Upishi ni ubunifu unaweza kutia unachotaka ilimradi kiwe kitamu,kutia sukari kidogo pamoja na chumvi kwenye chapati zinakuwa tamu tena sana au unaweza kutia vanila ile iliyokaa kama sukari.tukumbuke kuwa mchele ni mmoja mapishi ni mengi
@@giftmorgan9753 nlotumia mm inaitwa samli ya aseel ila hizi aseel zipo aina mbil, 1 km hyo yngu ambayo bei yake elf 12 na kuna nyengine kopo lake linakuwa rang ya kijan ambayo iyo ni ghali kdg inaweza kufika ata elf 15
@@asmahtamla4749 hakika kipenz asili yake chumvi na ndo mana nmeweka chumvi nying kuliko sukar, nmweka sukar kdg sana na chumv ndo nying ,karibun zaid ujifunze mapishi zaid na zaid unufaikeeew
@@saidnassor-x4v my furendi usikariri, unaweza kutumia samli ile asil kopo la kijan ambayo ndo best zaid ya hiyo nlotumia na ukatoa chapati pira, hem fata hyo recp yng half tumia ile samli ya kupima uone km hazitokuja laini, step ndo muhim kuliko engridients nlozotumia. Natam wale wanaonifata whsp kunipa hongera kwa kuwap siri ya kutoa chapat nzur waje hapa ili dhana yko iondoke
@fatyscooking8080 hhhhhh nitawapikia keshokutwa tukijaliwa hhhhhh il wan mashob wanringa je salmi mm hukanz mot kidog namaj hufanya ya uvug uvug simot san yakiasi ty
Mimi niliambiwa chapati ukitia sugar husaidia isiungue. Cjui kweli ila mimi cjawahi fanya vipenzi. Ila mpishi sorry iyo culture ya mkononi haitakiwi uvae ukipika Kwa watu wa afya hawaruhusu
@@fatyscooking8080 shukran sana Habibty Allah akulipe khayran nimetoa chapati laini sana kupitia somo lako naomba kujua hiko chuma ni cha dukani au nivile vya kuchonga
Maashallah ❤
Maashaallah umefundisha kwa moyo mmoja allah akubarik
@@TatoOman-s5t amiin kipenz
Maj niyamot au kawaida
masha'Aallah tabaraka Allah
Mashaa ALLAH unafahamisha vzr kabisa
Allah akubarik
@@shamsazahran928 asante sana kipenz
Mashallaw ❤❤❤
@@FatumaRashid-g7n shukran
MashaAllah tabaraka Rahman
@@SaidMgeni shukrn kipenz
Mashallhu❤
Mashallah Mashallah ni fantastic ni jaribu shukran sana
@@naylamohammed266 shukran na ww kipenz
Hongera sana naona chombo kilikuwa kidogo
Thank you..God bless u❤️❤️
@@Asyer-e4q amiin thankc
Mashallah ❤
@@halimaali8732 shukrn dear
Mashallah Mashallah Asante kwa video nzuri ❤
Allah akulipe kheri
Jazakallahul kheyri kitu pambe tuuuuu
@@TumaRashid shukrn dear
Santeee sanaa ubarikiwee
@@FatmaRajab-g3v asant na ww dear
Mashaallah Mashaallah.....kuna kitu nimejifunza hapo
Jazzakallahu kher ❤ thanks
@@bawla90 asante sana kipenz ndo lengo kila mtu ajifunze, huku unapata 1 ,kwengine 1 mpk unafikia lengo
Mashallah chapati pambe😊 Allah akubarik
Shukran dear
Mashaallsh
@@MaryamSaleh-j7o shukran dear
Ni zuri lakini sinakazi tu sana
Maashallah chuma chapat kama hcho nakpataj
@@HannanSultan-i1c mm nipo zanzibar nimennua kwa haji tumbo miaka 6 ilopita
Asnte dad
@@AmiriZuberisalimu asante na ww
Asante dada, umenipa siri adimu sana ambayo sikujua.
@@janewarioba7572 asante sana kipenz
Chapt ukitia shukar nzur sana na mafuta y samli Zanzibar ndo wanavopika
Chapati MaashaAllah 😋
Shukran kipenz
Mashallah
@@AminaMpapula asant
Samli vijiko ngapi
Upishi ni ubunifu unaweza kutia unachotaka ilimradi kiwe kitamu,kutia sukari kidogo pamoja na chumvi kwenye chapati zinakuwa tamu tena sana au unaweza kutia vanila ile iliyokaa kama sukari.tukumbuke kuwa mchele ni mmoja mapishi ni mengi
@@Peace.2018 hakika kipenz, mapishi ubunifu haswaaaa hujakosea laazizi
Kama hujawayi kuweka sukari jaribu upate ladha yake yaani utapenda sana. Usistajabike kwa sukari
Kilo Tatu chapati ngapi
@@ReveniceLengaram-m2n km mm natoa chapat 9 hadi 10 kwenye kila kilo moja, so apo aidha utapata 30 au 27
🎉🎉🎉❤❤❤
@@AshliQueen-v5c 🥰🥰🥰
Samli kiasi gani uliyoyeyusha? Hukusema kiasi cha samli
❤
Ni nzuri kweli, je kwa hizo step ulizotumia hizi chapati ambazo zipo tayari kwa kusukuma ili kupika unaweza kutunza kwa freezer ndani ya siku ngapi?
@@heriethrichard4898 wik 3 mpk 4 kipenz ,muhim ziwepo ktk frizer tuu
Jmn samli au kuna samli zina radha zingne me samli yanishindaa mweenzenu au naweza kukandiaa samli na kupikiaa mafuta ingne?
@@giftmorgan9753 mm nmekandia samli ila kuchomea nmechomea mafuta dear , jarib kubadlisha samli ,samli zipo aina tofaut tofaut huenda ukapata isokukera coz ili chapat iwe nzur lazma ukandie samli
@fatyscooking8080 ahsante kipenz labdaa waezaa nitajiaaa izo ainaa nataka nzuri au kmaa yako n shngp?
@@giftmorgan9753 nlotumia mm inaitwa samli ya aseel ila hizi aseel zipo aina mbil, 1 km hyo yngu ambayo bei yake elf 12 na kuna nyengine kopo lake linakuwa rang ya kijan ambayo iyo ni ghali kdg inaweza kufika ata elf 15
MashaAllah kama huna samuli?
@@uwimanalydia-u2c muhim kutumia samli ktk chapat zako dear, samli ni km nazi ktk wali,
Lazima utie sukar
Samli kiasi gani ikiwa unga kg 1.1/4
@@salmambarouk-e5z vijiko 5 ama 6 vya kulia chakula
Mafuta tia kiasi.
Ila kukanda unga dakika 3 au 4 kweli unga utachanganyika vizuri?
@@roseberryhamoud6542 sanaa unga wa chapat haukandwi dkk nyingi, ukiukanda dkk nying chapat znakuwa ngoz
Asante Sana kwa recipe, Je kama hutumii samli can I opt tumia olive oil au Mafuta yeyote??
Zinakuwa fresh ila ukandaji ndo uzingatie ili zisiwe ngumu ila samli mafuta mazur sana
Kama hutaki sukari j
Tatizo mda😢😂, yaani kila nkaapo nafikiria step ijayo ya chapat😂, mmh
@@mgenisimba5902 🤣🤣🤣ukipika lazma utulie uwe na muda wa kutosha ndo utoe kitu bomba, ukiwa na haraka unaburunga
Hahahahahaha, umenichekesha haki
Samli kiasi gn hukutuambia
ameonyesha inaitwa asil
Jamani pia tupe kipimo cha maji tafadhali
@@Aunty_Nice maji unakisia tu kipenz ,hakikisha unga huutiii maji mengi
Maashaallah,ulisema umetumia unga kilo moja na robo,jee samli uliokandia kwa makisio kiasi gani?
@@MarjanSimai vijiko 6 mpk 7 kipenz vijae
Asante
Samli umeweka kias gan?
@@KhadijaKhadijaagainsalum vijiko 6 ila nmevijaza full sana ndo nikayayusha kwa unga kilo 1 na robokm nlivosem ktk video
Kijiko kikubwa ama kidogo@@fatyscooking8080
Samli kipimo gani?
@@salmambarouk-e5z weka vijiko 5 au 6 dear
pambe Masha Alllah nimesha subcribe ctaki kupitwa 😊
@@najmasalim2606 hahahahhh asante dear
nimevitiwa sana nachapt zak nomba kujua vipimo vyakutia kama unatumia unga nusu kilo
MashAllah. Shukrn hbty. Kama unga kilo moja na nusu natia samli vijiko vingapi habbty?
Yayusha vijiko 8 dear
DADA SUKARINKWA UPENDAVYO WEWE LKN CHAPARI ASILI YAKE NI CHUMVI
@@asmahtamla4749 hakika kipenz asili yake chumvi na ndo mana nmeweka chumvi nying kuliko sukar, nmweka sukar kdg sana na chumv ndo nying ,karibun zaid ujifunze mapishi zaid na zaid unufaikeeew
UNAWEZA KUTIA SUKARI NA CHUMVI ILI KUONGEZA UTAMU WA CHAPATI:
@@bas2823 yah dear ila pia rang ya chapat inakuwa nzur ukiweka sukar ,ukiwa hujaweka sukar chapat znakuwa nyeupe hazipendez
Nimependa na mikate ya Fau delicias
@@NuryaMasoud mizur sana ,recp yake inaeleweka
Huyu anatumia samli asili pia ni sababu ya chapti zake kua laini
@@saidnassor-x4v my furendi usikariri, unaweza kutumia samli ile asil kopo la kijan ambayo ndo best zaid ya hiyo nlotumia na ukatoa chapati pira, hem fata hyo recp yng half tumia ile samli ya kupima uone km hazitokuja laini, step ndo muhim kuliko engridients nlozotumia. Natam wale wanaonifata whsp kunipa hongera kwa kuwap siri ya kutoa chapat nzur waje hapa ili dhana yko iondoke
Hayo marembo mikononi usivae ukipika ni uchafu kwenye chakula
@@pillykinabo8722 swa kipenz sivai tena nmekoma mm
Ngoj namm sik nikipik nitawek skar kidog ila mi awa warab wangu huwek na yai ila ngoj nitawatilia skar
@@AmenaMm-r5t 🤣🤣🤣wabadlishie waarab kdg taste uone km hawatokwambia kila cku upike izo
@fatyscooking8080 hhhhhh nitawapikia keshokutwa tukijaliwa hhhhhh il wan mashob wanringa je salmi mm hukanz mot kidog namaj hufanya ya uvug uvug simot san yakiasi ty
Mashallah lkn kumbe ukitaka kupika chapati inatakikana uzianze toka saa sita mpaka jioni ndio siko tayari 😂
@@MwanakomboChakwe 🤣🤣🤣hapana dear ,ukiziacha kwa dkk 30 kila step hazichukui muda sana mbona , mm hizo nlizifanya sa 9 na nkazichoma uck sa 1
Haki nimecheka😂😂😂
@@VumiliaGLwinga-xb4bc 🤣🤣🤣🤣 haifiki jion bhana jion musiogope
Siyo saa sita,unaanza asubuhi kabisa😂😂😂
,😂
Samahani kwani lazima kutumia samli ya Asil
@@Fauziajumaa84 samlii yyt fata sheria tu
Chapati ukiweka sukari inapunguza kiungulia au gesi tumboni
@@rehema971 anhaa ok shukran nmejifunza k2 kwako ,ckuwa najua ilo mm
Basi chapati hizi ikiwa waitaka kula luchi itabidi uanze asubuhi bc
@@teedullah5708 hakika kipenz ,jiko lataka nafac na utulivu ndo utoe chakula kizur na kitam
Chapati Wana tia hamila?
😂😂😂 ili iumuke iw duvet😂 huwek
Samli huku sema kipimo yake
Upate na maharage apo weee
Chapati haitui Sukari dada, chapati Asili yake ni chumvi Andazi ndio linatiwa Sukari
@@Fauziajumaa84 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣w2 wanatia maziwa unashangaa sukar???? W2 wanatia mtindi unashanga sukar??? Utachelewa sana kujua kupika ww🤣🤣
@@fatyscooking8080Asalam alaykum sasa kama sina samli natumia mafuta lzm yawe moto?
@@Awatee kwa hii recp yng dear lazma utumie samli
@@fatyscooking8080 shukran jazakallahu khairan dear
@@Awatee amiiin kwa sote
Mimi niliambiwa chapati ukitia sugar husaidia isiungue.
Cjui kweli ila mimi cjawahi fanya vipenzi.
Ila mpishi sorry iyo culture ya mkononi haitakiwi uvae ukipika Kwa watu wa afya hawaruhusu
@@Mariam-p9x1x sukar inaongeza ladha na rang nzur ktk chapat yko, haiwi chapati nyeupeeee,inakuwa na rang nzur hv ya brown na unjano kwa mbaaali
@@Mariam-p9x1x sawa ntavua dear
Mashallah
@@FatmaabdallahAbdallah-e3u shukran kipenz
Mashallah
@@KhadijaMwaya shukrn kipenz
@@fatyscooking8080 shukran sana Habibty Allah akulipe khayran nimetoa chapati laini sana kupitia somo lako naomba kujua hiko chuma ni cha dukani au nivile vya kuchonga
@biauntymbaruku4118 asante sana dear ,hicho nilinnua dukan ,kwa haji tumbo miaka 6 iliopita
Mashallah