Watoto wazuri ❤❤❤❤❤❤❤❤ wazalendo kweliii kweli wasaidieni nankuwaongioza na kuwasaidia maisha yao ili watulie wapate rizieq na familia zao tumewaona tumesemanaon vijana wazuri saba ❤❤❤❤❤❤❤❤.
Kukosea njia ndo kujua njia hongereni zato kwa umakini wa kufuatia na kutatua tatizo forodhan kt ya 9:59 mlango wa nchi ila kikofia unamaono big up umenyoosha mbarikiwe🎉
Ningependa zaidi hawa wadogozetu Serekali piya ingewalipiya life insurers kwa chochote iwe itawasaidiya na madhali inasaidiya kipato serekali kwanini wasiwasajili wawe wanalipwa kwamwezi iwe kama ajira yao badala kusubiri kulipwa na wageni . Au imesha ongelewa mimi sijabahatika siisikiya .
# Yani nen sineno Tyr mshatia nen siasa kwani siasa ckuna MDA wake utakuja kwani hao makachu ndio kwanza Leo hii muwaone hapo walipo heshima na adabu hawana kijana wa kizanzibar anakuja hapo ktk warsha Wana marasta ivi sehemu za nyeti wataweza kuingia hao hlf hizo warsha zenu mbn kizungu ketawala sana kisw kinakwenda wapi aghhh mapyoro matupo kaz kupoteza mapesa tuy......
Utofyoro unaongea vizur sana uko vizur hongera umenyoosha maneno
Wambieni nywele wakate hizo wawe smart sio utamaduni wetu huo
Kumbe utofyoro anajua kujieleza vizuri kuliko wengine yaani siwezi kuamini mashaallah
Watoto wazuri ❤❤❤❤❤❤❤❤ wazalendo kweliii kweli wasaidieni nankuwaongioza na kuwasaidia maisha yao ili watulie wapate rizieq na familia zao tumewaona tumesemanaon vijana wazuri saba ❤❤❤❤❤❤❤❤.
Kukosea njia ndo kujua njia hongereni zato kwa umakini wa kufuatia na kutatua tatizo forodhan kt ya 9:59 mlango wa nchi ila kikofia unamaono big up umenyoosha mbarikiwe🎉
Jaman utofyoro nd nan au uyo makanzu
Ningependa zaidi hawa wadogozetu Serekali piya ingewalipiya life insurers kwa chochote iwe itawasaidiya na madhali inasaidiya kipato serekali kwanini wasiwasajili wawe wanalipwa kwamwezi iwe kama ajira yao badala kusubiri kulipwa na wageni . Au imesha ongelewa mimi sijabahatika siisikiya .
Hii nchi yale mambo yasio na muhim sana ndio yanapewa umuhim yale ya ulazima yanafumbiwa macho
Vijana haiba zao zakirasta Rasta
Kila mtu kashaona fursa hapo😂 zamani mukiwachukulia wapumbavu flani
Hao wapumbavu tu hawana lolote na watakuja kufanya zaidi ya hayo ila kwa staili yengine kubwa hawatorikodi tu
Nguruwe haramu hata akisomewa bismillah
Eti dada kwenda uchi .toka lini bich ukaenda na nguo kama unaenda msikitini
# Yani nen sineno Tyr mshatia nen siasa kwani siasa ckuna MDA wake utakuja kwani hao makachu ndio kwanza Leo hii muwaone hapo walipo heshima na adabu hawana kijana wa kizanzibar anakuja hapo ktk warsha Wana marasta ivi sehemu za nyeti wataweza kuingia hao hlf hizo warsha zenu mbn kizungu ketawala sana kisw kinakwenda wapi aghhh mapyoro matupo kaz kupoteza mapesa tuy......
Kuna na ule upumbavu wa kujipaka mavumbi akajikunuta yaani sijui ndio inasaidia Nini!? Kwahiyo pia wakatazwe upuuzi huo.