SIRI YA GHARAMA YA NYANYA KUPANDA YAFICHUKA, DAWA ASILIA ZAHUSISHWA!!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 40

  • @JONASMGOGOSI
    @JONASMGOGOSI หลายเดือนก่อน

    Dr Garus msekwa..... Rispect

  • @LeonardSanga-zn5pn
    @LeonardSanga-zn5pn 7 หลายเดือนก่อน

    Safi sana mzee

  • @asiajuma8330
    @asiajuma8330 5 ปีที่แล้ว +2

    Clouds mko juu 👐

  • @philipomapingula2223
    @philipomapingula2223 9 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba niunganishwe na huyu mtuu

  • @mcyudasicqo9610
    @mcyudasicqo9610 5 ปีที่แล้ว +2

    Mzeee yupo vzr ,,,ila mtaji lazima uweee na mtajiii wanguvu

    • @emanuelmwanga4
      @emanuelmwanga4 4 ปีที่แล้ว

      Hii kitu achana nayo yan ikiamua kukupiga utajuta kuzaliwa

  • @justinmganiwa2790
    @justinmganiwa2790 5 ปีที่แล้ว +1

    Iringa tanangoz .....galusy msekwa

  • @galusimsekwa9536
    @galusimsekwa9536 ปีที่แล้ว +1

    Naitwa galusi msekwa nipo iringa tanangozi karibu sana iringa kilimo ni biashara

    • @tumainirwela6488
      @tumainirwela6488 ปีที่แล้ว

      Naomba namba yako ya simu niko Dodoma

    • @eyoboboytzeyobo1187
      @eyoboboytzeyobo1187 9 หลายเดือนก่อน

      Naomba namba yako mr msekwa

    • @JamesGwanko
      @JamesGwanko 9 หลายเดือนก่อน

      Naomba naomba yako kiongozi

    • @JamesGwanko
      @JamesGwanko 9 หลายเดือนก่อน

      Metaalam naomba naomba yako

  • @paschalrhobi654
    @paschalrhobi654 9 หลายเดือนก่อน +1

    R.I.P Gardner

  • @tumainirwela6488
    @tumainirwela6488 ปีที่แล้ว

    Naomba mawasiliano yake

  • @paulebby1552
    @paulebby1552 5 ปีที่แล้ว +2

    Kilimo ni hela

  • @ZubedaAbdallah-s5p
    @ZubedaAbdallah-s5p 9 หลายเดือนก่อน

    Habari naomba no yako

  • @donathageorge6551
    @donathageorge6551 5 ปีที่แล้ว +3

    Yani baba ana akili sana ni kweli tunapenda kuigana yani sahivi kila mtu anataka kupika cake

  • @FrankiMagagura
    @FrankiMagagura ปีที่แล้ว

    Ndugu mkulima aina gani ya nyanya uyoilima?

  • @mosesmnyantope9534
    @mosesmnyantope9534 ปีที่แล้ว

    Mm

  • @denissanga454
    @denissanga454 5 ปีที่แล้ว +1

    yuko vizur

  • @justinmganiwa2790
    @justinmganiwa2790 5 ปีที่แล้ว

    Mzeeee ana pesaa iringa balaaa uyo galus msekwa

  • @mussasadick770
    @mussasadick770 ปีที่แล้ว

    Elimu Kwa wakulima zitolewe ili kupunguza gharama na kuongeza mazao kwenye eneo dogo

  • @rizikiramadhani7986
    @rizikiramadhani7986 2 ปีที่แล้ว

    Mkulima naomba unijulishe kuwa hii ni mbegu gani?

  • @alexmatasi3595
    @alexmatasi3595 3 ปีที่แล้ว

    Aina ya nyanya?

  • @herrymardaimallya2966
    @herrymardaimallya2966 5 ปีที่แล้ว +1

    Safii sanaa

    • @herrymardaimallya2966
      @herrymardaimallya2966 5 ปีที่แล้ว +1

      Maisha yanatembea na baati pia huyo mzee hii ni baati yake pamoja na juhudi,hii biashsra ya kilimo cha nyanya huwaga ningumu sanaa ,kunakipindi zinakutana sokoni,tenga unakuta ni elfu mbili tena kwakuombea yaani,leo hiii mzee anauza tenga elfu themaninii doooh kweli hiyo ni Biko fuluu

    • @emanuelmwanga4
      @emanuelmwanga4 4 ปีที่แล้ว +2

      Kiukweli kilimo kinalipa mimi mwenyewe Nina heka moja nategemea kuanza kuchuma wiki mbili zijazo vijan amkeni

    • @graceclinton5303
      @graceclinton5303 4 ปีที่แล้ว +2

      Natamani sn kilimo br

  • @abubakariabdallah9347
    @abubakariabdallah9347 5 ปีที่แล้ว +4

    naweza kupata number ya huyu mzee

    • @twaribungimba9133
      @twaribungimba9133 5 ปีที่แล้ว +2

      abubakari abdallah ww usione ivo hiki kilimo unaweza ukafa kabla ya xiku zako maana Leo unao bei kubwa hebu kama unataka kufanya hii ixhu Fanya kwaza uchunguzi wakina

    • @sallyommy2662
      @sallyommy2662 4 ปีที่แล้ว +1

      Mi ninayo nikupe!?

    • @SH-kc2uz
      @SH-kc2uz 4 ปีที่แล้ว

      @@sallyommy2662 naomba unipe namba, na nitakushurani sana

    • @galusimsekwa9536
      @galusimsekwa9536 3 ปีที่แล้ว +1

      0754304008

    • @kalumangachannel4760
      @kalumangachannel4760 ปีที่แล้ว +1

      @@sallyommy2662 naomba namba ya mkulima huyuuuu

  • @yugakiyumbi9909
    @yugakiyumbi9909 4 ปีที่แล้ว +2

    Clouds naomba mje bukoba na Mimi nalima nyanya Nina shamba kama la huyo mzee. Kila kitu 0757389060

  • @twaribungimba9133
    @twaribungimba9133 5 ปีที่แล้ว +1

    uko xehemu gani

    • @abubakariabdallah9347
      @abubakariabdallah9347 5 ปีที่แล้ว

      nipo dar me naitaji nimpte nijifunze kwa kipindi anachofanya maandalizi hadi kufikia kuvuna hzo nyanya

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 5 ปีที่แล้ว

    Anaye jaribu kuelewa hiyo text hapo alafu anajua kinge si kinge yaani ni googletransletionsvoice 🤣🤣🤣

  • @justinmganiwa2790
    @justinmganiwa2790 5 ปีที่แล้ว +2

    Mzeeee ana pesaa iringa balaaa uyo galus msekwa