USIFANYE MAKOSA HAYA UTAMHARIBU MTOTO WAKO.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024
  • Kwenye Episode hii nazungumza na wewe kuhusu mambo niliyojifunza kwenye malezi ya mtoto wangu na watoto wengine wengi waliobahatika kupita kwenye mikono yangu.
    Mimi kama mama kuna vitu nimekutana navyo ambavyo natamani ningevijua mapema ingeniokoa pakubwa kwenye safari hii ya malezi.
    Sikiliza Episode hii mpya nimekufafanulia kwa undani makosa ambayo hutakiwi kuyafanya kwenye malezi ya mtoto wako maana utamharibu na kumharibia maisha yake ya baadae.
    Yaliyomo kwenye Episode hii:
    00:02 Intro
    02:00 Umakini kuhusu tunayoshirikisha watoto wetu.
    03:38 Maisha ni kusaidiana (Baba sio mfalme).
    04:00 Watoto wanajifunza wanachoona.
    04:45 Kila kilichomo kwenye familia ni cha familia nzima.
    06:58 Ukipanda mchicha utavuna mchicha.
    07:15 Hisia unazowapa ndio wanazobeba.
    09:45 Usipofanya haya shetani lazima atamdaka.
    10:31 Usimnyanyase baba au mama yake.
    11:31 Kwenye malezi hakuna the winner wala looser.
    12:41 Mtoto hataki kudekezwa.
    Subscribe, Like na Comment.
    TH-cam: / @auntsadakalessons
    Subscribe na Sikiliza Podcast 👇🏾
    Spotify: open.spotify.c...
    Apple: podcasts.apple...
    Follow me:
    Twitter: / auntsadaka
    Facebook: / auntsadaka
    TikTok: vm.tiktok.com/...
    Instagram: / auntsadaka
    #AuntSadakaLessons #AuntSadaka
    #lifelessons #parenting #relationships
    #lifechallenges #lifeopportunities
    #kijiwechetu #mentalhealth #bestlifelessons #inspiration #life #mtoto
    #malezi #mahusiano #maisha

ความคิดเห็น • 10

  • @mamadidajullio1658
    @mamadidajullio1658 ปีที่แล้ว +1

    Waah this is so touchy.nishafeli I use so much the sixth aspect so much that it has become a routine within them.

  • @phinerjulius8487
    @phinerjulius8487 ปีที่แล้ว

    Asante sana .
    Sasa mi mwanangu hapendi kujisomea .
    Ninamwambiaga akifaulu akifaulu.
    Nifanye nini ili niende nae sawa

  • @zaitunomar54
    @zaitunomar54 ปีที่แล้ว +1

    Sisi tunafanya kazi huku nch zauarabuni lakin tunsyopitiya nimagumu sana mtot mdogo tu anakuamrisha kwa sababu we nimfanyakazi naten unaitwa shaahala km zsrahu mpk tunajion sis km masikini wenzentu huku kila kitu uwafanyie hat chup unafuwa za bb za mm za wasichan

  • @truthtreasure6921
    @truthtreasure6921 ปีที่แล้ว

    Well said

  • @zaitunomar54
    @zaitunomar54 ปีที่แล้ว

    Hongera san mam umeongeya point sana

  • @abdulrahmanhassan5998
    @abdulrahmanhassan5998 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana mama

  • @zenawahindi2425
    @zenawahindi2425 6 หลายเดือนก่อน

    mimi nimepatikana ukisahihisa kazi zote utapata zawadi condition naomba mbadala ya conditions nifanyaje

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz ปีที่แล้ว

    Mtihani mkubwa

  • @eugeniafabiano9326
    @eugeniafabiano9326 ปีที่แล้ว

    This is well put 😍