Kokoa (cocoa) iko Kama kahawa ila yenyewe sio chungu Kama kahawa. Inatumika kwenye mapishi mbalimbali hata kwenye chai mfano ivory cocoa. Unaweza ukatumia kahawa Kama cocoa haipatikani maeneo yako ila ukitumia kahawa kipimo utakipunguza coz kahawa inawahi kukolea
Ni unga wa zao linaloitwa cocoa (Coco powder) inatumika kutengenezea vitu Kama chocolate, ivory inaweza tumika hata kwenye chai. Kama haipo katika mazingira yako unaweza tumia kahawa (coffee) ila ukituma kahawa itabidi upunguze kipimo coz kahawa inakolea haraka kuliko cocoa
Kokoa Ni zao kidogo lingekuwa Kama kahawa...likisagwa tunapata unga wake ambao ndio ulotumika. Coco powder inatumika kwenye chai na mapishi mengine mfano ivory cocoa. Kama haipatikani kwenye mazingira yako unaweza tumia kahawa ila kipimo utapunguza sababu kahawa inawahi kukolea
Kokoa (cocoa)... Ipo Kama kahawa. Inatumika kwenye mapishi mbalimbali hata kwenye chai. Kama haipatikani kwenye eneo lako unaweza tumia kahawa ila ukitumia kahawa itakubidi upunguze kipimo coz kahawa inawahi kukolea
cocoa (Coco powder) iko Kama kahawa ya unga lakini si chungu Kama kahawa. inatumika kwenye Mapishi mbalimbali hata kwenye chai. mfano; ivory cocoa powder na nyingine nyingi.
Hello dia.....Kama cocoa haipo kwenye eneo lako unaweza tumia kahawa ila utapunguza kipimo coz kahawa Ina asili ya uchungu. Au unaweza yeyusha chocolate ukachanganyia kwenye mchanganyiko wako ili kupata hiyo rangi.
na maji Moto. weka chocolate yako kwenye bakuli Kisha dumbukiza bakuli Hilo kwenye chombo kingine chenye maji Moto. hakikisha maji hayaingii ndani ya bakuli la chocolate. chocolate ikishapata joto itaanza kuyeyuka
Kidogo umenichanganya. Kama kikombe kimoja ni 250 ml itakuwa umetumia vikombe 4 na vinakanya nusu kilo. Hayo mahesabu hayaingii. Nusu kilo 500 so ni vikombe viwili vya 250 ml Wala sio vinne my dear
Hello dear......inakuwa hivyo kwa sababu unga wa ngano ni mwepesi ndo Mana nusu kilo inachukua vikombe 4 vya 250ml ila kwa vitu vizito Kama sukari nusu kilo ndo vikombe 2 vya 250ml
Cocoa / coco powder....Ni zao ambalo kidogo lingekuwa kama kahawa...ila kahawa imezidi uchungu. Liko common west Africa linatumika kwa matumizi mbalimbali kama kwenye chai, cakes, chocolate etc. Kama kwenye mazingira yako haipo unaweza tumia kahawa ila utapunguza kipimo coz kahawa inakolea haraka zaidi
Tumia frying pan nzito......usiweke mafuta mwanzoni. Kisha mimina unga wenye cocoa kwa kuzungusha ili Kutengeneza michirizi Kisha mweupe juu (subiri mpaka upande wa chini / huo wa michirizi uive vizuri kabisa). geuza na uweke mafuta kwenye frying pan yako (weka mafuta upande wenye weupe sio huo wa michirizi). subiri mpaka upande huo uive kabisa kisha tegua.
Wooow! Lazma nitakuja kumpikia mke wng chapati za jina lake kama surprise na #Video hii nina isave nicje ipoteza nikafail
😀😀😀😂
Maa shaa Allaah Allaah akuzidishie zaidi na zaidi ya kher na ujuzi zaidi nasi upate utufunze unaelekeza vizur huna khiyana
Asante dear 💕 💕
tasty good. beautiful recipe
Thank you dear... karibu 💕💕
Woooh am happy nimepata video yenye nilikua nataja
😀😀😀 karibu
WEEH NIMEIPENDA SANA HII STYLE KWANZA NAZIPENDA SANA HIZO AINA YA PAN CAKES THANK YOU NITAMPIKIA MKEWANGU NA SHAPE YA KOPA
😀😀😀 Asante.....mpikie atazipenda
Nimependa
Asante.... karibu 💕
Nzuri sana nimezipenda
Asante dear.... karibu 💕💕
Waooooo kesho naipika mapema sanaaa
😀😀😀karibu
Asante sanaa. Nimeipenda hiyoo.ubarikiwe
Asante dear 💕
Kitchen tricks good work mummy
Thank you dear 💕💕
Thanks for sharing these I have learnt something new🙏
I cook nice pilau and other dishes
One day I will share on TH-cam
@@Leseelasumayia thank you for watching....am waiting for your videos 😊
wooow nzurii mnoo
Asante dear 💕💕
Wow wow thanks for share
Thank you 💕💕
Unaelekeza vzr dada
Asante dear 😊
Muzuri
Asante dear 💕💕
👍👍 ongeera sana dada kazi zhuri
Asante dear.... karibu 💕💕
Wow a very delicious food,congrats😘😘
Thank you 💕💕
They look delicious.
Thank you 💕💕
Wow chapati laini sana 👍👍😍🥰🌸
😀😀😀 Asante my friend ❤️❤️
Wow😋 nice recipe. I like it🔥
Thank you so much🔥🔥
Amazing 💕💕💕 great recipe
Glad you liked it💕💕
Amazing ❤
Thank you 💕💕
Waoo so nice sweetie
Thank you dear ❤️ ❤️❤️
Awesome....👍👍👍👌
Many many thanks🤗
Hongera sn mamito...zinavutia mno
Asante dear 💕💕
Nzuri sana dear
Asante Sana💕💕
Nice 👌
Thanks 😊
Nimependa sana
Asante dear 💕💕
Nimependa sana mapishi yako dada
Asante dear... karibu 💕💕
Nzuri sana
Asante dear 💕 💕
Nzr jamon
Nice
Thanks
Ntam sana
😀😀Sana😋
Amazing 😋😋😋😋
Thank you 😋
They look delicious 😋😋😋
They are!😋😋😋
❤❤
💕💕
Mm binafsi sipend sukar kweny chapAt za maji inakuwaj Sasa dada
sukari sio lazima kuweka.....unaweza Pika bila sukari na zikawa nzuri kabisa.
Je Unaweza kutumia vanilla ya unga ??
Ndio unaweza tumia
sasa sukar haitakuwa nying maan umeweka vanila na cocoa
Haiwi nyingi mpenzi
cocoa ni kakao the one from Ghana
Yes, it's the one
Nice recipe
Thanks a lot💕
Na kama sina vanilla neza tumia cocoa pekee yake?
unaweza dear....vanilla sio ya lazima inaongeza tu flavour
Kokoa mi siijui ikoje
Kokoa (cocoa) iko Kama kahawa ila yenyewe sio chungu Kama kahawa. Inatumika kwenye mapishi mbalimbali hata kwenye chai mfano ivory cocoa.
Unaweza ukatumia kahawa Kama cocoa haipatikani maeneo yako ila ukitumia kahawa kipimo utakipunguza coz kahawa inawahi kukolea
Shukrani
Asante dear 💕💕
Cocoa ndo nini naomba uni eambiy vizur
Ni unga wa zao linaloitwa cocoa (Coco powder) inatumika kutengenezea vitu Kama chocolate, ivory inaweza tumika hata kwenye chai. Kama haipo katika mazingira yako unaweza tumia kahawa (coffee) ila ukituma kahawa itabidi upunguze kipimo coz kahawa inakolea haraka kuliko cocoa
COCOA ndo nini jameni
Ni Coco powder....au unaweza tumia kahawa Kama cocoa haipatikani kwenye mazingira yako. Ukitumia kahawa utaweka kidogo sababu inawahi kukolea.
@@BelsFarmKitchenSwahili Asante mmy
Me napenda nzito je naweza fanya nzito
ndio unaweza fanya nzito...ila kwa Hiyo utakayoipunguza kwa ajili ya kuweka cocoa utaongeza maji kidogo ili iweze kupita vizuri kwenye tundu
I like this
thank you dear 💕 💕
Nam nijalib
Jaribu dear😊...utaipenda
Dukan zinapatikan
Ndio....zinapatikana dear
Sawa nitampikia mume wangu asije akaongeza mke mwengine
😀😀😀💕💕
😂😂😂😂
nimepanda mapishi yako
Asante dear 💕 💕
Cocoa ninini?jamani plz
Kokoa Ni zao kidogo lingekuwa Kama kahawa...likisagwa tunapata unga wake ambao ndio ulotumika. Coco powder inatumika kwenye chai na mapishi mengine mfano ivory cocoa. Kama haipatikani kwenye mazingira yako unaweza tumia kahawa ila kipimo utapunguza sababu kahawa inawahi kukolea
Samahani kokowa nini
Kokoa (cocoa)... Ipo Kama kahawa. Inatumika kwenye mapishi mbalimbali hata kwenye chai. Kama haipatikani kwenye eneo lako unaweza tumia kahawa ila ukitumia kahawa itakubidi upunguze kipimo coz kahawa inawahi kukolea
Samahani kokoa ninini
cocoa (Coco powder) iko Kama kahawa ya unga lakini si chungu Kama kahawa. inatumika kwenye Mapishi mbalimbali hata kwenye chai. mfano; ivory cocoa powder na nyingine nyingi.
Jaman cocoa powder ntaipataj
Hello dia.....Kama cocoa haipo kwenye eneo lako unaweza tumia kahawa ila utapunguza kipimo coz kahawa Ina asili ya uchungu. Au unaweza yeyusha chocolate ukachanganyia kwenye mchanganyiko wako ili kupata hiyo rangi.
Kunaumuhimu wa vanilla
hello.....sio lazima kuweka vanilla...ila ukiweka inaongeza fleva
Kuna umuhimu wa kutumia mixer kama unayo?
ndio dear.....unaweza tumia
Nitajarb kupk n mm
😀😀😀jaribu utazipenda
Nilijarib siku ileile ilkua mitm
Kama.SNA.kokoa.jee
unaweza yeyusha chocolate kidogo ukachanganyia au ukatumia kahawa kidogo ( kahawa uweke kidogo sana ina asili ya uchungu)
Recipe tafadhali
Vanilla nyingi kipenzi
hapana .... vanilla kiasi kidogo tu
@@BelsFarmKitchenSwahili sawa dear
@@mishikikoti2948 😊 karibu
Chocolate unayeyusha n nini?
na maji Moto. weka chocolate yako kwenye bakuli Kisha dumbukiza bakuli Hilo kwenye chombo kingine chenye maji Moto. hakikisha maji hayaingii ndani ya bakuli la chocolate. chocolate ikishapata joto itaanza kuyeyuka
@@BelsFarmKitchenSwahili kokoa ni chocolate?
@@BelsFarmKitchenSwahili Asanteeee
@@BelsFarmKitchenSwahili Asante bt nusu kidogo nitwangea Hahahaha
@@sadatisabihi3818 😀😀😀
😋
😀😋😋
Kidogo umenichanganya. Kama kikombe kimoja ni 250 ml itakuwa umetumia vikombe 4 na vinakanya nusu kilo. Hayo mahesabu hayaingii. Nusu kilo 500 so ni vikombe viwili vya 250 ml Wala sio vinne my dear
Hello dear......inakuwa hivyo kwa sababu unga wa ngano ni mwepesi ndo Mana nusu kilo inachukua vikombe 4 vya 250ml ila kwa vitu vizito Kama sukari nusu kilo ndo vikombe 2 vya 250ml
Kokoa ndo nn
Cocoa / coco powder....Ni zao ambalo kidogo lingekuwa kama kahawa...ila kahawa imezidi uchungu. Liko common west Africa linatumika kwa matumizi mbalimbali kama kwenye chai, cakes, chocolate etc. Kama kwenye mazingira yako haipo unaweza tumia kahawa ila utapunguza kipimo coz kahawa inakolea haraka zaidi
Ukitumia Milo je
Milo haitafaa my dia....Milo inahitaji kimiminika Cha Moto ili iweze kuyeyuka
Mbon zin to tobo tobo mi zNgu azitoki zivo
Tumia frying pan nzito......usiweke mafuta mwanzoni. Kisha mimina unga wenye cocoa kwa kuzungusha ili Kutengeneza michirizi Kisha mweupe juu (subiri mpaka upande wa chini / huo wa michirizi uive vizuri kabisa). geuza na uweke mafuta kwenye frying pan yako (weka mafuta upande wenye weupe sio huo wa michirizi). subiri mpaka upande huo uive kabisa kisha tegua.
"kokoa ni niñí?????????
cocoa (Coco powder)
iyonini
stripped pancakes (chapati za maji za michirizi)
Nzuri sana nimezipenda
Asante dear 💕 💕
Nzuri sana
Asante dear 💕 💕
Kokowa inaptikana wapi?
Madukani au supermarket ila Kama kwenye eneo lako haipo waweza tumia kahawa (coffee) ila ukitumia kahawa utapunguza kipimo