PRAISE TEAM TAG FOREST YA KWANZA - YESU NI BABA FT MISSION BAND

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 180

  • @StevenMunugwa
    @StevenMunugwa 9 หลายเดือนก่อน +53

    I remember that Day at CCC Upanga Dar es Salaam, it was very great. Timu hii inastahili maua Yake. Wanaimba Kwa UNYENYEKEVU MKUBWA na Mafuta ya Ajabu. Kama unakubali weka like Yako

    • @renickgadau6655
      @renickgadau6655 9 หลายเดือนก่อน +2

      🎉🎉❤

    • @tumainiisrael9378
      @tumainiisrael9378 9 หลายเดือนก่อน +1

      Haaaa team Goshen

    • @LoyceAlan
      @LoyceAlan 9 หลายเดือนก่อน

      Notafute Erick

    • @StevenMunugwa
      @StevenMunugwa 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@tumainiisrael9378Acha Kabisaa. WATU Hawa wameleta mapinduzi ya SIFA na maabudu kwakweli

    • @StevenMunugwa
      @StevenMunugwa 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@LoyceAlan Duh 🙄

  • @upendomahenge5307
    @upendomahenge5307 10 หลายเดือนก่อน +10

    Forest ya kwanza shikamooni...mpo vizuri sanaa

  • @ARONWANDELAGE
    @ARONWANDELAGE 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mpo vzuriii na mshukuruu mungu nimewaona live leo.mungu awabarikii Sana nimeuona mkono wa bwana kupitia nyimbo hii...

    • @eliamahuna832
      @eliamahuna832 9 หลายเดือนก่อน

      karibu tena,,,tumefurahi pia kuwa wote

  • @donathakihombo4298
    @donathakihombo4298 10 หลายเดือนก่อน +9

    Nakosa neno kusema, Utukufu ni wake Mungu BABA yetu....Hakika Wimbo huu Yesu wa Nazareth Auvushe na mipaka Kimataifa....!! Wimbo wa Dunia🙏🙌

  • @songelaelmkumbo8954
    @songelaelmkumbo8954 10 หลายเดือนก่อน +11

    Mungu awabariki sanaa kwa wimbo mzuri mnooo

  • @nehemiekalombo780
    @nehemiekalombo780 10 หลายเดือนก่อน +13

    There is a difference between God that we encountered and God that we were told about. 🔥🔥🔥This is an anthem of the Kingdom of God. Stay blessed.

  • @kivevelejr
    @kivevelejr 10 หลายเดือนก่อน +8

    Hakika Mungu azidi kuwatumia watu wa Mungu...Kazi nzuri TAG Forest ya kwanza 🙏🏾🙏🏾

  • @graysonmykoh-5526
    @graysonmykoh-5526 10 หลายเดือนก่อน +7

    Wimbo wangu niupendao hatimaye umetoka

  • @hellenrichard187
    @hellenrichard187 8 หลายเดือนก่อน +7

    This song bana ni motoo mnajua sana huyu Yesu ni baba yangu❤❤❤

  • @beatricempolya551
    @beatricempolya551 10 หลายเดือนก่อน +4

    Kazi yenu ni njema mtalipw na babaaaa❤❤

  • @JohnGMwagisa
    @JohnGMwagisa 10 หลายเดือนก่อน +2

    🎉🎉🎉Mungu awabariki mno,,, It's Holyfire Song🔥🔥

  • @wangweemmanuel9048
    @wangweemmanuel9048 8 หลายเดือนก่อน +4

    Kuna nyimbo zinagusa aisee. Acha bhana!
    Yaan kama jana ulitenda dhambi unajitafakali na kumrudia Mungu kwa kutubu!
    ALELLUYA!

  • @vailethmhimbila7000
    @vailethmhimbila7000 10 หลายเดือนก่อน +4

    Upendo wa YESU kwetu ni wa thamani sana❤❤ Akaamua kuutoa uhai wake kwaajili yetu🙏🏿🙏🏿sijawahi ona pendo kama alilonipenda BABA🙏🏿❤️

  • @jonasbakar2767
    @jonasbakar2767 10 หลายเดือนก่อน +5

    Mmmh Aisee nimebarikiwa sana MUNGU atukuzwe sana kwaajili yenu Forest. Nawapenda

  • @emmanueldionismbena3461
    @emmanueldionismbena3461 10 หลายเดือนก่อน +4

    Namna hiyo mmeleta kazi nyingne safi sana mbarikiwe sana sana

  • @AREEN.A29
    @AREEN.A29 10 หลายเดือนก่อน +10

    Wow powerful songs 🙏🙏✨kenyans gather here🇰🇪

  • @BeatriceMutunga-x5l
    @BeatriceMutunga-x5l 7 หลายเดือนก่อน +4

    Wow nimeisikiza kwa spotfiiy nikasika utamu ikabidi niitafute u tube aki be blessed 🙌 😇

  • @DEEP.WORSHIP
    @DEEP.WORSHIP 10 หลายเดือนก่อน +3

    Kazi ya ustadi 🔥🔥🔥🔥
    Muongezeke sana kwa utukufu wa Mungu wetu😊

  • @amosimgala2638
    @amosimgala2638 9 หลายเดือนก่อน +2

    🙏🙏🙏

  • @KilimanjaroPalaceHotel-fl3tc
    @KilimanjaroPalaceHotel-fl3tc 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa jina naitwa sospeter tibezuka napenda kutuo maon kwenye wimbo huu, kiukweli umenigusa sana hivyo hongoren kwa wimbo mzuri,,,,nawapenda sana, Mungu awabariki

  • @Hollombisa1259
    @Hollombisa1259 10 หลายเดือนก่อน +2

    Sifa na utukufu ni kwako Yesu wangu,, strong message be blessed you people

  • @masalugusessa3702
    @masalugusessa3702 9 หลายเดือนก่อน +1

    So natural and talented! Hii iko kwa Yesu tuu.
    Content 💯
    Music 🔥
    Melodies 💯
    Barikiweni sana watumishi...... my best song of 2024

  • @meresianamasombe6942
    @meresianamasombe6942 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu aendeleee kuwainua watumishi wa mungu wa forest ya kwanza nafarijika sanaaa nikisikiliza wimbo huuu❤

  • @isaiahzakayo5318
    @isaiahzakayo5318 10 หลายเดือนก่อน +2

    namtukuza Mungu kwaajili yenu @tag forest 1

  • @leylahntissi4564
    @leylahntissi4564 10 วันที่ผ่านมา

    Nzuri sana .....nimebarikiwa sana na huu wimbo...Mungu awazidishe

  • @jeremiahmsemo390
    @jeremiahmsemo390 10 หลายเดือนก่อน +3

    A very nice song, God bless you, forest 1

  • @vailethmalakibungu7866
    @vailethmalakibungu7866 10 หลายเดือนก่อน +2

    Aaah so powerful song...Mungu NI Baba

  • @IreneusMsuha
    @IreneusMsuha 10 หลายเดือนก่อน +3

    Wimbo mzuri sana Mungu awainue zaidi na zaidi ya hapo

  • @anssammie3876
    @anssammie3876 10 หลายเดือนก่อน +2

    Such a powerful praise to our Dear Father, Our God what an expression of love and gratitude towards our God
    This is so amazing

  • @Paulmajama
    @Paulmajama 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wow good song aisee yani ukisikiliza hadi una tembea njiani unatabasam mwenyewe Mungu awape hatua kubwa.

  • @EzekielMwenyembalwa-vz6rg
    @EzekielMwenyembalwa-vz6rg 10 หลายเดือนก่อน +3

    Yesu ni baba🔥🔥Mungu awabariki Sana watumishi wa Mungu kwa neema yenye baraka kumtukuza Mungu,ameen🙏

  • @duncanndana9963
    @duncanndana9963 หลายเดือนก่อน

    To the writer ,camera man, and the crew banah Mungu awazidishie hekima
    have listened to this track for more than 10 times in one siting,
    hii imeweza aki
    the change in praise songs style,hii fungulia club na walevi wote watasujudu kuwa Yesu ni BABA
    na hakuna atakaye baki kwa kiti .
    i love the track.💯💯

  • @victormasolo6151
    @victormasolo6151 7 หลายเดือนก่อน +2

    Nishakubali. The message is rich. The music.sisemi kitu. Love it from kenya

  • @Carlmirabel
    @Carlmirabel หลายเดือนก่อน

    Hii nyimbo iko on 🔥🔥🔥💃💃👏Mbarikiwe mungu awazidishie🙏

  • @georgieskeneth7202
    @georgieskeneth7202 10 หลายเดือนก่อน +4

    TAG forest One. A center of praise and worship . May the almighty God continue to pour his shower of blessings to this Church .

  • @NEEMACLEOPHACE-s1d
    @NEEMACLEOPHACE-s1d 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awabariki sana kwa ujumbe mzuri wa kututia moyo kweli hakuna mwenye pendo kama hili zaidi ya Mungu

  • @winifridaChaula-vn1br
    @winifridaChaula-vn1br 4 หลายเดือนก่อน +1

    nimewapenda bure natamani hiyo forest ya kwanza

  • @maryyohana6885
    @maryyohana6885 10 หลายเดือนก่อน +2

    Jesus knew how much it would cost to save us🛐....but he chose do it anyway. Now, nothing can separate us from the love of God that is in Jesus our Lord🙌🙌🙌🙌🙌

  • @EmanuelHadu
    @EmanuelHadu 8 หลายเดือนก่อน +2

    hii nyimbo kwa ninavyo upenda cjui ni express vp ila naupendaa xn 💞❤️❤️ hit us with another one nawapenda xn

  • @doricegadau7086
    @doricegadau7086 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huu wimbo unapigwa sana Top radio Morogoro unanibariki sanasana

  • @suzanagodfrey-x5f
    @suzanagodfrey-x5f 9 หลายเดือนก่อน +1

    Great , greater, greatest 👏👏👏👏👏👏kwa Yesu kuzuri bwanaaa

  • @nehemiatesha5763
    @nehemiatesha5763 10 หลายเดือนก่อน +2

    More 🔥 kwa kweli YESU NI BABA

  • @LucyJanilah
    @LucyJanilah 2 หลายเดือนก่อน +1

    wow wonderful song...

  • @jacobmartin6686
    @jacobmartin6686 10 หลายเดือนก่อน +2

    Finally 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🔥🔥...... Yesu Utukuzwe Milele

  • @meshackstima3842
    @meshackstima3842 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika hii ni habari njema kwa ulimwengu wote.YESU NI BABA

  • @suzanagodfrey-x5f
    @suzanagodfrey-x5f 9 หลายเดือนก่อน +1

    Waaao Asante sana Yesu kwa kazi ya msalaba🙏mbarikiwe sana wapendwa

  • @dorcasmoses2073
    @dorcasmoses2073 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ni mwema baada ya kusubr kwa kipindi kirefu sasa umetoka 🔥🔥🔥

  • @andrewmagwila1602
    @andrewmagwila1602 4 หลายเดือนก่อน

    Hakika yesu ni baba nimerudia huu wimbo hata haiana idadi utukufu kwa Mungu ujumbe mzuri mziki mzuri sauti nzuri mbarikiwe sana watu wa Mungu

  • @JacquilineFelix
    @JacquilineFelix 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awabariki Sana .wimbo wangu pendwa ❤

  • @justinianeustace1663
    @justinianeustace1663 10 หลายเดือนก่อน +1

    Oooh hallelujah very amized song. Mungu awainue zaidii🎉

  • @victorkipingu8938
    @victorkipingu8938 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika YESU NI BABA....🔥💥

  • @Noah_A_Misholi
    @Noah_A_Misholi 10 หลายเดือนก่อน +2

    Ayiiiii🔥🔥🔥🔥

  • @eldawilliam3541
    @eldawilliam3541 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana Yesu kwa kazi yako ya msalabani🙏🏼🙏🏼

  • @timothymatolo8411
    @timothymatolo8411 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mbarikiwe kwa sifa nzuri ajabu....haleluyaaaa

  • @denissamuel3975
    @denissamuel3975 9 หลายเดือนก่อน

    Tuanayo mengi ya kumshkuru Mungu,kwa maneno ya vinywa vyetu hayatoshi.Asante Mungu kwaajili ya maji ya kisima cha TAG Forest one Mbeya

  • @jacklinechobo
    @jacklinechobo 10 หลายเดือนก่อน +1

    Haki YESU ni baba yangu 🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤❤❤😊😊😊😊

  • @ruthaloyce1012
    @ruthaloyce1012 4 หลายเดือนก่อน

    Kweli Hawa wanaimba uimbaji uliyobeba ujumbe halisi wa kazi ya msalaba! Mbarikiwe na Yesu

  • @gladishaule9261
    @gladishaule9261 9 หลายเดือนก่อน

    YESU ni BABA ...Forest mko mbali..utukufu kwa MUNGU wetu...

  • @hoseamwakasege2377
    @hoseamwakasege2377 10 หลายเดือนก่อน +2

    Good Job my people I real l appreciate youu..❤❤❤❤

  • @catherinemhule6519
    @catherinemhule6519 หลายเดือนก่อน

    Hongereni jamani wana forest one

  • @Jeremiajohn-e2l
    @Jeremiajohn-e2l 10 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani uu wimbo ni maombi tosha asante Yesu kwa kunichagua

  • @whosea94
    @whosea94 9 หลายเดือนก่อน +2

    Representing Kenyans 🇰🇪

  • @GloryMushi-p8e
    @GloryMushi-p8e 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kuwainua kwa viwango vya juuu
    Huu wimbo unanibariki Sanaa mbarikiweee daimaa❤

  • @renickgadau6655
    @renickgadau6655 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awabaliki sana

  • @HappyMwachuma
    @HappyMwachuma 9 หลายเดือนก่อน +1

    Utukufu kwa Mungu baba..

  • @solomonilukumai8856
    @solomonilukumai8856 5 หลายเดือนก่อน

    Glory to almighty! Huyu bassist aiseeee😂😂😂😂

  • @reinakamgisha2558
    @reinakamgisha2558 10 หลายเดือนก่อน +2

    Jmnii tuekeni BOOMPLAY tustream

  • @stanleyhaule8440
    @stanleyhaule8440 9 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙏 Kubaki kama MUNGU akaona haina maana akatoa uhai wake kwaajili yangu 🙏🙏🙏

  • @RichardMichael-xo2kr
    @RichardMichael-xo2kr 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki sana hakika naiona milango yenu ikifunguka na kuwa kwaya kubwa afrika mashariki na Duniani kote Kwa ujumla

  • @beatricempolya551
    @beatricempolya551 10 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu ni baba . Nimebarikiwa na wimbo huu Mungu awainue sanaaaaaaa❤❤❤

  • @pericyjohnson825
    @pericyjohnson825 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wonderful!! Glory be to God

  • @Jibu-cheka
    @Jibu-cheka 10 หลายเดือนก่อน +2

    GOD BLESS YOU❤❤❤

  • @sophymarygodfrey9167
    @sophymarygodfrey9167 9 หลายเดือนก่อน

    MUNGU azidi kuwainua watumishi kaz nzuri Sana 🙏🙏

  • @rebeccabrown5135
    @rebeccabrown5135 9 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana Mungu awaongezee neema ya kuimba ❤❤❤❤❤❤

  • @fortunatusfrodatus
    @fortunatusfrodatus 10 หลายเดือนก่อน +2

    I was waiting for this song It blessed me alot 🙌🙏 It remind alot about who we are 🔥

  • @DorcasKingu
    @DorcasKingu 10 หลายเดือนก่อน +2

    Wooow, so amazing 🔥🥰

  • @SharabiaSamli
    @SharabiaSamli 6 หลายเดือนก่อน

    Yesu eee ananipenda sanaa❤❤❤
    MUNGU wa mbinguni awabariki sana

  • @victorlusekelo8490
    @victorlusekelo8490 10 หลายเดือนก่อน +3

    This is fireeeeee💯

  • @Josh-mr8fp
    @Josh-mr8fp 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mateso yangu alibeba 😢😮

  • @HildaSanga-d3o
    @HildaSanga-d3o 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen.Mungu azidi kuwainua zaidi

  • @ambonisyefungo4853
    @ambonisyefungo4853 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki sana

  • @tysonmbilinyi6126
    @tysonmbilinyi6126 10 หลายเดือนก่อน +1

    God bless you forest kwa kazi njema

  • @silaslukumay
    @silaslukumay 10 หลายเดือนก่อน +1

    ❤...# yesu ni baba aeeeh! 🔥 🔥 🔥

  • @lindavarra7680
    @lindavarra7680 6 หลายเดือนก่อน

    WELL DONE SERVANT OF GOD STAY BLESSED ❤

  • @PinsonMuhoza
    @PinsonMuhoza 2 วันที่ผ่านมา

    Eee hii sasa wenyewe

  • @luckyinnocent2255
    @luckyinnocent2255 9 หลายเดือนก่อน +1

    The melody,the moves ooh God❤

  • @anusiatafrancis1077
    @anusiatafrancis1077 10 หลายเดือนก่อน +2

    Yesu ni Baba 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @annageorge624
      @annageorge624 10 หลายเดือนก่อน

      Hallelujah 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽

  • @Okwomib
    @Okwomib 7 หลายเดือนก่อน

    Hapa Kenya nabarikiwa sana na huu wimbo.

  • @scolabatister2718
    @scolabatister2718 10 หลายเดือนก่อน +1

    You people Never disappoint🙌🔥🔥
    What a Song!🔥🔥God bless You all😍

  • @alexjames8086
    @alexjames8086 10 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu ni baba🙌🙌🙌

  • @EvaBago-ps8jj
    @EvaBago-ps8jj 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki kwa wimbo mzuri umenibariki 🎉

  • @GloryManopa
    @GloryManopa 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hatimaye 😊

  • @JosephMtalaki-ut4zy
    @JosephMtalaki-ut4zy 5 หลายเดือนก่อน

    Eeeh ba eee eeba amen ,God loves me.

  • @nannyr337
    @nannyr337 10 หลายเดือนก่อน +1

    🙌 Amazing

  • @ezesolo4861
    @ezesolo4861 10 หลายเดือนก่อน +1

    safi sanaa

  • @ndifu9967
    @ndifu9967 9 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba kufahamu jina la huyo mtumishi aliyeongoza kipande cha kwanza kabisa

  • @jeremiamtizi3262
    @jeremiamtizi3262 10 หลายเดือนก่อน +1

    Been waiting this for a long
    God bless you servants of God 🔥🔥🔥

  • @MagdalenaMwambusye
    @MagdalenaMwambusye 9 หลายเดือนก่อน

    Bwana awape Neema mkubwa mko vzr mno

  • @evaristobushabe4053
    @evaristobushabe4053 9 หลายเดือนก่อน +1

    Praise be given to God

  • @DeboraSingogo
    @DeboraSingogo 9 หลายเดือนก่อน

    Balikiwaaaaa saanaaaa❤ mm nawapenda saanaa