ZUCHU WALIITA WIFI/NANDY NA BILLNAS WALIKUA WANAJUA
DIAMOND KUNUNUA GARI YA SAYBER TRUCK/NDEGE INAFATA ALIDHULUMIWA PESA YAKE/NIFFER NA VIDA WAKOME
มุมมอง 2021 วันที่ผ่านมา
DIAMOND KUNUNUA GARI YA SAYBER TRUCK/NDEGE INAFATA ALIDHULUMIWA PESA YAKE/NIFFER NA VIDA WAKOME
NENO LA AIRENE UWOYA LAWALIZA WAFIWA MSIBANI 😭 WASANII WAANGUSHA VILIO "TUSIISHI KAMA HATUFI
มุมมอง 97021 วันที่ผ่านมา
NENO LA AIRENE UWOYA LAWALIZA WAFIWA MSIBANI 😭 WASANII WAANGUSHA VILIO "TUSIISHI KAMA HATUFI
NABII JOE DEVI AIBUKA KUNYWA CHAI NA MAKONDA AWASALIMIA MASHEYKH ALIOWAKUTA
มุมมอง 1221 วันที่ผ่านมา
NABII JOE DEVI AIBUKA KUNYWA CHAI NA MAKONDA AWASALIMIA MASHEYKH ALIOWAKUTA
HUYU NDIYE KOCHA MPYA WA YANGA MRITHI WA GAMONDI/HAJAWAHI KUSHINDA HATA MECHI MOJA/NI FUNDI WA MPIRA
มุมมอง 80หลายเดือนก่อน
HUYU NDIYE KOCHA MPYA WA YANGA MRITHI WA GAMONDI/HAJAWAHI KUSHINDA HATA MECHI MOJA/NI FUNDI WA MPIRA
GIGY MONEY AMPA ONYO ZUCHU" KAMA ANAJIFANYA KAACHANA NA DIAMOND "TUTAPITA NAE"NAPENDA LILE DOMO LEKE
มุมมอง 1.8Kหลายเดือนก่อน
GIGY MONEY AMPA ONYO ZUCHU" KAMA ANAJIFANYA KAACHANA NA DIAMOND "TUTAPITA NAE"NAPENDA LILE DOMO LEKE
GIGY MONEY APAGAWA NA VIDEO ZA BALTAZAL/ANGEKUA BONGO ANGEPITA NA MIMI/NI KAMA ALIKIBAJAMAA NI BALAA
มุมมอง 3.7Kหลายเดือนก่อน
GIGY MONEY APAGAWA NA VIDEO ZA BALTAZAL/ANGEKUA BONGO ANGEPITA NA MIMI/NI KAMA ALIKIBAJAMAA NI BALAA
MWIJAKU ATOBOA SIRI ZA ALIKIBA NA MAUA SAMA"HUYU NDIO ALIHARIBU NDOA YA ALIKIBA NA MKE WAKE/HZO BUSU
มุมมอง 217หลายเดือนก่อน
MWIJAKU ATOBOA SIRI ZA ALIKIBA NA MAUA SAMA"HUYU NDIO ALIHARIBU NDOA YA ALIKIBA NA MKE WAKE/HZO BUSU
MWIJAKU AMVUA NGUO HAJI MANARA"HATA YANGA HAWAMTAKI TENA ANAFITINISHA WATU"RUSHAYNA ALITWAMBIA SIRI
มุมมอง 9Kหลายเดือนก่อน
MWIJAKU AMVUA NGUO HAJI MANARA"HATA YANGA HAWAMTAKI TENA ANAFITINISHA WATU"RUSHAYNA ALITWAMBIA SIRI
MASHABIKI WAMVAMIA DIAMOND KWENYE HITMA YA MAREHEMU DIDA/MABAUNSA WAMKIMBIZA KWENYE GARI/AOGOPA KUTO
มุมมอง 999หลายเดือนก่อน
MASHABIKI WAMVAMIA DIAMOND KWENYE HITMA YA MAREHEMU DIDA/MABAUNSA WAMKIMBIZA KWENYE GARI/AOGOPA KUTO
TAZAMA DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOFIKA KWENYE DUA YA MAREHEMU DIDA SHAIBU WATU WAMSHANGAA/HAKUJA MSIBANI
มุมมอง 388หลายเดือนก่อน
TAZAMA DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOFIKA KWENYE DUA YA MAREHEMU DIDA SHAIBU WATU WAMSHANGAA/HAKUJA MSIBANI
Ubarikiwe tena na tena babalevo
BABA LEVO ALIITWA KUIZINDUWA HUO MJENGO WA TAJILI MMOJA BWANA MDOGO TU ATA MIAKA 40 AJAFIKA ANAISH SALASALA....BABA LEVO YEYE ALIKUWA KAMA MC
❤
Sasa hapo kwa sisi watalaamu wa mijengo hapo kazika milion 600 hadi 900 haifiki bilion moja
Jaman kwan wengine pesa wenapataga wap kwa haraka mna iyo?nakumbuka tangu apost haujaisha hata mwaka daah hongera sana nilikuwa nakuchkulia jinga jinga tuu
Hii nyumba hata diamond Ana Kama hii
Kwel usani ni ujanjaujanja na uwongoo ndani yake watakuja tu kutuomba michango
Hongera ila usije betia hiyo ni ya Revo na wadogo zake
Ipo siku takuwa na Nyumba yangu Sijuwi ni lini ila one day tamiliki Nyumba yangu mwenyewe Mungu baba hatima yangu ya Nyumba itimie inshalah
Mungu nibariki nipe ujasiri na mm nifanikiwe niweze kujenga nyumba ya kifahari
Hongera sana broo
Saafii kabisa
AC zipo Kila mahali maana Dar joto?
🇹🇿🇹🇿Watu wengi maarufu ni maharufu matupu! Kuonesha magari, pesa na kujitangaza sasa sijui wasiojiweza/walemavu wanapoona wanajisikiaje. JITAHIDINI SHULE IWAPITIE SIYO KUPITA TU SHULE! 🇹🇿Kuna watu TZ wanafeki mafanikio ndio maana si watu wa kusaidia jamii fanya kazi kwa huyo anayejitangaza mitandaoni ndio utaona umaskini wake, watu wengi wa nchi za nje ndio wana mafanikio ya kweli coz wanasaidia jamii, watu wanaofanya kazi kwa wazungu hususan wanalipwa vizuri. Lijitu ambalo linajitangaza lina maisha mazuri angalia ndugu zake au wafanyakazi wake au kwao utakuta wamechoka, wapo kujitangaza vitu hewa vingine wanapata kwa njia ambazo si halali ndio maana huwa wanajielezea na kujitetea tetea au kutuma watu wa kuwatetea waonekane wako vzr, hizo zote ni roho za choyo na tunakuza kizazi cha maigizo kufeki maisha vijana wanaiga wanakuwa na maisha hewa. Kama una maendeleo saidia jamii hakuna anayehitaji kujua maendeleo yako ya MATANGAZO yanayokunufaisha wewe yasiyosaidia jamii. Rudisha kwa JAMII, You should wise up!🇹🇿
Thubutu sio wako aibu👺👺👺👺
Yt ya nini huku tuliko nyumba zaidi ya hiyo ni magofu tu wanalala misusing na mipaka wote wamefaliki watoto hawa a ht mpango wl hakuna kurisi sjui akae ndugu hmn yt tunayaacha
Kwahiyo unashauli wasijenge waone kawaida kama unavyoona wewe wakati huna
Kweli Ile ni Choo aisee❤❤
Hii sio nyumba ya Baba levo
Kaijenga tunaona Mpaka mara ya mwisho alikuwa na wale wasafirishaji wa mizigo kutoka china na Duabai wakiwa wanamahauri finishing aweke vitu gani.
Basi ya kwako
Mwijaku Sema tena😂😂😂
Sio babalevo ni king D
Hongela sana bro
Mjengo wa nani
Na Mjenzi wa hii nyumba ya Baba levo?
Nice,...
This house is beautiful. Congratulations
Hongra
Kawaida sana niaminini mimi hapa hyo nymba ghalama yake ni million 80 kwa watu wanaojua bei ya vifaa vya ujenz wataelewa, nondo za ghorofa nizaa mil 16 ambazo bei yke ni elf 32 ambayo hazijazid nondo 200 hapo, ukifaanya elf 32 mara nondo 200 ni million 6 na laki 4, bei ya tofali za gorofa kila mtu aanajua tofal moja ni elfu 1 na mia 5 hapo hazijazid tofali elfu 8000 pamoja na fensi hyo fens ina tofali 3000 hapo nyumba ina tofal 5000 fnya 1500×8000=ni m12, cement elfu 16 mfko hpo mifuko 350 fnya 16000×350=m 5,600,000 bati bando moja 300,000 hapo bando 7 fanya lak3 mara 7 ni million 2.1 , mbao bei ya mbao elfu 7 had 11 kwa pc moja hapo fanya million 3 bei ya mbao, gypsum powder mfko 16000 mara mifuko 50, wall putty 18000 mara mifuko 40, gypsum boad 14000× 150, yan hyo nyumba ata million 70 haifiki ghalama yake trust me nimejenga nazijua nyumba hayo maua na hizo taa na hayo marangi yasiwatishe
Hongera mwijaku
Mwijaku atasubiri sana😂😂😂😂
Ndo faida ya uchawa
Hapa tunasubiria milard ayo apost
Kuwa msanii kazi sana, sasa baba levo ajenge nyumba ya hivyo kwa hela gani😂😂😂
Alishinda tamari ml 600
Unaujua mfuko wake?
Unaujua mfuko wake?
Ndoapo sasa
@@elinamilyatuu7337 ndiyo
Mungu nibariki namimi nipate mjengo wangu umri unaenda nasalimiwa kama mama mwenye nyumba kumbe mpangaji dah
Rose Mungu ni mwaminifu na hashindwi usikate tamaa hakuna linaloshindikana mama angu
ameen mungu atakusaidia inshaalah
Utapata tu ndugu pambana
Muombe mungu pambana utaipata hata ikiwa ndogo
Mama angu ni maisha tuu Mungu hakawii Wala hawai
Mwijaku ukaseme tena naona hongera sana umeweza naumeweza tena
Sio ya baba revooo jmn
Mbona yakawaida sana iyo nyumba
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂tuonyeshe yako
Yako iko wapi???😂😂😂😂😂😂😂
Yako sio ya kawaida😂😂
😂😂😂 bangi hizi I swear
Hhhhhhhhhhhhh maskini hatuna jema aiseeee
Jengen halafu kaburi linawaita
Wivu
Acha roho mbaya
Ambao hawajengi wao wataishi milele?tupunguze makasiriko na wivu jaman, mtu akifanya jambo zuri apongezwe❤
Kama umekosa Habar. Siuende choon Unye uposti.
Kwani nyumba sasahivi imeisha?😮 hakii siamini mmmh
Duh mjengo huu hata uyo boss wake mondi hana
Kama mondi hana huyo babalevo pesa namanikio yake anayatoa wapi 😏
Chawa
Nyumba ya King D sijui mnamzushia b levo
Nyumba ya King D sijui mnamzushia b levo
Ndo nimeshangaa na mie
King D ndo nani
Ebwana uchawa kazi
Mjengo mkali sana 👊
Mashallah
Mashallah nice
Nchii Kuna baazi ya watu wachache wamejimilikisha mapesa mengi sana
Kujituma ndugu😂😂
Du hongera sana bhan 🎉🎉🎉
sio nyumba y bablevo ww wacha kutafut laki
Hiii nyumba ya Simba
Nmemkuta chooni mwijaku anacheka alafu analia😅
WATZ MKO NA PESA AKI😂😂😂🙌🙌
Hapana hela yetu sisi haina thamani😅😅😅
Mashalha