A A Shukran Dr Al Amin Sulayman Allahu akujazi killa la kheri kwa nasaha zako Kuna mmoja ameniuliza dawa ya mtu kuacha kukoroma usingizini kama iko. Shukran
Waaleykum salam warahmatuLlahi wabarakatu.... Kuna sababu kadha wa kadha za kumfanya mtu kukoroma (snoring)...muhimu amtembelee mhudumu wa afya afanyiwe checkup ijulikane ni sababu gani inayomfanya akorome. Ikisha julikana inshaAllah atapata usaidizi. WaLlahul musta'an
Asante d.nitafanyia kazi ushaurri
A A
Shukran Dr Al Amin Sulayman
Allahu akujazi killa la kheri kwa nasaha zako
Kuna mmoja ameniuliza dawa ya mtu kuacha kukoroma usingizini kama iko.
Shukran
Waaleykum salam warahmatuLlahi wabarakatu.... Kuna sababu kadha wa kadha za kumfanya mtu kukoroma (snoring)...muhimu amtembelee mhudumu wa afya afanyiwe checkup ijulikane ni sababu gani inayomfanya akorome. Ikisha julikana inshaAllah atapata usaidizi.
WaLlahul musta'an
Jazaka Llahu khayran
Great article brother 👍
Shukran Allah barik Kwa kutufunzaa
Asant ds
Thanks for the upload!
Shukran doctor
Asante kwa elimu barikiwa
Assalam alaikm doctor naezapata dawa yakuzuiya mkojo,
Dr wangu ana miaka 4 na nusu mchana hajikojolei lakn ucku lazm atkam umemtoa kukojoa nn shida
Na wa miaka 23 kukojoa
Samahani doctor mm na shindwa zuianmkojo ASA sijui na weza tumia nn ili nipone
Kelgel exercises nenda gym
Hello
Assalam aleikum dr mtoto wangu anashida ya kujikojolea ukimuamsha anausingizi mzito sana anaweza kukojoa popote pale
Dr mimi wakwangu anamiaka 5 mchana anajikojolea usiku anajikojolea nifanyeje? Naomba msaada wako
Nina watoto wawili wa miaka 15 n 10 wote wanakojoa 😊wamiak 10 ukimuamsha akojoi ila uyo mkubwa ata ukimuamsha atakojoa tuy
Watoto wangu wawili wana kojoa naitaji dawa l