asante sana Doc, nimekuskiza sana napenda mafundisho yako,niko KENYA,ila nauliza mtoto wangu ni huyu ako na kikohozi tangu ni mdogo,amepimwa ila bado hatujagundua matitibabu yake kamili sahi ako na 8years ila bado anasumbuka,basi akianza hivi kukohoa hakuna kulala anakohoa sana yani anashuta anatapika makamasi hasi sielewi,kwa haraka hapa nyumbani lawda kuna dawa naweza kutengeneza ikamsaidia,mana amekunywa dawa tangu ni mdogo tafathali nisaidie Doc,asante sana.
Dr mtt wngu anakohoa mcjana na usiku sababu alimeza kijiwe na nkaenda exray lilipita hadi tumboni bt anakohoa sana ndip chanzo cha kukohoa hadi sasa na dawa natumia ila bado
Dokta mtoto wangu anasumbuliwa na makohozi kwenye Koo yanayopelekea wakati mwingine hata akinyonya anatapika ana umri wa mwezi mmoja je dawa yake ni ipi?
Hii doc nimejifunza mengi kwako,na mtt wangu ana pumu.nikiwa TZ natumia dawa aina ya piriton,na predilone.lkn tunapokua nje ya Tanzania,sijui dawa ya aina gani.nitumie. mimi naishi nje ya Tanzania.
Mtoto wangu anakohoa sanaaa toka akiwa kachanga mpaka Sasa ana miaka miwili Kuna muda ana kaa sawa lkn Kuna muda anakohoa kikohozi kikavu mpaka Amalia na kutapika
@@dr.alaminsuleiman4856 Dr mwanangu mtoto wangu anashida nipo kijijin huku nilimpeleka hospital alipewa Ampiclox, lakin kinajirudia, Sasa Jana niliona chakula kinarudi kama anacheuwa, Alafu hataki kula, pua zinaziba sijui unanisaidiaje
Nice presentation doc

Thanks for the upload!
Mwanangu mchana mzima usiku anakohoa mpaka unachanganikia shida ninini doktar
Asante sana nimejifunza hapa mtoto wangu yuko ivo ana hema kwakukoroma sana
Hello doctor mtoto wangu ana miezi tatu amejaa kikohozi kifuani nifanyeje
Hello doctor mtto wangu ana miaka miwili n anakohoa kifua kinanguruma na kupumua sanaa shida itakua gani
mimi mtoto wangu ana kooa sana sasa ni mienzi mitatu tena anakoa sana nakupungua uzito tatinzo huwa nn
Huyu doctor hawezi kujibu maswali yote hayo dawa ni moja tu wazazi tuwapeleke watoto wetu hospital
Mtoto wangu anakohowa sana wakati wa usiku
mtoto anakohoa kikozi kwa mfulizo hasa wakati wa usiku na kukoroma tatizo nini ?
yaan mwanangu ikifika ucku tu ni kukohoa mpk kunakucha namuonea imani halali kwa amani
Hata Mimi piya nauliza mtoto kuchemuka sana na kukohowa sana
Docta me mtot wangu nimeangaika Sana anakohoa San usiku unanisaidiaje
Minyoo mpe dawa za minyoo za vidonge
Naomba kuuliza mtoto wangu anakohoa inapofika muda wa kulala nifanye je?
yan akitak kulala tuu
Dr mtt wngu anakohoa mcjana na usiku sababu alimeza kijiwe na nkaenda exray lilipita hadi tumboni bt anakohoa sana ndip chanzo cha kukohoa hadi sasa na dawa natumia ila bado
Asante sana Daktari. Nimejifunza mengi. Vipi kuhusu mtoto ambaye anakohoa zaidi usiku akilala tu? Nifanye nini?
Minyoo
Doctor mtoto wangu anakohoa sana usiku na kugoka yani kama anatapika lakini hatapiki dawa nini ni saidie tafadhal
Doctors uko pande zip??
Mtoto wangu anakohoa sana usiku mpaka atapika ata kunyonya anashindwa nampa dawa bt hatulii utanisaidiaje?
Au kimeo
Wallah kweli kabisaa...me napataje msaada na nipo Tanzania
Unanisaidiaje
Asalam alaykum warahmatullah wabarakat mm nilikua ninauliz mtoto wang anaumw kikohoz mara kwa mara so kipind cha jot au barid shid nn
Yan kila nikimpelek hospital anaambiw ni limonia
Naomb ushaur dr.alamin suleiman
Please nisaidie nishampatia madawaa mengi sanaaa lkn hapati nafuuuu
Doctor Mimi mtoto wangu anakohowa sana wakati wa usiku
Doctor mtoto wangu anakohowa sana mpaka anatapika ana mwaka Na miezi Kumi nifanyeje Sasa
Namim ndo nko hapa wangu anavuja mafua mdaote na kukohoa ad anatapika😢
Umepata dawa namm unielekeze@@Intertainment_896
Wa kwangu anaunguza tumbon na anakohowa sana mpaka anagowa na usiku hupuma na hana ham ata kucheza usingiz wa shida
Kama unahisi kala nywele nimpe nn ili aitoe
Mimi nna binti yangu ana miaka 20 bado yuwa kojoa kitandani
Mchemshie nywele za muhind ukiwa mchanga umpe anywe.
Nitafute nikupe dawa ya kikojoz
@@jenimalamsha8403nisaidie dawa ya kukojoa kitandani
Shukran Sana Daktari.
Naomba uniangazie kwa faida yangu na wazazi wenzangu mtoto kulalamika aumwa na tumbo.
Shukran.
Mwana Wa Kanga
InshaAllah tutaiangazia vipindi vijavyo
Assalamu alaykum mm nina mtoto wa mwezi na ana shida ya kukohoa na kuchemua jee naeza kupata dawa
Vp hauna group lolote linalohusu magonjwa ya kitoto
Ako na mwaka mmoja
Habari dokta Nina mtoto wangu waa miaka mi will na nusu amekunya dawa ya Dr cold chupa yote je kunamazara yoyote..?
Dokta mtoto wangu anasumbuliwa na makohozi kwenye Koo yanayopelekea wakati mwingine hata akinyonya anatapika ana umri wa mwezi mmoja je dawa yake ni ipi?
Hata wangu nihvyhvy vp umepata dawa
Aslm alkm
Samahani doctor mm mtoto anakohoa Mara kwa Mara Sana wanasema ana Tonses je hamna dawa yakuondoa Tonses?
Tonses huwa zinaondolewa kwa operation ikigubdukika kuwa ndizo zinasababisha kikohozi
Anapachwa kupewa dawa gani
Hii doc nimejifunza mengi kwako,na mtt wangu ana pumu.nikiwa TZ natumia dawa aina ya piriton,na predilone.lkn tunapokua nje ya Tanzania,sijui dawa ya aina gani.nitumie. mimi naishi nje ya Tanzania.
Utanisaidia vipi
Uko vizuri mkuu
Mtoto wangu anakohoa sanaaa toka akiwa kachanga mpaka Sasa ana miaka miwili Kuna muda ana kaa sawa lkn Kuna muda anakohoa kikohozi kikavu mpaka Amalia na kutapika
Lipata sawa dada ya kikoozi kikavu nisaidie
Ulipata sawa dada
Xx km mtoto anakohowa mpaka kutapika hiyo ni shida gani
Dokta kwa dalili kama izo inashauri tutumie dawa gani sasa,nimechoka kununua dawa za madukan
T kyöjb b. .mn åm.
Mi mtoto anakohoa wakat wa uck akiwa amelala mida ya saa sita nafanyaje
Naomba ushauri wako yote ulosema mtt wangu anayo.hivi sasa anacho kikohozi
Hi
Yn dokta mwanangu anakohoa sana dawa za hospital nimetumia nyingi mno lkini haponi sjui nifnyeje
Lazma afanyiwe uchunguzi ndio sababu ya kikohozi ijulikane. Mpeleke kwa mtaalamu wa watoto.
sawa asante wewe unapatikana wapi ?
wewe hutoi huduma ya uchunguzi ?
Kama wangu ana miaka 7 sijui shida ni nini na ana miaka saba
Tatizo coment hajibu
Tujibu bc
Na hii Hali ya ngozi kuwasha Kila Mara hata ngozi kuharibia kama umefinywa na mdudu inasababiswa n nini
Shukran doctor
Skiza episode ya allergy...labda utapata jibu
Kuna allergy ya ngozi pia....kiswahili wanaita pumu ya ngozi