Hongera mwinyi sasa wazanzibari mkifanya ujinga kuchagua chama kingine kwa utashi tuu wa vyama basi mtafanya makosa makubwa sana angalieni mfano hao marais wa znz waliopita hawajafikia kiwango cha mwinyi ktk maendeleo hata kidogo walikywa wapowapo tuu sasahivi zanzibar inaonekana kila kona kazi kwenu
Again and Again what we're trying to saying please 🙏 please again to our leaders and our Youngs Precedent Doctor never ever to look back Building the your country until the end 🙏 please tuijenge hii nchi mote mijini na mpaka vijijini. Kwa mali zetuuu zote na hapo mwishooo wale malaikaaa waloo paaa juuu basi basi basi molla atawarejeshaaaa hiyo ni hakika kabisa yes it's. Please 🙏 please 🙏 again and again bring it on. Never ever to look back furaha zitarudi sikha zitarudi kuwapamoja zitakuwepo day and night absolutely we be differently ewe mwenyezi mungu tubariki tujaalie naUtubariki kwa yoote Tusemeni yaarab amiin amiin
Dr Mwinyi hatutaki majengo na huu ujinga wako wa kutukaanga kwa mafuta yetu tunachotaka ni nchi yetu, rudi kwenu Mkuranga utuachie nchi yetu sisi waZanzibari sio limbukeni wa maghorofa wala barabara. Nenda ukajenge kwenu Mkuranga bila shaka wanahitajia zaidi sisi tunachotaka utuachie nchi yetu
Ndugu kuwa mstaarabu hata wewe Hapa Zanzibar huenda si penu, unachotakiwa kukijua ni kwamba Zanzibar ni visiwa vya wahamiaji. Halafu kuwa na shukrani kinachofanyika si kitu kidogo. Allah ambariki Mr Hussein na ampe umri mrefu wenye manufaa ndani yake
🎉Wazanzibari si washamba kwa maghorofa labda kwao Tanganyika. Zanzibar imekuwa na maghorofa tokea karne ya 17,kabla hata nchi za Afrika mashariki hazijajengwa .Ikiwa hiyo ndiyo kampeni yake ya kuwafanya Wazanzibari wajinga awaitechanga la macho ili awakabidhi nchi yao aikabidhi kwao kwa mkoloni Tanganyika naona kama kachelewa .Asijipumbaze ajuwe kwamba hoja na madai ya Wazanzibari si majengo bali ni uhuru wao yaani ni mamlaka kamili .Wewe fanya biashara zako ,twajua kwamba kila mradi una asilimia zako lakini ujue kwamba mamlaka kamili ndiyo madai ya Wazanzibari.
Wacha usenge huo, Zanzibar Kuna ghorofa gani ya kuitwa ghorofa nenda apo bongo tu ukaone majengo ya ghorofa, Upinzani kama huo wako ni wa kitumwa Unamdai rais mamlaka kwani yeye ndo alokuunganisheni na Tanganyika nashangaa mnamtolea povu yeye,hasada tu basi.
Asante mwinyi
MashaAllah!!!
Hongera mwinyi sasa wazanzibari mkifanya ujinga kuchagua chama kingine kwa utashi tuu wa vyama basi mtafanya makosa makubwa sana angalieni mfano hao marais wa znz waliopita hawajafikia kiwango cha mwinyi ktk maendeleo hata kidogo walikywa wapowapo tuu sasahivi zanzibar inaonekana kila kona kazi kwenu
Huu mwak 2024umejenga sana huu mwaka tunajua hamutoi serikali kwaiyo tunakuomba2025 utupe kula njaa kubwa haswa visiwani pemba munawaeka sana nyuma
Again and Again what we're trying to saying please 🙏 please again to our leaders and our Youngs Precedent Doctor never ever to look back Building the your country until the end 🙏 please tuijenge hii nchi mote mijini na mpaka vijijini. Kwa mali zetuuu zote na hapo mwishooo wale malaikaaa waloo paaa juuu basi basi basi molla atawarejeshaaaa hiyo ni hakika kabisa yes it's. Please 🙏 please 🙏 again and again bring it on. Never ever to look back furaha zitarudi sikha zitarudi kuwapamoja zitakuwepo day and night absolutely we be differently ewe mwenyezi mungu tubariki tujaalie naUtubariki kwa yoote Tusemeni yaarab amiin amiin
Dr Mwinyi hatutaki majengo na huu ujinga wako wa kutukaanga kwa mafuta yetu tunachotaka ni nchi yetu, rudi kwenu Mkuranga utuachie nchi yetu sisi waZanzibari sio limbukeni wa maghorofa wala barabara. Nenda ukajenge kwenu Mkuranga bila shaka wanahitajia zaidi sisi tunachotaka utuachie nchi yetu
Ndugu kuwa mstaarabu hata wewe Hapa Zanzibar huenda si penu, unachotakiwa kukijua ni kwamba Zanzibar ni visiwa vya wahamiaji.
Halafu kuwa na shukrani kinachofanyika si kitu kidogo. Allah ambariki Mr Hussein na ampe umri mrefu wenye manufaa ndani yake
Huyu anastahiki kuendelea kuwa Rais ikiwezekana Mpaka kufa kwake.
🎉Wazanzibari si washamba kwa maghorofa labda kwao Tanganyika. Zanzibar imekuwa na maghorofa tokea karne ya 17,kabla hata nchi za Afrika mashariki hazijajengwa .Ikiwa hiyo ndiyo kampeni yake ya kuwafanya Wazanzibari wajinga awaitechanga la macho ili awakabidhi nchi yao aikabidhi kwao kwa mkoloni Tanganyika naona kama kachelewa .Asijipumbaze ajuwe kwamba hoja na madai ya Wazanzibari si majengo bali ni uhuru wao yaani ni mamlaka kamili .Wewe fanya biashara zako ,twajua kwamba kila mradi una asilimia zako lakini ujue kwamba mamlaka kamili ndiyo madai ya Wazanzibari.
Hapo ni mabaoni siyo mfikiwa
Wacha usenge huo, Zanzibar Kuna ghorofa gani ya kuitwa ghorofa nenda apo bongo tu ukaone majengo ya ghorofa,
Upinzani kama huo wako ni wa kitumwa
Unamdai rais mamlaka kwani yeye ndo alokuunganisheni na Tanganyika nashangaa mnamtolea povu yeye,hasada tu basi.
Mamlaka yepi ndugu yangu, Mamlaka hayapatikana kwa kupitia hao wanasiasa, wanasiasa wote wa afrika ni vibaraka wa nchi nchi za ulaya na marekani
Exactly ndugu yangu maneno yako thabit kabisa
Hongera kwa kua na maarifa hayo kama ww n mzanzibari ila kama ww n damu ya ya kitangayika sawa sikulaumu@@harithwhite589