"Mawazo" Sehemu Ya 1 (Thoughts) Dr Elie VD.Waminian

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2022
  • Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
    Facebook : / gospeltvshow
    Instagram : / chomozanews
    TH-cam : th-cam.com/users/ChomozaTV?su...
    #ChomozaTv#2022
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 47

  • @lameckgunze6376
    @lameckgunze6376 ปีที่แล้ว +12

    Kwamba watu wengi Africa wana akili nyingi kwa sasa lkn akili haitumiki kwa sababu haiaminiki, Nmependa sana hii sentensi

  • @tegemeawilliammsewa1950
    @tegemeawilliammsewa1950 ปีที่แล้ว +2

    WABARIKIWE WAZAZI WAKO, WALIKUPELEKA SHULE, SISI TUNAPOKEA MADIGRII YA MAVYUO BURE. ASANTE.

  • @bulumbambokot.v.4035
    @bulumbambokot.v.4035 ปีที่แล้ว +8

    Mwalimu wangu ninayefuata kila uchao, pamoja na kiswahili chako kama kigumu kwa yule asiyekuwa mtafiti.

  • @lionewstv6333
    @lionewstv6333 ปีที่แล้ว +5

    Ubarikiwe Dr Ellie na Team Chomoza kwa ujumla na CMG, Kama Taifa Tunajiona wenye Bahati kuwa na Mtu Genius kama wewe Dr.
    Mimi binafsi naona Haya maarifa na Elimu ni Adimu sana kuyapata popote. Hakika mnatufungulia Dunia

  • @jelemialukas9322
    @jelemialukas9322 ปีที่แล้ว +4

    Napenda jinsi Jimmy na Sam wanavyokuwa makini kusikiliza ,ni kama sisi tunavyofatilia mafundisho ya Baba Dr elie

  • @chancekambale3498
    @chancekambale3498 ปีที่แล้ว +6

    Dr.Elie you've changed my mind
    Now I love the life I live may God bless you and team Chomoza 🎉🎉🎉

  • @pendomwaiteleke1636
    @pendomwaiteleke1636 ปีที่แล้ว +4

    Mungu kupitia Hilo SOMO nisaide kujua wazo langu kusudi langu nakuomba Mungu😭

  • @ezekielmayera480
    @ezekielmayera480 ปีที่แล้ว +5

    Chochote unacho kiwekea taswira kipo kabisaa real ahsante team chomoza kwa wazo jipya we love you Dr Ellie vd waminian

  • @isackmndeme3628
    @isackmndeme3628 ปีที่แล้ว +2

    Amina! hakika MUNGU ana vipawa vya ajabu alivyo wapa watu wake

  • @silverman6930
    @silverman6930 ปีที่แล้ว +2

    Dr you never aged , your truly blessed , thanks for sharing your wisdom 🇬🇧🇬🇧❤

  • @boniphace1
    @boniphace1 ปีที่แล้ว +2

    Dr. Elie tuna nufaika na elimu yako TZ. Proud of you, big time.

  • @linnetmbotto7212
    @linnetmbotto7212 ปีที่แล้ว +3

    Naomba uandike ‘an audio book’ Dr Elly

  • @kevinmtei1457
    @kevinmtei1457 ปีที่แล้ว +1

    Somo nyeti sana,be blessed dr and team chomoza

  • @geraldjoel5727
    @geraldjoel5727 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana doctor unatujenga

  • @ruthn9381
    @ruthn9381 ปีที่แล้ว

    Thanks Dr. Elie. We are blessed to have this platform and more so, for finding time to be of service to us.

  • @poliamgunda
    @poliamgunda ปีที่แล้ว

    Tuko pamoja chomoza na Dr Ellie Mungu ambariki sana

  • @tegemeawilliammsewa1950
    @tegemeawilliammsewa1950 ปีที่แล้ว

    Namshukuru Mungu kwaajili ya uwepo wenu.

  • @leylagadau3394
    @leylagadau3394 ปีที่แล้ว

    Mungu awe na Dr Ellie

  • @prospermuhochi8576
    @prospermuhochi8576 ปีที่แล้ว +1

    We are blessed 🙏🙏🙏

  • @isackmndeme3628
    @isackmndeme3628 ปีที่แล้ว

    Amina!! hakika MUNGU ana via vya ajabu alivyo wwpa watu

  • @hamidafundi-pw1gw
    @hamidafundi-pw1gw ปีที่แล้ว

    Asante chomoza.

  • @tumusiimeomukama3151
    @tumusiimeomukama3151 ปีที่แล้ว

    You have postive mind.

  • @user-cf3iu8we8n
    @user-cf3iu8we8n 7 หลายเดือนก่อน

    Ameni

  • @aishavogelmann5021
    @aishavogelmann5021 ปีที่แล้ว +2

    Mola awape maisha marefu muzidi kutuelemisha ....likewise Happy Christmas & Happy New year in advance 🙏🙏🙏🙏mubarikiwe mpaka mushagae

  • @veenahr7683
    @veenahr7683 ปีที่แล้ว

    Knowing your Life purpose👌👌👌

  • @mosesfrancis3946
    @mosesfrancis3946 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @kimambaofficial4294
    @kimambaofficial4294 ปีที่แล้ว

    Respect baba

  • @yusuphmusa5417
    @yusuphmusa5417 ปีที่แล้ว

    heri ya merry Christmas chomoza family twawapenda

  • @tegemeawilliammsewa1950
    @tegemeawilliammsewa1950 ปีที่แล้ว

    SOMO LA THAMANI NA MHIMU SANA. ASANTE SANA

  • @gracedismas1108
    @gracedismas1108 ปีที่แล้ว

    ❤❤

  • @suzannebucyanayandi630
    @suzannebucyanayandi630 ปีที่แล้ว

    Merry Christmas Dr. Elie and Team chomoza,

  • @kingboss25
    @kingboss25 ปีที่แล้ว

    ❤️

  • @emtv9675
    @emtv9675 ปีที่แล้ว

    Babaaaaaa

  • @kingboss25
    @kingboss25 ปีที่แล้ว

    🙏

  • @daudiissa9256
    @daudiissa9256 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe kunatofauti kati ya mimi na mie

  • @mbelyterry1584
    @mbelyterry1584 ปีที่แล้ว

    Dt anamambo menge yakutufunza ila nyiye mnamkatatiza mapema angalawi muwe mnampa masaa 2 ili atufundishe mengi zaidi

  • @justineemanuel127
    @justineemanuel127 ปีที่แล้ว

    Nipo nje ya kusudi/wazo…😢
    Naamini nitalifikia kusudi/wazo…

  • @RUCKY_
    @RUCKY_ ปีที่แล้ว

    Safiii

  • @philbertmtalo2156
    @philbertmtalo2156 ปีที่แล้ว

    White boy and black boy

  • @lameckgunze6376
    @lameckgunze6376 ปีที่แล้ว

    Sema ww mwamba unakwepa kwepa sana kwenye dini Apo, siri unaijua nmekumbuka umesema wote ni wanafiki naww bila shaka ni mnafiki pia, ww ndo umesema mimi nmenunkuu tu

  • @rainflextheplug
    @rainflextheplug ปีที่แล้ว

    Unakumbuka usichotaka kujua?! 🤔

  • @ezekielmayera480
    @ezekielmayera480 ปีที่แล้ว

    Chochote unacho kiwekea taswira kipo kabisaa real ahsante team chomoza kwa wazo jipya we love you Dr Ellie vd waminian

  • @kingboss25
    @kingboss25 ปีที่แล้ว

    ❤️