Chaguo (The Choice) Dr Ellie Wa Minian No 4

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024
  • Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
    Facebook : / gospeltvshow
    Instagram : / chomozanews
    TH-cam : www.youtube.com...
    #ChomozaTv#2021

ความคิดเห็น • 28

  • @hamidafundi5890
    @hamidafundi5890 2 ปีที่แล้ว +12

    Cosmos, ulimwengu kwa yote na vyote. Usishindane, usijilinganishe na mwingine. Chaguo ni uamuzi, ni ridhaa ni kukubali na kuamini. Utachagua ipasavyo. Ni vigumu mno kujikubali, ili ujikubali toa kibali kwa wengine mfano:- uruhusu watu wale nyumbani kwako n.k. Kuwakubali wanaokuzunguuka .Asante Chomoza Pongezi kwa Dr Elly nimejifunza 🙏.

  • @christinen8291
    @christinen8291 2 ปีที่แล้ว +3

    Barikiwa sana papa,unanijenga sana.
    Mungu akupe Maisha malefu na baraka kwa famille yako yote papa.tunakupenda

  • @markkenneth3937
    @markkenneth3937 2 ปีที่แล้ว +1

    Dr Elly ume kua msaada kwangu kupitia mafunzo yako umepatilisha maisha yangu kwa ubana

  • @jumakitia5244
    @jumakitia5244 2 ปีที่แล้ว

    Hello! Ninakiri kuwa Dr. Ellie ni very special motivation speaker ambaye anabadilisha maisha ya mtu moja kwa moja kwa asilimia 75%. Ninaomba kama Dr. Ameandika kitabu nisaidiwe kuelekezwa jinsi ya kukipata. Pia kama kuna semina za moja kwa moja naomba nisaidiwe jinsi ya kuhudhuria.

  • @mosesbwanga8499
    @mosesbwanga8499 2 ปีที่แล้ว

    Jimmy kanini haukusema na wa zambia wajifunze kwa hilo somo bwana ...... mimi ni mzambia na ni mfwasi wa chomoza

  • @immajuzo2440
    @immajuzo2440 2 ปีที่แล้ว +3

    Akili ndogo kamwe haiwez kuelewa haya mambo thiz is real life haya huwez yapata shulen ni neema tu. Shulen unakuta nationalism na logalithm

  • @rittaaziz4470
    @rittaaziz4470 ปีที่แล้ว

    GOD BLESS U DR ELIE.⚘

  • @mjedengwapoizon8726
    @mjedengwapoizon8726 2 ปีที่แล้ว +1

    Hapo mwishoni DR ...umepigilia msumari wa nch 24 . Asante kwa darasa Huru

  • @esnathmbuni8555
    @esnathmbuni8555 2 ปีที่แล้ว

    Nawaelewa sana jamani Mungu awabariki sana

  • @dastanhengama
    @dastanhengama 2 ปีที่แล้ว +1

    Hivyo Safi akifundisha mnatupia mtandaon, màana wengine tunakuwa tunajianda kuingia church.

  • @georgebarongo8979
    @georgebarongo8979 2 ปีที่แล้ว +1

    You are Good Dr Elli waminian. Unaigusa dunia na viumbe vyake. Unauwezo hakika.

  • @dhulkiflali2966
    @dhulkiflali2966 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Mashallah dr ellie

  • @kevinmtei1457
    @kevinmtei1457 2 ปีที่แล้ว +1

    Im proud to be your student

  • @neemamagoti1069
    @neemamagoti1069 2 ปีที่แล้ว +1

    God bless you Dr Ellie

  • @deborabayo5845
    @deborabayo5845 2 ปีที่แล้ว

    Mimi niwapongeze sanaaa, chomoza kwa maspmp haya,, swali langi Ni Mambo yanakosewa mantiki yake kivip

  • @leotzatv8236
    @leotzatv8236 2 ปีที่แล้ว

    Kongole sana dk Ellie kwa mafundisho mazuri Mungu azidi kukubariki

  • @mjroyaltz8322
    @mjroyaltz8322 2 ปีที่แล้ว

    Twawapenda Daima🙏🙏🙏

  • @Filmz639
    @Filmz639 2 ปีที่แล้ว

    Mimi natoka Burundi nawafata kutoka Sweden

  • @aminakupila3079
    @aminakupila3079 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana timu Chomoza☝️🙏🙏🙏🙏

  • @nevagasmsamba5060
    @nevagasmsamba5060 2 ปีที่แล้ว

    Hongereni kwa kazi nzur ya Mungu

  • @praygodmass7809
    @praygodmass7809 2 ปีที่แล้ว

    Shida ya somo ni fupi 😔, Mungu awape kibali tupate mda zaid

  • @aristidessaristarck3494
    @aristidessaristarck3494 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana Doctor

  • @geoffreyluvanda7801
    @geoffreyluvanda7801 2 ปีที่แล้ว

    That's true nivigumu mno kujikubari

  • @dastanhengama
    @dastanhengama 2 ปีที่แล้ว

    Hakika anajua màana sisi tunao msikia ndo tunoa msifia, Kama alivyo sema mtu haiwezi kjisifia hakika ni Mwalimu.

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 2 ปีที่แล้ว

    Unajimu

  • @mwamin06luttu99
    @mwamin06luttu99 2 ปีที่แล้ว

    Wewe ni wathamani

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 2 ปีที่แล้ว

    Unajimu wa nyota au malezi ya nyota

  • @gshbnz4368
    @gshbnz4368 2 ปีที่แล้ว

    🙏❤️🤝