SIMAMISHA MATITI kwa dk 9 / Breast lifting exercises

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @NaithamDele-js1xf
    @NaithamDele-js1xf ปีที่แล้ว +1

    asante sana dada mimi nafanya haya mazoez naona yameanza kupungua na kua magumu

  • @winndominick5889
    @winndominick5889 4 ปีที่แล้ว +5

    Asante dear.. unafanya asubuh na jion au hata mara kwa siku nisawa?

    • @JoanfitnessTv
      @JoanfitnessTv  4 ปีที่แล้ว +5

      Unafanya Mara 3 hadi 4 kwa wiki, rudia video Mara 3 hadi 5 kwa matokeo mazuri zaidi

  • @marymyonga3808
    @marymyonga3808 3 ปีที่แล้ว +9

    Asante dada je naweza fanya mazoez yote kwa wakati mmoja I mean kupunguza tumbo,kutengeneza shape na kusimamisha maziwa

    • @JoanfitnessTv
      @JoanfitnessTv  2 ปีที่แล้ว +1

      Ndio unaweza, samahani nimechelewa kureply

    • @fatmahilali6490
      @fatmahilali6490 2 ปีที่แล้ว

      Asnte kipenz ila kma maziwa ya mbavuni

    • @fatmahilali6490
      @fatmahilali6490 2 ปีที่แล้ว

      Yh yamella atr nahitaji ya simame mazowezi ndo haya haya

    • @janethmnyone1493
      @janethmnyone1493 2 ปีที่แล้ว

      Je nafanya kwa s
      Muda gani?

  • @khadijaamryyahaya3894
    @khadijaamryyahaya3894 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante dada najikupendeaga mie nitajitahidi kuyafanya hayo mazowezi

  • @MercyJason-x1b
    @MercyJason-x1b 2 หลายเดือนก่อน

    dah!nimefuatilia haya mazoezi kwa wiki moja tu,matiti yameanzaa kujaa kujaa bhana😂

  • @maduwaibrahim5112
    @maduwaibrahim5112 หลายเดือนก่อน

    Naweza fanya nikiwa nanyonyesha?

  • @GraceMethod-m4y
    @GraceMethod-m4y 4 หลายเดือนก่อน

    Hellow naweza Fanya mazoez haya kwa wakati mmoja?😊

  • @TumainiJackson-o3n
    @TumainiJackson-o3n ปีที่แล้ว +2

    Jamanii mimi nimefanya haya mazoezi ndani ya week moja maziwa yangu yamesimama dedee

    • @Rahma-h3p
      @Rahma-h3p 9 หลายเดือนก่อน

      Ulifanya ukiwa umevaa sidiria au hujavaa

    • @MagdalenaJohn-e1f
      @MagdalenaJohn-e1f หลายเดือนก่อน

      Uongo😂

    • @berylopra
      @berylopra 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@MagdalenaJohn-e1fAki me sidhani kama ni kweli nimefanya saidi ya miezi mitano hamna dalili yoyote ya kusimama hadi nikachoka nikawacha sienderei tena

  • @رحمهبهاري
    @رحمهبهاري ปีที่แล้ว

    Dada mimi naombakujua kamazoezihili haliharibu shepu mana sitaki shepuyangu ibadilike so naomba kujua plz,pili naombakujua kama yakishasimama je unaacha au utaendelea yani namanisha iwemazoea au itakua nibas.shukran dadangu natarajia jawabu lako

  • @trophinamichael7748
    @trophinamichael7748 ปีที่แล้ว +4

    samahani dada naomba kuuliza mazoezi haya yanafanywa ukiwa umevaa blezia au hata bila kuvaa

  • @ElizabethPaulo-b1d
    @ElizabethPaulo-b1d 3 หลายเดือนก่อน

    Naumia tumbo sio maziwa why?

  • @thewomanofsteel3970
    @thewomanofsteel3970 3 ปีที่แล้ว +5

    Yaani Mimi nilikuwa na umbo mpaka najichukia kwa Sasa namshukuru Mungu nimeanza kuona matokeo mazuri kwa kufuatilia hizi video zako naona tumbo linaisha na mikono pia

    • @JoanfitnessTv
      @JoanfitnessTv  3 ปีที่แล้ว

      Hongera sana dear nimefurahi kuskia hivyo

    • @amainamaro488
      @amainamaro488 3 ปีที่แล้ว +2

      Nikweli au nikiki tuu

  • @BelinaMartini
    @BelinaMartini ปีที่แล้ว

    Hata ukiwa umeshanyonyesha yakalala ukifanya mazoez yanasimama?

    • @JoanfitnessTv
      @JoanfitnessTv  ปีที่แล้ว

      Ndio

    • @Akimanakeni
      @Akimanakeni 9 วันที่ผ่านมา

      Kufanya mazoezi inahitajika uva bra?

  • @HatwiaMohd
    @HatwiaMohd 4 หลายเดือนก่อน

    Asante dear Nmeanza kufanya mikono inauma😅Asante My Umetusaidia Sana Naendelea Kufanya Mazoezi

  • @nehemajuma-bb7cw
    @nehemajuma-bb7cw ปีที่แล้ว

    Mbona umevabraa?

  • @aminaagida8369
    @aminaagida8369 2 ปีที่แล้ว

    Kwasiku unafanya hivi mara ngap?

  • @HappinessJohanes
    @HappinessJohanes 22 วันที่ผ่านมา

    Napofanya haya mazoezi natakiwa niwe nimebana matiti

  • @TabiaNchimbi
    @TabiaNchimbi ปีที่แล้ว

    Nafuatilia kila siku dada na ninaon mabadiliko kwasabab vititi vyangu vidog viko pouwa vimesimama jamn 😊

    • @JoanfitnessTv
      @JoanfitnessTv  ปีที่แล้ว

      Waooo hongera 👏

    • @PeninaDubi
      @PeninaDubi ปีที่แล้ว

      Jaman dada kwani nyie mnadownload vp video zake mm mbon zikataa

  • @MosesWandera-r7b
    @MosesWandera-r7b 3 หลายเดือนก่อน

    Je unasikia maumivu kwenye mikono ama kwenye matiti
    A.

  • @vayaseif1106
    @vayaseif1106 2 ปีที่แล้ว

    Dada mazoezi haya niyasiku ngapi?

  • @andreamillanzi-ol2qq
    @andreamillanzi-ol2qq 3 หลายเดือนก่อน

    Jaman kwani haya mazoezi yanauma mikono au maziwa mimi leo ni siku ya tatu lakini naona kuuma mikono tuu

  • @nyafurumakesi3455
    @nyafurumakesi3455 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana dear ila bado namashaka maan siamin kama kwel yatasimama maan nafanya kwa wiki mara mbili 2

    • @JoanfitnessTv
      @JoanfitnessTv  2 ปีที่แล้ว

      Yatasimama tu we fanya kikamilifu, miezi 3 uangalie maendeleo kama yanatengeneza ugumu kuzunguka ziwa tayari

  • @shalomlyker1532
    @shalomlyker1532 2 ปีที่แล้ว

    Kama nimenyonyesha yakalala yanaweza kusimama Tena?

  • @rehemaabasi8598
    @rehemaabasi8598 2 ปีที่แล้ว

    Asnte sna dda bt nko na swali wafnya kwasku mara ngpi na wavaa sidiria au

  • @djalianassergiriteka2126
    @djalianassergiriteka2126 2 ปีที่แล้ว

    Ukiwa unanyonyesha je unaweza fanya hayo mazoezi hamna madhara?

    • @JoanfitnessTv
      @JoanfitnessTv  2 ปีที่แล้ว

      Wakati unaendelea kunyonyesha si rahisi kusimamisha matiti, ukimaliza unaweza fanya ila madhara hamna

  • @YasintaCosta-sb8wv
    @YasintaCosta-sb8wv ปีที่แล้ว

    da hii part two lazma Uwe umekaa unavofanya

  • @telesiamatonya2228
    @telesiamatonya2228 2 ปีที่แล้ว

    Dada samaha toka niaze kufanya haya mazoez naona ziwa linajaa Fran iv alafu linakuwa zito na linaniuma uma iv ila ukikamua linatoa majimaji

  • @PatrishaKessy
    @PatrishaKessy 6 หลายเดือนก่อน

    Hello madm ay mazoez tunafany tukiw tumevaa brazy

  • @OmegaFilipo
    @OmegaFilipo 2 หลายเดือนก่อน

    Jmn ndo nataka nianze je unatakiwa ufanye Mara ngap kwa wiki ama ni kila siku na pia vyakula gani vya kuzingatia na vyakula gani nipunguze

  • @marrytanzania9035
    @marrytanzania9035 3 ปีที่แล้ว +4

    Kwa kweli nimekuwa niiipata tabu sana juu ya maziwa yangu nimezaa mtoto mmoja tu lakini ziwa lipo kama ndala dada naanza leo

    • @ladytatu2139
      @ladytatu2139 3 ปีที่แล้ว +1

      😀😀😀😀😀Riache tyu

    • @annaakwilini2446
      @annaakwilini2446 3 ปีที่แล้ว

      Pole but mm nimeza mtoto mmoja lkn ziwa langu halijadondoka na nimenyonyesha mwaka na nusu

    • @ritaheliya4665
      @ritaheliya4665 2 ปีที่แล้ว

      Tunafanan ndugu yng ila m ngja nijarbu labda naweza pata nafuu kdg

  • @merrymatokeo979
    @merrymatokeo979 2 หลายเดือนก่อน

    Vip dada mimi na matiti madogo sana yanawesa kuongezeka

    • @JoanfitnessTv
      @JoanfitnessTv  2 หลายเดือนก่อน

      Hapana

    • @merrymatokeo979
      @merrymatokeo979 2 หลายเดือนก่อน

      @JoanfitnessTv duuuh ili yaongezeke ata kidogo nafanyeje ety

  • @fatumasimon2757
    @fatumasimon2757 4 ปีที่แล้ว +1

    Dada kwa kweli mm nimezaa watoto wanne na kweli matiti yanaweza kusimama tena?

  • @paulinapascal7477
    @paulinapascal7477 3 ปีที่แล้ว +1

    Je kama unanyojesha unawenza fanya hayo mazoezi ya kusimamisha maziwa

  • @vickymauky7069
    @vickymauky7069 2 ปีที่แล้ว

    Mm nimefanya mwayaa Nina km siku tanoo yameanzaa kuuma sasa ndoo yanakua au vp plz ni jibu nijuee

  • @MathaLashidi
    @MathaLashidi ปีที่แล้ว

    maziwa yangu yamejaaa san natak yaw madog af yasimama plz

  • @aminayusuph9247
    @aminayusuph9247 3 ปีที่แล้ว

    Jmn Asante sana nitakua makin kufatilia video zako mmy inachukua mda gn had maziwa yawe sawa

    • @melvinroyal1373
      @melvinroyal1373 3 ปีที่แล้ว

      I know Im kinda off topic but do anybody know a good site to stream newly released series online ?

    • @jettanderson9828
      @jettanderson9828 3 ปีที่แล้ว

      @Melvin Royal I use Flixzone. You can find it by googling =)

    • @kristianguillermo2795
      @kristianguillermo2795 3 ปีที่แล้ว

      @Jett Anderson Definitely, I've been using Flixzone for since april myself :)

    • @melvinroyal1373
      @melvinroyal1373 3 ปีที่แล้ว

      @Jett Anderson thanks, I signed up and it seems like they got a lot of movies there =) I really appreciate it !

    • @jettanderson9828
      @jettanderson9828 3 ปีที่แล้ว +1

      @Melvin Royal You are welcome :)

  • @nyafurumakesi3455
    @nyafurumakesi3455 2 ปีที่แล้ว

    Mmmh dear syo lazima kuvaa brezai wakat wngne wamelala na nmazito sana unawez kutovaa blazia

    • @JoanfitnessTv
      @JoanfitnessTv  2 ปีที่แล้ว

      Tunachozingatia kikubwa ni kuhisi sehemu unayoifanyia Mazoezi inarespond na unatakiwa kuwa comfortable unapofanya Mazoezi ya aina yeyote si haya tu, kuvaa brazia au kutovaa hapahusiani na matokeo kama upo comfortable na unahisi sehemu husika inayofanyiwa Mazoezi

    • @nyafurumakesi3455
      @nyafurumakesi3455 2 ปีที่แล้ว

      Asante dear naxhukur ntafanya hivyo lakn nlikuwa naomba no yako ya whsp Ili niwez kupata mwongz kamili wa mazoezi pamoj na chukula kwa ujumla

  • @tanzaniaone3487
    @tanzaniaone3487 3 ปีที่แล้ว

    Pia mjamzito anaweza kufanya?

  • @kalebugidion9779
    @kalebugidion9779 2 ปีที่แล้ว

    Dada samahani unapofanya haya mazoezi unatakiwa uwe umevaa brazia au hapana

  • @vayaseif1106
    @vayaseif1106 2 ปีที่แล้ว +1

    Dada tunaomba ujibusms ilituweze kukuelewa vizur

  • @nininahazweshakila6681
    @nininahazweshakila6681 2 ปีที่แล้ว

    Hi dear nilikuwa nauliza ayo mazoezi unaweza kuyafanya mara ngapi kwa siku??

    • @nininahazweshakila6681
      @nininahazweshakila6681 2 ปีที่แล้ว

      Unaweza ukafanya hata Mara kwa Mara unapopata nafasi??

    • @nininahazweshakila6681
      @nininahazweshakila6681 2 ปีที่แล้ว

      Nishaanza kufany mazoezi Leo Nikama ninawiki moja mabadiliko yapo man naanza kusikia ugumu unarud I ten alafu nasikia ziwa linaanza kuwa nauzito tofauti namwanzo

    • @JoanfitnessTv
      @JoanfitnessTv  2 ปีที่แล้ว

      Samahani nimechelewa kuona swali lako, jibu ni mara mbili kwa siku, na hongera kwa kuanza kuona mabadiliko

  • @LeyMohamed
    @LeyMohamed ปีที่แล้ว

    Naomb mnitumy video za mazoezi ya kupunguza matiti

    • @BarnabaBuhoma
      @BarnabaBuhoma 11 หลายเดือนก่อน

      Kwa nini upunguze wakati wenzako wanatamani kuongeza?

  • @LeticiaThimothy
    @LeticiaThimothy 4 หลายเดือนก่อน

    Mbona mi nafanya kilasiki lakin hayapungui

  • @bahatiagape7121
    @bahatiagape7121 2 ปีที่แล้ว

    Hayo mazoez unafanya asubuh na jion ama???

  • @qtrqtr1203
    @qtrqtr1203 4 ปีที่แล้ว +1

    Dada jee kwenye maziwa kuna misuli🤔🤔

  • @elizabethakonaay568
    @elizabethakonaay568 2 ปีที่แล้ว +1

    Dada tunaomba utuwekee video ya kujaza maziwa

  • @hajrakhamiz8957
    @hajrakhamiz8957 ปีที่แล้ว

    Naomb namba yako ya sim by tuma nataka nikuuulize

  • @nursingwithkiki3802
    @nursingwithkiki3802 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante 🤗

  • @zainabalex388
    @zainabalex388 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana dadaa nlikua nkitafuta sana hii ya kusimamisha matiti alifu haya mazoezi yote unafanya kila siku am kw week mara gapi

    • @JoanfitnessTv
      @JoanfitnessTv  4 ปีที่แล้ว +2

      Unafanya Mara 3 hadi 4 kwa wiki, rudia video Mara 3 hadi 5 kwa matokeo mazuri zaidi

  • @JennMdach
    @JennMdach 4 หลายเดือนก่อน

    Dada ukiwa unafanya unavaa sidilia

  • @hatungimanalahma6194
    @hatungimanalahma6194 3 ปีที่แล้ว

    Tuwekeye ya kupunguza matiti plz sister

  • @melina-ul2pb
    @melina-ul2pb ปีที่แล้ว

    Jambo dada ili zoezi nilakukamata saa ngapi nasikungapi namarangapi kwa siku

    • @JoanfitnessTv
      @JoanfitnessTv  ปีที่แล้ว

      Unaweza kufanya asbh na jioni kama una nafasai

  • @OliverDaudi-lo7rx
    @OliverDaudi-lo7rx ปีที่แล้ว

    Dear naruhusiwa kufanya kama nanyonyesha bado

  • @evalyinesalama2535
    @evalyinesalama2535 ปีที่แล้ว

    Hongera sana dadangu

  • @MwajumaHussein-c5p
    @MwajumaHussein-c5p ปีที่แล้ว

    Sasa hupati maumivu mwanzo mwanzo

  • @jescaotto8685
    @jescaotto8685 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante dada ila nilikua na swali je yakisha simama yanawez kulala tena au

    • @JoanfitnessTv
      @JoanfitnessTv  2 ปีที่แล้ว

      Hayatalala yatajenga ugumu unaowezesha yasilale

  • @ritaheliya4665
    @ritaheliya4665 2 ปีที่แล้ว

    Hlw mmy, unaweza kufanya bila kuvaa brezia au lazma uvawae

    • @JoanfitnessTv
      @JoanfitnessTv  2 ปีที่แล้ว +1

      Sio lazima dear

    • @ritaheliya4665
      @ritaheliya4665 2 ปีที่แล้ว

      @@JoanfitnessTv na je km ushazaa watot wawil linaweza kua saf,hat lisipo simama ila na mvuto kdg😋😋

    • @YusraAlfred
      @YusraAlfred ปีที่แล้ว

      Mbona mikono inauma sana

  • @mwanangeniafandi7674
    @mwanangeniafandi7674 ปีที่แล้ว

    ?Naomba namba yko y watap

  • @alibai4051
    @alibai4051 ปีที่แล้ว

    Tunataka utulete zowezi ya kupunguza matiti

  • @jacklineshadrack6266
    @jacklineshadrack6266 2 ปีที่แล้ว +2

    tusaidie mremb

  • @daudisaimoni2541
    @daudisaimoni2541 2 ปีที่แล้ว

    Nipo nafnya now vp navaa braa

  • @debolaramathan285
    @debolaramathan285 2 ปีที่แล้ว

    Wacha nijaribu then tuone thank dear

  • @aminayusuphuyusuphu5794
    @aminayusuphuyusuphu5794 3 ปีที่แล้ว +1

    Matokeo unayaona baada ya sku ngap

  • @catherinemganga6914
    @catherinemganga6914 2 ปีที่แล้ว

    Unaruhusiwa kufanya ukiwa umevaa braa

  • @Nakshmalumbo
    @Nakshmalumbo 2 ปีที่แล้ว

    Ni kw cku ngapi

  • @tatuta6529
    @tatuta6529 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana mamy mana nilikua naitaji aya mazoezi kwa mda sana nimefurai sana leo

  • @juddyjulius
    @juddyjulius 2 ปีที่แล้ว +1

    Samahi nikutwa nzima

  • @mwanahawaramadhani4365
    @mwanahawaramadhani4365 3 ปีที่แล้ว +1

    Tuwekee na mazoezi yakupunguza maziwa

  • @tanyahilali4636
    @tanyahilali4636 2 ปีที่แล้ว

    je yalio legea yanauwezekano wa kusimama na kua magumu

  • @MwanaishahamimuHassani
    @MwanaishahamimuHassani 3 หลายเดือนก่อน

    Hbr dada

  • @kobahamisi
    @kobahamisi 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani mimi ndio naza

  • @daudisaimoni2541
    @daudisaimoni2541 2 ปีที่แล้ว

    Joan mpnz nafnya kwa mda gn au Mara ngp kwa siku

  • @LeyMohamed
    @LeyMohamed ปีที่แล้ว

    Naomb unitumy dada

  • @hamisahamisa5896
    @hamisahamisa5896 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimejalibu mikono imeniuma 😂😂😂😂

  • @greytonmecca8076
    @greytonmecca8076 4 ปีที่แล้ว

    Yanasimama baada ya mda gan?

    • @JoanfitnessTv
      @JoanfitnessTv  4 ปีที่แล้ว

      Inatofautiana kati ya mtu na mtu

    • @ummyproductnatural4512
      @ummyproductnatural4512 3 ปีที่แล้ว +4

      Haya mazowezi ni mazuri mimi nimefanya ndani ya wiki 3 nimepata matokeo mazuri, nimezaa mara 5 nina miaka 36, lkn mwili wangu km wa joan watu wanadhani mimi ni mwari, basi ziwa langu limekuwa kama ndara, lkn sasa hivi mazowezi yamenisaidia sana kitu kinainuka mdogo mdogo maa shaa Allah mambo mazuri, ila mimi najipinda sana asubuhi na jioni vitendo vya mazowezi kwa siku vinafika 150 , kwa hiyo kila kitu changu kinaenda haraka haraka, na vile mwili wangu ji mdogo sana hainiwii uzito

    • @sesyj5774
      @sesyj5774 3 ปีที่แล้ว

      @@ummyproductnatural4512
      C

    • @nyafurumakesi3455
      @nyafurumakesi3455 2 ปีที่แล้ว

      Waaooo hongera zako dear

  • @AsiaBadru-xq6fv
    @AsiaBadru-xq6fv 9 หลายเดือนก่อน

    Mambo joani nimekukumbuka nahomba namba yako

    • @JoanfitnessTv
      @JoanfitnessTv  9 หลายเดือนก่อน

      Hellow dear! 0683836293 WhatsApp

  • @fatmahamisi7369
    @fatmahamisi7369 3 ปีที่แล้ว

    Kwahiyo unafanya hayo mazoezi yote kwa wakati mmoja au unachagua unaloliweza.

    • @JoanfitnessTv
      @JoanfitnessTv  3 ปีที่แล้ว +2

      Unafanya yote kwa wakati mmoja na itafaa zaidi kwa kila zoezi kufanyika kuanzia dk1

  • @raulenciasimon6144
    @raulenciasimon6144 3 ปีที่แล้ว

    Dad naomba no yako nikucheck whats pls

  • @kalebugidion9779
    @kalebugidion9779 2 ปีที่แล้ว

    Mbona haunijibu dada

  • @ndagaladaud7753
    @ndagaladaud7753 3 ปีที่แล้ว

    Tuongezee video nyingne za mazoez ya kupunguza matiti tafadhar dear

  • @thedytarimo5220
    @thedytarimo5220 3 ปีที่แล้ว

    Na nikija kuacha mazoezi

  • @MarthaEssrome
    @MarthaEssrome ปีที่แล้ว

    Nimeanza Leo lakin

  • @RhodaMichael-x5w
    @RhodaMichael-x5w 3 หลายเดือนก่อน

    my me naomb namb yako

  • @mwanangeniafandi7674
    @mwanangeniafandi7674 ปีที่แล้ว

    ❤❤

  • @shalomlyker1532
    @shalomlyker1532 2 ปีที่แล้ว

    Ahsant kwa kunijibu

  • @Abdalakitam
    @Abdalakitam 2 ปีที่แล้ว

    Asant sana dada je yanasimama na kupungua

  • @wardaally7644
    @wardaally7644 4 ปีที่แล้ว +3

    Mh ya kweli hawa

  • @winpchaochao624
    @winpchaochao624 2 ปีที่แล้ว

    Mazoezi 2naafanya asubuh najioni mamy

  • @cosmasfitness
    @cosmasfitness 2 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @Catherine-mh8sw
    @Catherine-mh8sw ปีที่แล้ว

    Day 1

  • @rashidmohammed1320
    @rashidmohammed1320 4 ปีที่แล้ว

    Naishare kwa michepu yootee

  • @nyafurumakesi3455
    @nyafurumakesi3455 2 ปีที่แล้ว

    Samahan mumy kwa wale ambao yamelala kabisa pia yanaweza kusimama kwel

    • @JoanfitnessTv
      @JoanfitnessTv  2 ปีที่แล้ว

      Ndio Nyafuru hata kama yamelala vipi yatasimama tofauti tu inachukua muda kdg usikate tamaa

  • @ashuranuru7519
    @ashuranuru7519 2 ปีที่แล้ว

    Unafanya uku umevaa brazia

  • @samyasamya61
    @samyasamya61 2 ปีที่แล้ว

    Naomba no yako dada please

  • @aishahassan1928
    @aishahassan1928 2 ปีที่แล้ว

    MashaAllha 😘😘😍👌👌

  • @paramaladu9832
    @paramaladu9832 3 ปีที่แล้ว

    Tunaomba no yako tukucheki whatsApp

  • @husnajacob8567
    @husnajacob8567 2 ปีที่แล้ว

    Ss itachukuw muda gani

  • @LeyMohamed
    @LeyMohamed ปีที่แล้ว

    Naomb tuwekee ya kupunguza matiti pleazzzzzzzz

  • @maryambakari354
    @maryambakari354 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante

  • @neemafusi5001
    @neemafusi5001 2 ปีที่แล้ว

    Dad atakama umenyonyesha yata simama kwer

    • @JoanfitnessTv
      @JoanfitnessTv  2 ปีที่แล้ว

      Kabisa yatasimama ukifanya kikamilifu