Hi vipenzi kila sehemu kuna bei yake so kuwa makini na mahitaji yako usiende hasara kama sehemu chapati zauzwa 30 wewe pia ingie kwa line bora technique zote uzijuwe..watch video hadi mwisho kwa kutaka kuelewa zaidi.Please Subscribe Shukran sana pia Share upate thawaab❤❤❤❤ Kwa description nimeweka playlist ya Video za Biashara👌 th-cam.com/play/PL0lMsQJd3yDB5YqRtSZUla-Wb9N9XMqd5.html
Somo zuri binafsi Nakushukuru. Ila Dada naomba kunisaidia kwenye kipimo cha mafuta na chumvi kwenye kilo moja napasa kuweka mafuta kiasi gani? Nitashukuru ukinielekeza. Mungu aibariki kazi ya mikono yako.
Zitachambuka tu siku moja mpenzi usife moyo jizoeshe kupumzisha unga wako unapomaliza kukanda pia kwa kukunja hakikisha mikunjo yako wakati unasukuma Kuchoma unakua makini
A s w dada chapati yako nzuri naomba uniambie kwenye kilo tano ya unga natakiwa niweke prestige gram ngapi na kama ni mafuta ya kawaida niweke kiasi gani? nisaidie mamy
Niapenda sana video yako.. Ila mafuta kiasi punguza kwa ukandaji- for business purposes,warm the oil for knitting..... Heko sana kwa hili video.. 💗💗 #women_empowerment
Hi Hadija,asante sana kwa leseni umetupa hapa. At least sahizi nishajuwa jinsi ya kugawa vidonge vya biashara. Just one question, hii #Samli ni mafuta gani, kusema kweli, siifahamu ama inaitwa aje kwa kiingereza?
Hi vipenzi kila sehemu kuna bei yake so kuwa makini na mahitaji yako usiende hasara kama sehemu chapati zauzwa 30 wewe pia ingie kwa line bora technique zote uzijuwe..watch video hadi mwisho kwa kutaka kuelewa zaidi.Please Subscribe Shukran sana pia Share upate thawaab❤❤❤❤
Kwa description nimeweka playlist ya Video za Biashara👌 th-cam.com/play/PL0lMsQJd3yDB5YqRtSZUla-Wb9N9XMqd5.html
Vxjdiflodbmhypdzalif
Wond
Darasa zuri sana. Asante
Mmmmmmmm
❤️❤️❤️❤️❤️
Aki mm niliolewa sikuwa najua kupika but since nianze kuwatch video zako mashaallah nimejifunza mengi Allah akubariki na akuzidishie inshaallah
ameen my love asante sana
Chapati lakini sana na tamu, napenda vile unaeleza Kila kitu hadi faida mtu anapata. Barikiwa sis
Asante sana sis
رائعة يا خديجة.. نصائح تجارية وطبخات لذيذة وتشجع النساء على الإعتماد على انفسهن. كثر الله من امثالك وبارك الله فيك يا اختي .
Like 👍
Looks yummy 😋 😍 😊 great sharing 👏 👍 😀
youtube.com/@khadijaoshan6881
Wewe umenisaidia sana Asante sana kazi nzuri
Karibu sana kipenzi 😍
Tamu Sana hizi thanks for the recipe and ingredients
MashaaAllah nakuaminia dada nimepata ujuziii hassa.nashukuru m.mungu akubarikie kwa kutujuzaa
Ameen yarrabal alameen usisahau kushare kipenzi kwa sote
Somo zuri binafsi Nakushukuru. Ila Dada naomba kunisaidia kwenye kipimo cha mafuta na chumvi kwenye kilo moja napasa kuweka mafuta kiasi gani?
Nitashukuru ukinielekeza.
Mungu aibariki kazi ya mikono yako.
Unaeza kueka 1 cup .. nusu mwanzoni kwa kuchanganya unga na nusu ingine ukiwa ushachanganya unga so jumpa 250ml
Asante kwa Somo chapati hua zinanisumbua kutengeneza sasa nimegain something
karibu sana love
Mashallah nimeelewa sasa Asante Allah akuzidishie nitajaribu maana mm nikipika chapat zina kua ngumu sasa sijui nina fer napi
Karibu sana ukimaliza kupika zifunike mwanzo
Sasa si nataka hizi chapati. Ju nimezimiss sanaa. Weh ni gwiji kwa hii kazi. Zimetokea laini na yakaa tamu. Biashara mzuri kweli
Asante sana sis
Habbty nimejaribu maandazi watoto wameyapenda sana love u habbty Allah akupe kheri za duniani na Akhera ❤
Love you too Allahuma ameen shukran sana
Nafurahi nikiskia hivyo
Ni nzuri sana, upate na maharagwe ya nazi
Shukran sana Dad❤❤❤❤❤
Ma Shaa Allah ukhut upo vinzuri shukran kwa pishi
Karibu Sana Mpenzi ❤❤
@@HadijaSheban shukran
Very very beautiful 🌹
Ziko vizuri
Super ❤️ Hadija unajkujieleza vizuri Sana .Leo nitachoma za kwangu 🙏
Asante sana babes
Samli ndio gani kwa watu wa bara? Asking for myself and 99 others
Ghee
Samli in English ni ghee
Samli ni hvohvo kwa bara Yani ghee
Mashallah nzuri ila m nkifanya mbna azichambuki kama wew
Zitachambuka tu siku moja mpenzi usife moyo jizoeshe kupumzisha unga wako unapomaliza kukanda pia kwa kukunja hakikisha mikunjo yako wakati unasukuma Kuchoma unakua makini
Asante sana da kwa kutuelimisha....
Shukran Dada❤
Shukraan sanaaa dada Allah akubariki.mimi ni mpya hapa kwa chanel yako.
Asante sana kwakuja usisahau kusubscribe kipenzi na kushare tuko pamoja❤❤Allah atubariki sote
Walioko UK jamani samli twapata wapi??? Mm chapati za kukanda na mafuta na tabaki si mambo yangu. Jamani help a sister
Mbna uk mnapata we uliza ghee ukienda dukani
Asantee
Allahu Barik siz, mob love. Here from our WhatsApp group ❤️
Oooooh mwanzo naja huko🤣🤣 kumbe ulisoma menengai thanks for the support mpenzi
Safi sana wapi huko chapati nzuri zauzwa Shilingi ishirini?
Good recipe,hivi hayo mafuta uliyoweka mwanzo kabla hujaanza kukanda ni ya baridi au ya Moto?
Thank you so much baridi tu yaani mafuta ya kawaida kipenzi
@@HadijaSheban asante
Mashallah una roho safi sana mungu akubarik
Ameen yarrabal Alameen kwasote sis 🤲
Honey hadija me ni new sasikiraibu my .nimekupenda ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Nimekupenda pia kipenzi
Asantesana kwakutufundisha kupikachapati laini
Karibu sana
Tanzania mia3 moja
Nice thanks for teaching me
Most Welcome
Defender mwenyewe uyoooo hongeraa
Eeeeh aitwa defenderrr yaani chef 👩🍳 mwenyewe
Maashallah vzr, chapati nzurii
Asante sana dea
Thanks aloot dear... Well done
Most Welcome dear🥰
Asante sana good friend
Jaman dada😢 mbon wanasem ukiwek mafuta mengi chapat zinakuw ngum? Au chapat hazipikwi kwenye gas?
sikiliza video vizuri kipenzi
Masha allah
Tabarakallah
@hadija Sheban,ManshaAllah yummy 😋
Thanks love
A s w dada chapati yako nzuri naomba uniambie kwenye kilo tano ya unga natakiwa niweke prestige gram ngapi na kama ni mafuta ya kawaida niweke kiasi gani? nisaidie mamy
Manshallah ❤️
Tabarakallah
Ubarikiwe sana mama
Aminaaa na wee pia
Mashallah nice sister
Thanks habibty
Kazi nzuri . ....
very very beautiful
Thanks soo much
Mashaallah nice one
Shukran
Asante dadangu
Karibu sana dada
Nakupenda sana Mungu akubariki umenifunza mapishi mengi mno una roho nzuri mno Allah akuweke 💕🥰❤️
Nakupenda pia my love na asante sana kwa duaa ameeen❤️❤️
Basi Hadija..nimetulia ..kwa kuandika chini kila ..step..Hali ndio hii..unga 200 na bado ya panda..
Yaani kila kitu kimepanda wallahi
Chapati laini mzuri sana. Biashara ni kujipanga vilivyo
Lazima kujipanga
Nice
Swali,
Ni ipi ngano bora kwa chapati?
Je, ni azania? Poa? Azam? Au?
Kwakweli hizo unga sijui niza wapi hio azam sio mbaya
Hello
Naona ungutumiya nna ya kupima sio kuambiya watu kwamba haujuwi kupima kuna namna ya kupima na percentages
Shukran
Niapenda sana video yako.. Ila mafuta kiasi punguza kwa ukandaji- for business purposes,warm the oil for knitting..... Heko sana kwa hili video.. 💗💗
#women_empowerment
Thanks soo much sis nimejifunza
Waooh thank you so much 😊 mom kweli still need your help please 😭
Most Welcome msaada gani dear?
@@HadijaSheban gisi yakupeka
@@HadijaSheban na urembo piya mom
My favorite TH-camr so far
Awww thank you sooo much❤❤❤❤Am sooo much happy to hear this be Blessed 🙌
Nimependa sana
Asante sanaa
Dada samahan mbona Mimi huwa nikipika zinatoka ngum haziwi laini nakoseaga wap?
Jaribu kukanda kuanzia mwanzo unga uwe mlaini usiwe mgumu
Sawa asante
Mm Sasa hivi nimeanza kutia hamira angalau inakuwa laini kidogo zamani kitu kaukau😢😢
Thanks dear
karibu sana
Shukran
Afwan❤️
Dada nakubali mungu akulinde😊
Ameen asante sana
Chukrani Sana dada yangu
Karibu sana❤
Hongera Dada kwanza apo kwa kukata na kupaka mafuta 😘😘
Asante Kipenzi
@@HadijaSheban karibu kipenzi 🥰
That chapati it's yammy
Thanks dear❤️
Shukran Ma Sha Allah.😋
Tabarakallah ❤️
Maa Shaa Allah
Tabarakallah
Hongla kpenz ❤anapamban huyu dad🎉🎉🎉
Karibu love kupambana lazima 😘😘
MASHAALLAH
Tabarakallah
Dada. Asante
Thks mom good mentor
My pleasure
Shukran mami
afwan
Mimi napika nipo oman ni mzazibar mpemba huwa nangaliya yutup lakini najuwa toka zamani
Shukran kwa support
@@HadijaSheban shukuran dada kwa kupika chapati nzur mashaalah mungu akuzidishiye
@@kadijahajali3918 Ameen kipenzi
Mashaallah
❤❤❤
Eeeeeeeiiiish 🔥🔥🔥
❤❤❤❤
Asalam alaykum napenda san sister
👍
Mashallaj
🎈🎈🎈
Tabarakallah
Ahsante sana Mwanangu.
Karibu sana mommy
Maashalha tumeelewa
Asante
Nice from tanga
Asante dada please share
Looks sweet
Khadija ingredients please
All purpose flour
Salt
Cooking fat/Cooking oil
Hot water
Kilo moja inatoa chapati ngapi???
inategemea na size hata 8 au 10
Asante kwamafunzo dada
Karibu sana
Mafuta yanatakiwa kuwa ya moto au hata barid unaweza kutumia na kuwa lain?
Mafuta ya kawaida tu
Hello uko Nairobi or mombasa we need to order they're looking yummy
Hi niko Nairobi love dm me pale IG Didashebbs_kitchen
Samli nini
❤
Napenda Sana Chapati Na Supu
Looks nice
Thanks mpenzi
@@HadijaSheban welcome
Barikiwa
Ameen
Asanteeeee🥰🥰
Tuko pamoja❤
Hi Hadija,asante sana kwa leseni umetupa hapa. At least sahizi nishajuwa jinsi ya kugawa vidonge vya biashara. Just one question, hii #Samli ni mafuta gani, kusema kweli, siifahamu ama inaitwa aje kwa kiingereza?
Hi Ritah Samli ni cooking fat kama ile fry mate🥰Thanks soo much
Oh!asante
Oh!asante
Mbona mm nikipika zinakuwa ngumu kiasi chakukatika hasa katika yaani
Unasukuma sana
Naomba namba yako da hadija kwa ajili ya biashara
0720581168 hua nipo busy unielewe
Mashallah
Tabarakallah
Would u consider using English or english subtitles
I will next time
Samahani dada kilomoja unga wa ngano unaweka samli au mafuta y kiasi gani?
Hii niliofanya gawanya love
Wahoo! So nice
Thanks
Samli ni nn na kizungu?
Unaeza kugoogle ama ile cowboy/fry mate kama bado hujafahamu ukienda dukani kwa wasomali ulizia samli yakupimwa.unaishi wap
Nikisema cooking fat umeelewa?
Maashaalla
Mi narewatch nkirewatch😁bado ya maharage sasa, ya biashara🤑
Hayo yana kazi🤣🤣jisufuria lote huku ntampa nani InshaaAllah planning on that
@@HadijaSheban 🤣🤣unafanya atakma nusu, alafu unatuambia tudouble ingredients 🙈...
Likely to hear from u urs most sincere ly H