PROFESOR NINA WAZO . pengine Ushawai fikiria na kuanza kuchukua Hatua Ila Kama bado Basi wazo langu ni Fanya the Story Book Iwe level ya international ili upate Viwers wengi na subscribers kwa Kutranslate Story kwenda kwenye Lugha ya kiingereza kwa Kuweka Subtittle Ya kiingereza .Naamini itasaidia sana 🤝🏾
Shukrani kwako Professor Jamal April... Mimi Kama Mchagga wa Rombo nimefurahi kupaelewa Mahala hapo kwa mara ya kwanza...🇹🇿💯.. Hakika Tz tuna mengi ya kujivunia
Daah we jamaa ubarikiwe xnaa uendelee kuwepo tu mungu akusimamie ktk kila jambo mi binafsi nakushukuru xnaa mana umenifundisha mambo mengi xnaa kupitia the story book najua mpk vizazi vingi vijavyo vitafahamu mambo mengi ya hii dunia kupita ww apo Jamaly ....Mw/Mungu akubariki kwa kila jambo akupe maisha mema na marfu na uelewa zaid na zaid🙏🙏🙏
Kwa jinsi ninavyopenda wonderful creation of God...na historia na kufahamu mengi...Mr Jamal 😊big up ...hongera .....kila nikiwa online ...l must check in ....The story book... amazing ... hongera Mr.Jamal safi sana
I like the storys u give us ...ur talented Prof Jamal....I was there some time later I have been there for 4 times but on the Kenya side....I also went on riding boat tho it's a very scaring place😢. Thanks professor at least Leo nmejua mengi pia but ata Leo side ya Kenya Kuna watu wanaishi humo ndani Kwa mapango.🇰🇪🇰🇪
Wow wow 👌 kumbe ni sehemu nzuri nikajua niliipenda mimi tu kumbe tupo.wengi nakumbuka nilienda hapo 2018 na wenzangu kufurahia I ❤ Tanzania 🇹🇿 #thestorybook
I have searched a lot for the history of this lake, but I was not lucky enough to find the truth, but today, Jamal, you gave me the story I was looking for a long time,,I am here from Portugal 🇵🇹 Eu gosto muito de suas histórias e estarei sempre com você
I love what you are doing Professor i love tourism and on a daily basis i happen to study the nature and attraction sites through you . I just love your work and i wish to do the same.. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Huku kwetu Taveta kuna watu wenye majina ya Kimaro na Meriki, na nimesikia mwenyeji wako akisema kuna koo za kichaga zinaitwa hivyo. Daah historia tamu hii
Ubarikiwe kwa unacho kifanya Mungu akupe uwezo zaidi na zaidi utuletee mengi zaidi kwani sio wote wanao weza fatilia yote , adi kutufanya nasi tupate kusikia na kupata utarii wa macho kupitia Adroid zetu viganjani.
Ohh! Nilitaman sana kufahamu kuhusu Lake chala.... Finally nimeelewa sasa.. Maana niliwah enda humo but sikuelewa ilikuwaje had pakawa ziw coz niliambiw palikuw mlima story zkawa znanichanganya...
Hapo Jamal umeingizwa chaka kidogo, ziwa chala halijaanzia hapo creater. Lilianza juu Machame Aleni huko sehemu moja inaitwa Samala. Ni creater kubwa sana mara tano ya hicho kicreta hapo Irunguni. Ulizia vizuri.. Samala iko Kitongoji cha Tokora kijini cha Machame Aleni.. Ni juu milimani zinakoanzia safu za mlima kilimanJaro.
Nakumbuka tulienda picnic hapo ziwa chala tukiwa tunasoma kilimanjaro boys,tulitembea tangu saa kumi alfajiri tukafika saa tano asubuhi,nyoka wengi sana,tulirudi kesho yake hamna aliyeweza kunyanyuka kwenda darasani
Hakika huyu jamaa anajua sana Allah amzidishie kujua kwa undani zaidi ili atufunze na sisi zaidi ili nasi tujue kupitia kwake Naweza sema huyu ndo mfuatilia historia bora Afrika nzima
Asante Jamal kwa kutembea upande huo. Pia kuna ziwa lingine linaitwa Jipe. Liko mpakani mwa Kenya na Tanzania upande wa Upareni huko. Unaeza litembelea
Mzee Nyaki ametoa historia halisi ya historia ya Ziwa Challa,ambayo jamii ya kabila la Wataveta,wapatikanayo upande wa pili wa ziwa Challa,huamini mdivyo ziwa Challa lilivotokea,mpaka sasa koo moja ya kabila la Wataveta,koo ya Mnene hufanya tambiko hapo ziwa Challa!
PROFESOR NINA WAZO .
pengine Ushawai fikiria na kuanza kuchukua Hatua Ila Kama bado Basi wazo langu ni Fanya the Story Book Iwe level ya international ili upate Viwers wengi na subscribers kwa Kutranslate Story kwenda kwenye Lugha ya kiingereza kwa Kuweka Subtittle Ya kiingereza .Naamini itasaidia sana 🤝🏾
Mbona wazo duni
Jivunie Kiswahili.
Nani kasema lugha YA mama wa kizungu
Ndio mawasiliano YA kitaifa.
Jamal dactari wa lugha yetu azili.
Hongera.
@@lewinmukui70 Wacha siasa
@@paulnyika5817 kweri ajui biashara sio wote wanajua kiswahili
@@lewinmukui70 Wazo duni vipi Broo
Goood I wish hizi story za nyumbani waweke subtitle ya kingereza itavutia utalii piaa
Nimeipenda sana hii simulizi ya ziwa chala, nimefurahia sana, na msimuliaji pia yupo vizuri. Asante sana 17.02.24.
Sitalisahau hilo ziwa sababu lilimpoteza mwanafunzi mwenzetu live tukishuhudia Rest easy Moges Chacha
Duuuh Pole Sana
Pole
mmh hatari
Alifanyaje
Alileta ujuaji wa kikurya
Naomba like zenu kwa professor
Shukrani kwako Professor Jamal April...
Mimi Kama Mchagga wa Rombo nimefurahi kupaelewa Mahala hapo kwa mara ya kwanza...🇹🇿💯..
Hakika Tz tuna mengi ya kujivunia
Watching from Washington DC
nimemis nyumbani Rombo Tanzania
my home land
Hi Dennis
anaemnyima like na comment Mr jamar bas atakua Hana shukran mtu anasaka mambo kias hik alaf tunashndwa kulike
Jamali umeleta story ya Chala?
Mungu akubariki sana .Pambana Baba.
Nilifikiri ziwa Hilo halijulikani.
Daah we jamaa ubarikiwe xnaa uendelee kuwepo tu mungu akusimamie ktk kila jambo mi binafsi nakushukuru xnaa mana umenifundisha mambo mengi xnaa kupitia the story book najua mpk vizazi vingi vijavyo vitafahamu mambo mengi ya hii dunia kupita ww apo Jamaly ....Mw/Mungu akubariki kwa kila jambo akupe maisha mema na marfu na uelewa zaid na zaid🙏🙏🙏
Kwa jinsi ninavyopenda wonderful creation of God...na historia na kufahamu mengi...Mr Jamal 😊big up ...hongera .....kila nikiwa online ...l must check in ....The story book... amazing ... hongera Mr.Jamal safi sana
Habar mkuu Hongera sana kwa hii story mm nafikiri ungejikita zaidi kwenye stori kama hizi japokuwa zinatumia gharama kubwa
Nilifika ziwa chala Mwaka jana niliogelea na kuendesha kiboti hadi katkati ya ziwa chala ❤ nalipenda sana
Napenda sana....Karibu kenya upige story ya siwa yenye maji moto ya itwa lake bogoria
Tupe story kwa ufupi
I like the storys u give us ...ur talented Prof Jamal....I was there some time later I have been there for 4 times but on the Kenya side....I also went on riding boat tho it's a very scaring place😢. Thanks professor at least Leo nmejua mengi pia but ata Leo side ya Kenya Kuna watu wanaishi humo ndani Kwa mapango.🇰🇪🇰🇪
Naipenda sana sauti yako in sauti ya matumaini,busara na hekima kama Solomon Ahsante kwa ubunifu mungu akubaliki sana
We jamaa unajua sana. Ebu anza kuweka subtitles za kiingereza Ujiuze kimataifa. Huenda ukalamba shavu kubwa zaidi. 🙌🙌🙌🤔🤔
Wow wow 👌 kumbe ni sehemu nzuri nikajua niliipenda mimi tu kumbe tupo.wengi nakumbuka nilienda hapo 2018 na wenzangu kufurahia
I ❤ Tanzania 🇹🇿 #thestorybook
Kazi nzuri professor sana ( lake chala ).... sasa naomba siku moja utupe story kuhusu mlima kilimanjaro 🏔🏔 na maajabu yake
The story book inanijuza mengi Sana amboyo sikuyafaham apo kabla. Be blessed Jamal
Nazipenda simulizi zako kaka,hongera sana.Kenya we love you bro.🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Much love from home land Rombo Tanzania...ziwa lilipo
Sawa jirani
Napendaga kusikiliza story za Jamal nimesahau kuweka prof Jamal❤️❤️❤️ ...
I have searched a lot for the history of this lake, but I was not lucky enough to find the truth, but today, Jamal, you gave me the story I was looking for a long time,,I am here from Portugal 🇵🇹
Eu gosto muito de suas histórias e estarei sempre com você
Majina kimaro na koo zote zilizotajwa zipo taveta KE pia
Prof Jamal, u really deserve the best.
Stay at running good things' around
I have liked the job u do profesa keep it up mm nimchaga ila ckuwah kujua
nimezaliwa Kilamanjaro lakin nilikuwa silijuwi kabisa ndiyo kwanza nalijuwa kupitia hapa keep it up bro kaz nzur
We acha Bwana
I love you Jamal ❤️ Quite a narrator 👍🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪We love you from Kenya.
I like your story brooo jamal april
Wachaga wote gonga like hapa 🇹🇿🇰🇪🇺🇬
Wataita wataveta gonga like pia✌️😊🥰
Tupoo
🎉
Shemeji yenu nipo hapa jiandaeni kula mishikaki ya 🐕😂😂😂😂😂
❤nipo mim sipitwi🎉
watching from Thika Kenya 🇰🇪🇰🇪.... love your works Jamal April 💙💙
Hii mto pia imeingia mpaka taveta Kenya mahala penyewe paitwa CHALA home ground iko mwaa tembea ujionee mambo KE taveta na TZ arusha we share the lake
This is just miracles from GOD
Story nzuli sana tatizo muda ni mdogo niomba japo hongezeke muda hiwe saa moja au nazaidi
Jamali huna Baya brother 🇹🇿👏
Wasafi🇹🇿 number 1
imenikumbush advance Aina za maziw.Chala ni ziw mmojawapo lililotokea kwasababu ya mlipuko w 🌋 volcano.honger proffesa Jamal💪
Lake Chala...aisee tulipiga mguu kuyafikia maji... Big up jamal
I love what you are doing Professor i love tourism and on a daily basis i happen to study the nature and attraction sites through you . I just love your work and i wish to do the same.. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I like your kiswahili🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Huku kwetu Taveta kuna watu wenye majina ya Kimaro na Meriki, na nimesikia mwenyeji wako akisema kuna koo za kichaga zinaitwa hivyo. Daah historia tamu hii
Chala hotel still there?
@@selinamutuku607 Gai I guess bado iko ju nakuaga Nairobi siku hizi.
From Kenya 🇰🇪 Jamal ni bingwa gwiji🎉❤❤❤
My best favorite program in all Fridays ,much love outta Kenya 🇰🇪🇰🇪
One love ❤ ..... kenya is our second home !! Sisi kama watanzania
Saf sana kwa habari nzur
Ubarikiwe kwa unacho kifanya Mungu akupe uwezo zaidi na zaidi utuletee mengi zaidi kwani sio wote wanao weza fatilia yote , adi kutufanya nasi tupate kusikia na kupata utarii wa macho kupitia Adroid zetu viganjani.
Kwenye hizi video uwe unaweka na subtitle za kiingereza . Hongera sana kwa kazi zako ni mzuri sana
Ohh! Nilitaman sana kufahamu kuhusu Lake chala.... Finally nimeelewa sasa.. Maana niliwah enda humo but sikuelewa ilikuwaje had pakawa ziw coz niliambiw palikuw mlima story zkawa znanichanganya...
Mm ni msambaa nmegonga like oya brother jamali bigap
Hapo Jamal umeingizwa chaka kidogo, ziwa chala halijaanzia hapo creater. Lilianza juu Machame Aleni huko sehemu moja inaitwa Samala. Ni creater kubwa sana mara tano ya hicho kicreta hapo Irunguni. Ulizia vizuri.. Samala iko Kitongoji cha Tokora kijini cha Machame Aleni.. Ni juu milimani zinakoanzia safu za mlima kilimanJaro.
Vraiment tu es meilleur mon grand je valide depuis la République démocratique du Congo
asante ndugu kwa ushirikiano lakini jaribu kiswahili💪💪💪
Very entertaining, I love this documentary
Nakumbuka tulienda picnic hapo ziwa chala tukiwa tunasoma kilimanjaro boys,tulitembea tangu saa kumi alfajiri tukafika saa tano asubuhi,nyoka wengi sana,tulirudi kesho yake hamna aliyeweza kunyanyuka kwenda darasani
Wewe Jamaa Una Akili Sana, Unaset Standard Ambazo Wengine Ni Ngumu Kuzifikia, Panapo Uhai Utayafanya Makubwa Sana, Mimi Naamini Hivyo.🙏
Hakika huyu jamaa anajua sana Allah amzidishie kujua kwa undani zaidi ili atufunze na sisi zaidi ili nasi tujue kupitia kwake
Naweza sema huyu ndo mfuatilia historia bora Afrika nzima
Kaka unapiga kaziii sanaaa.... Bless sana mungu akupe nguvu zaidi inshaallah
Oh absolutely amazing.... 💯💯✅✅🙏
Big up brother nakupenda mnooo unasimulia adi na moyo wangu unasisimka love
Unajuhudi yakazi jamal shukran 👍
Hongera kaka kwani nimejia mengi kupitia simulizi zako, endelea n kazi hiyo nzuri.
Wewe jamal ni mtu wa maana kwa taifa❤❤❤
Cant wait to go there soon naenda kushoot thanks wasafi,thanks bro jamal
Kutoka kwako tunaziona fursa .Thank you very much
Dah ckuwah kujua kama Kuna Hilo ziwa
asante sana prof. nime furahi kwaiyi story. I'm Kamina from Beni D.R.Congo. 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mm ni wa nyumbni kabisaila nilikua sijui hii story barikiqa ssana❤
we respect him so much in kenya
Nimesha ogelea na kuendesha boti hapo lake chala iam from tarakea rombo likes kama zote👊👊
Mimi mwenyewe mchaga lkn nilikuwa sijui kuhusu ziwa Chala Asante Kwa kutujiza
Hatuambiani km tayari huku jamanii🤣. Nakupata from songea professor.
Big love from Kenya professor jamal mustafa continue like that Allah akufanyie jambo la kheri
Upo vzr san bro! SALUTE professor Jamal April we learning alot from you...🔥
May God give you strength for your work, your stories make us know many things that we are no aware of🙏🙏🙏
Jamani jamanii huko mbona panatisha sasa 🙌 Asante kwa kutujuza bwana
Ni miongoni mwa stori nzuri sana kutoka #thestorybook
Mm ni wa nyumbni kabisaila nilikua sijui hii story barikiwa sanaa
It's story time 💯wapi kwingine kama si the story book
Thank u Kakaa umekua mwana utalii pia
pamoja na hapo kuna sehemu nyingine juu kwenye huo msitu kuna historia kubwa sana ndani ya huo msitu wa rombo jaribu kutafuta historia vizuri kaka
My esstr
Good job bro jaman bisho
Thank you for always giving us the best
Hapo profesa nakupa big up hili ziwa lipo karibu na hom lakini huwa tunalichukulia simple sana , wazungu huenda kutalii sana huko
Nakubal bro pia asant kutujuza mm npo Moshi Kilimanjaro Ila nilkuwa cjui asili ya ziwa ilo
Mikoa ni mungu sana apa Tanzania muwe mnatembea vivutio
Keep it up bro Jamaal. Naomba next utuletee simulizi ya "Racis of the World" tujue ni kwa nini binadamu wako rangi tofauti Duniani
Nakupenda sana jamal hongera sana kwa historia unazotuletea💖
Story book inatufunzaa mengi Sana kwakweli . Nakikubali Sana hiki kipindi
I like it from drc🇨🇩🇨🇩💪
Asante Jamal kwa kutembea upande huo. Pia kuna ziwa lingine linaitwa Jipe. Liko mpakani mwa Kenya na Tanzania upande wa Upareni huko. Unaeza litembelea
Jipe kunani
@@hamisimtemi3803 hakuna lakini nilitaka pia aweze kulitembelea
u know, and u know more mr. jamal
Stori imenivutia Sana, Tanzania nchi yenye vivutio maridadi. Najivunia nchi yangu. Ila huyo Mzee aliyekuwa muuza sumu daa 😭
Asante sana my brother from another mother
Watching from Bowling Green Kentucky, United States of America 🇺🇸, jamal nakukubali sana kaka
Najifunza mengi san kaka, Mungu akufunulie mengi 🙏
Mungu akuongezee palipo pungua kaka unatuelimisha sana
Jamal sijaah kugupinga🙏🙏🙏🇧🇮🇧🇮
Dahhhh ila ww jaman n genius bro hongera kwa mama alie kuzaa
KUNA RAFIK ANGU ALIFIA HAPO ilikuwa likizo alienda kuenjoi ila alizama umo bahat mbaya 😰😥 VERY EMOTION...!!
Ni Moges Chacha
Mimi kila siku hug'oja the story book napenda sana sauti yako hata kama ninamawanzo basi huwa nasikiliza the story book hadi na lala
Had mm hvo hvo... Saut ake inanibembeleza wallah 😍😍
Jamal ukimalizana na Tanzania kindly kuja Kenya alot of history tanzanian people would like to know
Learning!! Thenx to you jamal✍✍✍🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wao nikiwa home nali zoom vizuri sana
Mzee Nyaki ametoa historia halisi ya historia ya Ziwa Challa,ambayo jamii ya kabila la Wataveta,wapatikanayo upande wa pili wa ziwa Challa,huamini mdivyo ziwa Challa lilivotokea,mpaka sasa koo moja ya kabila la Wataveta,koo ya Mnene hufanya tambiko hapo ziwa Challa!
🔥🔥🔥 🔥🔥🔥🔥 ujawahi kosea
Professor Jamal we ni mwamba sana
I really like your content...so educative ,,keep up
Nakuelewa sana professor endelea kutuleta madini 💪
Eew
Finally, Lake Chala is here