Peleka what we want eee hayaa Twendeee kazi wananchi oyeee oyeee yanga Africans oyeee oyeee hayaa Twendeee kazi Youngs leaders Peleka muwaa sweet cream sugar sugar muwaa good good good stuff for all
@YussufPandu-es7ou 🤣🤣 kwa kujifanya unajua , wakat hujui kitu .. kwa msisitizo kabisa eti iyo over ipo wapi ?? 🤣🤣🤣.. endelea kuongozwa na ujinga maana isipokufaa akili yako ujinga wako ndo utakuongoza .
@YussufPandu-es7ou 🤣🤣🤣 duu eti ghorofa ya juu yake inaitwa over , daah ujinga ukiwa mwingi kwenye kichwa ni shida Kuna fly ya kwanza Kisha ya juu yake ndo inakua over 🤣🤣🤣... Wivu tuu , roho mbaya tu ndo zinakusumbua . Maana hata Cha kuongea hujui unajiropokea tu matapu tapu 😅🤣
@@CeoZan kuandika tu ni shida ndugu yangu ....Hebu jitahidi kuandika vzr , maana si kwa matapu tapu hayo . Ila yote hayo ni kutumia akili za mkopo wenye riba nafuu 🤣🤣🤣 isipokufaa akili yako utakufaa ujinga wako .
@mohamedisimai sasa lengo la kusema ivo ni nini coz life ngumu afanye mazingira kinywa kiende mdomoni kwa mazingira mazuri ila unapata pesa si haba lakini hujui ata familia uinunulie kitu gani kwa vitu vilivo kuwa ghali
Jamaa keshatia chake ... wazanzibari wanamsifu na nchi ishatutoka ... tunataka nchi yetu huu ujinga wa kujenga bila ya haki ni kuwekewa sawa wageni na sie wazanzibari hatuna letu
@@mwanangusana hakuna nchii iyo ila fursa zinakuwepo je hapa nyumbani zipo fursa mtu anajiari wanakuja sijui janjawiri sijui manispaa wanachukua mali yako huku unajiona na kipigo juu kwa jambo lako mwenyewe
@MohdMkubwa-v8k Aaaa uzur sie wengine ata kutumwa hatutak, mtu una miliki vario sim ya million 3 thn tunasema hatuna ajira, ukiambiwa kujiajir unasema mtaji huna uza vitu ivo upate mtaji
Mambo hayo yalitakiwa kufanyika miaka 50 nyuma pia hakuna k2 kizuri kama mamlka kamili Palestinian wanapgana kwa kutaka uhuru wao t sisi hatuna uhuru simanish tupigane ila tuungane kutafuta uhuru w2 kutoka kwa mkoloni mweusi nchi gani utambulisho wake mwisho kigoma we are like religion and present is like RC by facts
@@mullestv2680 present ndo mdudu gani ? Mhhh kiasi matatizo ya kushikiwa akili ndo athari zake hizi Bro haya matapu tapu umeyatoa kwenye medulla oblongata yako kabisa au sio wewe ... 🤣🤣🤣
Sisi tunamngojea 2025 tumkatae njaa kali eti yy anatujengea mabarabara ya juu wanatuziba kiini macho cha ufisadi hasa hii wizara ya miundombinu kumeoza
😂😂😂 ndo demokrasia ilivyo wewe utamkataa ila akina sisi tutamchagua aendelee na miaka 5 mingine panapo uhai na majaliwa Kubwa vijana tufanyeni kazi kwa bidii .
Hongera rais wetu kazi iendelee
Mitano Tena😅😅
Mashaallah Zanzibar inapendeza mkono kwa mkono hadi mamlaka kamili
Peleka what we want eee hayaa Twendeee kazi wananchi oyeee oyeee yanga Africans oyeee oyeee hayaa Twendeee kazi Youngs leaders Peleka muwaa sweet cream sugar sugar muwaa good good good stuff for all
Hhhhhhhhh mm nachekaa tuu et watwanaa hhhhhhhh warabuu wako wapiii kwishaa kab8saaaa
Makada iyo ila anaupiga mwingi, ape mauwa yake yani ndo ofisini kwetu api
Jambazi tu huyo Zanzibar inataka Mamlaka n njaa kaliii saàannaaaa
Sisi tunalima we piga kelele njaaa Kali tu ....... 😂😂😂
@@mwanangusana utalimaje kama hauna nyenzo yeyote ya kuanzishia
@@MohdMkubwa-v8kunasema nn wewe
@@MohdMkubwa-v8k subiri nyenzo uletewe kwako .. . isipokufaa akili yako , ujinga utakukumbatia .
Kama wamelaniwa niubaguzi Tu
Asad kaondkoka na wewe hamna booo😂
uhakika mwenetu mwamba alieka mpaka masanamu yake na kaingia mitini
@@TeamKRX kweli muda ni mwalimu mzuri tu tutaona mengi tulieni nipp pale!
Tumewekwa nyuma mda mrefu .
Acheni ujinga nyie.ACT. msipite basi kama tuta
@@SabahHassan-z7d wamezoea kujiropokea hata kwenye jambo zuri watalifanyia kasumba liwe baya 🤣🤣
@@SabahHassan-z7d flyover au kipande cha daraja la kuvuka mto ila wenetu wanjipigia hela kama zao vile lkn njaa kali😂😂
Fanyeni KAZI acheni ujinga hâta aje nani km njaa iPo iPo tu@@CeoZan
Fly over au daraja hilo ni daraja
@@iddijumaali7192 utakavyopenda ila tunawapongeza kwa Hilo wanalolifanya
Ni kweli daraja sio fly over hiyo over iko wapi,over ni ghorofa juu yake iko wapi?hilo ni daraja,hakuna cha ajabu
@YussufPandu-es7ou 🤣🤣 kwa kujifanya unajua , wakat hujui kitu .. kwa msisitizo kabisa eti iyo over ipo wapi ?? 🤣🤣🤣.. endelea kuongozwa na ujinga maana isipokufaa akili yako ujinga wako ndo utakuongoza .
@YussufPandu-es7ou 🤣🤣🤣 duu eti ghorofa ya juu yake inaitwa over , daah ujinga ukiwa mwingi kwenye kichwa ni shida
Kuna fly ya kwanza Kisha ya juu yake ndo inakua over 🤣🤣🤣... Wivu tuu , roho mbaya tu ndo zinakusumbua . Maana hata Cha kuongea hujui unajiropokea tu matapu tapu 😅🤣
Flyover lkni wananchi wana njaa mlo mmoja kama JINI
@ummuraw6372 subir serikali ya kutoa Milo 3 🤣🤣🤣
@ummuraw6372 subir serikali itakayo kuletea Milo 3 🤣
acheni ushamba hayo ni yakawaida 😂😂
Kwako kwani ww ukipata dem mpya hauwi limbukeni na huko nyuma ulishawahi acha roho mbaya
@@CeoZan hata kama ya kawaida haituzuii kufurahia 🤣
endelezeni uchwa tu but juweni hayo ni kwa msaada wa huyu mameni wal sio huyo munaempigiaayowe😂😂
@@CeoZan kuandika tu ni shida ndugu yangu ....Hebu jitahidi kuandika vzr , maana si kwa matapu tapu hayo . Ila yote hayo ni kutumia akili za mkopo wenye riba nafuu 🤣🤣🤣 isipokufaa akili yako utakufaa ujinga wako .
haya ndugu yangu kale hiyo flyover maana watu wana njaa uko zenji kinyma😂
Miaka,sitini,mnashukuru,kwadaraja,ujinga,mtupu
@@AbdallahJuma-wb8lqkwa uwelewa wako ndo maana Kila baada ya neno umeweka alama ya koma 🤣🤣🤣 .Kisha unapata ujasiri wa kusema ujinga mtupu ....
Ujinga kweli eti hizo koma aloweka ni hasira@@mwanangusana
@ummuraw6372ni hasira kumbee 🤣🤣
@@mwanangusananimecheka sana yani nimegundua hizo koma baada ya kusoma comment yako😅😅
Ssa mnasherekea Flyover ama maendeleo?acheni ushamba wa kipuuzi
fly over lile si daraja tuu
Mpuuzi ww unaelazimisha huzuni kwa wengine
@@mohamedisimai huzuni wapi jamaa yangu ni uhakika alicho kisema uongo au ukweli unauma sioo
@MohdMkubwa-v8k kitu chochote kinachokupa huzni ww basi elewa kitu hicho kinampa furaha mwengine life iko ivo
@mohamedisimai sasa lengo la kusema ivo ni nini coz life ngumu afanye mazingira kinywa kiende mdomoni kwa mazingira mazuri ila unapata pesa si haba lakini hujui ata familia uinunulie kitu gani kwa vitu vilivo kuwa ghali
Kuna fly over na tuta mujue kutofautusha.
@@AllyHamran kutofautusha ndo nini ? Acha makasiriko isipokufaa akili yako, acha ujinga iwe ndo ngao yako
Wizi mtupu apo tunaitaji mamlaka kamili
Mboba mnao wahoji watwana tu.Au wazanzibar wenyewe wamehama hawapi?
Unaharibu maana na sisi tupo kwa nchi za watu pia watwana pamoja nawe maana naamin haupo znz acha izo
@@AllyHamran binaadam mwenzako kumwita mtwana ni udhaifu wa afya ya akili, kilichokutawala ni chuki na ubaguzi tu .
Ndiomana ALLAH anawasiliti mnabagua mpaka ndugu zenu waislam
@@mbwanahussein98 asituite watwana maana hijrah ni fardhi Allah ametuambia kwa qoran kua tutembee ktk wrdhi sio
Kujibebesha dhambi hazina hata msingi wallah
Marekani tena c unatukana tu..izo flyover ya hatujafika ata robo ...😂😂😂
eeehh jamani tembeeni muone flyover hilo ni darajaa fly over fupi km kipande cha tandu mliona wap
Mi mzanzibar ila 😂😂😂😂😂😂 Kwa kweli
Iwe daraja iwe fly over .... Tunajivunia vya kwetu , muhimu Aman na utulivu upo , nenda kashangae vya watu 😂😂😂
Kwani si bado iko ndani ya ujenzi au
@@mwanangusana ndo cha kwenu lakini semeni ni daraja msifanye watu washamba ngombe nyie
@@pilimwanza8117 hata iwejee hilo ni darajaa
Jamaa keshatia chake ... wazanzibari wanamsifu na nchi ishatutoka ... tunataka nchi yetu huu ujinga wa kujenga bila ya haki ni kuwekewa sawa wageni na sie wazanzibari hatuna letu
Hahahaha ndio akili za mtu izi
Akifanya mazuri mtu ni wajibu wake kusifiwa .... Acha makasiriko kijana,,,,,
Njaaa Kalii sana hapa nchini
Fanya kazi kijana
😂😂😂 katafute nchi utakayopewa chakula bure Bila kujituma na kufanya kazi .. endelea kupiga kelele njaa Kali
@@mudighurayra ziko wapi izo kazi
@@mwanangusana hakuna nchii iyo ila fursa zinakuwepo je hapa nyumbani zipo fursa mtu anajiari wanakuja sijui janjawiri sijui manispaa wanachukua mali yako huku unajiona na kipigo juu kwa jambo lako mwenyewe
@MohdMkubwa-v8k Aaaa uzur sie wengine ata kutumwa hatutak, mtu una miliki vario sim ya million 3 thn tunasema hatuna ajira, ukiambiwa kujiajir unasema mtaji huna uza vitu ivo upate mtaji
Hhhh wazanzibar tafuteni huru kwanza ivyo vitu vidogo zaid ya mamlaka kamili ndo vitazaaa zaid ya ivyo vichochoro
We mdada kwli una akili muna jinadi flyovee wakali ila ni kongo la kupandia viazi
@@SuleimanMussa-x5i nenda ukapande hivyo viazi , kuandika tu shida , utaelewa kilichopo hapo
Yoyote anaempinga mueshimiwa laisi mwinyi ana akili timamu
Mambo hayo yalitakiwa kufanyika miaka 50 nyuma pia hakuna k2 kizuri kama mamlka kamili Palestinian wanapgana kwa kutaka uhuru wao t sisi hatuna uhuru simanish tupigane ila tuungane kutafuta uhuru w2 kutoka kwa mkoloni mweusi nchi gani utambulisho wake mwisho kigoma we are like religion and present is like RC by facts
@@mullestv2680 duuuuuu ndo ukomo wako wa kufikiria ulipoishia hapo ?
@@mullestv2680 religion eehh duuhh ... 🤣🤣🤣
@@mullestv2680 present ndo mdudu gani ? Mhhh kiasi matatizo ya kushikiwa akili ndo athari zake hizi
Bro haya matapu tapu umeyatoa kwenye medulla oblongata yako kabisa au sio wewe ... 🤣🤣🤣
@@mullestv2680 mhhhh present & religion duuuuuuhhh kiasi mpinge Kila kitu
@@mullestv2680 jifunze kuandika wewe acha kuongea kama umekopa akili , religion 🤣🤣 na present 🤣🤣zitakufikisha wapi ? Isipo kufaa akili yako , utakufaa ujinga wako ndugu yangu .
Ao waliohijiwa hawajatembea wakitembea watajuwa ni wizi tuu
@@DohaQatar-w4t waliohijiwa ndo Nini ?
Sisi tunamngojea 2025 tumkatae njaa kali eti yy anatujengea mabarabara ya juu wanatuziba kiini macho cha ufisadi hasa hii wizara ya miundombinu kumeoza
Fanya kazi kijana serekali haitakuja kuleta wali harage kwenu,
😂😂😂 ndo demokrasia ilivyo wewe utamkataa ila akina sisi tutamchagua aendelee na miaka 5 mingine panapo uhai na majaliwa
Kubwa vijana tufanyeni kazi kwa bidii .
Huna fadhila
Flyover gari zenyewe 6 😂😂😂😂
@@maase2023 isipokufaa akili yako , utakufaa ujinga wako
@@maase2023 kilichokuumiza ni kipi ? Hizo hizo 6 zitapita hapo hapo .
@@maase2023 kwani Kuna kiwango maalum Cha magari kinachotakiwa kupita hapo ?
@@maase2023 duuuh, mawazo yako ndo yalipofikia hapo ?
@@maase2023 tuna subiria zifike 10 ndo zipite huko , tumeamua tujenge kabisa au vibaya kujenga kabisa ??