Toka namfuatilia Lema,nilikua sijamwona na kumsikiliza akiongea point na facts kama Leo,big up Godbless Lema!. ahsante Sana Kwa hotuba nzuri,lakini kikubwa nilichogundua Lema ww ni genius Sana,kutoa hutuba ya namna hiyo bila kuandika inahitaji uwezo mkubwa wa akili ya kuzaliwa!.
Kiukweli Mimi ni mwana ACT Wazalendo💜lakini Leo umeongea kitu Katika kuijenga Demokrasia kupitia vyama vya Upibzani na upon sahihi ktk mabadiliko hayo unavyo yapendekeza# this is true for political issue😇☝️🙏
UBARIKIWE SANA Godbless tafakuri pevu sana iliyojaa mantiki kuu ya mabadiliko. You are a true revolutionary leader!
Toka namfuatilia Lema,nilikua sijamwona na kumsikiliza akiongea point na facts kama Leo,big up Godbless Lema!. ahsante Sana Kwa hotuba nzuri,lakini kikubwa nilichogundua Lema ww ni genius Sana,kutoa hutuba ya namna hiyo bila kuandika inahitaji uwezo mkubwa wa akili ya kuzaliwa!.
Nabii wa Mungu Lema. Lissu anatosha kuivusha CHADEMA
Lema you're a real man of God
Tunakupenda sana
Nakubali sana lema we ni noma
Umeongea point sana. Tukiharibu vyama vya upinzani. GNZe watajitokeza kama Kenya.
Wewe ni mtu mwema,,,Mungu akawe pamoja nawe daima.
Uko vizuri sana. Chukua cheo cha Katibu Mkuu wa CDM
Mwamba wa kaskazini tunakuelewa sanaa
Kiukweli Mimi ni mwana ACT Wazalendo💜lakini Leo umeongea kitu Katika kuijenga Demokrasia kupitia vyama vya Upibzani na upon sahihi ktk mabadiliko hayo unavyo yapendekeza# this is true for political issue😇☝️🙏
Katibu mkuu wa chadema ajaye
Well said
Shida vingozi wetu ni vigeugeu hawataki ukweli
Kadiri ya chama kinavodumu ndivo kitakavyoaminika cdm jitahid kuimarika mnakaribia kuchukua nchi kwani mnatoa political education kwa undani
I stand with lissu mpk siku ya kufa
Nimekupenda lema sana
Nimesikia Katesh😂😂
Pendaga sana lema.
Wewe ni kiongozi
Duh huyu jamaa sio wa kawaida... ni best influencerkiukweli. Maneno yake ni kuntu kwelikweli kama ni mpinzani mnaweza kurudi nyuma kabisa
Makofiiiiiiii👍
Mi nataka kuchangia 12,000/- ya mwaka kabisa leteni utaratibu
wajumbe pigeni kura Kwa kuangalia soko La nje msiangalie solo la ndani
Ahsante sana Lema mwisho wa ccmumefika
Ndiyo maana hakupata urais
😂Hivi ukisema kilakitu Unafikiri unajenga chama chenu? ,wenye busara wamekaa kimya, wanajua kuna kesho.sasa tumewajua vizuri. ZITO, NA KITILA WALIONDOKA KMYA KIMYA, BILA KELELE WALILINDA HESHIMA , MPAKA LEO ANAHESHIMIKA .
Watu kama ww wamekuwa bidhaa adimu sana,ww ni kamanda mpambanaj
Mbowe akirudia kuwa mwenyekiti tutaandamana hatuoni mwelekeo wa chama chini ya uongozi wake kiufup apumzike tu Kwa amani sera zake zimepitwa na wakati
Big up ee
hivi kuapia kifo ndio inafanya watu wa amini unacho sema? kama basi ni hivyo, una wahusishaje baba, mama na wanao, si ujiapie kifo mwenyewe!!!!
Napenda Tanzania cos hakuna ukabila
Huna jipya lema
Hotuba ya yako mheshimiwa inatia machozi
Soka amekufa..?
Wambie ukweli na waelewe
😢Sad Soka