Umekua mtumishi wa baraka kwangu Sana,,,umenisaidia kuijenga imani yangu Sana na Mungu katika mafundisho yako,,, thanks and i received in Jesus name.
Amen in 2024 my first time to hear this powerful sermon, let Thy Kingdom come... haleluya
Pastor nakupenda tu bule hufanya nicheke sana
Amen nimepata jibu ya kilio nilicho nacho ubarikiwe sana Apostle
Very powerful message from I receive this message in Jesus name amen
Thank you my lord for this good teaching and a good teacher, amen
Pastor nabarikiwa na mafundisho yako natamani kuwa mmoja wa waumini wako
Mtumishi nimekuelewa. Hakika lazima siku moja ndakaja hapo kanisani nikija Tanzania. Ubarikiwe Mtumishi. Mungu aendelee kukufunulia zaidi maono yasiyo na kipimo
AMEN.nimebarikiwa vya kutosha na neno hili.kweli limetoka kwa Mungu wa mbinguni kabisa. Ubarikiwe sana apostle kwa ujumbe mzuri namna hii.nipo CANADA QUÉBEC lakini nimejikuta nikiwa nanyi pamoja tanzania kwenye hilo ibada. Mungu awabariki sana.
Nakufuatilia sana mtalemwa , by the way I'm blessed alot with what you are preaching
Mungu akubariki apostle nimejifuza jambo kubwa sna.Ufalme wako uje na Mapenzi yako Mungu yatomizwe maishani mwangu
Asante chief Apostle,, sjawah kukusikiliza nikatoka mtupu,,kila siku unanitoa ujinga na upumbavu, kwa mafundisho yako,,Mungu azid kukuinua,,kwa viwngo vingine,, weng unatuponya
Barikiwa sana mtumishi wa mungu nabarikiwa sana ninapoangalia mahubil yako
Mtumishi wa Mungu unanibariki kabisaaaaa ktk mafundisho na sijutii muda wa bando langu, video zako NASHARE wengine wapate madini uliyo nayo, namshangaa huyu Mungu muweza akuinue zaidi na zaidi. Karibu Arusha Jiji utuguse wengine huku tujitambue tunakokosea kuomba. Asante sana.
What a powerful message with deep teachings & revelation..more wisdom from above..be blessed Apostle Mtalemwa..long life..Shalom!!!!
Unajua kufundisha. Hadi raha barikiwa Sana mtumishi wa mungu
I feel it this is the word of God,I love you pastor.
Asante Apostle nabadilisha uombaji wangu kuanzia sasa ubalikiwe sana
Thank you man of God for this teaching know l know how to pray 🙏🙏🙏 connecting with this channel is a gift.
Indeed we r soo foolish have mercy on us God and give us the grace to seek God first and his righteousness and all these other things shall be added unto you.HAALLEELLUUJJAAHH!furaha yangu ni kuwa na Yesu, I beg no more I command,I'm in the kingdom of God oh! this' ideal very powerful
Powerful teachings...May The GRACE of GOD be upon me!!
Ameen. I connect me & my family. Haleluya. ✋👍💪
Blessed be the name of the Lord for Apostle Mtalemwa Glory to God for this ministry I'm truly blessed this Monday morning.shalom
God bless you so much for your teachings apostle I have learnt a lot .
Ameni Ameni Apostle
Asante Mtumishi wa Mungu nimejifunza kitu
I connect and i Receive with my family in JESUS name AMEN
Asanteeee APOSTLE MTALEMWA. Hakika Huu ni ufunuo Mkubwa mno. Binafsi nilikuwa Naomba Tu pasipo kujua Ufunuo Huu!
amina mtumishi! ubarikiwe sana
Asante sana ntumishi kwa neno lako🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 namini nimebarikiwa, mungu akushidishie nguvu za kinabi, ili kanisa lipo sehemu gani? nikija Dar es salam nataka nije, mimi nipo Moçambique Mueda.🙏
Aha this' my aha moment last night ,today is Nov 9th last night I read mat.6 on seeking God first as I meditated on the verse I wondered how is to seek God first ahaaa nimepata jibu I've been out of the kingdom for a long time but NOT anymore thank you Jesus Christ for answering me.Amen
Asante pasta leo umenikumbusha wajibu wangu ubarikiwe
Amen powerful watching from kenya
Powerful teachings ....feeling blessed
Ameeen nimebarikiwa sana nimejifunza kitu muhimu sana maishani mwangu
I feel spiritual maturity just after this word of God from Chief Apostle, let his Kingdom come and his wishes be fulfilled in Jesus name....amen!!
I agree with you entirely this is where the secret it. Thank you very much for that revelation. God bless you Sir.
Mungu wa mbinguni akubariki sana mtumishi
Asante sana mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana
Ameni. Mtumishi ubarikiwe
Asante chief hii ndo cku niliempokea Yesu kuwa bwana na mwokoz wangu
Wewe iyo sawa balikiwa sana safi safi safi sana
AMEN, wonderful messages to God be GLORY forever and ever. ❤🙏
Asante kwa ibada zuli sana ubarkiwe
Asante Apostle. Sasa ni mwendo wa Ufalme wa Mungu na Haki Yake... Mengine Tutazidishiwa. Nimekuelewa sana Apostle wangu.
Amen napokea
Asante Mtumish wa Mungu nimebarikiwa Sana na mafundisho mazuri.
Ameeeeeen pastor nabarikiwa sana na pia najifunza
Thanks Apostle Mtalemwa..POWER
Yaaani hua nakuelewa sana Apostle Mungu akubariki sana Baba nakuelewa mmmmnooooo
Wakati wa watanzania kufunguka umefika. Shusha Verse Chief! Wataamka tu.
Hello...thank you very much..
Hahahahahahaa dah apostle me sidhan Kama Kuna mtu atasahau mafundisho wako,
More Grace Apostle,so shall I grow spiritual in Jesus name Amen
Thank you chief for teachings
Nimeona. Mungu akinivusha zaidi kwa kupitia maneno yake yaliotumiwa na Mtumishi
Thank you my Chief, may God bless you. Sikujua namna ya kuomba hivi thank you Jesus for Chief apostle Mtalemwa
Neno la Mungu linasema jooni kwangu ninyi nyote mliuyo zidiwa na mizigo nami nitawapumzisheni haya nimafundisho ya kimwili umba chochote uwezavyo
Mtumishi imeandikwa make mwema anatoka hivyo lazima mtu amwombe mumgu ampe mke mwena watu wa Mungu wanaangamia kwa kukosa maarifa
Amen amen Chief Apostle
Amina Chief wangu asante sana mtumish WA Mungu
Naangaliaga video za huyu mtumishi wa Mungu, Kanisa ili mmebarikiwa sana,, naomba Mumtumie vizuri hakika mtakuwa wa tofauti
wow Amen Amen Amen be blessed
Amen and Amen Hallelujah Glory be to God
Ameni Mungu azidi kukuinua nafarijika.
Thank you Apostle for teaching
Asante Yesu
I hear you well well Chief Apostle... learnt 🙌🙌🙌
It's turuu chief nakuelewa mno
Mimi pia mchungaji huwa nakuelewasanaaaa ubarikiwesa mtumishi wa MUNGU sijutiagi bandozangu
Amen kabisa nabii umesema kweli ASA mtumisha Wa Mungu
Amen sante kwa mafundisho papa
Be blessed Man of God for wounderful revelation
Amen chief apostle well gotten
I receive in the name of Jesus
FUATA Kanuni ndo UPATE! POWERFUL.
Oooh yes! Ufalme wako mungu uje utawale maisha yangu
Ooh😢 asante baba
O my I like this,,
Unaongeya kizungu saana kaka
Pia nauliza faya anointing oil naipata wapi
Be blessed
Ujumbe huu ni mzito sana, Mungu tusaidie tuutafute kwanza ufalme wa Mungu katika maisha yetu.
Sema mtumishi tupone
Amina mtumishi nelielewa kabisa lakini suluwali kwa mwanamke akiivaa anakuwa yupo nje ya ufarume maana naona wamevaa sana
Nisrme nini juu ya hayo,,
Zaidi ya kuomba Rehema na toba kwa MUNGU,, ili niwe mtoto wa Ufalme wa MUNGU,,,,,,
Maana nilahisi kujiona kuwa ni mtoto wa MUNGU kumbe MUNGU hakutambui hivyo Eee YESU tuhurumie, tusaidi sawa na Mapenzi yako Ee BWANA YESU AMINA AMINA AMINA
Barikiwa sana Mtalemwa
Thx dady
Powerful message
Apostle Leo nimepata kitu kipya kwenye mafundisho yako
Namshukuru Mungu kwa neema hii ya kuwa chini ya Mtume mtalemwa na kulelewa kiroho. Hakika nakua
Asante baba nimeelewa somo Hili
Be blessed man of God
AMEEN Mungu tujulishe jinsi ya kuomba.!
Barikiwa,,, changed me
ni kweli kabisa tunapaswa kukua kutoka hatua moja kwenda hatua nyingine kiroho na hata kimaisha ya kawaida.
Good!!!!!
Thank you son of major 1 👏👏👏
Shalom, ,,nahitaji nifike hapo ksnisani
ameen chief
Ameni Baba ubarikiwe sana kweli Mungu akuinue viwango vya juu zaid kila ninapo fungua kipindi chako au video zako uwanabarikiwa tu na neno nauwa naamin napokea uponyaji yani uwa nataman siku mmoja za uhai wangu nikuone live nipokee neno la mungu kutoka lwako live in Jesus name amen