Hi lovies kama una swali usisite kuniuliza na video za ramadhan nimewaekea kwa playlist moja thanks soo much for your support...musisahau kusubscribe na kushare ukiipenda like kama hujaipenda dislike tu nitajirekebisha next time.Nawapenda kwa Ajili ya Allah One Love❤❤❤ Ramadhan Mubarak In Advance My Lovies
Hi kipenzi maybe viazi vyako vyenyewe ni maji sana unaeza kuongezea na chenga za mchele au mkate piece mbili ulizosoak dakika 2 alafu kama maji tumbukiza ndani changanya na ufanye shapes
Ss kn ile wananyunyuzia unga wa ngano juu kbc ile ina madhara kwan yaan wakitengenez hvyo wanawek unga wa ngano km kunyunyuzia hzo katles then wanachoma
Hi lovies kama una swali usisite kuniuliza na video za ramadhan nimewaekea kwa playlist moja thanks soo much for your support...musisahau kusubscribe na kushare ukiipenda like kama hujaipenda dislike tu nitajirekebisha next time.Nawapenda kwa Ajili ya Allah One Love❤❤❤
Ramadhan Mubarak In Advance My Lovies
Uku vizri mpenzi nazidi kujifunza kutoka kwako
Masha Allah! Uko vzr sis, shukran sana tunaendelea kujifunza. Ramadhan Mubarak!
Asante sana, hiyo recipe ya mwisho n nini?
Mkate unaseidia nn
Dada khadija mm natamani niwenaona maelezo kwamaandishi
Wa kwanza 🥳nipewe likes basi🤣
Weuwezzz umewezaaaa Leo wacha tukupe likeeees shukran
Asante kwa kushare recipe zako najifunza kupika through wewe hapa youtube. Asante!
MashaAllah. Superb recipe 😋. Umejuwa kunitamanisha . Ntajaribu before ramadhan.
Shukran My all time 😍 yaani nazisubiri whtsp najua utazipika weekend😂😂
Shukrani amazing
Katlec zpo vzr dad hongera yako
Like 👍
Looks yummy 😋 😍 😊 thanks for sharing your good recipe 😀 👍 😋 😊 😉 😄
Most Welcome
Maa Shaa Allaah kumbe mapishi yake yanafanana na kababu.
Ma shaa Allah!!! recipe yako nzr n rahisi kufanya. Ahsante nimependa
Tabarakallah sis ukifanya naomba mrejesho shukran
In shaa Allah hbbti
Nice mashaallah
Tabarakallah
Maa shaa Allah 😍🔥🔥🔥🔥🔥
Tabarakallah ❤️
Mash allah mwanamke ni mapishi congratulations
Tabarakallah love yes mwanamke mapishiiiii yaani tunapika kulala kuamkaa
@@HadijaSheban hiyo ndio raha na ndio dawa tunayoutumia kwa kuwaweka wanaume wetu wasitukimbie kwa mapishi 😂😂😂
@@shamzone388 Hapo nakupa.mia fil mia kipenzi tuendelee kupambana mpaka Allah atuhitimishe nao Ameen❤❤❤
@@HadijaSheban allahuma amin yarab
Looks so delicious lile this ne
Thanks
❤❤❤❤ Nakupenda sc Khadijah
Mashallah mungu akubarik 😘🥰uko vzr
Ameen my love
Mashaallah recipe nzuri na rahisi kabisa
Shukran mpenzi
I like it😊
Sante
Shukran utuletee na bajia kunde
Angalia hapa utapata InshaaAllah pia nitazileta new soon kipenzi sawa🥰
th-cam.com/video/CJG25tvmRPA/w-d-xo.html
Mara ya mwanzo kuona video yako, mambo mazuri mbio mbio bila kupoteza wakati.. Asante..
Karibu my love
Asante kwa kutufundisha namna ya kupika katles nimeelewa somo nitapika na mm
Shukran sana kipenzi 🥰🥰usisahau kusubscribe na kushare
Good simple recipe ❤
Thanks😍😍
Superb , nice & best recipe , looks too much tasty , liked it 👍🏼👍🏼
Thank you
Waoo I love your recipe my sister
Thanks soo much kipenzi
nakupenda
Nmekupenda sana
Na mimi nimekupenda pia pls share❤️❤️ usisahau kusubscribe
masha allah
Tabarakallah ❤️
Very nice 👍👌
Thanks
Mandazi ya nyama
Nice job
Asante sana
Masha Allah
Very nice recipe,and easy to follow 👍
Thanks soo much darling
Wow 🎉❤
Mashallah
❣️❣️
Shukrani
Sauti nzuri 🙈
Asante
Wow!Congratulations dear
Thanks soo much
Maa Shaa Allah
Tabarakallah
Mashallah
❤️❤️❤️
Very nice
Thank you
MashAllha 🥰🥰
Tabarakallah
mashaAllah ila uwe unavaa glavus maana kunawengine hawapendi
ok
Sweet
Tha ks
Maashaallah. Yummyyy
Tabarakallah
Asant san
Good
Thanks
salàm alekum mashallaah
Waaleykhm mussalam tabarakallah
English recipe please
MashaAllah
Tabarakallah
Masha Allah ♥️
Tabarakallah
Mimi nikipika zinapasuka na huwa naivisha viaz vizur
labda havijavuruguka vizuri
Hadija hoyeeeeeeeeeeeeeeee
Hoyeeee
Unajua kufundisha
Asante sana kipenzi
🎉🎉🎉🎉
Mkateee wa kawaida ndo unaloweka
Ndio
Half keki
Nice
Thanks
Hiyo dania ni lazima pia kuweka
Ichokiungo chamwisho kinaitwaje
Nambayako sjaiona my
0720581168
🥰🥰🥰
❤❤❤
Daniya niipoje nitumie pch yake plz
Google Coriander leaves
M.a
Tabarakallah
Je nyama naweza saga kwa Brenda au lazima ninunue special ya dukani
Nyama silazima kusaga ila vyovyote tu hio yangu nilinunua butchery nyama ya kusagwa tayari
Shukrani
Ukiongeza unga wa dengu kijiko kimoja kikubwa kwa yai ulopiga hazitapasuka kbsaaaaaaa
Asante sana love
Samahan mpnz nauliza hyo black paper ndy nn labda naijua Kwa jina lingine
Plipl mnga
Asantee
Dania ndo nn
Hadija dear mbona nimetengeneza zimekuwaaa laini sanaaa inawezekana nimekosea Nini...?
Hi kipenzi maybe viazi vyako vyenyewe ni maji sana unaeza kuongezea na chenga za mchele au mkate piece mbili ulizosoak dakika 2 alafu kama maji tumbukiza ndani changanya na ufanye shapes
Unaweza blend mkate kamahutaki kuuroweka
ndio muhimu iwe breadcrumbs
@@HadijaSheban asante siz
Ku mash ndio nini😢
Glam bread,ama yaitwaje jamani???
Sijafahamu swali
Kupika kababu
Soon mpenzi
😋😋😋😋😋😋😋❤❤❤❤❤
Nnzur san
Asante
Zangu nimepika lakini nilikosa Dania nikaeka Nanaa
MashaaAllah nitatry kueka nanaa
@@HadijaSheban Tabarakallah
Tuwekee na maelezo ya vitu unavyotumia.
Ok
Ss kn ile wananyunyuzia unga wa ngano juu kbc ile ina madhara kwan yaan wakitengenez hvyo wanawek unga wa ngano km kunyunyuzia hzo katles then wanachoma
Waeza fanya hivo pia
Jaman mm dada Kam unaona text yangu naomba unijibu jaman mara ya pili napika kachor Zina mumunyika jaman
Pole sana love yaani siezi juwa unakosea wapi niambie unafanyaje huwa
Mbona mafuta yametoa mapovu nimekosea nini?
Pole sana basi mafuta yalikua hayajapata sana myb
Dania ni nini? In English
Coriander leaves
Baki hiyo sura tu
Yaani hot hot hadi nimeisi njaa😋😋😋
Hehee hii ni tamu sanaa thanks
Salaam.Namba yako iko watsapp? Nauliza bread cramps ni toast af ndo nisage au
Salaam yes unafanya hivyo
Kam huna nyam kuku hinafaa
ndio kuku inafaa
Hi, love your videos! We at Kolify would love to work with you! We sent an email with details! Looking forward to your reply!
Thanks will check
Tofauti ya katles na Kababu ni nini maana naona ni kitu kimoja mie ama
Katlesi is mixed with meat and potatoes. Where kebab is meat mixed with a bit of bread they are both delicious and taste very different to each other
𝑺𝒉𝒊𝒅𝒂 𝒊𝒗𝒐 𝒗𝒕𝒖 𝒏𝒂𝒗𝒑𝒕𝒂 𝒘𝒑😂
Vipi
Nishaelewa Dada shida ilikua kutokujua kitu kimoja kina Majina mawili ila ndy iko iko
Samahan dada vipi kuhusu Dania na nanaa ni kitu kimoja au
Maa Shaa Allaah kumbe mapishi yake yanafanana na kababu.
ndio kipenzi
Very nice
❤️❤️❤️
Mashaallah
Tabarakallah
salàm alekum mashallaah