KAA HAPA SE01 EP25 FULL SHOW | KILIMO CHA NYANYA NA TIKITI SEHEMU YA KWANZA | SHAMBA DARASA MKURANGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 19

  • @cosmaslunyembeleka251
    @cosmaslunyembeleka251 ปีที่แล้ว +2

    Mrisho Mpoto Ni mkulima ninayemuamini maana kauli zake hazina utata ziko wazi asilimia 💯
    Niko mbioni najipanga ntamtafuta kwa kweli

  • @neemamichael9531
    @neemamichael9531 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimependa sana naitaji kuji unga kwenye mradi uo

  • @florencecoster5769
    @florencecoster5769 5 ปีที่แล้ว +4

    Safi ,somo zuri

  • @vedastusgodfrey5186
    @vedastusgodfrey5186 2 ปีที่แล้ว +1

    Agricultural is backbone of owner economy

  • @astonswai798
    @astonswai798 4 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana!

  • @paschaljoseph4419
    @paschaljoseph4419 2 ปีที่แล้ว

    Naomba no ya huyu mtaalam niweze kimtumia

  • @trudatemba6844
    @trudatemba6844 5 ปีที่แล้ว +3

    East West Seed mkombozi kwa wakulima wadogo wadogo. Mbegu bora kwa mapato mazuri. Where quality meets the farmer👍

  • @xhaxgerald1836
    @xhaxgerald1836 4 ปีที่แล้ว +3

    Somo la chokaa sijaelewa jamn

  • @johnmwangove9928
    @johnmwangove9928 4 ปีที่แล้ว +2

    Safi saana ila naomba ufafanuzi umuhimu wa Mbolea Ya calsiaum nitrate

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 3 ปีที่แล้ว

    Asante baba somo zuuuuriiiii

  • @husseinkombomwachikobe8828
    @husseinkombomwachikobe8828 2 ปีที่แล้ว

    Nahitaji.shamba.darasa

  • @milemo604
    @milemo604 5 ปีที่แล้ว +2

    Nakwelewaga sana.

    • @godfreymushi6966
      @godfreymushi6966 4 ปีที่แล้ว

      Jamani hizo chemical unanitumia anajuwa kwamba ni sumu mbaya kwa miili yetu wenzetu wanajaribu kulima bila dawa nyiye mnashauri nitumie dawa .kupanda .kukuzia. kuzuia wadudu hizo zote ni chemical ambazo ni nomaaaa kwa binadamu Lima Asilia bana

  • @josephissara3599
    @josephissara3599 4 หลายเดือนก่อน

    Je nyanya inaweza kupandwa katika shamba la tambarare?au ni lazima matuta?

  • @Papaahansmo
    @Papaahansmo 3 ปีที่แล้ว

    Naomba namba kwa mahitaji ya mbegu please