ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Nimekupenda bule unafundisha vizuri
Nice Sasa maji ni vugu vugu au baridi
Nimeipenda sana
Dada Mi sijaelewa vipimo vyako mara nyingine kama una weka sukari au chumvi uandike
Km ngano nusu unatia vijiko vingapi vya sukali
Nice,
I love your kitchen techniques
Thank you ☺️
❤❤
Nataka nijue maji yanakuwa yabaridi ya vuguvugu
Barid dear
Sukar vijiko vingapi mbona sijaelewa hapo Mara vinne Mara kimoja ipi Sahihi kuwa na Uhakika bas
Apo xxa
Amemaanisha vinne vya chakula na kimoja kile cha kukorogea sukar kwenye chai
Amekosea kijiko kimoja chumvi sukari ndo vinne
Ata mm sijaelew apo vijiko vingap vya sukar 4au 1
Nimèpenda
Chapati nzuli sana dada.
Asante 😊☺️
Unyama ❤
Vizuriii
Njoo unipikie nami
Mbona sijakuelewa sukari
sijakuelewa dada mara naona chumvi umemix na sukari, piah maji yawe ya baridi au vugu vugu ebu weka sawa hilo
tunataka nazamaziwa tuone😊
Nicely
Woow nice but i have question ni chumvi sukari nikataka na maziwa bhx amna kingine sorry madame nijib i gonna right now
Am gonna cook right now sorry
Ukitaka dear waweza ongezea na vitunguu maji kimoja na carrot Au chumvi na sukari tu ili u balance taste ya chapati ukiadd na hayo maziwa kama huweki maji
Hongera unamjua
Asante dear
Been looking for this recipe.
💞💞
Je unaweza kutumia màziwà ya unga
Ukitaka yes
Jarb kueleza vipimo ipasavio gaiiii
Nice
Tuoneshe za maziwa my💞💞💞
Okay dear
❤
Maji ya moto au
Ya kifukuto
Ndo yaaje@@ashahussein2734
Dear Asante
Thank you too kwa kuangalia
Sauti yako tu nmeshiba...😂😂
😄😄😄
Nifundixhe jinsi ya kupika chapat za Maj kwakutumia maziw
Okay no problem
Mbna sijakuona ukieka màziwa
I am in standard seven entering form 1 but I have try nanimewezaa 🙏🙏🙏
Wow congrats dear 😘😘
Mekuelewa Mremboo
Hatuja kuekewa hivyo vijiko vya sukar ndo nn sasa
Mara vijiko viwili vidogo mara vijiko vikubwa vya chakula.. maji hujasem kama ni bardi au vuguvugu au moto😃😃😃😃
I table spoon of baking powder that’s what she meant
Nioyeshe mapishi ya chapati za maji
Okay dear soon na post
Et kanzi kambeya 🤣🤣🤣🤣
❤❤❤
Sijaelewa vituguu apo
Kivip my dear
Hio sauti yenyewe inatosha kupikia chapati
Hahahaha
Uwe unaweka vipimo na Kwa maandishi
Haya sawa soon nta post video na vipimo
Asante dada lkn me nikiziweka kwenye flampein Yani zinagandia hapohapo siwezi kuigeuza lbd unambie hapo nikwann
Ooh pole dear ntakuelekeza kwa video nyingne soon ili uelewe kwa sauti
@@localeater3265 ok nimesubir
Saf
Maji Ya Moto au Baridi
Barid
❤️❤️❤️❤️🇺🇸🇺🇸
Maji ya moto au ya balidi
Ya barid (normal temperature)
Bardi
Sauti inazidi utam wa chapati dyadya🤣🤣
😂😂
Maji ni ya baridi au ya vuguvugu