Kijana Apashwa Tohara Ya Kitamaduni Kawangware
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ส.ค. 2014
- Jamii ya waluhya ni mojawapo ya jamii za humu nchini zinazoenzi mno utamaduni wa upashanaji tohara kwa wavulana. Kila baada ya miaka miwili, miezi ya Agosti na Desemba wakati wanafunzi huwa likizoni, huashiria mwanzo wa msimu wa tohara katika jamii hii. Ukidhani wanaoshikilia mila hii ni wale walio mashinani pekee, umekosea. Leo tunakuletea taarifa inayoonyesha kuwa katika jamii hii, mila ni mila haijalishi inafanyikia wapi. Familia moja inayoishi mtaa wa Kawangware hapa Nairobi imeonyesha wananairobi kuwa muacha mila ni mtumwa kwa kuandaa sherehe ya kitamaduni ya kupasha mtoto wao tohara hapa nairobi. Mwanahabari wetu patrick injendi amekuwa akifuatilia sherehe hii kwa siku kadhaa na hii hapa taarifa hiyo kwa kina.
👏🏾👏🏾👏🏾 well done boy. Ulionyesha dunia yote where we come from.
MASHAA ALLAH limengenga hilo
mmhh vizuri
well covered and edited
Pole msinde
I like culture. This is beautiful.
Silly culture
Karibu pungoma
Upuzi
Beautiful culture kitu gani,degrading the dignity of the boychild,wajinga nyinyi
Cute Lady kitu gani
pole aki
Uchi woooooi
Waau, uyo ndie mwanaume 💪💪💪
Kabisaaaaa
The best culture
True point
Jesus my babies are born of different cultures this no more please waahh
Mahali tutokako na mahali tuendako 😂😂
Accent ya ngariba imenbamba sana
Better hospital this is a thing of the 18th century
Ghai
Mahali nimetokako, na mahali niendakako
Where is Hon.Sifuna.
Mahali tukako na mahali kuendako
Hahaha ati bora akue uji
knife ouch
Awesome but the knives oohh no
😅😅😅 hatunanga hofu na hio, cha muhimu mtoto amekatwa
😅😅😅 hatunanga hofu na hio, cha muhimu mtoto amekatwa
😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
My son, hospital direct
Hahahaha
Akuna duniani kutaili Kama wameru
This culture is just off
Watu wa pungoma vaye 😵
Hahahaha
Culture gani hii duh isei watu wanachoma kisumu ati culture ((( sijawahi kuiona wakikuyu wanachoma kuwao lkn mjale anachoma kisumu why kkkkkkkkkkk duh duh
Ooh noo those knives,this can transmit HIV/AID
Not realy. They have done it all.
Get lost, you will be the first one to test him
mmm which universe are these people from? yani hakuna wenye wamesoma kati yao,masomo hijawadaidia hata kidogo
mwacha mila ni mtumwa. i have liked it more.
We have gone to school but we love our culture. That's what makes us different from others.
Matthan muyela tall them again we do love our culture
Mila na masomo Zina usiano gani?
My people let's stop this culture plz
Why?
jaluo mmeona hiyo ? na nyiye mfanyiwe hivyo ilimkuwe na heshima
Jinga type wewe Kuwa na heshima
🤣🤣🤣
Jaluo wakiona ivo
Very true
😂😂🤣🤣🤣😂😂😂
Primitive,silly culture