RAIS MAGUFULI ALIVYOSIMULIA ALIVYOLALA HOTEL YA BEI GHALI ZAIDI RUFIJI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 138

  • @ismailmajala2802
    @ismailmajala2802 5 ปีที่แล้ว +13

    Hongera sana Mh Rais Mwenyezi Mungu akulipe Umetufunua sana mambo mengi Kama ingewezekana tukuongezee utawale 20 yrs tu kwa kweli tutafika mbali sana

  • @mcwillehard5422
    @mcwillehard5422 5 ปีที่แล้ว +67

    Kama ni Rais kwa kweli tumepata. Kila mtu ana mapungufu, ila Huyu ubora ni mkubwa mnoooooo

    • @janeypheremmanuel9844
      @janeypheremmanuel9844 5 ปีที่แล้ว +1

      Ester Mneney kabisha mamy due mwenzangu hata hotel ya lakimoja siwez iyo midollars yote

    • @kelvinjohn6851
      @kelvinjohn6851 5 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa.

    • @matysamwel8592
      @matysamwel8592 5 ปีที่แล้ว

      kweli wewe dada unaakili sana! umeongea point sana!

    • @sulemgo9203
      @sulemgo9203 5 ปีที่แล้ว

      Yaa

    • @geraldwilliam8932
      @geraldwilliam8932 5 ปีที่แล้ว

      mh upo vzr sn baadhi ya watendaji wako wanakuangusha co waaminifu

  • @karago88
    @karago88 5 ปีที่แล้ว +55

    Mimi sio Mtanzania lakini huyu rais ni kibokoyao,toka nizaliwe sijawahi kupata rais mzalenfo kama Magufuli.
    Plz wa Tanzania mchunge rais wenu kama riyayi.
    Nguvu yenu ni nguvu yake na Nguvu yake ni nguvu yenu.

  • @jacksonmathayo6510
    @jacksonmathayo6510 5 ปีที่แล้ว +6

    Safiiii kabisa Mheshimiwa Raisi Wangu Dr magufuli tunakuombea Sana endelea kupiga kazi Baba be blessed My pretty president Ameeeeen

  • @apocalypsething8088
    @apocalypsething8088 5 ปีที่แล้ว +8

    yow 1 room accommodation costs US $ 3,000:00 dat's for us foreigners who pay for those amenities in yow beautiful countryside, Tanzania
    if da ministry of Tourism doesn't collect da foreign reserves for remittance to the treasury/exchequer then there's corruption in dat ministry
    da local natives even cannot dream of spending their vacations there in those hotels
    yow country, Tanzania is awesome beautiful
    enjoy yow memoires bec'oz life's really short

  • @jejetoyobo1254
    @jejetoyobo1254 5 ปีที่แล้ว +8

    Nafurahiii sana Rais wetu yupo na furaha chapa kaziiiii mkuu nchi yetu soteee tuweke sawa mazingira tusonge mbelee

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 5 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania itafika mbali sana,kwa uongozi wa Rais Magufuli.Mungu akulinde.

  • @robertevarist1595
    @robertevarist1595 5 ปีที่แล้ว +10

    Hakika unaposikia watu kuwa na kipawa cha kuongoza basi Rais wetu ana kipawa cha kuongoza

  • @shukranikimba7660
    @shukranikimba7660 5 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana Raisi,naishi uingereza napenda sana Maneno yako ya hekima na busara

  • @ayubujackson5782
    @ayubujackson5782 5 ปีที่แล้ว +5

    Huyu ndo Rais wa Tz 2mshukuru Mungu

  • @abelyedson6483
    @abelyedson6483 5 ปีที่แล้ว +1

    Hyu Mzee anaongea had choz linatekenya Mungu akulinde zaid na zaid

  • @gurishadamas6882
    @gurishadamas6882 5 ปีที่แล้ว +1

    Unafanya kazi nzuri mhe. Rais, Mungu akulinde na kukuongoza usikate tamaa.

  • @beatricekamengekamenge5543
    @beatricekamengekamenge5543 5 ปีที่แล้ว +5

    Baba baba huyo💪💪🇹🇿🇹🇿mpyaa👏👏👏👏

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 5 ปีที่แล้ว +1

    Ninakupongeza sana Mhe. Rais ila pia nakushauri uushughulikie na MUUNGANO, utupatie nafasi na Wazanzibar. Kuna bodi za taasisi za MUUNGANO hazina hata mjumbe kutoka Zanzibar achilia mbali management zake, hili ni lalamiko la msingi kwa Wazanzibar na ndio agenda ya WAPINZANI wetu iliyobaki lakini sio ndogo.

  • @rogersabisai9970
    @rogersabisai9970 5 ปีที่แล้ว +3

    Nakukubali saaaaaaaaaana baba yangu JPM.Utazidi kuwa kileleni daima.Mungu akupe umri mrefu baba yangu.

  • @dityponda318
    @dityponda318 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana rais wetu mungu akulinde daima

  • @upendohalisi80
    @upendohalisi80 5 ปีที่แล้ว +16

    Kabisaaa presidaa nchi hii siyo masikini ni huru!!! Fedha tunazo madini ya kila aina tunayo!! Weupe mtapata tatu sana maana hata rais ajaye atawanyooshaa tuu!! Mumetulalia kitambo sasa basiii! MUNGU BABA hashindwi tutajenga ili wajue tunazo na tunaendelea kuwa nazo nyingiii!! Viva JPM jamani!!!!!!

  • @deokamo2150
    @deokamo2150 5 ปีที่แล้ว +12

    Yan huyu mzee sasa nimeanza kuamini kuwa nimpango wa MUNGU

    • @michaelchibhona9331
      @michaelchibhona9331 5 ปีที่แล้ว +1

      Watnzania wenzangu ivi mwakani tunaenda kwene uchaguzi wa Raisi kwa nn tusinge mwacha tuu huyu Baba aendele kupiga kazi mbona anafiti vizuri kuliko tukamruhusu aende kwene kampeni kupoteza mda samahani hayo ni mawazo yangu

  • @fakihhija9497
    @fakihhija9497 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali jiwe hapa kazi tu

  • @kubulizuberikubulizuberihu5896
    @kubulizuberikubulizuberihu5896 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe maisha marefu Mimi nashauri watanzania tuendelee kumuombea

  • @khadijambaruku2491
    @khadijambaruku2491 5 ปีที่แล้ว +10

    Chapa kazi BABA taifa lisonge mbele

    • @stivenmoshi960
      @stivenmoshi960 4 ปีที่แล้ว

      Mda wako umeisha tudu lisu ndiye rais

  • @elardmadeez3382
    @elardmadeez3382 5 ปีที่แล้ว +4

    hongera raisi wetu

  • @lizzymaundo951
    @lizzymaundo951 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde rais wangu

  • @hanafisaidi5516
    @hanafisaidi5516 4 ปีที่แล้ว

    Mueshimiwa nakukubal sana chapa kazi kamanda

  • @estherelia669
    @estherelia669 5 ปีที่แล้ว

    Dr Magufuli Mungu akulinde akutunze na Abarikiwe mama aliyekuleta Duniani ..Ni mapenzi ya Mungu kuwepo hapa Dunian hakika umekua mkombozi kwa Taifa letu .

  • @ramadhanisuru1822
    @ramadhanisuru1822 5 ปีที่แล้ว +7

    Wallah mtakuja kumwelewa tu huyu magufuli

  • @hamoudyahya7635
    @hamoudyahya7635 5 ปีที่แล้ว +1

    Well done My president. Waafrika tunaweza.nashangaa makampuni mengi yanaleta managers ma expert.hili nalo Mr. President liangalie

  • @ngometvarusha4030
    @ngometvarusha4030 5 ปีที่แล้ว

    Maguful Rais wetu nakupenda sana hujifungi fungi yaliyopeupe unaweke peupe

  • @benjaminichiduochiduo6376
    @benjaminichiduochiduo6376 5 ปีที่แล้ว +4

    Inapendeza mkuu piga..kazi

  • @valentinamussa4212
    @valentinamussa4212 5 ปีที่แล้ว +1

    Chapa kazi mzee baba

  • @mariamallya7970
    @mariamallya7970 5 ปีที่แล้ว +1

    Vijijini umeme jamani

  • @emanuelseka7581
    @emanuelseka7581 5 ปีที่แล้ว

    Nakupenda bure rais wangu mungu akupe maisga marefu

  • @janeypheremmanuel9844
    @janeypheremmanuel9844 5 ปีที่แล้ว +19

    nakupenda bure Baba Magofuli hahahaahah sitaki kulaliwa mie hahahaa

  • @saloujohn3639
    @saloujohn3639 5 ปีที่แล้ว +1

    God bless Magufuli

  • @princegabytv7251
    @princegabytv7251 5 ปีที่แล้ว +8

    MAGUFULI OYEEE

  • @klkkklkk1369
    @klkkklkk1369 5 ปีที่แล้ว +13

    hapo nimekuelewa hawa wazungu hawataki bwawa la umeme ili wawe wanaua tembo wetu na faru

  • @ismailhanya2327
    @ismailhanya2327 5 ปีที่แล้ว +3

    Mpaka nakuonea huruma Rais hauna muda wa kupumzika,Piaga kazi Muyu na we. Wa Tanzania Tusilaliwe! 😂😂😂🇹🇿🇹🇿👍👍

  • @dorismamf7404
    @dorismamf7404 5 ปีที่แล้ว

    Nataman TANZANIA iwekama nchizinazotawala Rais mmoja mpk mwishowa uhai wake manatulichokua tunakitaka tumekipata haijawahi kutokea nanahisi haitatokea Mungu akupe maishamarefu Rais wetu utawale miaka namiaka

  • @gosbertrwezahura3645
    @gosbertrwezahura3645 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mzee ni zawadi kutoka kwa Mungu kwa Waafrika wote.

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 5 ปีที่แล้ว +1

    Magu safiiiiiiiiiiiiii

  • @georgiusgotifrid3074
    @georgiusgotifrid3074 5 ปีที่แล้ว +1

    👍 Yes Sir

  • @ishaq9925
    @ishaq9925 5 ปีที่แล้ว +2

    ishima kwako mkuu

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 5 ปีที่แล้ว +11

    Baba rais weee fanya kazi usisikilize malongooongo yaani umeme tz gali sana sometime time unasema wako normal kweli kwa nini umeme ni galii hata kwa matumizi ya watu hapo rahisi umefanya kazi ziada wewe walikupiga sana lakini utia nguvu hatutati kuliwa kijinga kijinga mama Janet mtunze vizuri baba rais hawe na afya njema ubarikiwe mkande kande kidogo mgongo migoo maana anafanya kazi kulipo maelezo hakuna anaifanya kazi kama rais mtasema mtakumbuka sana baadaye kama baba taifa

  • @lamerckjesus2921
    @lamerckjesus2921 2 ปีที่แล้ว

    Jesus seems who is wright...God knows about our country we need your judgement oooh Lord come and replace magufuli spirit even him passed away;God you can do more than we can.
    Please LordGod receive my prayers.
    Amen

  • @kacherosimba5762
    @kacherosimba5762 5 ปีที่แล้ว +5

    Mwenzenu Mimi sitaki kulaliwa lamda nilaliye anko magu wewe noma nakukubali sana

  • @ramadhaniomari2162
    @ramadhaniomari2162 5 ปีที่แล้ว

    Mipango ya mungu huyu rais

  • @mrfantastic8364
    @mrfantastic8364 5 ปีที่แล้ว +1

    Raisi tunaye

  • @malickkasuga4805
    @malickkasuga4805 5 ปีที่แล้ว +1

    Hapo kunatatizo hiyo hoteli sis walalahoi tunaisikia muda mrefu vp hao watumishi wako hawajui kweliii

  • @ezekielphilemon9257
    @ezekielphilemon9257 5 ปีที่แล้ว

    Daaah USD 30000.kumbe bado nchi inaliwa aiseee

  • @rassimbaengswahili6191
    @rassimbaengswahili6191 5 ปีที่แล้ว +2

    Huyu ndio Rais tuliyemhitaji kwa miaka mingi

  • @hassanimaulidi7092
    @hassanimaulidi7092 5 ปีที่แล้ว

    Magu the best..

  • @jonassimon2937
    @jonassimon2937 5 ปีที่แล้ว +1

    Sawa Baba

  • @athumanomary1171
    @athumanomary1171 5 ปีที่แล้ว

    Asante san raisi wetu raisi wetu mwenyez MUNGU yupo pamoja nawe

  • @thomasapolinary4966
    @thomasapolinary4966 5 ปีที่แล้ว +1

    Nlisahau kukusalimia baba ....shikamoo mzalendo

  • @ladislausmagori7939
    @ladislausmagori7939 5 ปีที่แล้ว +1

    Polepole tu muheshimiwa watakuelewa wenyewee

  • @mukikibati3519
    @mukikibati3519 5 ปีที่แล้ว +3

    Watu bado hawakubali wanalao jambo rais magufuli endelea kuibua madudu yote na uyatangaze.majizi na mafisadi hayana dini wala huruma yakamatwe na yafungwe Maisha

  • @hkmayala414
    @hkmayala414 5 ปีที่แล้ว +1

    Cjutii kukupigia kura🔥🔥🔥🔥

  • @fadhilijulius6798
    @fadhilijulius6798 5 ปีที่แล้ว

    Hongera Rais kwanini serikali isichukue eneo lake na hao jamaa wakafukuzwa kabisa?

  • @allymapinda8804
    @allymapinda8804 5 ปีที่แล้ว +7

    Halafu kuna binaadam uchwara utasikia wanampinga vita huyu rais yani kweli binaadam hatuna maana! Jamaa alivyo na uchungu jinsi nchi inavyotafunwa ila kuna watu bado wanazingua kuona hafanyi cha maana 🖕🏾🖕🏾 maanina zao 🤬🤬 Tanzania ni nchi huru sisi hatuwaamulii nchi zingine na wao wasituamulie nini tunataka kufanya shenzi taipu🤬🖕🏾

    • @omarjecha5410
      @omarjecha5410 5 ปีที่แล้ว +1

      mwakaa waooo mafisadi wanaliyaa

  • @rashidmohamedi1495
    @rashidmohamedi1495 5 ปีที่แล้ว +1

    Kulaliwa oyeeeee km umesikia mkuu kuhusu kulaliwa bila kudhurumiana comment chini

  • @munuoisaack418
    @munuoisaack418 5 ปีที่แล้ว +1

    Hata Mao Raisi wa China hakueleweka mapema Ila sasa tunawaona wachina na kuwasifu hivyo MHESHIMIWA RAISI CHAPA KAZI

  • @thomaskaungo11
    @thomaskaungo11 3 ปีที่แล้ว

    Hapo sasa

  • @hamzamussa2930
    @hamzamussa2930 5 ปีที่แล้ว +1

    Hauna mpinzani Baba

  • @musathobius4122
    @musathobius4122 5 ปีที่แล้ว

    Dah rais

  • @joviangeofrey7212
    @joviangeofrey7212 5 ปีที่แล้ว +1

    ivi ni ile inaitwa nyumbu au ile ya river side?

  • @kashihamakaundama1653
    @kashihamakaundama1653 5 ปีที่แล้ว +1

    Hapo nazidi kukuelewa

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 5 ปีที่แล้ว +1

    Sasa hao TRA kazi kutubana sisi wanyonge,labda hats kwenye hiyo hotel ya chumba US $ 3,000 hawajafika
    Na kama wamefika wakala,wakanywa,wakalala,na kuondoka

  • @aminaabdiabdi7112
    @aminaabdiabdi7112 5 ปีที่แล้ว +1

    Magufuli woiyeee maguful juu juu kileleni...

  • @valentinemtei2927
    @valentinemtei2927 5 ปีที่แล้ว +4

    Kama waziri haijui hiyo hoteli, na IPO kwa muda mrefu,waziri ajiuzulu tu,

  • @raziambwana2145
    @raziambwana2145 5 ปีที่แล้ว

    Tunakuunga mkon Rais wetu ulipo tupo

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 5 ปีที่แล้ว +4

    Oteli Za Kuiba Wanyama Izo

  • @tanzaniakwanza9564
    @tanzaniakwanza9564 5 ปีที่แล้ว

    kwahiyo kulikuwa na watu wameisha jimilikisha kakipande ndani ya Tanzania Duh!, ndiomana walikuwa wanapiga vita eti uharibifu wa mazingira, haya yote watanzania tungeyajuaje kama sio ww kwa kuthubutu, Mungu akulinde Rais.

    • @folonatuszongo475
      @folonatuszongo475 5 ปีที่แล้ว +1

      Hongera Mheshimiwa Rais John Joseph Pombe Magufuli kwa yote unayoyavumbua kila uendako Sisi tupo nyuma yako Mheshimiwa Rais.

  • @joesmike2369
    @joesmike2369 5 ปีที่แล้ว

    Piga kazi muheshimiwa tulip bega kwa bega

  • @BARAKABLESSING
    @BARAKABLESSING 5 ปีที่แล้ว

    Hiyo Hotel inaitwaje>? nataka na mimi nikalale

  • @georgemassebu2083
    @georgemassebu2083 5 ปีที่แล้ว +1

    Sijui tufanye vipi tu ili huyu Rais awe wa maisha hapa nchini kwetu.hapaswi kutuacha 2025,anapaswa kuendelea tu mpaka nguvu zitakapoisha basi apumzike tubaki tukimtunza maisha yake yote

  • @samwellwiza5339
    @samwellwiza5339 5 ปีที่แล้ว +1

    TUNAKUPENDA RAIS WETU..UMEKUWA RAFIKI WA WANANCHI WAKO UNAOWAONGOZA...WEWE SIYO RAIS TU BALI NIN NDUGU NA RAFIKI...UNACHOFANYA NI ZAIDI YA KILE TULICHOKITARAJIA KUTOKA KWAKO....

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 5 ปีที่แล้ว

    what a PREZ!!!

  • @kamanda007
    @kamanda007 5 ปีที่แล้ว

    Not good idea kujenga uzalishaji umeme hapo rufiji,wind and solar vingeweza kuleta umeme mwingi tuu bila kuharibu mazingira..mmekosea sana

    • @pendael02
      @pendael02 5 ปีที่แล้ว +1

      Acha ujinga, wind na solar anatengeneza nani vifaa biashara, wewe inawezekana umetumwa na wazungu wenye vifaa vya solar. Mazingira ni ya Tanzania na ni kwetu na ninyi mkomae na mazingira yenu. Umetumwa ww

    • @kamanda007
      @kamanda007 5 ปีที่แล้ว

      @@pendael02 wewe Mimi sitakutukana Ila natoa opinion yangu tuu and I'm working in power industry so naongea ninachojua, solar and wind ni cheaper than hydro and very efficient, na vipi ile gas why not use it for electricity production maana we have trillions of cubic feet za kutosha for the next 100 years

  • @kiatu
    @kiatu 5 ปีที่แล้ว

    Rais mjanja sana. Hawampati.

  • @lucytibe7790
    @lucytibe7790 5 ปีที่แล้ว

    Sasa mheshimiwa tungemjua na mmiliki wa hizo hotel. ili wengine wajiweke sawa waache wizi

  • @evodiusrugakingira88
    @evodiusrugakingira88 5 ปีที่แล้ว +7

    Sasa nyie mnazungumzia kulaliwa kule😁😁😁😁😁😁

    • @richardsoka2400
      @richardsoka2400 5 ปีที่แล้ว

      @Mr. Rugakingira Umesahau mienendo ya wa Pwani! Waajemi na Waarabu walifika huko ile miaka ya 900 A.D. maendeleo ndo hivo tena kwani Waarabu walijenga mistikiti tu, na wala siyo shule wala hospitali!!ila Wazungu walifika kanda ya ziwa 1886 na Iringa, Buganda, Mbeya, Kilimanjaro 1890s!!

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 5 ปีที่แล้ว

    Waziri unatakiwa kushughulikia pande zote ata kwa kushirikiana na wizara jirani wako.kama hakuna ushirikiano panda kwa mh.tamko liwe msumeno

  • @musathobius4122
    @musathobius4122 5 ปีที่แล้ว

    Kweli wazungu kwaheri

  • @saumuabdi5954
    @saumuabdi5954 5 ปีที่แล้ว

    🙏

  • @monicachris2836
    @monicachris2836 5 ปีที่แล้ว

    Wew

  • @hamiskanama1945
    @hamiskanama1945 5 ปีที่แล้ว

    Kiukweli Magufuli we ni Jembe

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 5 ปีที่แล้ว

    Kodi Kodi kodiiiii

  • @zikirination6769
    @zikirination6769 5 ปีที่แล้ว

    Kuna wapumbafu wameweka dislike sijui wanajua ni kudownload nn maan ni upuuzi kuweka dislike

  • @claudsanga2129
    @claudsanga2129 5 ปีที่แล้ว

    Wapigaji bado hawajaisha

  • @abdulrahmanmussalonka4935
    @abdulrahmanmussalonka4935 5 ปีที่แล้ว

    Sasa nyinyi mnacheka hii ya kulaliwa? Hahaahaaa.

  • @amanam2735
    @amanam2735 5 ปีที่แล้ว

    Hapa lazima tukuunge mkono
    Tunalaliwa tunakua kama nini? Sijasikia vizuri

  • @hafidhchoi3186
    @hafidhchoi3186 5 ปีที่แล้ว

    Sio ile yakulaliana yenu nyinyi

  • @ramadhanichalachala6184
    @ramadhanichalachala6184 5 ปีที่แล้ว

    Tulikuwa hatujui kama kuna hoteri huko nadhani hizo hoter ndiyo za mafisadi hawezi mgeni kujenga tu bira kufata taratibu za ichi mi nina imani hizo hoter ni za Wtanzania ambao siyo wazalendo

  • @tumsifummbetwa7417
    @tumsifummbetwa7417 5 ปีที่แล้ว

    Maneno mengi

  • @issaathumani4682
    @issaathumani4682 5 ปีที่แล้ว +10

    Daah! Mkuu umekwenda kulala jumba la kifahari huko Rufiji
    Na hatimae ikakufanya ushangae na kuhoji juu ya ulipaji kodi wao,
    Kumbe siku ingine watajiuliza na kujipanga pale utapokwenda mahala pengine😂

    • @jacksonmathayo6510
      @jacksonmathayo6510 5 ปีที่แล้ว +1

      Kabisaaaa yaani

    • @agogodadimwa195
      @agogodadimwa195 5 ปีที่แล้ว +1

      Ninachompendea huyu JMP huwa hafichi jambo hata ka kalifanya na ndo ubinadamu ulivyo hakuna asiye na kasoro but all in all ktk utawala wake watz tulio wengi ametufumbulia mambo mengi ambayo yalikuwa yakifichwafichwa hapo awali, viva JPM

  • @danielpatrick6512
    @danielpatrick6512 5 ปีที่แล้ว

    Tanzania huru

  • @Ishengoma1
    @Ishengoma1 5 ปีที่แล้ว

    Mmiliki wa hotel hiyo ni nani sasa?

    • @championalways192
      @championalways192 5 ปีที่แล้ว

      Acha umbea

    • @eliahedward7490
      @eliahedward7490 5 ปีที่แล้ว

      Wazunguuuuu

    • @instituteofsuccessios5416
      @instituteofsuccessios5416 5 ปีที่แล้ว

      Atakuwa kina.a

    • @eneolatukio8493
      @eneolatukio8493 5 ปีที่แล้ว

      Itakuwa muindi au mzungu..hapo hawataki wazawa waingie humo. Wakati kwao huwezi kukuta kitu kama icho, eti mwafrika awe na hoteli kama hiyo Ulaya, au Asia mmh!!

  • @ayubujackson5782
    @ayubujackson5782 5 ปีที่แล้ว

    pouw

  • @erastoernest5334
    @erastoernest5334 5 ปีที่แล้ว

    Yahani magufuri utabaki kwa juu kileleni

  • @aludomakori7692
    @aludomakori7692 5 ปีที่แล้ว

    Na hiyo hotel itakuwa na mkono wa waliokutangulia tu,nani anajua wanaolipa pesa zote hizo kulala huko wanatoka na nini?kweli Tz ilikuwa shamba la bibi

    • @andreajeremia436
      @andreajeremia436 5 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa,mtu Wa kawaida hawezi kujenga hotel huko,kuna mh fulani hapo