I had to follow this story ila Diamond umeniudhi sana!!! Haiwezekani kina Harmonize pia wakuchukie hao si wakenya ila kaka zako tena wadogo zako kabisaa
Truthful man. I can attest because I saw the clips. the guy never left his car, and it was not during his performance that blames happened so why involve him or even call his name. true love from Kenya bro. keep winning
Stop your lies Kenya is a country of lies and liars and fake god being championed by the corrupt thugs bishops pastors and priests from the mountain and hate speeches from the mountain who only look for money so keep your mouth shut and we know the truth fala takataka hi
as a kenyan i agree , especially hapo kwa kuforce issues . i love some nigeran music not because am not loyal to Kenyan music but ni juu i find in more appealing . I also love some Kenyan music and some tz music . Eric fighting for 75 % may look like a good thing but on the other side just validated that there is a problem with our music to those who had doubts. I think we have awesome artist here in Kenya , Tanzania Nigeria and etc and we should focus on building not competing . Thanks Simba for addressing your side pia
Ebu fanye kazi nyinyi ni watoto wa mama moja na huyo mama ni Africa😂😂 mshikane mikono alfu mnazeeka mjue 😊leo ni diamond kesho ni mtoto wangu yaani mtakufa na muche wengine wakitubuiza watu wanaendelea kuzaa na wanazaa wasanii wakubwa wakesho ❤❤❤
nakuerewa xna bro najua unapitia wakati mgumu xn kwa sababu ya umarufu wako ni weng wanatamani wakushushe ila awajui kuwa aliyekupandisha ndiye atakae kushusha mwenyez mungu azidi kukulinda
Naomba Mungu Diamond umtumikie Mungu kwa sauti aliokupa, huwa na kupenda sana na hata naamini unaweza tumika katika ufalme wa Mungu kufanya makubwa. Alafu sasa mkishikana na zuchu kipenzi chako mambo shwari. Naomba siku ije uanze kumtukuza Mungu. Una roho safi sana hata kuliko wengine wana tumikia Mungu. Hata huyo Zuchu ni mwanamke ana heshima sana na wana heshimu Mungu sana. I have been watching you sana. You are not hypocrites. Msalimie mrembo wako Zuchu sana.
Nimewai kupingina na AY akidai kuwa kwa sasa Tanzania tunaimba amapiano tunauwa bongo fleva... Kiswahili amapiano ndo imeileta amapiano EA. Kiswahili ni bidhaa... Ni wewe kuamua iyo bidhaa uiuze tu nchini mwako au pia na nje ya nchi(for export). Kiswahili amapiano ilikuwa ni kuborosha kiswahili kama bidhaa kuweza kuuzika nje. Ata kama tukiwa na afrobeat za kiswahili zenye rythm ya Nigeria ni sawa... Huo ni uboreshaji wa kiswahili kama bidhaa... Well said Diamond. Ubalikiwe sana... Nilishangaa Eric Omondi akiwataka wa Kenya wasikilize nyimbo za Kenya, kwa uboreshaji upi wa kiswahili kama bidhaa kupitia muziki... Life is controlled by vibration and vibration is in music, every note in music gives what feel... Unaimba nyimbo ya mapenzi lakini sound yake nikama mpo vitani...
HUYO AY ANA ZEEKA VIBAYA YEYE MWENYEWE ALIKUA ANAFANYA HIP HOP LKN NI KWA KISWAHILI ! SO ANATAKA KUTUAMINISHA HIP HOP NI MUZIK WA KITANZANIA ? WE ALL KNOW WHERE THAT HIP HOP IS ORIGINATED FROM !
Diamond, you've maintained and grown up on your own. Instead of learning from you, they want to bash you. Kaa gangare, you're one of the best na hapo ndipo shida iko. Sasa utawajuwa hawa watoto wa shagazi Halima, uwivu na blame ndio wanajua kulea badala ya kujiimprove. Jua ku deal nao. In the end, all we got is ourselves and our Big Mama Africa Land. Let's keep the Love.❤❤
Fact tunafuraha kubwa Sana Tanzania kuwa na msanii mwenye hekima na adabu ya Sanaa asilimia ukifwatilia wanaomchukia mondi woote ni ishu ya mafanikio tu lakini mungu waajabu Sana fikiri kila siku mnavyozidi kumchukia anazidi kutambulika kimataifa zaid
You are a brand, let them respect the brand. As a Kenyan, i totally understand Willy was chasing clout. Let him go and perform in other countries and get the same treatment. Pole sana kwa niaba yao, karibu tena.
Kwanza mshukuruni Diamond kwa kungoja maana wasanii wengi wakubwa huenda kwa mda , Diamond alisubiri vurugu liishe 😂😂😂 Also I'm a Kenyan and i am a fan of Good Music , Tanzania has good Music...and i listen to bongo just as much as i listen to kenyan Music
Zamani nilimchukia Diamond alikuwaga na utoto. But listening to this I think he has matured and he is very wise now. Ukimsikikiza hapa anavo reason hutoona ahaja ya kusikiliza ujinga. Sasa msanii mkubwa si anapandaga mwishoni? Sasa Diamond atakuzuiaje kwamba usipande kabla yake ili aonekane mdogo kwako au??😂😂😂😂
From Diamond statement if that is the case then the management ndo inarudisha wasanii wa kenya nyuma .... Charity begins at home alafu mnataka kujifanya hamkuona vile willy paul alifanyiwa madharau nkt
muziki wa bongo uko juu sana kenya ujinga ndio mingi,,,mimi ni mkenya na nmeongea ukweli kwanza huyo willy paul scandals na hairstyles ndio mingi kuliko muziki anafanya
If you know that this man his mature kwa statement yake hakuna mahali ametaja Willy Pussie....but huyu mkenya wetu willy pombee kila time anataja jina la diamond for kiki
We stand with Diamond platinumz not every person in Kenya anakubali kibamia au utoto wa lack of maturity from willy poze..lets admit it Diamond platinumz is loved in kenya too and Eastern Africa in general..poze akwende huko . Let poze mature up
Mimi ni mkenya na ninapenda miziki zote za east africa, Ninapenda, wakina marijan rajab, vijana jazz, mbaraka mwinzeshe, Diamond, wanakwaya wote wa TZ, kwa hio hii upusi ya ubabe mimi ziko huko.
I wonder what wrong some people 😊😊just kutubuiza watu but respect guyz siko upande wa Diamond or puzy kwa sasa kila mtu uko na ukoo wake ni vile vipaji viko karibu kufanana lakini upokeaji ni tafauti😅 utapika chakula kikawa na radha kitakuliwa na watu wengi 😊😊
Acha ushabiki wa kijinga tatizo ilihanza kwakubadilisha ratiba sababu willy ndo alitakiwa kuhanza kabla ya huyo diamond mwenu but mda wa willy kupanda waho wanataka diamond apande kwanini.? Acheni ujinga na unafki
Broo au dogo nina Kuja vizur kwa nn umejibu hii dog wak7enya muda mwengi wasamehe bure tu wew chef godleve kweli inatakiwa makes kimya sana cc ela wawo siasa
What I can say is, I blame the organizers. What a shame that a highly awaited show ends up with embarrassments! Unnecessary hate only divides people. As African artist, you should love and respect each other and not try to imitate the Westside and Eastside hate. What is the beef about? Looks like this did not start on that Furaha performance. As an African and a supporter of African music, I am very disappointed! If so as Diamond says, he was the headliner, who ends the show, so why would the organizers not let Poze perform before? And Poze should not have tried forcing himself to the stage, even if he felt the organizers were against him. Trying to force your way through was stooping low. You are a big name in Kenya and should have played it like Diamond did. And for you the organizers, it is important to follow the program, not keep artists hanging for hours. I am a Kenyan too and I can say, this was not Diamonds fault. I still love both Tanzanian and Kenyan music. This will not make me hate neither of the artist, be it from Kenya, Tanzania, or any other African country for that matter.
We cannot be forced to buy and support non entertaining music simply because the artist is Kenyan, let's encourage our Kenyan artists to compete regionally and internationally.The likes of
The likes of Willy Paul have been in the industry long enough and should have been able to build a brand through their music and not chaos,but they have failed
Ain't much musical follower but nidhamu ya Diamond naipenda thet is why I had to follow this story. Twakukaribisha tena 🇰🇪 we love you
I had to follow this story ila Diamond umeniudhi sana!!! Haiwezekani kina Harmonize pia wakuchukie hao si wakenya ila kaka zako tena wadogo zako kabisaa
Truthful man. I can attest because I saw the clips. the guy never left his car, and it was not during his performance that blames happened so why involve him or even call his name. true love from Kenya bro. keep winning
Ila alituma vibaraka zakee
useless man who can see beyond his nose
Am a kenyan
And for the very first time
Have heard logic heard from a tanzanian Artist #ItsAllAboutLove
Kenya is a prayerful country.sai Kenya we need God than ever kaa kwenu
Adier ber
Stop your lies Kenya is a country of lies and liars and fake god being championed by the corrupt thugs bishops pastors and priests from the mountain and hate speeches from the mountain who only look for money so keep your mouth shut and we know the truth fala takataka hi
Kabisa!!! 💯💯💯 Amen!
Jooo
We scattered you before you come 😂
Point noted!! Umeongea vizuri Sana Simba.
as a kenyan i agree , especially hapo kwa kuforce issues . i love some nigeran music not because am not loyal to Kenyan music but ni juu i find in more appealing . I also love some Kenyan music and some tz music . Eric fighting for 75 % may look like a good thing but on the other side just validated that there is a problem with our music to those who had doubts. I think we have awesome artist here in Kenya , Tanzania Nigeria and etc and we should focus on building not competing . Thanks Simba for addressing your side pia
Ebu fanye kazi nyinyi ni watoto wa mama moja na huyo mama ni Africa😂😂 mshikane mikono alfu mnazeeka mjue 😊leo ni diamond kesho ni mtoto wangu yaani mtakufa na muche wengine wakitubuiza watu wanaendelea kuzaa na wanazaa wasanii wakubwa wakesho ❤❤❤
We ulisikia wapi 😅
@DavidAnindoPeter-d4n 😝😝😄sasa wataishi kugombana mpka lini na nn sababu
Suadakta
Kenya 🇰🇪 simba❤
We thank God, God has manifested Himself in kenya. Decided these pple willn't step on our country. God! Protect our country
Kenya for Jesus.
Kenya for ❤
Tangu 2009 you are my favorite artist of all time ❤
thank you broh,, Diamond you worked hardly for what you achieve ,,God bless you
nakuerewa xna bro najua unapitia wakati mgumu xn kwa sababu ya umarufu wako ni weng wanatamani wakushushe ila awajui kuwa aliyekupandisha ndiye atakae kushusha mwenyez mungu azidi kukulinda
Naomba Mungu Diamond umtumikie Mungu kwa sauti aliokupa, huwa na kupenda sana na hata naamini unaweza tumika katika ufalme wa Mungu kufanya makubwa. Alafu sasa mkishikana na zuchu kipenzi chako mambo shwari. Naomba siku ije uanze kumtukuza Mungu. Una roho safi sana hata kuliko wengine wana tumikia Mungu. Hata huyo Zuchu ni mwanamke ana heshima sana na wana heshimu Mungu sana. I have been watching you sana. You are not hypocrites. Msalimie mrembo wako Zuchu sana.
Wacha bangi 😁😆😎
Diamond you are the best man hupendi vita be blessed
Ata angetaka vita hangeweza..kumbuka this is Kenya, The Gen Z territory....akuna PÐD uku
See what Harmonize said three years ago then come back and comend
Diamond is blessed because of his respect....He respect even religious.
Huu ndio ukomavu na welevu katika kazi ya Sanaa. Clarity is crucial when misinformation arises. Keep it wise as usual.
I like this guy ❤
Hapo Diamond aliogea ukweli kabisa eko Simba ❤❤❤
Diamond, sisi ni mandugu wa Afrika Mashariki. Wakenya tunakupenda 🫶🏾🫶🏾🫶🏾❤️❤️❤️
Nimewai kupingina na AY akidai kuwa kwa sasa Tanzania tunaimba amapiano tunauwa bongo fleva... Kiswahili amapiano ndo imeileta amapiano EA. Kiswahili ni bidhaa... Ni wewe kuamua iyo bidhaa uiuze tu nchini mwako au pia na nje ya nchi(for export). Kiswahili amapiano ilikuwa ni kuborosha kiswahili kama bidhaa kuweza kuuzika nje. Ata kama tukiwa na afrobeat za kiswahili zenye rythm ya Nigeria ni sawa... Huo ni uboreshaji wa kiswahili kama bidhaa... Well said Diamond. Ubalikiwe sana... Nilishangaa Eric Omondi akiwataka wa Kenya wasikilize nyimbo za Kenya, kwa uboreshaji upi wa kiswahili kama bidhaa kupitia muziki... Life is controlled by vibration and vibration is in music, every note in music gives what feel... Unaimba nyimbo ya mapenzi lakini sound yake nikama mpo vitani...
HUYO AY ANA ZEEKA VIBAYA YEYE MWENYEWE ALIKUA ANAFANYA HIP HOP LKN NI KWA KISWAHILI !
SO ANATAKA KUTUAMINISHA HIP HOP NI MUZIK WA KITANZANIA ?
WE ALL KNOW WHERE THAT HIP HOP IS ORIGINATED FROM !
@@nuruworldinsight2957 unahakili sana jamaa angu❤❤❤❤
Diamond, you've maintained and grown up on your own. Instead of learning from you, they want to bash you. Kaa gangare, you're one of the best na hapo ndipo shida iko. Sasa utawajuwa hawa watoto wa shagazi Halima, uwivu na blame ndio wanajua kulea badala ya kujiimprove. Jua ku deal nao. In the end, all we got is ourselves and our Big Mama Africa Land. Let's keep the Love.❤❤
Mnafiki mkuu
Nakupenda sana daimondi upo bz na mambo yako
ZIMBABWE all the way love for you since day one Platinumz, we ndo uwezo wangu mm kujua kiswahili pia nakupenda taifa Tanzania @diamondplatinumz
waoow nmekupenda karib Tanzania
Prayers from powerful men of God didn’t allow your demons to even perform there. Jesus Christ is the greatest. Oh, the lord is the greatest
@@AdrienneZahigayou said it🎉🎉❤
Lukuga😂❤❤❤❤ more 💕
Diamond platinum you the boss of those young ones like willy Paul willy Paul ni mtoto mdogo sana Fanya tuu kazi my diamond platinum together we go
Ni mtoto bt strong hajaoleka Kwa PDD
Uzurii ww si mamaake ukumzaa 😂😂😂
C ni ww ndie mamaake
Watu kama nyinyi mnafaa kuchinjwa,,we have to support our own
Fact tunafuraha kubwa Sana Tanzania kuwa na msanii mwenye hekima na adabu ya Sanaa asilimia ukifwatilia wanaomchukia mondi woote ni ishu ya mafanikio tu lakini mungu waajabu Sana fikiri kila siku mnavyozidi kumchukia anazidi kutambulika kimataifa zaid
You are a brand, let them respect the brand. As a Kenyan, i totally understand Willy was chasing clout. Let him go and perform in other countries and get the same treatment. Pole sana kwa niaba yao, karibu tena.
Nakukubali sana uwa ufatilii mambo ya kijing wanazusha meng lkn upo bz big up sana mwamba
It all about love. We are one.Wakenya ni ndugu zetu watanzania.
oooh sawa,siungesema ivo 😅
Diamond uko sawa ,,, its all about love thankyou 😮😮
You are brothers .. please let love and respect each other . Sisi sote ni washwahili and the whole world is looking fot us.
Diamond we unaakili sana kumbe wasanii wakivuma Tanzania unawafata unashilikiana nao hugombani nao unajiuliza kwanini wamevuma ichini kwetu kwa staili iyo hushuki Leo wakenya ukivuma kwao wanakugombeza hawaji kujifunza kwako
❤much love from kenya sorry bro you got maturity
Kivyangu MMI wasanii wote hawana makosa Ila management ndio ilikosea haikupanga mipango zao vizuri Hao ndio wakulaumiwa
I think u , the 2 of u got heat ❤❤❤
Umeeleweka Simba Dangote.
Kwanza mshukuruni Diamond kwa kungoja maana wasanii wengi wakubwa huenda kwa mda , Diamond alisubiri vurugu liishe 😂😂😂 Also I'm a Kenyan and i am a fan of Good Music , Tanzania has good Music...and i listen to bongo just as much as i listen to kenyan Music
Is a spiritual matter 😅😅😅
Simba ❤❤❤
iyo chain ya Yesu umetisha.
Yesu au miungu zao. Hizi misalaba ukajua historia yake na kwanini wanazivaa utaogopa sana.
Mweu
@@athumaniamiri880
Kwakeli diamond organiser ndio alilala darasa 🙏🙏🙏
Zamani nilimchukia Diamond alikuwaga na utoto. But listening to this I think he has matured and he is very wise now. Ukimsikikiza hapa anavo reason hutoona ahaja ya kusikiliza ujinga. Sasa msanii mkubwa si anapandaga mwishoni? Sasa Diamond atakuzuiaje kwamba usipande kabla yake ili aonekane mdogo kwako au??😂😂😂😂
From Diamond statement if that is the case then the management ndo inarudisha wasanii wa kenya nyuma .... Charity begins at home alafu mnataka kujifanya hamkuona vile willy paul alifanyiwa madharau nkt
diamond upo right kabisaa tatizo letu wakenya hasa baadhi ya wasanii n chuku na uzembe .Na hautatupeleka popote
Nimependa sana umeongea busara za kiutu uzima asante utafika mbali sana zaidi ya hapo ulipo umekomaa kiakili na kimwili
muziki wa bongo uko juu sana kenya ujinga ndio mingi,,,mimi ni mkenya na nmeongea ukweli kwanza huyo willy paul scandals na hairstyles ndio mingi kuliko muziki anafanya
ila Simba bana umemunyosha ata jina hajamutaja 🙌🙌🙌hata jina kama vile hamjui safi kabisa😂😂
😂😂😂😂kweli aise
Kwani ni nani?
If you know that this man his mature kwa statement yake hakuna mahali ametaja Willy Pussie....but huyu mkenya wetu willy pombee kila time anataja jina la diamond for kiki
I'm Kenya l love diamond venye ana bidi Kwa kazi yake Willy pol simsani kabisa
Simsani ndio nini??
Mbona ratiba haikufuatwa, that's why i love king kiba sababu hana kiburi.
Tumekuelewa mzee abdul
simba Tanzania yote tupo naww chamsing jali heshima yako vurugu vurugu unaondoka jaman sisi tushafika mbali❤
ila mond wewe ni mwerevu Sana..big up!!
WATANZANIA NYINYI NI NG'OMBE..DIAMOND Wewe MBWA
Team alikiba ...ila swala linapokuja Tanzania kenya wekeni dampo Simbaa la masimbaaa
Kenya sio mbogo lala we Mke wa P didy matako
Napenda sana Chaine unayobyivaa injili ya yesu iende mbele
Injili gani nawe. Unajifanya hujui huyu jamaa ndiye devil worshipper mkubwa east Africa.
it all about love. Thanks kaka D
We love you diamond and Zuchu nuff respect 🫡
We can’t wait to see you in New York City 🏙️ 💎⭐️❤️🏙️🇺🇸🇺🇸🇹🇿🇹🇿
Wakenya tunakupenda sana mond
Yn umeongea point mondi watching from 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
We stand with Diamond platinumz not every person in Kenya anakubali kibamia au utoto wa lack of maturity from willy poze..lets admit it Diamond platinumz is loved in kenya too and Eastern Africa in general..poze akwende huko .
Let poze mature up
It's all about love guys...afu Kenyans bhanaaa😂😂😂
Mimi ni mkenya na ninapenda miziki zote za east africa,
Ninapenda, wakina marijan rajab, vijana jazz, mbaraka mwinzeshe, Diamond, wanakwaya wote wa TZ,
kwa hio hii upusi ya ubabe mimi ziko huko.
Diamond we ni mutu muzuri Sana ambae hupendi ugomvi wala kelele waache waseme ya kwao Kesha watanyamanza tu
I wonder what wrong some people 😊😊just kutubuiza watu but respect guyz siko upande wa Diamond or puzy kwa sasa kila mtu uko na ukoo wake ni vile vipaji viko karibu kufanana lakini upokeaji ni tafauti😅 utapika chakula kikawa na radha kitakuliwa na watu wengi 😊😊
Wanawivu hao wewe ni hatari.upo vizuri mond nakukubali sana achana nao na majungu yao
Simba siku zote🇰🇪
Well said platnumz
Simba la masimba dangote🔥🔥🔥
Siss wabongo tuna roho za utulivu sana ila sio kenya. Bora Uganda wametulia
We are Kenyans blood comes first 🥇
Diamond platnumz I support you even if am a kenyan achana na poze wivu inamsumbua
Hajui watu wamepambana kiasi gani mpaka kufika hapo.ambane astake kutumia mgongo wa kobe kufika sehemu fulani,
we si mkenya wewe..
Surely you can dare say that really
Uo simusalaba ww kaka,acana na ayo maisha njaa aiwez kuku uwa...u star nimaisha fake
diamond uko mature sana tunapenda jinsi ulivyo handle his maneno
kabisa mchizi 😀😀😀😀
Naskia tu vurugu,😂😂all those minutes ni vurugu tu..
😂😂😂😂😂ata mm
Well said Simba🎉
Simba🙌🙌
Simba mwenyewe..... Huyu willy Paul ni kuku au kunguni... Yuko Chini Sana Sana...... Much love from kenya
😂😂😂😂😂
Acha ushabiki wa kijinga tatizo ilihanza kwakubadilisha ratiba sababu willy ndo alitakiwa kuhanza kabla ya huyo diamond mwenu but mda wa willy kupanda waho wanataka diamond apande kwanini.? Acheni ujinga na unafki
@@vyaduojUna uhakika iko ni kiswahil ujui ata kuandika😅😅😅😅
@@WassanirBabyWe unajua kwani iyo kiswahili😂😂😂😂
Ng'ombe wewe
Yes tunakupenda bro
Most of my music is you. Find one collabo na Kenyan artist 🎉
Kwa sasa views za Willy Paul zimepanda Sana mumeona kweli ebu tafuta Willy Paul TH-cam ❤❤
Much love masimba dagote Mii mkenya🇰🇪🇰🇪bt nakutambua 😘😘from Saudi Arabia
Broo au dogo nina Kuja vizur kwa nn umejibu hii dog wak7enya muda mwengi wasamehe bure tu wew chef godleve kweli inatakiwa makes kimya sana cc ela wawo siasa
What Willy says and what Harmonize said three years ago can't be fiction. Diamond wacha ufisi/kinyongo. Tumekuhama huku
What I can say is, I blame the organizers. What a shame that a highly awaited show ends up with embarrassments! Unnecessary hate only divides people. As African artist, you should love and respect each other and not try to imitate the Westside and Eastside hate. What is the beef about? Looks like this did not start on that Furaha performance. As an African and a supporter of African music, I am very disappointed! If so as Diamond says, he was the headliner, who ends the show, so why would the organizers not let Poze perform before? And Poze should not have tried forcing himself to the stage, even if he felt the organizers were against him. Trying to force your way through was stooping low. You are a big name in Kenya and should have played it like Diamond did. And for you the organizers, it is important to follow the program, not keep artists hanging for hours. I am a Kenyan too and I can say, this was not Diamonds fault. I still love both Tanzanian and Kenyan music. This will not make me hate neither of the artist, be it from Kenya, Tanzania, or any other African country for that matter.
We cannot be forced to buy and support non entertaining music simply because the artist is Kenyan, let's encourage our Kenyan artists to compete regionally and internationally.The likes of
The likes of Willy Paul have been in the industry long enough and should have been able to build a brand through their music and not chaos,but they have failed
Apo angepanda angewajua wakenya manager katumia akali
We love this guys music
Safi kabisa🎉🎉
Xix wasani wakenya 🇰🇪 bobby zng
Simba ukirudi Kenya Leo hii tutakuachia stevo simple boy
Ni mpambanaji, mbunifu, asiyejali majungu...
Wise man
mi nimkenya bt wakenya wanajua diamond ni moto, uyo poze ni mschanna tu
Hamna KiTu Diamond kuwa true
😂😂Mzee umeongea meengi but its all about spirits..😅😅😅😅kuliumana that day bila shaka spiritial war was heavy mzaee ukachimba😂😂
Kabisaa😂
Huo ndio ustaarabu Diamond
Daaah😭😭😭😭 wil Paul alikuwa anatafuta tu kiki daah
Wewe perform nchi yao chorea Kenya.
Unajiita Simba ,Simba apigwa maji na p.daddy
Pole kaka kikbwa Ni mzima tu