Kusimamisha matiti yaliyolala sana | matiti ya duara | breast lifting exercises

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 45

  • @user-es9ms7qu8t
    @user-es9ms7qu8t 9 หลายเดือนก่อน +3

    asante dada bdo nakufwatilia lazima nibate matokeo nimeanza kuona tofauti kiazi

  • @estaphone
    @estaphone 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Dada umetusaidia sana ,Sahi matiti Yana shape nzuri,Nakupenda joan

    • @BakariDelice
      @BakariDelice 7 หลายเดือนก่อน

      Umefaa kwamda gani

  • @user-pl4dk2fh7n
    @user-pl4dk2fh7n 9 หลายเดือนก่อน +3

    Nilifanya yale ya part 1&2 ndani ya wiki moja tu matokeo ni mazuri sana ubarikiwe na hii itakua part 3 yng soon braa ntawaachia wenye mizigo yao

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  9 หลายเดือนก่อน +1

      Hahaha hupaswi kuacha bra bali kubadili, tumia sport bra

    • @user-es9ms7qu8t
      @user-es9ms7qu8t 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@JoanfitnessTVsport bra inakaaje??

    • @ayshamwijaka219
      @ayshamwijaka219 9 หลายเดือนก่อน

      Part 1 &2 ulifanya kwa mda gani please help yangu nimadogo shida yamelala tu

    • @user-pl4dk2fh7n
      @user-pl4dk2fh7n 9 หลายเดือนก่อน

      @@JoanfitnessTV sport braa ndio zipi jmn

    • @user-pl4dk2fh7n
      @user-pl4dk2fh7n 9 หลายเดือนก่อน

      @@ayshamwijaka219 yan nlifanya part 1&2 mara mbili mbili kwa kila sku had kufka wiki

  • @AnethFelician
    @AnethFelician หลายเดือนก่อน

    Dada hta qwa wana0ny0nyexh inasaidia piah ?

  • @RachelBariki
    @RachelBariki 24 วันที่ผ่านมา

    Ukifanya mazoezi Haya ukiwa haujavaa sidilia hutaona matokeo

  • @agripinahGabriel-vw6by
    @agripinahGabriel-vw6by 9 หลายเดือนก่อน +1

    Dada Mimi nahitaji hizi video za kusimamisha matiti zote nizisave au kuzidownload zije kwenye Sim yangu nafanyaje

  • @user-ej3xr8zc7s
    @user-ej3xr8zc7s 4 หลายเดือนก่อน

    Na ukiacha mazoezi mpenz?? Yatarudi kama before au

  • @NimoAbdi-rd3zu
    @NimoAbdi-rd3zu 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba nituumie video za mwanzo pia mamy natamn kujifunza pia kupitia ww

  • @user-ej3xr8zc7s
    @user-ej3xr8zc7s 7 หลายเดือนก่อน

    Sasa Jo ayo mazoezi ukiyaacha maziwa yanarudi Kama mwanzo au yatabaki hivyo hivyo yamesimama??

  • @RamaaliaminSalimu
    @RamaaliaminSalimu 8 หลายเดือนก่อน

    yaan mimi nikiwa nafanya mazoezi nasikia matiti kama yanachanika kwa ndani mfano uchukue nguo uchane na mimi nahisi hivyo hivyo kifuani dear

  • @FatmaJuma-ly2ur
    @FatmaJuma-ly2ur 3 หลายเดือนก่อน

    Kama una maziwa makubwa yanaweza kusimama

  • @RamaaliaminSalimu
    @RamaaliaminSalimu 8 หลายเดือนก่อน

    dada mimi nimeanza jana sasa chuchu zinauma sana alafu matiti yamekuwa mazito

  • @DominaReuben
    @DominaReuben 4 หลายเดือนก่อน

    Ukiwa unafanya ayo mazoezi unatakiwa uwe umevaa braa au ivo ivo

  • @ElizabethMdumah
    @ElizabethMdumah 3 หลายเดือนก่อน

    Je kwa wanaonyonyesha inaruhusiwa?

  • @user-dh8bq9ub7o
    @user-dh8bq9ub7o 9 หลายเดือนก่อน

    Nkipiga naskia matiti yanavuta kama maziwa yamejaa

  • @user-ur3ms9jz4f
    @user-ur3ms9jz4f 8 หลายเดือนก่อน

    dada namm natak video zote nizisev tafazal naomba nifundishe nifanyaj

  • @RamaaliaminSalimu
    @RamaaliaminSalimu 8 หลายเดือนก่อน

    dada naomba unijibu

  • @elverahshaban8834
    @elverahshaban8834 9 หลายเดือนก่อน

    Mh mi napata maumivu sana sjui kwanini mpka nimeumwa kikohozi😅

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  9 หลายเดือนก่อน

      Ooh pole sana, hupaswi kuumia kiasi cha kuumwa darling

    • @elverahshaban8834
      @elverahshaban8834 9 หลายเดือนก่อน

      @@JoanfitnessTV SASA nitafanyaje kipenzi natamani zisimame

    • @elverahshaban8834
      @elverahshaban8834 9 หลายเดือนก่อน

      Au nakosea kufanya mazoezi

    • @elverahshaban8834
      @elverahshaban8834 7 หลายเดือนก่อน

      Sijajua sasa jamani kipenz

    • @DorotheaJosephy
      @DorotheaJosephy 2 วันที่ผ่านมา

      😂😂

  • @WinnieKimambo
    @WinnieKimambo 4 หลายเดือนก่อน

    Ukifanya mazoezi lazima uvae brazia

  • @RamaaliaminSalimu
    @RamaaliaminSalimu 8 หลายเดือนก่อน

    dada nimenza jana chuchu zinauma sana alafu matiti yamekuwa mazito

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  8 หลายเดือนก่อน

      Ni kawaida umefanya zoezi limeskika sehemu husika

  • @RamaaliaminSalimu
    @RamaaliaminSalimu 8 หลายเดือนก่อน

    jibu dad

  • @user-pp8rm4pe5t
    @user-pp8rm4pe5t 9 หลายเดือนก่อน

    Dada Mimi Nina matiti makubwa sana nahitaji yawe madogo

    • @ayshamwijaka219
      @ayshamwijaka219 9 หลายเดือนก่อน

      Mimi ya kwangu yamelala sana nimezaa mtoto mmoja ...Ana miaka 12 sasa ...jee itanisaidia

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  9 หลายเดือนก่อน

      Ambatanisha na vyakula kama unahitaji kupunguza size

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  9 หลายเดือนก่อน

      @@ayshamwijaka219 ndio itasaidia

    • @Defy-uu3nf
      @Defy-uu3nf 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@JoanfitnessTV❤

    • @Defy-uu3nf
      @Defy-uu3nf 5 หลายเดือนก่อน

      Asante sana dd

  • @WinnieKimambo
    @WinnieKimambo 4 หลายเดือนก่อน

    Ukifanya mazoezi lazima uvae brazia

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  4 หลายเดือนก่อน

      Hapana si lazima lakini hakikisha unatumia sport bra ikisaidie ku support matiti yako yasiendelee kulegea zaidi

    • @user-vd1dv2zv4j
      @user-vd1dv2zv4j 4 หลายเดือนก่อน

      Sport bra ndo ziko vpe

    • @user-fu6ew1jb6e
      @user-fu6ew1jb6e 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-vd1dv2zv4jizo anazo vaa yy