Wimbo flani hauna mambo mengi MD wa hii praice Mungu amuinue kabisa….hizi ndo nyimbo tunazozitaka sio zile zinamamizunguko kona nyingi ujumbe haueleweki….Mungu awainue sana
Alooo kwa yesu raha sana nyimbo kama hizii zimejaa neno la mungu zina muinuaungu🎉🎉 hakika lazima ufunguliwe kwa hizii nyimbo ❤❤ Mungu awabariki sana Forest yakwanza 😊😊
HUYU NDO MUNGU SASA WA KUABUDIWA KWA SIFA NA SHANGWE NA UTUKUFU WOTE. NA MUNGU AKAUFANYE WIMBO WA KIMATAIFA KWA AJILI YA UTUKUFU WAKE. 🙌🙌🙌🙌
Huu wimbo ni baadhi ya nyimbo ninazipenda kusikiliza , siyo wimbo upoupo na hauna message yeyote
Wimbo flani hauna mambo mengi MD wa hii praice Mungu amuinue kabisa….hizi ndo nyimbo tunazozitaka sio zile zinamamizunguko kona nyingi ujumbe haueleweki….Mungu awainue sana
mtumishi nasuburi nione maufundi yako pia kwa utukufu wa BWANA😅
🤣🤣🤣kaka nina nini nawe….ni kazi ya Bwana
Jaman mfanya mje tena huku kwa Dar tushawamic tyr❤❤❤
Mungu azidi kutubariki wapendwa karibu kanisani kwetu T A G forest ya Kwanza mbeya jiran na mahakama kuu
Mturuhusu basi tudownload songs zenu
Bro peter Mungu azidi kukuinua uendelee kuwa mnyenyekevu
This song is wooooooooooow❤️🥰🥰🥰🥰🥰🥰
🔥🔥🔥🔥GOD IS GOOD ALWAYS 🎉🎉🎉
Alooo kwa yesu raha sana nyimbo kama hizii zimejaa neno la mungu zina muinuaungu🎉🎉 hakika lazima ufunguliwe kwa hizii nyimbo ❤❤ Mungu awabariki sana Forest yakwanza 😊😊
Mungu awabariki sana
Najihis mwenye raha sana❤ Bwana azidi TAG forest mbeya
MUNGU AWABARIKI WATUMISHI WA MUNGU MSIJISAHAU KABISAA KUOMBA SANA KWA AJILI YA HUDUMA YENU YA UIMBAJI BARIWA SANA SANA
Hallelujah Mungu wetu ni mwema sana na anastahili sifa zote kwa kweli,,be blessed team kazi njema sana hii yenye upako wake mwingii
Daaaaah I like I likeeeeeeee❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nashindwa niseme nini
Km wale wa rwanda... the healing worship team
Mbinguni wanaimba na sisi tunaimba Hossana
Nabarikiwa sanaaa mwenzenu na hawa watu
Glory to God
Hallelujah 🙌🏽
Balikiwa saaana watumish was mungu
Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu inapendeza sana ...💥💥💥💥💥💥💥💥
Mungu azidi kuwainua dada unaimba vzr
God bless you abundantly
Hakika MUNGU wetu wastaili sifa. Mubarikiwe watumishi wa MUNGU
Amina mbarikiwe praise team MUNGU AWABARIKI
Mungu wetu ni mzuri sanaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Lord you deserve glory and honour...oooh we exalt you higher...
Amen... Mungu wetu anastasia sifa🎉🎉🎉
The Drum king🎉👏🏻
🔥🔥🔥✨
Mungu wetu wastahili sifa🔥🔥🔥
Mmejitahidi sana
Aweee so powerful...the song speak into my vein
Safi sana
T AG God bless
Glory to God 🙏
Hallelujah, The Lord is Glorified
Utukufu ni kwa Mungu😊🙏🏾
Aiiiii🔥🔥🔥🔥
Amazing song 🙏🙏
🔥🔥🔥
Good gospel...
We blessed with this song....❤❤❤❤❤
Your blessing fam❤❤
Be blessed Team🙏🙏
So amazing
❤❤❤
Hahika unastairi sifa
❤❤❤❤❤❤
🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Kazì nźr
Aisee penda sana
❤ amen
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
❤🔥🔥🔥
🙏
🎉
Hivi hili kanisa linapatikana wapi
Mbeya mjini karibu na Mahakama Kuu
Karibu uje uabudu pamoja nasi
Amina sana, tuombeane uzima one day ntakuja
❤️❤️❤️❤️
❤❤🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥
❤❤❤