"Mawazo" Sehemu Ya 57 (Thoughts) Dr Elie VD.Waminia.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024
  • Kwa MaonI, Ushauri Wasiliana Nasi Kwa Simu Namba (0747-744744 CHOMOZA MEDIA LIMITED) Au Kwa Barua Pepe Email. chomozamaoni@gmail.com
    Pia Unaweza Kutufatilia Facebook @ChomozaTV Na Istagram @chomozanews TikTok ChomozaTV
    Mungu Wetu Wa Mbiguni Akubariki......Endelea Kujifunza Na Kushare Mafundisho Haya Kwa Rafiki Na Nduguzo
    Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
    Facebook : / gospeltvshow
    Instagram : / chomozanews
    TH-cam : www.youtube.com...
    #ChomozaTv#2024
    🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 22

  • @mussahajihassan2580
    @mussahajihassan2580 3 หลายเดือนก่อน +5

    Ubongo tiririka!
    Hafelishaji watu Dr. Balaa❤

  • @NabsonKifuge
    @NabsonKifuge 3 หลายเดือนก่อน +6

    Umenifanya kuwa mpya kuhusu somo hili la furaha nimesahau mpaka mapito yangu Mungu wetu akutunze Dr Ellie na timu nzima ya chomoza

  • @edwinkimambo9473
    @edwinkimambo9473 3 หลายเดือนก่อน +4

    Nimechelewa Leo class daa nondo juyanondo hongera doctor

  • @enockmpagike7607
    @enockmpagike7607 3 หลายเดือนก่อน +3

    Asante sana Dr Elie ni miaka sasa nimekuwa imara sana kwenye maisha kupitia hiki kipindi mungu awape afya daima ili tuzidi elimika daima na kuwa furaha, Nachojivunia nilishawahi kukutanaa nawe uso kwa uso🙏 Asante mungu💪

  • @jerrydenis7165
    @jerrydenis7165 3 หลายเดือนก่อน +4

    doctor umenikomboa sana nimebadilika hadi nashangaa nawaona watu ndani nje uongo nauona waziwazi kweli watu wengi tu wasanii na wanafiki lakini mbona kama nakumbwa na upweke hayupo wa kufanana na mm ila najilazimisha kukaa nao

  • @hamidafundi-pw1gw
    @hamidafundi-pw1gw 3 หลายเดือนก่อน +3

    Furaha ni matokeo ya (JOY) JOY ni hali ya tabasamu kama vile mtoto mchanga ndani ya mtu milele Furaha ni matokeo ya JOY. HAKI, AMANI. HAKI ni balance kati ya mema na mabaya.AMANI ni mazingira ya utulivu. ❤🎉 Nimejifunza ,asante Chomoza. Pongezi Dr Ellie .Nimejifunza.

  • @ebonybhoke5321
    @ebonybhoke5321 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kweli Dr Ellie wewe unagusa sana maisha ya watu , kuna mafundisho uako yamebadilisha sana maisha yangu haswa lile somo la mkao wa mwanamke ktk ndoa,sasa ndoa ina furaha sana,barikiwa dr Ellie

  • @ShakiraMussa-yr2hj
    @ShakiraMussa-yr2hj 3 หลายเดือนก่อน +4

    Leo nimekuwa WA kwanza ...kukoment...huu ndio umuhim WA kusubscribe et

  • @IgnasJohn-sv4vn
    @IgnasJohn-sv4vn 3 หลายเดือนก่อน +2

    Docta we nizaidi ya shule.

  • @ShakiraMussa-yr2hj
    @ShakiraMussa-yr2hj 3 หลายเดือนก่อน +4

    Leo ninekuwa WA kwanza

  • @erastoleonard1124
    @erastoleonard1124 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu azidi kukutumia bab yetu dr elie

  • @subirasamson4242
    @subirasamson4242 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tunafurahi kuona mkitusaidia ku upload mapema..asanteni

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 2 หลายเดือนก่อน

    Daaaaah Asante sana studio

  • @user-ly5gd2zc7u
    @user-ly5gd2zc7u 3 หลายเดือนก่อน +1

    😊❤

  • @allymlagha8384
    @allymlagha8384 3 หลายเดือนก่อน +1

    knowledge iko deep sana hii

  • @gracelyimo6256
    @gracelyimo6256 3 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana doctor Elie

  • @josephatyunga202
    @josephatyunga202 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki Dr,

  • @ShakiraMussa-yr2hj
    @ShakiraMussa-yr2hj 3 หลายเดือนก่อน +2

    Muda WA kulisha ubongo

  • @simpozeboy9490
    @simpozeboy9490 3 หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥

  • @user-tu8se3oo7u
    @user-tu8se3oo7u 3 หลายเดือนก่อน +1

    🙏

  • @ishemwabulayusuph5418
    @ishemwabulayusuph5418 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nipo mapema darasani tayari

  • @user-kx8ki9ct6h
    @user-kx8ki9ct6h 3 หลายเดือนก่อน

    Kila siku nawaza kujiuwa niki angalia kipindi napata moyo lakini naada ya mda na kata tamaa tena sijui nakosea wapi