MGAMBO WA KIKE AJINYONGA ''MUMEWE ACHANGANYIKIWA'' MAJIRANI WAMLILIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 35

  • @katibatanzania3089
    @katibatanzania3089 4 ปีที่แล้ว +2

    Inaalilahi wainalilahi rajiuni mwenyezi mungu ailaze mahali pema Peponi roho ya marehemu ampe kauli sabiti na mwezi huu wa ramadhani

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 4 ปีที่แล้ว

      Ameen yarabil alamyna

  • @razackbakari749
    @razackbakari749 4 ปีที่แล้ว +5

    Maisha nikazi yamungu tusijikatie tamaa yakimaisha ata yatukute matatizo vipi tumkabidhi mungu atayatatua matatizo yetu ata isiwe muda kwamuda unaoutaka wewe ila atayatatua tu pia tusiwe wasiri katika mambo yetu yanayokutatiza maishani mwako tujalibu kubadilishana mawazo mtu mpaka kafia kujinyonga mawazo yashafika mwisho ii nimbaya saana

  • @tanzaniawildlifeprideoftan5070
    @tanzaniawildlifeprideoftan5070 4 ปีที่แล้ว +6

    dahaaaaaa msongo wa mawazo m baya sanaaaaaaa

  • @zaynabali6109
    @zaynabali6109 4 ปีที่แล้ว

    2020 ina mambo mengi sana jamani yake mbele sisi nyuma aaaaah😭😭😭😭

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 4 ปีที่แล้ว +1

    Pale unapokuwa na matatizo na ukakosa hata wa kumwambia tuache kakaa na vitu moyoni. Inalillah waiina irayhi rajioun

  • @rehemaothman2185
    @rehemaothman2185 4 ปีที่แล้ว +1

    Duuh mungu amjaalie kauli thabiti

  • @majaliwamsigwa3974
    @majaliwamsigwa3974 4 ปีที่แล้ว +4

    Hilo ni pepo

  • @HamisiLeon-vx5ep
    @HamisiLeon-vx5ep ปีที่แล้ว

    Mgambo wamekuwa wala rushwa sana tena wamekuwa wakiwasukuma watu kutopesa ata pale haikubaliki. Tena wanaokaa kwenye mageti ya ushuru wa mazao

  • @nestorydevans1348
    @nestorydevans1348 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu wa mbinguni atuhurumie yote kwa yote

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 4 ปีที่แล้ว +1

    Mmesongamana bila tahadhari yoyote
    Jamani tuwe serious na hili janga

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 4 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji nyumba inauzwa hiyo kuwa dalali Sasa tutajie na Bei naona mazingira Ni mazuri kijani kinatawala

  • @noot-oe2mw
    @noot-oe2mw ปีที่แล้ว

    Inalilah wainalilah rajuuni

  • @supumoto6819
    @supumoto6819 4 ปีที่แล้ว +1

    Aisei POLENI sana

  • @blasidajulius2240
    @blasidajulius2240 4 ปีที่แล้ว +1

    Pepo baya sana hilo lakujikatisha uhai

  • @nurumohd3937
    @nurumohd3937 4 ปีที่แล้ว +1

    Mmmmh kuna watu wanamatatz lkn huwajui unakuj shtukia tu kashajinynga hujui kapitia wakt gn😯

  • @tumakassim6286
    @tumakassim6286 4 ปีที่แล้ว +1

    Innalillahi waina ilaihi rajiun

  • @naimanurdin8984
    @naimanurdin8984 4 ปีที่แล้ว +1

    Ina lilah waina ilaih Rajuun

  • @haomymilkshakejuice7147
    @haomymilkshakejuice7147 4 ปีที่แล้ว

    Innalilah

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 4 ปีที่แล้ว

    Wamedhurika hao mume na mke wake, mazingira sio mazuri

  • @josephsijaona4510
    @josephsijaona4510 4 ปีที่แล้ว

    R.I.p

  • @aby21111
    @aby21111 4 ปีที่แล้ว

    Futher investigation please, she has no reason to commit suicide.

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 4 ปีที่แล้ว

      How did you know??

    • @aby21111
      @aby21111 4 ปีที่แล้ว

      @@damariszuckschwert9489 Doesn't make sense that's why I said further investigation 😎

  • @mrsochu-hv7bm
    @mrsochu-hv7bm 4 ปีที่แล้ว

    Muache aende akaikute adhabu yake
    Maana mtu ukijiua ni dhambi nyingine

  • @salmaramadhan5386
    @salmaramadhan5386 4 ปีที่แล้ว

    RIP

  • @zainabubakari5963
    @zainabubakari5963 4 ปีที่แล้ว

    Jomani kwetu kabisa

  • @mtabeagusti4553
    @mtabeagusti4553 4 ปีที่แล้ว

    rip

  • @johndieme6402
    @johndieme6402 4 ปีที่แล้ว

    Najuhazarake anawezajiuwa shetanimutumbaya

  • @charitykikoka6468
    @charitykikoka6468 4 ปีที่แล้ว

    Dah jmn

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 4 ปีที่แล้ว

    Depression is real

  • @johndieme6402
    @johndieme6402 4 ปีที่แล้ว

    akose mumewearimureteya mafikiri

  • @dottosalva720
    @dottosalva720 4 ปีที่แล้ว

    R. I. P