Masoko mara nyingi yanatesa wakulima .wanapambana na matapeli shambani wala siyo wateja.serikali naiomba isaidie fulsa ya kuwajuwa wakulima ili kuwatafutia soko
Mimi ni mkulima ambaye nimeanza kulima mwaka huu wa 2023 kilimo hichi cha tikiti na ninategemea mvua ,kwani shamba langu halipo kwenye mto huku kuna changamoto ya ukame ..nimeshauriwa na mkulima mwenzangu kuwa nitumie Super Glo ,je ni sahii kuitumia hiyo Super Glo kwenye tikiti zangu asante
Kaka napenda sana kulima nitumie namba yako kwa msaada zaid
Safi sana kazi hii nimeipenda
Masoko mara nyingi yanatesa wakulima .wanapambana na matapeli shambani wala siyo wateja.serikali naiomba isaidie fulsa ya kuwajuwa wakulima ili kuwatafutia soko
Mimi ni mkulima ambaye nimeanza kulima mwaka huu wa 2023 kilimo hichi cha tikiti na ninategemea mvua ,kwani shamba langu halipo kwenye mto huku kuna changamoto ya ukame ..nimeshauriwa na mkulima mwenzangu kuwa nitumie Super Glo ,je ni sahii kuitumia hiyo Super Glo kwenye tikiti zangu asante
Asante kwa elimu
Nimekuelewa sana
Shule nzuri sana.
Asantee kwa somo nzr, naomba kujua msimu mzr wa kuandaa shamba ni mwez gani? Ili kuuza kwa bei nzr?
Mbegu nzuliniipi na unapandaje iliupate Matunda mazuli
Lakini mbona kama hiloshamba halijastawivzuri naonatikti nichache sijui kamautatoboa
Safi sana
Tunaomba namba mtusaidie zaidi kama tukikwama
❤
ni aina gani ya mbegu hiyo??
Je umwagiliaji wa jioni unatakiwa uwe kuanzia sangapi hadi sangapi?
Nimefrahi mafunzo mazuri
15:40 15:42 15:43
Je tikiti linaweza kulimwa kwenye kitalu nyumba( screen house)?
Green house
@@davidluangisa4515wewe ulichosema ndo makosa, siyo "green house"....usahihi Ni "screen house"...
Sasa tatiso lenu hamweki mawasiliono
U should add sub titles in english.What variety of watermelon is this?
Mjomba unaakil sana unakuta mtu ety simu ml 3 alafu huna mtaji nyoooh uza simu iyo
Je tikiti laweza kulimwa mikoa ya pwani
Ndio mimi nalima Mkuranga na Rufiji
@@mohammedsururu4047 kwema nduguyangu
@@mohammedsururu4047 nahitaji sana kulima hiki kilimo
Safi sana
Safi sana