For sure only Jesus is a final friend of life in this world, in a brave and in heaven. Wakristo tuyavumilieni mateso ya dunia ili tukaitwe watatifu baada dhiki hapa duniani takaishi nae Yesu milele becouse He is Alfha and Omega. Chunga na rafiki huyo umwonae kwa macho ya nyama asikupoteze njia kwani njia ni Yesu ayafuatae matendo yako kwani mda wa rafiki wa dunia ni mfupi uishio nae hapa duniani. God bless you all Manukato singers.
Even if I do not understand the language I feel like I am blessed. Keep going guys in the name of Jesus-Christ. God bless you!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nimewapenda sana wadogo zangu, kazi nzuri ama kweli nabarikiwa sana kwa huu wimbo. Mungu awabariki sana na awape uwezo mkubwa zaidi ili muweze fika mbali zaidi
Ambao tupo pamoja mbaka Sasa 2024 tupeane like
Yaan nazipenda sana nyimbo zao Hawa watoto❤
Kutoka Burundi,nawapenda vijana waF PCT mungu awabaliki 30/03/2024
Kutoka Burundi,nawapenda vijana waF PCT mungu awabaliki 30/03/2024
❤❤❤
❤️❤️❤️❤️
Wimbo wangu pendwa 2024 naenjoy huu wimbo nikiwa Mzima wa afya Asante Mungu
Anayeangalia na mimi muda huu November 2024 likes kwetu jmn na Mungu akubariki
Naipendaaa sana hiii nyimbo❤❤❤❤❤❤❤ Mungu awabarikiiiii sanaaa
Nilikuwa naupenda huu wimbo tangu nikiwa mdogo lkn Mungu ameniwezesha nmeuskiliza tena 2023
Umetoka mwaka gan huu wimbo mpendwa
Umetoka mwaka gan huu wimbo mpendwa
Hallelujah Glory to God 💪🏾
They sing attractive they shake attractive, they bless each other 🎉🎉🎉❤❤❤
Mungu n mwema mbarikiwe xana
Anaye angalia apa 2020 like apa tujuwane akika huu mwimbo unanibariki sana🙏🙏🙏❤❤
Anafaidi alieimba au unafaidi wewe
For sure only Jesus is a final friend of life in this world, in a brave and in heaven. Wakristo tuyavumilieni mateso ya dunia ili tukaitwe watatifu baada dhiki hapa duniani takaishi nae Yesu milele becouse He is Alfha and Omega. Chunga na rafiki huyo umwonae kwa macho ya nyama asikupoteze njia kwani njia ni Yesu ayafuatae matendo yako kwani mda wa rafiki wa dunia ni mfupi uishio nae hapa duniani. God bless you all Manukato singers.
Mungu apewe sifa hii nyimbo nasikiliza siku zima nikiwa nyumbani
awa mabintii. Mmoja wao nilazma nifanye mpangoo wa suti nashelaa chiiiii
Sauti, maneno na wimbo ulio wa baraka, Mungu awajalie heri zake
2021 kama bado umebarikiwa kusikiliza huu wimbo ❤️👊👊👊👊👊✅✅✅
Kama Kwaya ya Vijana Getsthemane Fpct Katesh Mjini.... Barikiwa sana Mungu awainuee
Aliye isikiliza 2020 kama mm like hapa
Jamani ivi kunanyingine mpya? Tunaomba aisee wasikate tamaa mungu awatie nguvu Amen
Ff
Jamani aliyesikiliza nyimbo hii mwaka 2019 twende pamoja
Tuko pamoja sana
Tuko pamoja sana
Diyo kabisa atukumbatiye na kwakenisalama
Mimi nipitaji
Niwewe tu bwana huu mwaka 2024❤❤❤❤
Iko powa Sana hii nyimbo mungu awasaidie mfike mbali katika huduma
niwewe tu niww tu bwana unitoe mashakani baba nakuitaji unishike mkono nikumbatie kifuanai mwako nina hakika kwako ni salama mbarikiwe sana
Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu. Ninatamani kujua kwasasa kuna production mmefanya
Congratulations kwa kazi mzuri sana sana following from Nairobi Kenya 🔥🔥🔥🔥
Naupenda wimbo huu tangu utotoni na nitaupenda daima💖💖💖💖💖💖💖💖💖
Mungu awapiganie sana mfike mbali.msichanganike na mambo ya dunia
Mungu awabaliki waimbaji wazuli na awaongeze nguvu yakushindana na shetani
Wimbo mzuriii ubanikumbusha nilivokua mtoto Utukufu kwa YESU mliimba kweliii🙌
My best song since 2018.....mbarikiwe
Congratulations nyimbo ya guza kweli be blessed keep it up
Mungu awatunze sana hawa
Walikua baraka,,wanavutia ata kuwatazama
Oooh MUNGU wetu usituache katika nyakati zote🙏
nahakuhitaj unishike Mkon baba ninahakik kwako nisalama baba yetu Amn💃💃💃💃💃❣❣❣💞💞💞
Que Dieu vous bénisse malgré je comprends pas la langue
Mungu awabariki katika uduma hiyo ya winjilisti.
Listening to these children, I feel like I am singing about my lord Jesus Christ. Amen
God bless you mightly ❤ you bless me when I listen to your songs . injili kwa wote Amen amen amen
Wimbo mzuri sana. Ni wewe tuu ni wewe tuu Bwanaa
Mungu awabariki sana MANUKATO KWAYA
Mungu hakika amejua kuwapa nyimbo nzuri sauti nzuri mmejua kuutendea haki Yesu azidi kuwatetea mzidi kumtumikia mpka uzee wenu
I love this song.so inspiring.this is true Gospel
Wao yes is only God thIsis my best song ever bblsd very much you guys an I love hw ua faces are cheerful.
mko vzuri watumishi wa Bwana, mnanibariki sana,Mungu awatie nguvu
Mungu baliki kazi za watoto Hawa amina
Daomd
nice song hongereni sa mungu awabariki mfike mbele zaidi ya hapo
Usiniache pekee yangu Baba! Mbarikiwe waimbaji!
Evodia Mhumba ahsante sna
Amina iko vizuli et
@@sifamwakaniemba443 Amina watumishi
Tumusifu yes kilisutu
Nina hakika kwako ni salama
Nimwimbo nzuri kabisa dada mwenyewe anatela mzuri kabisa
Roda Baruanisaidi th
Mko vizurii watoto 😍😍😍😍😍
Nabarikiwa Sana,Mungu awabariki wadogo zangu
Aminaaa Barikiweni Wapendwa kwa jina YESU KRISTO
Mubalikiwa Sana vijjana, namwedele na uduma ya ejili yamwokozi wetu.
Be blessed all of you guys.
asiniachebaba amina mubarikiwe
Penda sana
Penda sana
niwewe bwana unitoee mashakani nakutegeme
M barikiwe sana
Mubarikowe kweli nime penda hiyo kweli natamani atanijiuge nyinye kweli
Your song has brought tears on My eyes! Pambana & usiniache Bwana! Mungu awabariki waimbaji pamoja na mtunzi wa nyimbo hizi.
Nabalikiwa sana na nyimbo zenu ama kwel mungu anatenda wimbo mzur 2022
Even if I do not understand the language I feel like I am blessed. Keep going guys in the name of Jesus-Christ. God bless you!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
They sang the song I wish you could understand the language used on this song
Mmbarikiwee ,mmeimbaa vizurii sana
WOW HOW ADMIRED THE SONG IS ,,B BLESSED YOUNG AMBASODOLS
inspiring Song from uprising gospel Singers, Mungu awatunze ili kamwe msiiache kweli yake katika maisha haya mafupi ya duniani !
Hivi hawa waliendelea kuimba ao waliacha? Maana nawapend mungu wng wee❤❤❤
Wow that's awesome thanks for letting me know these song
kweli mola amewapa kipaji. so blessing
Obed Omurunga inshaallha
Wimbo mzuri🙏🙏🙏
Bado iko vizuri kama tuko pamoja 2020 gonga Lake
Tupopamoja
Nice song Jamani nikisikiliza huu wimbo napata faraja
Mugu awa bariki sana Nina wa penda sana 😘😘😘😘😘😘😘👨❤️💋👨👨❤️💋👨👨❤️💋👨👨❤️💋👨
vry lovely dia brothers & sisters mungu awabariki saana!
Nice song nabalikiwa mungu awabaliki
Nishike mkono.... Love it.. Mungu awabariki
Niyonzima Lucio Charlotte imukumbukemungujamani
Mungu nimwema.kwangu nakwako asante mungu wangu.
Vijana Mungu awabariki kwa kazi nzuri mmeo ifanalya Amen.
Ni wewe tu ni wewe bwana ni wewe tuh Bwana unitoe mashakani....
wow .very Nice song ,be blessed ...
Ts just nyc n lovely hallelujah
Mmbarikiwe sana mmenivusha
mubarikiwe sana watoto wa mungu
Mungu awabaliki kwa wimbo mzuli hadi laha wapendwa hivyo hivyo mbaka shetan akome kufuatili watu mungu, amina!!!,
2021 lakin kama imeimbwa jana hongeren sana jamn MUNGU aendelee kuwabariki
This song, is the BEST, thank you much for sharing it with me and other.
Mungu awabariki kwakipaji chenu na muendeleye maishani mwenu. Nashukuru sana.
Niwina walombo ovuali niyesu means wanyasahe
Mundu kulosi
Am blessed of this youth singers for the Lord.Endelea Mbele kabisa.I love the song too.Its of great message.
hawa waimbaji wapo tenaa wajameni. I really love this song aaaai be blessed
Sichoki ksikiliza hiiinyimbo inanibariki 🙏🙏🙏
hongereni Bwana awajalie kuyaishi mnayoimba
Nice Song. Be Blessed
Huu wimbo nimeuota nmekuja kuutazama tena
May God bless you...emen..sandrine from burundi
mungu awabariki watoto
Am blessed for the songs I have lessened my God be with you all you.
nimenda huu wimbo jamanii mungu awambaliki
Wow God bless you guys and your family
Natural and nice song can't believe it contributes peace in the states, build the youth to built the future thanks.
Yhisis my favorite song
God bless you guy
Hii kwaya,nmevutiwa nayo sana,nmeiona nikiwa kwenye Bus moja LA mkoani nkiwa safarini
mumbarikiwe sana. tu. munguawambariki. nawapenda. sa
It's nice my God bless u
Merci pour votre initiative
wow!! this is amazing. watching this young Christians praising God like this, makes me take courage and say siri ni YESU
mubalikiwe wadogo zangu
Woww this song is good
Amen kubwa mubarikiwe sana
wow ni nyumbani kumenoga ni muda sasa jmn
ameeen Sana mubarikiwe sana vijana wa bwana 🙏🙏
👏👏👏👂👏👏
Amen I love FPCT you sing very well
Am blessed by this song,,,,Glory to God FPCT CHOIR, as we call this ministry FPFK (in kenya)
vkq
Mungu awabariki
l always watch this song anyway God bless you so much thanks
Amen mbarikiwe sana
Nimewapenda sana wadogo zangu, kazi nzuri ama kweli nabarikiwa sana kwa huu wimbo. Mungu awabariki sana na awape uwezo mkubwa zaidi ili muweze fika mbali zaidi
What a song, admire the voice of the young lady, hongera youth choir even the acting is perfect, God bless.