KAA HAPA SE01 EP27 FULL SHOW | KILIMO CHA NYANYA SEHEMU YA PILI | SHAMBA DARASA MKURANGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • Shamba darasa, mafunzo ya kilimo.
    #East-West Seed Tanzania #KaaHapaSe01

ความคิดเห็น • 24

  • @shebbyelphonce8514
    @shebbyelphonce8514 7 หลายเดือนก่อน

    Bro mh! Ase its amazing

  • @josephnchunga1247
    @josephnchunga1247 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana mrisho mpoto unafanya vyema sana tz ya viwanda inawezekana

  • @jacksonmkuye7739
    @jacksonmkuye7739 4 ปีที่แล้ว +2

    Hahaha waliogundua milioni 50 zinamdrive crazy mjomba gonga like twende sawa.

  • @dicksonkahesya4442
    @dicksonkahesya4442 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana mjomba. Shida hapa ninamna ya kuanza ndio issue, samahani na udongo nitaujua au kuna viashiria gani vya udongo, Naomba kujua kama mna vitabu vinapaatikana ili nijue jinsi kwenda na vipimo.

  • @narggdhdv765
    @narggdhdv765 ปีที่แล้ว

    Hongera naomba kujuwa.kuhusu gharama.kuanzia mwanzo mpaka mwishoo .kwasababu unapoingia lzma uwe na kiasi flani.nakilimo huwzi lim pekee yako.nahitaji kujuwa.robo heka shgp nusu heka shgp na hekaa shgp please.

  • @irakozeericcardin1714
    @irakozeericcardin1714 ปีที่แล้ว

    Burundi nakufuatilia 🇧🇮

  • @emmamarijani6657
    @emmamarijani6657 2 ปีที่แล้ว

    Mtaalam naomba msaada nataka kulima nyanya

  • @shebbyelphonce8514
    @shebbyelphonce8514 7 หลายเดือนก่อน

    Bro ukisema una degree haswaa una degree 🎉

  • @johnmwangove9928
    @johnmwangove9928 4 ปีที่แล้ว +2

    Cooper it's for fungus not for bacteria

  • @alivuai3286
    @alivuai3286 4 ปีที่แล้ว

    Ushauri wangu tunaomba utuandikie hizo dawa kwenye box yako hapo

  • @kulwamadaha3190
    @kulwamadaha3190 4 ปีที่แล้ว

    Mjomba izo pipe unazo tumia kumwagilizia rola moja wanauza shingapi na zinapatikana wapi na inakuwa na urefu wamita ngapi asante

  • @emanuelmwanga4
    @emanuelmwanga4 4 ปีที่แล้ว +1

    Nikiangalia nyanya inanipa kichaa nililima mwaka Jana nikakutana na hiyo bei ya themanini kreti shambni nusu heka nikapasua milioni themanin upuuzi nilioufanya nikauwa million ishirini nimelima maharage hekari sitini mvua ikabeba

    • @chizagaudence541
      @chizagaudence541 4 ปีที่แล้ว

      Ulitumia gharama gan kwa nusu ekar mpk kuvuna mkuu

    • @emanuelmwanga4
      @emanuelmwanga4 4 ปีที่แล้ว +2

      @@chizagaudence541 nilitumia milioni mbili kama na laki Tisa Ila Mimi sikutumia upandaji wa kitaalamu kupanda kitaalamu kuna faida ila miche huingia michache sana yan unakuta mfano MTU kwenye robo eka kapanda miche mia Mimi kwa upandaji wangu ni miambili na nyanya inataga kinoma Ila faida ya upandaji wa kisasa ni kwamba hata ikitokea mvua imenyesha kubwa maji yakatuama nyanya haitaoza kwasababu matunda yako juu

    • @chizagaudence541
      @chizagaudence541 4 ปีที่แล้ว

      Inaonekana kipindi Cha masika Kuna changamoto ya ukuzaji wa mimea Ila ukimudu Bei huwa ni nzuri

    • @emanuelmwanga4
      @emanuelmwanga4 4 ปีที่แล้ว +1

      @@chizagaudence541 ni kama iko ivi APA nimesia mbegu ya kusambaza mwezi wa kumi alafu wa kumi nasia tena ya kusambaza wa kumi na moja kama mvua itakuwa kubwa kuna kuwa na uhakika wa kukutana na bei mwezi wa kwanza na kuendelea ila nalima kwa utaalamu make mvua inaletaga noma

    • @chizagaudence541
      @chizagaudence541 4 ปีที่แล้ว +1

      Mungu abariki kaz ya mikono yako mkuu