LAVA LAVA AKUBALI KUONDOKA WCB DIAMOND AFIKIA MAKUBALIANO HAYA DUDU BAYA $ JS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 40

  • @MapigoTV-tz
    @MapigoTV-tz 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Dudu usiongeze kufanya interview na huyu fala. Sijapenda kabisa. Hajui kuhoji alafu anaingilia majibu. Nimeumia sana 😢😢

  • @MapigoTV-tz
    @MapigoTV-tz 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Mtangazaji SHOGA wa ovyo sanaaaaa

    • @MasaeoudSudi
      @MasaeoudSudi 40 นาทีที่ผ่านมา

      WA TZ ndivo walivo

  • @iddsimba3849
    @iddsimba3849 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Mbona mnatangazi fala sana unauliza maswali ya kijinga kabisa alafu humuachi mtu akamaliza kujieleza 😢

    • @ItangoMsabila
      @ItangoMsabila 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      dogo anazngua kchz yan saiv sifatilii interview zake

  • @salimbilali5174
    @salimbilali5174 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Aimbe qaswida 😂😂😂

  • @abuumohamed7090
    @abuumohamed7090 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dudubaya anajua mziki

  • @12345678938129
    @12345678938129 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lavalava aliachaga style yake alianzaka nayo ya kulialia, za mapenzi. Baadae akabadilisha na singleli, Amapiano na zingine. Angebaki na style ya Go Gaga

  • @eddyedduu6912
    @eddyedduu6912 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu mtangaziji una kimbele mbele sana. Unamdomo sana.

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 14 นาทีที่ผ่านมา

    Nimeanza kusoma coment bila kutizama interview,,na wala siendelei kuangalia coment nyingi zinamponda mtangazaji ,,na mie sipendi mwandishi kiherehere 😂

  • @gudayakutemile577
    @gudayakutemile577 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtangazaji miyeyusho Hana time baina ya swali na jibu

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nampenda Lavalava ♥️

  • @chibudangote0126
    @chibudangote0126 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    VIPI KUHUSU K2GA NA TOMMY FLAVOUR MBONA HUWA HAMUWAONGELEI HAO??

  • @LucyMgopa
    @LucyMgopa 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtangazaji Ana kerasana aiseeeee

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    konki kwani unajua kila kitu 😅😅

  • @recapsultan24hr
    @recapsultan24hr 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nilicho elewa huyuu anare muhoji duduba...Ana mchukulia poa dudu bayaa...kunabmazingira yabmasihara Yana boa mzee ebu tulia tusikilizee point

  • @PEDELITV
    @PEDELITV 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwanangu utangazaji sio fani yako tafuta kazi nyingine

  • @tinamalia7466
    @tinamalia7466 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lavalava my man❤

  • @chrismamesofficiel1996
    @chrismamesofficiel1996 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ili jama linahoji nini nadhani kwamba ndo mala yakwanza kuoji ndomaana yupo hivo yani Hana lolote.

  • @recapsultan24hr
    @recapsultan24hr 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uyuu jamaa Ana hojii vibayaa Ana dakia Sanaa maneno ..Ana zingua Ana katisha uhondo wa mahojianoo

  • @MaguroGoodluck
    @MaguroGoodluck 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uko sawa honey

  • @MbeleciMukandama
    @MbeleciMukandama 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Na uyu jama mdaaa umefikia akapiganie afya yake ache kuongelea watu una zeheka vibaya

  • @titus_maridhia
    @titus_maridhia 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bora Dudubaya amuhoji mtangazaji

  • @diagfinamix1861
    @diagfinamix1861 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa konki akiwa amumwa amekosa hela ya kunyowa kweli? Sizani . Mzee unaeshi mjini swag inatakiwa sometimes hao wajama mna kaa wote labda wanaogopa kuku shitua bwana .

  • @kashindijeanmarie6207
    @kashindijeanmarie6207 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtangazaji inabidi jiongeza inabidi uwe full update kwenye story sio kucheka cheka inapo ulizwa swali

  • @manustonleonard9047
    @manustonleonard9047 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Bro rudi shule tn ujui kuoji

    • @Junior-yy6uv
      @Junior-yy6uv 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ameboa sna

  • @lucasmaganga8861
    @lucasmaganga8861 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe mtangazaji mpumbavu sana, unapoingilia kati wakati unapewa majibu nyamaza kwanza

  • @Ruu974
    @Ruu974 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtangazaji mjinga mjinga

  • @zeshsulesh6084
    @zeshsulesh6084 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtangazaji si unyamaze,unakera

  • @vandeskull8407
    @vandeskull8407 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    talk at tim3 not to jump on topic mtangazaji mjuaji na hajui give chance to you client to finish up your questions

  • @Kasika-hi6hf
    @Kasika-hi6hf 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu mtangazaji anaboa

  • @MapigoTV-tz
    @MapigoTV-tz 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uyu Mtangazaji gani jamani??? Mbona mnanisngusha Kiherehere cha nini??? Ameni boa sana

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq 25 นาทีที่ผ่านมา

      Ni wale wa mitaani ambao kila ukiongea atataka amalizie yeye. Mkienda sinema atataka aelezee nini kinafuata kwa vile akishaiona hiyo film. Wapo wengi na wanaudhi kweli kweli 😢

  • @kizazisanagang
    @kizazisanagang 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hili linalohoji linajiona jijuaji sipendi jitu la ivo mapumbu yako dogo gauze mbege no no no no sense

  • @danielmacharia9603
    @danielmacharia9603 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kingereza huku kenya mtoto wa nursery anaongea tena harmonize anasoma kingereza kwani hakusoma nursery

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq 19 นาทีที่ผ่านมา

      Acha upumbavu wewe. Utamaduni wa Tz na Kenya ni mbingu na nchi. Wanaodhani vinawafaa wanajifunza. Wasiohitaji ndio hivyo. Sio kila mtu atakuwa unavyotaka weye .

  • @ItangoMsabila
    @ItangoMsabila 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    brother hujui kuhoji mbona unakua unamhoji mtu afu w ndo unataka kujbu w fara sana kafanye kaz znngne

    • @Junior-yy6uv
      @Junior-yy6uv 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂