Kwa Mara ya Kwanza Maria Sarungi Afunguka Sakata la Kutekwa Kwake Akiwa Nairobi Kenya

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 71

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 14 วันที่ผ่านมา

    Oooh No..
    Maria has been the voice of the oppressed.
    Pole Sana , ni serikali ya Samia hakuna mwingine.

  • @LloydsTech
    @LloydsTech 14 วันที่ผ่านมา +4

    The Kagame style and you still breathing !! , you jocking 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @neporura8679
    @neporura8679 14 วันที่ผ่านมา +1

    Anawachekea wazungu 😊😊😮 maswali mengi kichwa chngu jamani.. mbona sioni hali ya mchubuko mkononi shigoni, usoni?
    Nakuomba uje kituoni kutoa maelezo zaidi tufuatilie na kuwakamata waliokuonea huruma hivyo

  • @obillaezra6205
    @obillaezra6205 13 วันที่ผ่านมา +1

    Kenyan it is your time to insult Tanzania for their English, What about her English is there anything to doubt? She’s eloquent, good Hungary English accent’ Not American English

  • @daruzein
    @daruzein 14 วันที่ผ่านมา

    Hahaaaa just hahaaaaaaa😂😂😂😅😅😅

  • @GodwinSadick-l1v
    @GodwinSadick-l1v 14 วันที่ผ่านมา

    Pole dada Maria mungu mkubwa

  • @ZiggysebahZiggysebah
    @ZiggysebahZiggysebah 14 วันที่ผ่านมา +3

    Mtu anatoaje comment kwa tukio lililompata mtu,akielezea kwa ufasaha masaibu yote, kisha bila aibu anasema ni mwongo huyo. Ni ujinga wa ajabu sana.tuache hayo.

    • @favouredbygod4163
      @favouredbygod4163 13 วันที่ผ่านมา

      Ndugu usije ukawa unawajibu majini

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 14 วันที่ผ่านมา +1

    Unabelivable. Where are we going in this. Scary.

  • @majigeedward955
    @majigeedward955 14 วันที่ผ่านมา +2

    Mambo ya hovyo,,na Mungu ni mtetezi wa watu kam ninyi,,,

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 14 วันที่ผ่านมา +4

    Huyu mama hayuko mzima hata ukimuona machoni unaona ana mental issues , hivi yeye ni nani kwa Tanzania na serikali ya Samia mbona sio tishio kabisa , tuwe wakweli ni nani Tanzania anamjua huyu chotara wa hungary 🇭🇺 😅, na mbona huku kutekwa ni anaongelea ni utoto yaani usalama wa Taifa wa Tanzania wateke mtu kitoto hivyo very unprofessional wakati ni watu ambao wamekaa darasani Na wanaijua kazi yao kwa vitendo Na watu wa kwenda kwenye mafunzo nchi za nje kwenye nchi zinaongoza kwa ujasusi ,mimi naona kama mnasikia mtu aliyekuwa depressed na bipolar kweli kabisa Na anafikiria ni mtu mkubwa sana hatari kwa serikali ya Tanzania 🇹🇿 wakati hamna kitu chochote Yani Hana impact yeyote 😂😂😂

    • @George-jz3jg
      @George-jz3jg 13 วันที่ผ่านมา

      Wewe ni mpumbavu tu kama wapumbavu wengine waliopo hapa duniani Maria Sarungi ni mtoto wa mwanasiasa mashuhuri tanzania Prof. Sarungi ambaye sasa hivi ni marehemu huyu maria yeye anamiliki chombo kimoja cha habari kinaitwa maria Maria Spacis kazi kubwa ya chombo kinatumiwa na wakosoaji wakubwa wa serikali ya huyu mama

  • @charleskadikilo1969
    @charleskadikilo1969 14 วันที่ผ่านมา

    I AM NOT SURE

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 14 วันที่ผ่านมา

    😭😭😭😭my country, my people, we are all in danger😭😭😭😭

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 14 วันที่ผ่านมา +1

    Nimesikiliza story yake ya uongo hata mtoto hawezi kumwamini utekaji huo hamna mtu anateka hivyo sio security service ya nchi yeyote eti uwe Na simu Na wakupe uhuru huo 😅😅😅😅😅

  • @Vuvuzelaz1
    @Vuvuzelaz1 14 วันที่ผ่านมา

    Daaa! Wezi wa simu hao dear wakishua hujawapa password that is cool.... watekaji wasingekuachia ni wezi wa simu na pesa za simu

  • @KalisSandra-zk5eh
    @KalisSandra-zk5eh 14 วันที่ผ่านมา +1

    Naona comments za watu wenye akili fupi fupi tu. I think i should wait for the comments from some concious people.😮

    • @T444zhairfood
      @T444zhairfood 13 วันที่ผ่านมา

      I totally agree with you am waiting as well

  • @Chemba67
    @Chemba67 14 วันที่ผ่านมา +1

    I would like to know which language abductors was using to communicate with her?? Was it Swahili or English? Watanzania hatuongei wala kuandika kizungu so this is one of the interesting area to start with when interrogating her!🤣🤣🤣

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz 14 วันที่ผ่านมา +3

    Wanatekana wenyewe kwa wenyewe wanasingizia serekali wajinga sn wafuasi wa Chadema baadhi yao

  • @bongo39
    @bongo39 13 วันที่ผ่านมา

    Kiki tuu huyu mama wakati akiwa mtangazaji wa TV fulani alikuwa anafoka hakujua kuwatanganzo lilikuwa live yani ni kiburi jeuri fedhuli mshenzi

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 14 วันที่ผ่านมา +1

    Vipi walikuteka halafu kuachie hivi hivi. Kwanini walikuteka sasa. Au ni kiki.

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 14 วันที่ผ่านมา +2

    Sasa hapa mama Samia kaingiaje

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 14 วันที่ผ่านมา

      Na mm nashangaa wanamuonea sn mama

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 14 วันที่ผ่านมา

      Mpumbavu malaya huyu msagaji

  • @khamissalim5160
    @khamissalim5160 13 วันที่ผ่านมา

    Punguza uraibuu dada,utekwe kenya sababu ya simu na passwrd?

  • @mosesjackson_tz
    @mosesjackson_tz 14 วันที่ผ่านมา

    Sarungi kingereza umekinyosha

  • @mhehear
    @mhehear 14 วันที่ผ่านมา +2

    mikono yake haina hata alama ya pingu 😂😂

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 14 วันที่ผ่านมา

      Alama za pingu ??

    • @mhehear
      @mhehear 14 วันที่ผ่านมา

      @@richardnganya2311 anasema pingu zilikuwa tight.. rangi yake ya ngozi ingeonyesha alama za mchubuko kama unazijua pingu basi utaelewa

    • @annewanjiru818
      @annewanjiru818 14 วันที่ผ่านมา

      What's your point here?

    • @calebmurenn7616
      @calebmurenn7616 14 วันที่ผ่านมา

      kuna akili ndugu

    • @samsonkivuyo9548
      @samsonkivuyo9548 14 วันที่ผ่านมา

      Sio mikono tuu, hata uso uliokua unagandamiziwa chini

  • @jacquelinemwakasala9563
    @jacquelinemwakasala9563 14 วันที่ผ่านมา

    Hivi kule kanisa LA roman st peter oysterbay kulikuwa na mabinti wawili wa profesa sarungi walikuwa wanaimba kwaya mmoja alikuwa mnene mweupeeee na mwingine alikuwa mwembamba ila kama hakuwa mweupe sana sa sijui ni yupi alikuwa maria pale nimehis tu atakuwa kati ya hao mabint wawili sa sijui nimesahau nilikuwa nawaona tulikuwa tunasali wt st peter oysterbay miaka hiyo ya nyuma

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 14 วันที่ผ่านมา

      Huyu ni shoga wa kike siku hizi anatembea Na wake za watu

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 14 วันที่ผ่านมา

    Maria taking swahili bana,we are togegthe

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 14 วันที่ผ่านมา +1

    Dada Mwongo

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 14 วันที่ผ่านมา

    Mtuambie hapaanasemaje.sio.mseme yenu.au wote ndo sisi 😆😆😆😆

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 14 วันที่ผ่านมา +2

    Body language yake inasema tofauti na anayo ongea. Macho yake yana hayatulii kwa kufikiria uongo.

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz 14 วันที่ผ่านมา

    Hana alama ataaa ya kofi yani hawa wanaharakati waongo sn sn

    • @valenakomba7686
      @valenakomba7686 14 วันที่ผ่านมา

      We ni mtanzania eeh? .

    • @petersipano6335
      @petersipano6335 14 วันที่ผ่านมา

      Tafuta maana ya wanaharakati kwanza

  • @mhehear
    @mhehear 14 วันที่ผ่านมา +1

    accusation za kitoto hizi

    • @williamhenry2275
      @williamhenry2275 14 วันที่ผ่านมา

      If your dad had used a condom this stupid man wouldn't be uttering this garbage

    • @DiwaniMwafongo
      @DiwaniMwafongo 14 วันที่ผ่านมา

      Matanzania mengi ni mabwanmbwa kama wewe!!

  • @LloydsTech
    @LloydsTech 14 วันที่ผ่านมา +2

    Utoto wa CHADEMA tena

  • @ezekielmabwai482
    @ezekielmabwai482 14 วันที่ผ่านมา

    Jamaa aliyemuoa anafaidi sana mmrembo na mwenye akili nyingi, namuonea wivu

    • @omarymkamba3045
      @omarymkamba3045 14 วันที่ผ่านมา

      Huyo ni Tomboy anatongoza wanawake ni lesbian huyo

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz 14 วันที่ผ่านมา

    Huyu sio mbongo hakuna mbongo anaongea english ivo achunguzwe uraia wake huyu

    • @MagrethCharles-ne2ts
      @MagrethCharles-ne2ts 14 วันที่ผ่านมา

      Tatizo la watoto wa elfu 2, hamjui historia huyu ni powerful lady in the country, ka google Sarungi umsome babakee ndiyo ujifunzee kabla ya kujaa kuandikaa OP huku !😡

    • @samsonkivuyo9548
      @samsonkivuyo9548 14 วันที่ผ่านมา

      Huyu na Lissu wanamtumikia bwana mmoja

  • @mhehear
    @mhehear 14 วันที่ผ่านมา

    uongo mtupu anaongea hapa.. Nairobi na hiyo traffic jam yote na huyo dreva aliyekuja kuchukuwa hawakuona namba ya gari... mwangalie machoni anavyoongea ndio utajua ukweli... anachafua hewa tuu huyu..

  • @oyay2821
    @oyay2821 14 วันที่ผ่านมา +2

    Mama Samia ni dictator hatari sana. Ukatili wake ni wakupitiliza zaidi ya Magufuli

    • @dorothmsuya1686
      @dorothmsuya1686 14 วันที่ผ่านมา

      Ukapimwe akili!

    • @dorothmsuya1686
      @dorothmsuya1686 14 วันที่ผ่านมา

      Kamdomo kamdomo!!

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 14 วันที่ผ่านมา +1

      @@dorothmsuya1686wewe chawa ngoja yamkute ndugu yako 😏🫵🏽

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 14 วันที่ผ่านมา +1

      @@dorothmsuya1686wewe Akili yako iko matakoni🫵🏽😏🤪

    • @eaglecrown1101
      @eaglecrown1101 14 วันที่ผ่านมา +2

      Mama ni kiongozi mzuli sana binafsi nampenda sanaaaa