We thank the good Lord for being with you upto now,for healing you and granting you good health you've been through alot bro... I am very happy to see you here talking, laughing, being happy and getting your sweet voice back... All thanks to the most High.... Be blessed and get healed in Jesus name.. Dont you mind those who talked ill about you but focus on the positive comments and the love the whole world showed u.. Wish you the very best bro.
Kaka Ommy Dimpos God protect you always.... Kwa sasa mm nakuona baada ya kupitia haya utakuwa staa mwenye jina kubwa sana sana Africa. Stay blessed always and forever
This is serious and he should watch his back. This people might come back in another way. Ommy should not trust anyone but his family and i know he is a good friend of Alikiba that's all.
Dah! Umeongea vizuri sana, huna moyo wa kujibizana na waliokutarajia ufe au usiimbe tena kwa maana wao wana cord, thanks bro, always weak people Revenge, strong people forgive.
Alhamdulillah mungu ni mwema na kila limfikalo Maj Mola kashaliandika tunamshukuru mungu kwakukupa nafasi nyengine ya kuishi jitahidi sana kupata muda wakua karibu na Molla umepitia magumu sana jitahidi kujua uwepo wa mungu kaka angu nakupenda sana
POLE SANA OMMY USIJAALI HII DUNIA NI MTIHANI MUNGU YUPO NAWE USIJAAL KWA MANENO YA WATU AFYA YKO ITARUDI KWA UWEZO WAKE JALALI..GETWELLSOON OMMY BRO YOUR GOOD PERSON THO I DIDN'T SEE YOU BUT I CAN SEE YOUR KIND SPEECH👌
Kwani akimba hawezi kufanya ibada mnazan wasanii wote nikama domo? Unadhan kama mungu ndi kamjalia kazi yake iwe ya kuimba tu ndi anapatia rizk zake za halali wazan akiacha atapa wapi rizk kazi gani atafanya wakat hakuna alicho somea zaid ya mziki nyie muombeen nasio mumkatize tamaa ndani ya kazi zake anasali na anaimba hakuna baya hapo
Amina Fesali ww ni mwanamke wakiislam MashaAllah Umekwenda Madrasa unajua Quran ilivyo kataza mziki maadiko yote yako kwa Quran ukisoma jaribu kusoma na thafsiri utajua adabu ya Mziki kisha jiulize kwa nn Mzee yusufu alijitoa na akasema hataki Nyimbo Zake zichezwe Nenda kwa TH-cam andikika adabu ya anae imba na anasikiliza mziki ni ipi SubhanaAllah ukija kujua hutaskiza tena mziki.Mm nilikua napenda sana Mziki lakini niliposoma Quran Na Tafsiri yake Alhamdulillah nashkuru Allah ameniokoa. Siskizi tena Mziki tym yangu Naskiza Quran tu hapo ndio kuna manufaa na mafanikio ya kesho
@@swalehhaji7042 ona tunajua kilakitu ni haram hata kuomba pia na unaviungo kamil nidhambi huyo mzee yousuf alishajiwekeza kupitia kuimba nakapata faida ndi kaacha hata huyu ataacha akisha pata muelekeo kuimba na kuimba qswida yote nidhambi nahiyo hukum anaijua mungu sjui umenilewa? Ila sasa waslam wa skuhiz mnakua mnakariri tu sheikh fulan kasema hiki nidhambi ila hamsomi quraan vizur na kutambua kwanini ama vitendo gani vilivo sababishwa hadi kuwa haramu so nayeye mungu kamjalia kupata rizk yake katika kuimba na anamsujudia mungu ipasavo hakuna kibaya na ukitaka kunielewa nacho kwambia kasome kitabu chenye maandiko ya dhambi na uharamu wake ndi utaona nakujua nachokwambia
@@swalehhaji7042 naijua dini vzur na luumra naenda hijja nimenda mara moja ndi maana nakwambia soma dini ndi utofautishe anaetafta rizk kupitia nyimbo ama anae chafua dunian ya Allah kwa kinywa chake sawa ataimba na mungu atamsujudia na pepo yake ataikuta wacheni kukariri bana tumesoma dini qaswida zenyew dhambi kwanini watu waziimba kama ukikariri kuimba ni dhambi??
Ommy you are true definition of a Humble guy. God is really Good to you. God is God. He did it for you and you will live long for your greatful heart. Be blessed. Love you Bro!
Nafurahi sana kumuona Ommy dimpoz ame recover kwa kaic kikubwa, nikikumba ile last interview jamaa alikua hawez hata kutoa sauti, lakin leo sauti iko poa na anaonekana yuko na furaha, Mungu azid kukutetea broo. In the name of Jesus utaishi. Amen
God have the final say in your life ommy.people said you won't sing again but I have just watched your brand new song that is on 🔥 and supper amazing.God is not a respector of persons just have faith in him and trust him for complete healing.He Never fail neither change always faithful God
Sio pesa tu hata mungu asingempa akili yakwenda hospital ya inje angingangania hospital yahapo dar angikuwa kesha kufa we anaumwa kingine wao wanampa maradhi makubwa ya saratan hao madoctor wa tz wanatakiwa wachunguzwe vzur usikute wingi ufa kwa kuwapandikizia maradh wasiyo kuwa nayo hawa wa nitarejea walimpa maradh ya ini wakat anaugonjwa wa moyo jaman wanakwama wapi madoctor wa tz???
Mungu akuponye ommy.hakika nimependa unavyojibu maswali.huna jazba.kila kitu unamkabidhi ALLA.unasamehe wote waliokushadadia ubaya.inshaalaa mungu akufanyie wepesi.AMINA
Alhamdulilah kweli mungu hamtupi mja wake naendelea kusema pole sana kwa yote uliyo yapitia napia nafurah kukuona tena ukuiwa kwenye afya njema love u my brother @ommy
Glory to God ...Hakika haikua rahisi leo kuongea ukiwa mwenye nguvu na furaha ...Mungu ndie mpangaji wa yote akisema ndio hakuna wa kumpinga lkn pia tujifunze kuombeana Heri kwani wale wote waliomtabiria kufa au kutokurudi ktk hali yake Ommy leo wamebaki na aibu ..pia Mungu awasamehe pia na Ommy wasamehe bure
God is great..he's able I'm telling you there is nooothing too big for Him to handle. ommy has a great testimony. may the Lord keep you, serve Him Moore. May you find his fever...Amen
Allah is great Broo ashukuriwe yeye #Ommy dimpoz nimependa nyimbo yako ya shukran #Ni wewe nimependa saana but only Allah will protect you all the day maneno yawatu wachache yasikuvunje moyo nimependa pia ulivyoongea kuhusu huyu ndugu yetu #Steve ila asamehewe maana hajui alitendalo
My love @Ommy Dimpoz No weapon fashion against you shall prosper,My love you will live long your enemies will be put to shame they will never reach your Heart God protect you love,Walikuekea sumu wakusiage koo usiimbe but utaimba mpka washangae love you Hun😍😘😘❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Hekima Ni zawadi kubwa Sana....Ommy is really blessed
Millard you are a professional, you know how to interview not like most of Tanzanian journalists. Big up 🙏🙏
Thanx milard kwa kumleta ommy dimpoz mungu ampe uzima kama zamani inshaallah
Allah akuzidishie afya njema in sha Allah
Team kiba wote huwa ni wapole. Very gentle . God bless bless you guys
Pole sana kaka ommy mungu atakuponya kabisa
Ugua pole bro mungu yupo na ww far away
Real
God is good all the time Ommy mungu akupe wepesi ktk kipindi HK kigumu kwako
Glory Naphtari you forgot very mature too.
Umependeza Ommy....Allah is Great in many ways usimsahau muumba wako anakukumbusha uwe karibu nae
True sadra
exactly
Mungu ni mkuu.ila sio magonjwa yanatuuwa bali ni ukosefu wa pesa. Am happy to hear your voice again. Glory be to God.
Mercy Faith nikweli kabisa ni ukosefu wa pesa
Oooh!!! Mungu mkubwa kweli!!! #Ommy wlc ma bro I am your fan from Rwanda 🇷🇼
Mungu mkubwa
Pole kipenz cha Tz we happy to see u again god is greater
Thanks God kwa kutuletea ommy Dimpoz again,,,king music mambo yatakua mofayaaaa
Mungu mwema kwako songa mbele
VERY HUMBLE MAN, may God grant you peace n quick healing, BEHIND EVERY SCAR, THERE IS A STORY.
001 represented KE.
Ombea adui yako aishi Sik nyingi ili unapofanikiwa ajionee kwa macho. Tonga like kama umeisikia vocal nzito iliyosimama.
Alhamdulillah MUNGU ni mwema tunakupenda sana Ommy M/Mungu akupe nguvu zaidi uendelee na jukumu lako 🙇🙇🙇❤❤
Alhamdulillah Allah akupe shufaa ommy wetu
I thank God for your life ommy, nothing formed against you shall prosper
Imani yako kwa Mungu ndio imekuponya Ommy..Mungu aendelee kukuponya na kubariki maisha yako..Tunakupenda
God be with you dimpoz!!
Maureen Ernest mungu akuponye
Asante heee Mungu kwa kumubonya mukali wangu Ommy... Mungu usife milele
Sio ommy tu hata mm na ww pia tunatakiwa tusome kitu hapo tumrudie mungu hili nifundisho ommy mara ya pili unarudi kyfanyiwa opereshen so mshkur mungu
We thank the good Lord for being with you upto now,for healing you and granting you good health you've been through alot bro... I am very happy to see you here talking, laughing, being happy and getting your sweet voice back... All thanks to the most High.... Be blessed and get healed in Jesus name.. Dont you mind those who talked ill about you but focus on the positive comments and the love the whole world showed u.. Wish you the very best bro.
God is with you ommy...you are my champion
Mungu akusimamie ommy
Pole sana bro, Mungu atakuponya Inshaallah, na Milard ayo Mungu akuzidishie moyo wa kujitoa hvohvo bro
kennedy orina only God know's
Ommy
. 👚
Kaka Ommy Dimpos God protect you always.... Kwa sasa mm nakuona baada ya kupitia haya utakuwa staa mwenye jina kubwa sana sana Africa.
Stay blessed always and forever
Nampenda sana Omiy hana majivuno ya pesa Hb wa nguvu Mashaa Allah nakuombea kwa Mungu uzidi kukupa tahfifu
Pig point
Safia Abubakar ukopoa dada
ndioo
GLORY TO OUR GOD.....OMMY MAY OUR ALMIGHTY GOD BE WITH U FOREVER
Mtu naucheshi wake bhana, welcome back great ommy
Ommy nimekupenda sanaaaa,natamani uwe mume wangu niwe na ww kwa unayoyapitia,Alhamdulillah Allah azidi kukujaalia upoe zaidi na zaidi😍😍😍😍😍
Fatuma Said hahaha
hahahahah
Fatuma umenifurahishaaa hahahaaaaa
Hahaaaaaaaaaaaaaa
Nyie mnaodislike ndo mtakuwa wale mlomtilia ommy sumu😡😡😡 Mola atawashinda in shaa Allah.
Ommy baba Allah akujalie afya njema na umri mrefu🙏 🏻
Amiin 🙏🙏🙏🙏
Thumuu Mohammed hawajui kwa kulike hao
Thumuu Mohammed 😁😁😁😁😁me nlichogundua kuna wengne hawaelew like nd dislike wanajua vyote vko sawa
Aamiin
Thumuu Mohammed kk wengine awajui vialama vnamana gani
this guy is so humble before God.Ommy mungu anakupenda ishi kumtukuza kakangu watching from qatar
God is grt. Mob love from #254 . U r ma favourite💕Ommy
This is serious and he should watch his back. This people might come back in another way. Ommy should not trust anyone but his family and i know he is a good friend of Alikiba that's all.
Allah ni mkubwa kweli love from #254 ur my favorite ommy
Nancy and Fatuma its true.. our God is a God of second chance. Tunazidi kumshukuru God for healing our brother❤💕🎧🙏
jamAn ommy hakujua Kama atatoboa 2019 lkn katoboa piga yoweee kama unaamini Mungu ni mkubwa
Hakika
Mungu
Ni
Mkubwa
You won men
And we will always pray 4 U
Dah! Umeongea vizuri sana, huna moyo wa kujibizana na waliokutarajia ufe au usiimbe tena kwa maana wao wana cord, thanks bro, always weak people Revenge, strong people forgive.
m. mungu mkubwa tuzidi kumuabudu allah
Nimetazama mahojiano haya,nikakumbuka wimbo wa ALPHA --- YA MUNGU
Alhamdulillah mungu ni mwema na kila limfikalo Maj Mola kashaliandika tunamshukuru mungu kwakukupa nafasi nyengine ya kuishi jitahidi sana kupata muda wakua karibu na Molla umepitia magumu sana jitahidi kujua uwepo wa mungu kaka angu nakupenda sana
Jambo jema unalolifanya ni Kumshukuru Mungu kwa kukujalia Uzima broo Dimpo.
I think enemies is very near for us! But i believe in Allah. My bro Ommy remember Allah is everything.....Allah the Great.
Karibu kaka ommy mungu akulinde kweli
Munguuu hashindwiii kituu broo polee sanaa nimependaaa interview yako hakikaaa ya munguu mengi kwa situation km hilo appreciated much
Mungu akujalie mema ommy 🙏🙏🙏🙏furaha yangu sauti yako🙏🙏🙏🙏milard so professional to the questions 💪you will make it 💪💪
POLE SANA OMMY USIJAALI HII DUNIA NI MTIHANI MUNGU YUPO NAWE USIJAAL KWA MANENO YA WATU AFYA YKO ITARUDI KWA UWEZO WAKE JALALI..GETWELLSOON OMMY BRO
YOUR GOOD PERSON THO I DIDN'T SEE YOU BUT I CAN SEE YOUR KIND SPEECH👌
asante Mungu kwa ushuhuda wa ommy juu ya uponyaji wake, nakufurahia Mungu kwa matendo makuu unayoyafanya juu ya watu wako
Millard anauliza maswal kiprofession sana yan wish kila mtangazaji angekua hivi yan anauliza maswal yenye tija
Kuna jamaa anaitwa lilyommy wa times fm
@@santodelove4351 yeah ht huyo yuko vzur sana anauliza maswali kitaalamu
@@veronicacharles9197 okey nilijua aumfahamu
@@santodelove4351 namjua napenda anavotangaza af yupo kisanaa had raha ht leo nmeangalia interview yake na lulu yuko vzur
@@veronicacharles9197 well 🙌🙌🙌
Alhamdulilai sauti imerundi pole sna kwa mitihani ya Allah kazi tufanye na pia tumche mungu insha'Allah mmi napenda Millard ayo taharifa zke
Alhamdulillah Allah Kareem Pole sana Omy, kwanini Usioe Ukaachana na Mziki na Kujiweka upande wa Ibada na kua Karibu na Allah.
Swaleh Haji haswaa ndo anatakiwa afanye hvo
Kwani akimba hawezi kufanya ibada mnazan wasanii wote nikama domo? Unadhan kama mungu ndi kamjalia kazi yake iwe ya kuimba tu ndi anapatia rizk zake za halali wazan akiacha atapa wapi rizk kazi gani atafanya wakat hakuna alicho somea zaid ya mziki nyie muombeen nasio mumkatize tamaa ndani ya kazi zake anasali na anaimba hakuna baya hapo
Amina Fesali ww ni mwanamke wakiislam MashaAllah Umekwenda Madrasa unajua Quran ilivyo kataza mziki maadiko yote yako kwa Quran ukisoma jaribu kusoma na thafsiri utajua adabu ya Mziki kisha jiulize kwa nn Mzee yusufu alijitoa na akasema hataki Nyimbo Zake zichezwe Nenda kwa TH-cam andikika adabu ya anae imba na anasikiliza mziki ni ipi SubhanaAllah ukija kujua hutaskiza tena mziki.Mm nilikua napenda sana Mziki lakini niliposoma Quran Na Tafsiri yake Alhamdulillah nashkuru Allah ameniokoa. Siskizi tena Mziki tym yangu Naskiza Quran tu hapo ndio kuna manufaa na mafanikio ya kesho
@@swalehhaji7042 ona tunajua kilakitu ni haram hata kuomba pia na unaviungo kamil nidhambi huyo mzee yousuf alishajiwekeza kupitia kuimba nakapata faida ndi kaacha hata huyu ataacha akisha pata muelekeo kuimba na kuimba qswida yote nidhambi nahiyo hukum anaijua mungu sjui umenilewa? Ila sasa waslam wa skuhiz mnakua mnakariri tu sheikh fulan kasema hiki nidhambi ila hamsomi quraan vizur na kutambua kwanini ama vitendo gani vilivo sababishwa hadi kuwa haramu so nayeye mungu kamjalia kupata rizk yake katika kuimba na anamsujudia mungu ipasavo hakuna kibaya na ukitaka kunielewa nacho kwambia kasome kitabu chenye maandiko ya dhambi na uharamu wake ndi utaona nakujua nachokwambia
@@swalehhaji7042 naijua dini vzur na luumra naenda hijja nimenda mara moja ndi maana nakwambia soma dini ndi utofautishe anaetafta rizk kupitia nyimbo ama anae chafua dunian ya Allah kwa kinywa chake sawa ataimba na mungu atamsujudia na pepo yake ataikuta wacheni kukariri bana tumesoma dini qaswida zenyew dhambi kwanini watu waziimba kama ukikariri kuimba ni dhambi??
omy inaonekana Mungu amekujalia golden heart!!ase kep it up brazaa...Mungu akujalie busara na hekima zaidi..touching story...asee
God always is Faithful🙏🙏🙏
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ommy you are true definition of a Humble guy. God is really Good to you. God is God. He did it for you and you will live long for your greatful heart. Be blessed. Love you Bro!
We are the same
Mwenyezi Mungu akulinde Ommy 🙏🙏🙏
Esther Wambo be blsd Esther
Nafurahi sana kumuona Ommy dimpoz ame recover kwa kaic kikubwa, nikikumba ile last interview jamaa alikua hawez hata kutoa sauti, lakin leo sauti iko poa na anaonekana yuko na furaha, Mungu azid kukutetea broo. In the name of Jesus utaishi. Amen
Itakua Steve alichangia kukupa sumu allah akufanyie wepes in shaa allah
Abraham Lucas 😂😂😂
God have the final say in your life ommy.people said you won't sing again but I have just watched your brand new song that is on 🔥 and supper amazing.God is not a respector of persons just have faith in him and trust him for complete healing.He Never fail neither change always faithful God
Daah kwa mtu ambae hana hela ya matibabu kama hayo Angeshafariki zamani. Mungu akuponye Inshaa Allah
Mam Masud kbs
Mungu ni mwema amemponya mwanae amina
Sio pesa tu hata mungu asingempa akili yakwenda hospital ya inje angingangania hospital yahapo dar angikuwa kesha kufa we anaumwa kingine wao wanampa maradhi makubwa ya saratan hao madoctor wa tz wanatakiwa wachunguzwe vzur usikute wingi ufa kwa kuwapandikizia maradh wasiyo kuwa nayo hawa wa nitarejea walimpa maradh ya ini wakat anaugonjwa wa moyo jaman wanakwama wapi madoctor wa tz???
Tru
Songa mbele kaka
God is Good all the Time
Ameeen🙇
VICTORIA DAVID CHANNEL dada vicky umekuja kuomba chumvi kwa jirani 😂
All the time God is good
Wacha niungane na dada wa kitumbua kutakia afya njema Ommy
God bless you Ommy dimpoz pôle sana My broh
Mungu akuponye ommy.hakika nimependa unavyojibu maswali.huna jazba.kila kitu unamkabidhi ALLA.unasamehe wote waliokushadadia ubaya.inshaalaa mungu akufanyie wepesi.AMINA
mwenyez mungu akulinde ommy
Mungu yuko naw ck zote c binadamu
Nakupenda Kaka angu mtegemee mungu yote yatakua sawa
Mungu ni mwema akulinde na akuepushie mabaya hao waliokunywesha sumu hakika mungu atawaadhibu soon inshaallah
😧
God will judge them, am happy you're back may God continue to bless the work of your hands ,# we love you so much #love from Russia.
You're a living testimony ommy..
God continue blessing you ❤️❤️
Welcome back Champ ❤❤❤
Mm shakibiki yako no moja omary pole sana jmn
Yyesu ametenda meme ju yako
Kama umeona wakidumisha upendo kwa kunywa mo fire gonga like kubwa
A very wise man and God fearing may God heal you bro, looking forward to see more of your Awesome work.
namkubali sana ommy, mungu akjalie uendelee kuitangaza kigoma na bongo fleva yetu
Alhamdulilah kweli mungu hamtupi mja wake naendelea kusema pole sana kwa yote uliyo yapitia napia nafurah kukuona tena ukuiwa kwenye afya njema love u my brother @ommy
Wacheni mungu aitwa mungu, ni makumbusho anakukumbusha kuwa usimsahau. Mungu amekuvua na pengine pia atakuhifadhi.
Ameen Inshaallah
Mungu akujalie afya njema usimame zaidi ya hapo inshaallah
Sasha Luciani inabidiusimamishe swatusiompaka uumwendio umuombemungu kaka
I love this interview, very wise words.He is so humble..Mungu akuzidishie.
God bless you Ommy
Happy to see Ommy!!!!!!!!!!!!!
I see #MOFAYA too, imefika ughaibuni? 🙂
#FromKEwithLove
*#OmmyIsBACK*
*#BackWithHisVOICE*💃💃💃
Yote Ni shukran kwa Allah mwenye Uwezo kwa viumbe wote duniani Kama kwa kua Una pumua Vzr na Unakula Vzr
pole Sana brother
@@wilkisternekesa6642 chakuuliza Moyafa zitatufikiaje
pole sana omari nyembo! na tutazidi kukutilia dua,Allah azidi kukupea nguvu na ureje kwa hali yko ya kawaida na tunaitaji nyimbo mxhuri sana
Mungu ni wakwetu sote...inshalaah kwa kudra zake atakupa afya njema kbsa
Huwa napenda sn kuckiliza interviews zako Ommy coz unajua kujibu maswali kiufasaha, Mungu akunyanyue tena uwe imara zaidi uendelee na shughuli zako.
Wallahy kakangu usingerudi kuimba ungebaki kuswali quran kwa sana ili mungu akupe takwa
Kabisa yaan
Sasa wewe unasema nini? Hiyo ndio kazi yake
Wachache Sana wenye ushaur Kama wako... Lkn wahawashauriki Hawa shetani kawatawala
Wengi hamjui ila hiyo ni laana ya baba yake msenge huyo kwanza junya
Maneno ya busara@Meju
Maskinii ommy dimpoz tunazidi kukuombea utazidi kuwa sawa mungu atazidi kukuafu... Love from Mumbai
Glory to God ...Hakika haikua rahisi leo kuongea ukiwa mwenye nguvu na furaha ...Mungu ndie mpangaji wa yote akisema ndio hakuna wa kumpinga lkn pia tujifunze kuombeana Heri kwani wale wote waliomtabiria kufa au kutokurudi ktk hali yake Ommy leo wamebaki na aibu ..pia Mungu awasamehe pia na Ommy wasamehe bure
Mungu akujaalie afya ommy ....unaongea taratibu napenda unavoongea hauchoshi kukusikiliza zaid mungu akupe afya inshaallah amin
Kama una amini walio mzushia Omy kifo ni mataira gonga like yako hapo
Pamoja
Pole sana Ommy .Imana ibane nawe.from Buja
niwachawii
Pore
Watakufa wote waliomzushia kifo Ommy dimpoz
Allah akujalie maisha marefu Ommy dimpoz
pole sana kaka zaid nimefrah uliamua kumtukuza mungu
mwenyez Mungu akulinde maisha yako yote adui zako wasipate nafas mbele ya maisha yako Ommy nakuombea kwa Mungu akubariki sana
Omy nakypenda mungu yupo pamoja na ww
Usiwe na andika jina la Mungu kwakutumia erufi ndogo ukianzia
Ommy mungu yupo pamoja Na ww usimuache yy
mungu ni mkubwa sana
Mungu ni mwema . Pole Sana Ommy utazidi kuimarika Amina
Daa alhamdulilah Allah huakbar
Pole sana Ommy.. Mungu ni mwema na alipangalo Mungu mwanadam hata afanyaje hawez lipangua.. Respect to you.. And I really Love you
God is always i hope atakusimamia just believe in him all the best
Mungu mwema kaka zidi kusimama naye,pia kuwa makini nawatu .
God is great we thank him for bringing back ommy dimpoz #myfavouriteguy#we love ommy
Mungu ni mungu, aliefanya ivo mungu amusameh, ila utakuwa saw ommy
Pole ommy m/mungu akusimamie
We asamehewe no no
God is great..he's able I'm telling you there is nooothing too big for Him to handle. ommy has a great testimony. may the Lord keep you, serve Him Moore. May you find his fever...Amen
mwenyez mungu amefanya kila kitu kimekuwa sawa tnashukuru sana
Young sacha furniture ameen
SubhanAllah!....Allah Akupe shifaa ya haraka kakangu
Pole snaa omy
Thanks to God....i thank God you made it and you are back
Alhamdulillah kwa kila jambo mungu azidi kukupa uzima ommy lakini swali sana uzidi kuomba mungu
Nakupenda sana Ommy,Mungu akusimamie kwa kila hatua yako!!
Mungu asifiwe
Pole sana
Wakali T V @Amen
Ameni
Wakali T V Amen
Thanks so much god
Pole sana Ommy Dimpos Kwa majaribu makubwa uliyo pitia mshukuru Mungu amekupigania sana,Hongera Kwa kurudi upya Mtumikie Sana Mungu wetu,Amina.
Love you ommy welcome back
Woooo sorry Sana
Ahsante Mungu,hakika umetenda jina lako lihimidiwe! Ommy bro pole sana na usiamuache huyu Mungu wa miujiza
My prayers for God's healing. It shall be well Ommy, I love you men #254
Allah is great Broo ashukuriwe yeye #Ommy dimpoz nimependa nyimbo yako ya shukran #Ni wewe nimependa saana but only Allah will protect you all the day maneno yawatu wachache yasikuvunje moyo nimependa pia ulivyoongea kuhusu huyu ndugu yetu #Steve ila asamehewe maana hajui alitendalo
Be careful. With yr Enemy just pray and believe God is with you.
Pole sana ommy dimples kwenye hela ya matibabu hapo kuna mtu angeulizwa tungekoma
Aliye mpa sumu ommy mungu amlipe apa apa duniyani
Ameen amlipe kabisa
Ni msenge tu malipo yote ni hapa hapa
Kila Siku kila saa Mungu ni mwaminifu
Kabisa ila mungu mkubwa
Malipo ni hapa hapa duniani mbinguni ni hukumu
Pole mwaya Ommy,,,MW/Mungu azidi kukupigania kwa kila jambo lako,,,,Ameeen.
Allah aendelee kukuafu na akurudishie afya yako 😘😘😘😘😘🙏🙏🙏🙏
Ashukuriwe mungu ..... inshallah ommy mungu akujaalie afya njema daima nakupenda sana