Ni Kiongoz Mzuli ila umezidisha Rushwa Wananchi washakustukia Mwachie Mwezio nae tuone atafikisha wapi chama Chadema ni yakila mtu na si sacos ya wachaga
@@richardgeorge5377 aachie kwa nini Ndie mtu sahihi kwa sasa Kama mngekuwa na macho ya kuona mbali basi kama si mbowe mngempa makubusi au mdude sio lisu
Tuna wa penda Wote sana Musiue Chadema ni Tegemeo la WaTanzania Wote Hongereni sana Nyinyi ndio Chama Mubadala cha CCM Cha Msingi UPENDO Ukatawale kwenu Wote
Bro kuna mambo hayaitaj hekima tu bali yanahitaj hekima na maamuz na uthubutu pia maneno bila vtendo sio utendaji kua humble kumov mbele together we can.
Uchaguzi ni mtifuano ikiwa ni nje ya chama , lakin ndan ya chama tunahitaji kuchagua viongozi bora pasipo kutukanan, kukejeliana na kudharauliana, chadema safi ni lazima ijengwe kwa misingi bora. Kama mda umefika basi Mzee mbowe waachie wengine lakin hao wengine wawe kwenye uangalizi wako ,thats all.
@@SowetoBanks hana uzee wowote Bado ndie mtu sahihi kwa sasa Lisu cha maneno hana jipya Cha malalamiko Ndio maana hata chadema wenyewe hamkumpa kura alipogombea Mnajua sie kabisa
Mbowe ni wise sana halafu ni mtoto wa mjini naona wengi mnakomendi ujinga ila hamjui dhamira ya mbowe ameumia sana kwa ajili ya chadema kapoteza mali, fedha na laslimali nyingi sana
@malkavoice2570 ww ndo kubwa jinga ambaye hadi leo hujui kuwa mbowe anashinda ndo shida ya kuzaliwa mapolini halafu unakuja mjini na mbio za mwenge ipo hivi mbowe ni mtoto wa mjini cyo mshamba mwenzio
@@BichongolaInvestment AMPISHE NANI LABDA WEWE KAMA UNAWEZA LAKINI SIO LISU ATATUPOTEZEA MUDA NANKUHARIBU NI CHA MANENO NI CHA MALALAMIKO HANA UTENDAJI WOWOTE TUAMBIE KATIKA NAFASI ZOTE ALIZOPEWA NI IPI ALIYOWAHI KUIFANYIA KAZI IKAONEKANA!! NI CHA MANENO HUYO
Mbowe ana hekima, Lisu ana akili. Mbowe mjanjamjanja, lisu mbishi
Umeongea sana
Mbowe unanidham na hekima Mungu akutunze baba🎉
Mbowe is wise but not clever. Had he been clever he wouldn't have contended again for chairmanship😂😂😂
Mbowe hekima unayo na Mungu akubariki🙏
Napenda kuwaona wote pamoja ila tupeni lisu kwa sasa
Mahali ni pazuri ndugu wanapokaa, wakipatana vema na wakipendana..
naijua hiyo
Ni Kiongoz Mzuli ila umezidisha Rushwa Wananchi washakustukia Mwachie Mwezio nae tuone atafikisha wapi chama Chadema ni yakila mtu na si sacos ya wachaga
Aisee kweli ukubwa dawa
Ww ndio unasababisha yote hayo. We mzee kweli punguza milungula
Ukimsikiliza Mbowe utajua Kwa nini chama kimekuwa na mafanikio. Ukimsikiliza Lissu utajua Kwa nini ataenda kuizika Chadema.
Kuizik baada ya kutak kuwa mwenyekiti 😅😅😅
Hongera sasa ni wakati wa LISSU
Mbowe Aachie Ngazi Tunaomba Msibe kura Tunamhitaji Lisu 🙏💪✌️
Hii ni hekima ya hali ya juu sana ambayo wengine wameikosa
Watu hawawezi kukulemba mdauo unafanya madudu
Mbona lissu hapigi makofi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Siasa bwana.....
Mbona kapigiwa Sana tu au uja ona ndugu
sanaa zinaendelea tunamtaka lisu we unatakiwa uwe mshauri tu
@@mussakimaro5588 labda wewe kama unaweza tutakupa kura lakini sio lisu
Kuokoa chama Mbowe achia ngazi,ng’atukaaaaa!
@@ganomwakisambwe2715 bado ndie mtu sahihi kwa sasa
Labda apatikane mwingine lkn sio Lisu yule ni cha maneno malalamiko tu hana utendaji wowote
Sijaona tatizo la mbowe , ila lissu ni mlalamishi tu asiye na mpango wowote
Hiii Character Assassination 😅😅😅ya Mbowe kila Speech na matusi yapi
Mnamuhitaji mropokaji tena jamani 😅😅😅😊
😅😅
Kama unajuwa hayo Mbowe achia kwa taadhima
@@richardgeorge5377 aachie kwa nini
Ndie mtu sahihi kwa sasa
Kama mngekuwa na macho ya kuona mbali basi kama si mbowe mngempa makubusi au mdude sio lisu
Naw we need lisu and heche
Waambie... Kuna mihemko ya kishenzi sana inaendelea ambayo haina tija kwa chama chenu. Acheni, acheni kutwezana na kuumuzana
Tunao comment hapa,wooote hatupo kwenye kamati ya wajumbe na sio hata wajumbe.😂😂😂😂😂😂
Hata kadii za chama haha😂
Nimeamini Mbowe ni kiongozi makini
Akili nyingi 😂
@@3malisapo kwenye akili nyingi usisahau pia ni mtoto wa mjini
Kbsaaaaaaaaa@@AbdulyMajaliwa-v4r
Huyu mbowe ni mjanjamjanja usipomwelewa umeliwa
Tuna wa penda Wote sana Musiue Chadema ni Tegemeo la WaTanzania Wote Hongereni sana Nyinyi ndio Chama Mubadala cha CCM Cha Msingi UPENDO Ukatawale kwenu Wote
Kama lisu alikufa akafufuka mbowe muache lisu
Ww kutoka kwenye uenyekiti ndio kuuwa chamaa ???kama unajua vyeo vinaisha kwann usitoke
Hapa umenena mkuuu
Bro kuna mambo hayaitaj hekima tu bali yanahitaj hekima na maamuz na uthubutu pia maneno bila vtendo sio utendaji kua humble kumov mbele together we can.
😅😅😅majengo Yakobo na nan?
Lisu amekubaroka dunia nzima kwa usiri wake
Tanzania mnasikitisha, mnaozungumza wanasiasa gani wa nchi gani, nchi za kidiktetor .. Hanna mpinzani anaekuwa rafiki na chama cha upinzani
Kakubali jamani
Imekaa vizur chadema nguvu ya uma.
Hao Vijana Wanaigia Chadema Kwa Mgongo wa Udini na Ukabila
Mungu amlinde Lissu apokee kijiti hiki na Mungu alifanikishe hilo
@@ombendaud5938 yetu macho hakuna atakachofanya yule cha maneno
Sanasana atawaharibia na kuwapotezea muda
WOSIA NI TAMKO LA MWISHO ..
MBOWE ANAWEZA AKAWA AMETOA HOTUBA KAMA KUAGA NAFASI YAKE..
Umenunuliwa ww mbowe hafai Tena kuongoza chadema
Wewe umetoa sh ngani kumnunua Mbowe au ukimsikiliza mropokaji mkuu unaongea tu hata upuuzi???!!!??
Hayo maneno utakuwa unayatamka ukiwa Mzee mshauli sio kulilia uenyekiti
Point
Lisu ni yeye
Chadema haitakufa chaguzi zitapita na chama kitaimarika
Wewe ni baba wa chadema, naomba uachie kiti, heshima yako ni kubwa sana na Baki na heshima,
Mbowe achia ngazi bhana
Uchaguzi ni mtifuano ikiwa ni nje ya chama , lakin ndan ya chama tunahitaji kuchagua viongozi bora pasipo kutukanan, kukejeliana na kudharauliana, chadema safi ni lazima ijengwe kwa misingi bora. Kama mda umefika basi Mzee mbowe waachie wengine lakin hao wengine wawe kwenye uangalizi wako ,thats all.
Asante kwa kukilea chama ila sasa PUMZIKA SASA MZEE.
@@SowetoBanks hana uzee wowote
Bado ndie mtu sahihi kwa sasa
Lisu cha maneno hana jipya
Cha malalamiko
Ndio maana hata chadema wenyewe hamkumpa kura alipogombea
Mnajua sie kabisa
@AnociathaChuwa-cb5nk acha ndoto za mchana. Time for change is NOW.
Minyukano
Mbowe ni Hekima iliyozaliwa
Bowe..toka..bwana
@@TandaligimaMatege atoke labda uingie wewe kama unaweza lakini sio lisu
Kama chadema lazima tuonyeshe democrats hatugombani hii ndio democrats Sasa Sio ugomvi
Vijana wakagoma
Mbowe ni wise sana halafu ni mtoto wa mjini naona wengi mnakomendi ujinga ila hamjui dhamira ya mbowe ameumia sana kwa ajili ya chadema kapoteza mali, fedha na laslimali nyingi sana
@@giztony2009 ye kapoteza pesa kuna watu wamemwaga damu ni walemavu na pesa pia hawa zimepotea kwaajili ya chadema acha umama
@malkavoice2570 ww ndo kubwa jinga ambaye hadi leo hujui kuwa mbowe anashinda ndo shida ya kuzaliwa mapolini halafu unakuja mjini na mbio za mwenge ipo hivi mbowe ni mtoto wa mjini cyo mshamba mwenzio
@giztony2009 mbowe akishinda kaiba uchaguzi na hatuwezi tena kuisaport chadema vyama vipo vingi sana jamaangu
Hekima ni zaidi ya kuongea hekima ni pamoja na kusaidiaa wengine ili wafikie hekima zako
Wewe achia uenyekiti,acha kutafuta huruma
Lisu ameharibu sana
Anakuwa kama mwanamke asiyejua kutunza siri za nyumba yake!!!
Acha ujinga ndugu watu wanamtaka lisu
Ilinwajilekebishe !
Maneno ya busara ya Mwamba nimerudia ×2
Mbowe achia ngaza
Tunamsubiri yule mbowe aliyeenda gerezani
Mbowe ameishakubari anasubiri yatimie
Acha kujipamba sepa buana
Wewe kubali kuachia uwenyekit😂
Tunakupa mtano mbowe 5❤❤❤ una ekima san kaka na busara san❤
Acha siyasa mzee kupe wa madalaka hata ninyi mnaopiga makofi badilikeni mbowe aachiye kiti
Mbowe ni Mugabe achia madaraka.
MBOWE AMEJAAHEKIMA SANA
LISU ANACHOTAKA NI CHEO
MBOWE ANA UCHUNGU NA CHAMA
Acha utoto ni hekima ipi aliyo nayo akubari kutoka Ili chama kiende
@@AbubakarYusuph-d3rmijitu mingine eti hekima ipi ya kung'an'gnia kiti
Njanja huyo ! Kama ana hekima apumzike akubali kuwa mshauri ...
@geraldleger5793 kwa nini wakati anafaa na ana uwezo wa kuongoza
Jiondoe sasa kila time wewe tu
Kinachokuponza ni kutaka kua Kama mugabe au mrema
SASA KWA KIFUPI KAKA SI UPISHE WE HUONI MIAKA20 NI MINGI?
@@BichongolaInvestment AMPISHE NANI
LABDA WEWE KAMA UNAWEZA LAKINI SIO LISU
ATATUPOTEZEA MUDA NANKUHARIBU
NI CHA MANENO NI CHA MALALAMIKO HANA UTENDAJI WOWOTE
TUAMBIE KATIKA NAFASI ZOTE ALIZOPEWA NI IPI ALIYOWAHI KUIFANYIA KAZI IKAONEKANA!!
NI CHA MANENO HUYO
Mnafiki mkubwa una mvuto
Lissu kwanza,,mengine tutazungumza badae,,lissu leta imani ya wnachadema
th-cam.com/video/MEFb8XL-IRY/w-d-xo.htmlsi=9PsO3YMfkJxiATIb
Tumekuelewa kamanda ccm watulie tumalize jambo letu!
Wewe mbowe ndo unakikiuka miiko ya chama ndomaana tunamuunga lisu tunaona àmenyoooka🤙
Lissu ndo anaenda kukiuwa chama mtaona
Kwani sasa hivi kina nini ! Hata mbunge mmoja hakuna wakati walikuwa 71! Kilishajifia kitambo !
Huyo ni Dkt silaa mkae nae mbali mtu yule