Denda la Jux na Vanessa kwenye Jukwaa la Tigo Fiesta laleta maswali, Je wamerudiana?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 พ.ย. 2017
  • Baada ya Drama za muda mrefu huku vichwa vya watu vikisema mara ni kiki mara ni kweli, sasa jukwaa la Fiesta Grand Finale limemaliza kila kitu.

ความคิดเห็น • 324

  • @chillahthomas5699
    @chillahthomas5699 6 ปีที่แล้ว +8

    Vee is the best african female performing artist... She's definitely the image of Beyonce here in Africa and we are more than proud to know her as an artist from Tanzania

  • @ablysedate3309
    @ablysedate3309 6 ปีที่แล้ว +59

    queen Vanessa alikua na tuaibu twa kimahaba, jux mpaka alisahau kua anafanya show alikua anafanya kazi ya kwenda kumkumbatia Vanessa tyu it was very emotional and amazing

    • @catenzeki678
      @catenzeki678 5 ปีที่แล้ว +1

      @Ably Sedate lv is soo sweet when ur with the right person bt mbn sasa wameachana ama wako kwa short break alafu watarudiana

  • @juliethmremi2815
    @juliethmremi2815 6 ปีที่แล้ว +27

    nimefurahi sanaa V kurudiana na Jux nawapenda sanaaaa

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 5 ปีที่แล้ว +27

    Leo kuja kuachana dah!inauma aisee.

  • @ablysedate3309
    @ablysedate3309 6 ปีที่แล้ว +13

    vee your show was amazing ulibadilisha style kidogo and kati ya live band ulizo imba this was the best, but kilicho nifurahisha zaidi nikurudiana na jux you do sweet each other

  • @williamdickosta8533
    @williamdickosta8533 6 ปีที่แล้ว +18

    Nimeipenda iyo african boy kajituma apo cz uyo mtot so mchezo...

  • @doreenkareem5817
    @doreenkareem5817 2 ปีที่แล้ว +3

    maraaa paaaaa wamerudiana tena jmn 😭😭😭itakuwa mwisho kuachana ndowa angani yani hawa wanaendan jmn v na jux nawapenda jmn

  • @neemadikwe151
    @neemadikwe151 6 ปีที่แล้ว +23

    It's nice that ur back together, now you just have to focus on ur future fighting isn't a solution of anything. Congrats juxvee I'm very Happy for u

    • @TheKaire123
      @TheKaire123 4 ปีที่แล้ว

      neema dikwe wati did they broke up or what I love them together

  • @luxtiller561
    @luxtiller561 6 ปีที่แล้ว +5

    Nimefurahi kuona wameludiana coz nilikosesana na mpenz wangu kisa kuachana kwa Jux and Vanessa Mdee so now am happy kuona couple kubwa from Tz imeludi tena mean couple ya Jux and Vanessa Mdee............... Now my baby anajibu ata text zangu so am feel good......... Big up sister Vanessa Mdee and brother Jux I wish amtaleta mapenzi ya kisela

  • @latb2747
    @latb2747 6 ปีที่แล้ว +13

    hivi wamerudiana jmn au vip shilawadu tupatien huu ubuyu millard ayo tumewatoa chambo tujuzen bana kweli hii

  • @ramadhaniselemani1497
    @ramadhaniselemani1497 6 ปีที่แล้ว +70

    Nikiwa kama shabiki wenu wekeni heshima kama ya jay z na Beyonce tumewasapoti kipindi cha shida tunahitaji kuona watoto

  • @swaumually6777
    @swaumually6777 6 ปีที่แล้ว +9

    Oyooooo nafrah Vanessa kurudiana na jux 😘😘😘😘😘

  • @sportsextratz9169
    @sportsextratz9169 6 ปีที่แล้ว +20

    Mmecheza na akili za watu na hatimaye mmefankiwa kuziteka

  • @chrisroby1312
    @chrisroby1312 5 ปีที่แล้ว +18

    2019 nimelud ten kuichek ulitixh xn jux

    • @thamiyuucute7098
      @thamiyuucute7098 5 ปีที่แล้ว

      Nikonawe naitizama leo 2019 tarehe 9 mwezi wasaba 9:51 nikiwa njeya tz😅😅😅😅😅inauma

    • @thamiyuucute7098
      @thamiyuucute7098 5 ปีที่แล้ว

      Nikonawe naitizama leo 2019 tarehe 9 mwezi wasaba 9:51 nikiwa njeya tz😅😅😅😅😅inauma

    • @hasnaabduly4945
      @hasnaabduly4945 5 ปีที่แล้ว

      @@thamiyuucute7098 😂😂tena wakiwa wameachan te

    • @hamisisanga6869
      @hamisisanga6869 4 ปีที่แล้ว

      Chris Roby aisee inapendeza sana,jux anapokua na Vanessa ety

  • @maryamroby6391
    @maryamroby6391 6 ปีที่แล้ว +104

    hilo denda sikuliona imenibidi nirudishe nyuma mana ndo kilichonileta apa

  • @hillaryodhiambo2705
    @hillaryodhiambo2705 6 ปีที่แล้ว +3

    i have always been wanting this to happen and finally its here....what a couple,God bless you Venessa ....make a family with this guy you deserve each other.

  • @ablysedate3309
    @ablysedate3309 6 ปีที่แล้ว +38

    ukiona mtu ka dis like kama wakike anamtaka jux na Kama wakiume kadata kwa queen 👑 vee oooh!!! its too late!!!!

  • @paulkebero7882
    @paulkebero7882 6 ปีที่แล้ว +7

    Jux na v money mmetisha that real true love no more kambare between you couple baba ndevu mama ndevu big up mfike mbali zaidi ya hapo ka akina nalee

  • @sylviasein8248
    @sylviasein8248 2 ปีที่แล้ว +1

    Who is here after knowing Vanessa mdee is pregnant

  • @riffatyally7769
    @riffatyally7769 6 ปีที่แล้ว +44

    wanaume wotee wangekuwa kama jux watu wasngeachkagaa mazimaa

  • @angiewamuchomba8106
    @angiewamuchomba8106 2 ปีที่แล้ว +3

    Vee U look happy now,
    Nakupenda sana from Kenya

  • @aminajelani6798
    @aminajelani6798 6 ปีที่แล้ว +16

    hawajijui tu lkn hao watu walipendeza xna .... bola wakae wayajenge .... mambo yaendelee ..... msamaha kama ibada ktk mapenzi wasamehehane tu....

  • @muhubiriproduction69
    @muhubiriproduction69 6 ปีที่แล้ว +46

    tumachozi twa vanesa basi roho ya jux kwatu!! ingekuwa mimi hapo ningetokwa na maneno oo, ila jux account yake ya maneno matam imefilisika

    • @fauziawashe8343
      @fauziawashe8343 6 ปีที่แล้ว

      Muhubiri Production :bro kweli umehubiri tangu lini jux akawa na account ya maneno Ila umenipunga Sana muda huu mbavu zangu zadondoka

    • @hawaynatimam982
      @hawaynatimam982 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @aishamohammed5347
      @aishamohammed5347 3 ปีที่แล้ว

      😀😀😀

  • @alhatommy4405
    @alhatommy4405 6 ปีที่แล้ว +5

    ffiesta zima nimependa kwa dendaa tuu .....dadekii...utadhani ndo meme nimerudiana na .......

  • @estersamweli1429
    @estersamweli1429 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani 2024 naangalia tena hii show nimekumic @vanessa wangu

  • @reginacosmas323
    @reginacosmas323 6 ปีที่แล้ว +8

    waooo u gonna kill me u guyx nawakubaleeee nimefurah

  • @jeannettejaja9651
    @jeannettejaja9651 6 ปีที่แล้ว +6

    I love this women for sure

  • @vitusjackson1591
    @vitusjackson1591 6 ปีที่แล้ว +7

    wasanii wa bongo full maigizo walikuwa hawajaachana wala nini ile ni kiki iliandaliwa before

  • @davidwarioba3468
    @davidwarioba3468 2 ปีที่แล้ว +2

    Moja kati ya couple bora kutokea africa mashariki yaan ilikua hatari najua vanesa hua anakumbuka analia😁

  • @lydiasam1494
    @lydiasam1494 5 ปีที่แล้ว +5

    Need a man like Jux😂😉😂😂😉where's he

  • @yussufmwinyi7282
    @yussufmwinyi7282 5 ปีที่แล้ว +5

    😢 emotional and and extremly sad moment for mdee

  • @emmyjohn3192
    @emmyjohn3192 5 ปีที่แล้ว +2

    Ila nguo zingine jaman hapo utasikia nimenunua million 200 nyie mungu Anawaona Vanessa

  • @maryfelesh9181
    @maryfelesh9181 6 ปีที่แล้ว +13

    Jamani mapenz yanatesa sana we acha tu

    • @catenzeki678
      @catenzeki678 5 ปีที่แล้ว

      @Mary Felesh saana tu hasa pale unapopenda usipopendwa mbona utalia mwaya

  • @milesinhealth
    @milesinhealth 4 ปีที่แล้ว +3

    Najua wameachana Lakini when I watch this video nalia🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @officialraj4541
    @officialraj4541 2 ปีที่แล้ว +2

    2021

  • @hadassperez494
    @hadassperez494 6 ปีที่แล้ว +40

    Siyo kwa script hiyo😕😕ila movie nimeipenda 😂😂😂😂😂😂😂 mnajua kuigiza 😄

  • @ferezkenya2179
    @ferezkenya2179 6 ปีที่แล้ว +7

    Nimewapenda sanaaaaaa

  • @williamdickosta8533
    @williamdickosta8533 6 ปีที่แล้ว +11

    Duh i apriciate ya niqa kaonesha mfano mzuli mapenz kusameheana haijalish kakukoseaa kwa lip msamaha ndo huo...

  • @zashayrasaid8950
    @zashayrasaid8950 6 ปีที่แล้ว +6

    Vanessa hadi Nakupenda

  • @mnyakitz2007
    @mnyakitz2007 6 ปีที่แล้ว +7

    namuona mwanangu valon apo Kwenye band

  • @terrysetho4069
    @terrysetho4069 5 ปีที่แล้ว +3

    Woooow it was just mwaaaaaaaaaaaaaaaaaah!!

  • @wycliffonyango9630
    @wycliffonyango9630 6 ปีที่แล้ว +4

    Best couple ever

  • @rashidngwawile9062
    @rashidngwawile9062 3 ปีที่แล้ว +1

    Big up Vanessa nakikubali Sana love so much

  • @kennedykala7178
    @kennedykala7178 6 ปีที่แล้ว +11

    well, it was just a matter of time. we saw it comin'

    • @brendawema5481
      @brendawema5481 5 ปีที่แล้ว

      Mungu wangu akitutakufa vibaya bt I love that from Mombasa

  • @elizanormal7660
    @elizanormal7660 6 ปีที่แล้ว +10

    Nawapendaa jamaniii couple makini bongooo

    • @kenboy2590
      @kenboy2590 6 ปีที่แล้ว

      Eliza Normal hi

  • @TRAVELANDTASTETANZANIA
    @TRAVELANDTASTETANZANIA 6 ปีที่แล้ว +6

    Huu mwaka wa kazi tu....

  • @mawazotv2185
    @mawazotv2185 4 ปีที่แล้ว +2

    awa wapuuz wanapndana san sem wanatusumbua2

  • @ismahanwarsame27
    @ismahanwarsame27 6 ปีที่แล้ว +4

    Aww bless them this is indeed true love 😻

  • @MariamsLifestyle
    @MariamsLifestyle 6 ปีที่แล้ว +3

    So sweet ❤️❤️

  • @christinaalphonce2307
    @christinaalphonce2307 3 ปีที่แล้ว +1

    Jux umeonesha furaha ya kwel hata kama ni drama bas dah umejitahd

  • @byalvislouis3839
    @byalvislouis3839 6 ปีที่แล้ว +10

    Mara ya Kwanza morogoro tg fiesta mtoto kakataa kamwambia jux kama unaweza basi jikaze tena tigo fiesta dar le grand leo tena mara pao toto kaja mwenyewe. .

    • @saidsoud1310
      @saidsoud1310 6 ปีที่แล้ว

      Ujinga2 mapenz yakuigiza

    • @byalvislouis3839
      @byalvislouis3839 6 ปีที่แล้ว +1

      Said Soud pambana na hali yako

  • @LovelyMountainVolcano-be7th
    @LovelyMountainVolcano-be7th 3 หลายเดือนก่อน

    Aiseeh kuvunjika kwa mausiano ya jux na vanessa weng ha2japenda

  • @lucymushi9395
    @lucymushi9395 6 ปีที่แล้ว +1

    nice couple naipenda sanaaaa....jux and v money

  • @oliverpendaeli4958
    @oliverpendaeli4958 6 ปีที่แล้ว +3

    dah! wanadamu mnapanda ketesana!

  • @feristerkilembo170
    @feristerkilembo170 4 ปีที่แล้ว +5

    2019 I'm watching this it's was so good couple

  • @adelquinejoram700
    @adelquinejoram700 5 ปีที่แล้ว +1

    So cute and nice.I like it

  • @feymumy6579
    @feymumy6579 6 ปีที่แล้ว +38

    Ila style za vanesa jamn sasa hapo umevaaa nanasi au anyway kama mmeamua kurudiana itapendeza zaidi

  • @millicentchemutai9655
    @millicentchemutai9655 5 ปีที่แล้ว

    wow! so torching am impressed

  • @edwinievaristi8363
    @edwinievaristi8363 6 ปีที่แล้ว +5

    mara paap nmekusoma jumaa

  • @superwanjiru6055
    @superwanjiru6055 2 ปีที่แล้ว +3

    Love is a scam and it hurts

  • @jumasaid7127
    @jumasaid7127 5 ปีที่แล้ว +1

    Jamani mapenzi raha ukipata anaekujali na kukupenda kweli maskini mtoto wa wenyewe jux ata amesahu kama anapiga show macho yote kwa bby

  • @meshackwabomba9839
    @meshackwabomba9839 2 ปีที่แล้ว +1

    Leo hampo pamoja ,,aah inasumbua sana

  • @naimumtinda2494
    @naimumtinda2494 3 ปีที่แล้ว

    Uuuuuh na vee ana kibend cha rotimi khaa mapenz haya nyoko kabisa

  • @maryamroby6391
    @maryamroby6391 6 ปีที่แล้ว +12

    kwan hilo denda limetokea sehem gani mbn sijaliona au niliangalia pembeni

    • @charlesmoses7724
      @charlesmoses7724 6 ปีที่แล้ว

      Maryam Roby fungua macho

    • @Glorydavid248
      @Glorydavid248 4 ปีที่แล้ว

      Rudisha nyuma alafu usipepeshe macho hahaha utaona

  • @doriceabel7105
    @doriceabel7105 6 ปีที่แล้ว +5

    jux umekonda sana

  • @joycedavid3695
    @joycedavid3695 2 ปีที่แล้ว

    2021🔥🔥

  • @abdallahmdoe8908
    @abdallahmdoe8908 6 ปีที่แล้ว +29

    Ngoja nami nmuimbie wa kwangu

    • @bahatimohamadi5904
      @bahatimohamadi5904 6 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂 waniuwa mbavu Abdullah

    • @bahatimohamadi5904
      @bahatimohamadi5904 6 ปีที่แล้ว

      😂😂😂 waniuwa mbavu Abdallah

    • @hawaramadhan4185
      @hawaramadhan4185 6 ปีที่แล้ว

      Abdallah Mdoe 😀😁

    • @sakynerjuma5405
      @sakynerjuma5405 6 ปีที่แล้ว

      tuite basi tuje tushangilie pamoja hhaaaa chizi kweli jamaa

    • @abdallahmdoe8908
      @abdallahmdoe8908 6 ปีที่แล้ว

      Sakyner Juma @hii shoo yang mm hatak mashabk mbona mshembenga ww

  • @highvybz1965
    @highvybz1965 6 ปีที่แล้ว +4

    Tushawachoka ao kwa maigizo yao kiki za kufagi izoo

  • @kimah9855
    @kimah9855 6 ปีที่แล้ว +6

    Nawapenda sana Vee na Jux

  • @loulumony8519
    @loulumony8519 2 ปีที่แล้ว

    Iyi couple nilikuanaipenda Mpaka bas❤❤✌

  • @marcdonaldkwanguya4671
    @marcdonaldkwanguya4671 6 ปีที่แล้ว +1

    l love this couple jaman

  • @sheylahamour9544
    @sheylahamour9544 6 ปีที่แล้ว +1

    woooooooooooooyoooooooooo I like day couple damn thy are so mwaaaaaaaa

  • @jumasaid7127
    @jumasaid7127 5 ปีที่แล้ว

    Woooow yani wooooooow😍😍😍😘😘😘

  • @jonasnnimbo8994
    @jonasnnimbo8994 5 ปีที่แล้ว +1

    Love u guys Jux BIG up

  • @enockkipapi28
    @enockkipapi28 6 ปีที่แล้ว

    Am truly love u guy's

  • @debieanais314
    @debieanais314 5 ปีที่แล้ว +2

    I like her

  • @gracenderitu6810
    @gracenderitu6810 6 ปีที่แล้ว +1

    Awww😍😍

  • @hamzachamwana4254
    @hamzachamwana4254 3 ปีที่แล้ว +1

    Uyu rotimi kumamakezake katuibia demuwe2

  • @sakinaomar301
    @sakinaomar301 5 ปีที่แล้ว +3

    True love never die 😘😘

    • @winnieedson6937
      @winnieedson6937 2 ปีที่แล้ว

      Ila saivi ishakua diediiee rotini anajipakulia

  • @hildaedson7054
    @hildaedson7054 6 ปีที่แล้ว +1

    I'm crying too ooo

  • @hadijamiroso3679
    @hadijamiroso3679 6 ปีที่แล้ว +1

    jomon awa watu wanapenda san

  • @NahirHaji
    @NahirHaji 3 หลายเดือนก่อน

    walikua best couple lakin daagh jux kazengua bana

  • @nuratyshariffu7509
    @nuratyshariffu7509 3 ปีที่แล้ว +1

    I love you all 😘😘😘😘😘😘

  • @gloriagerminussambayena8882
    @gloriagerminussambayena8882 6 ปีที่แล้ว +3

    Menifuraisha sanaa jux n vanessa

  • @angelholsey2484
    @angelholsey2484 2 ปีที่แล้ว

    Naangalia hi video leo juzi2 mtu anaujauzito wa rotimi jaman maisha yanaenda kasi saana 👀

  • @boyomaboyomakisangani9119
    @boyomaboyomakisangani9119 6 ปีที่แล้ว +1

    😍😍jamani

  • @rashidnamkuranga57
    @rashidnamkuranga57 5 ปีที่แล้ว

    Amazing

  • @celinamgundoi5601
    @celinamgundoi5601 5 ปีที่แล้ว

    Jaman mm mbona niko nyuma sana tafadhali mabest zangu nambien kwan hii niya lin?

  • @reghinahaule8360
    @reghinahaule8360 5 ปีที่แล้ว

    Nawapend sana Bless

  • @robertsylvester7728
    @robertsylvester7728 6 ปีที่แล้ว +4

    jux umenikosha san

  • @taitaniclady5605
    @taitaniclady5605 5 ปีที่แล้ว

    aaaaaaawww so sweet of you

  • @nurahbihehe
    @nurahbihehe ปีที่แล้ว

    Eeh Mungu mapenzi ayaaahh

  • @queenneylee6691
    @queenneylee6691 6 ปีที่แล้ว

    Love u v money and jux mwaaaaaah gyz

  • @nellyflo9736
    @nellyflo9736 3 ปีที่แล้ว

    I think Vanessa angewatch this clip time alilia jux mbele ya umati waaa yanaitwa mapenzi

  • @imeldamwinyi9854
    @imeldamwinyi9854 5 ปีที่แล้ว

    Uyo naye that kneeling Khah!!

  • @margaretwangari5142
    @margaretwangari5142 3 ปีที่แล้ว

    Woooow

  • @tricenikkishandy6579
    @tricenikkishandy6579 6 ปีที่แล้ว +1

    um happy fo yah guys nawapenda n allah awaongoze muendelee kua hvoo milele n jin mkata kamba acpte...!! yua my best couple evaa

  • @johanesudumbe438
    @johanesudumbe438 5 ปีที่แล้ว

    Nomaa sanaa

  • @alkindimwinyijr8308
    @alkindimwinyijr8308 6 ปีที่แล้ว

    big up juma jux kurudiana na totooo v money

  • @uhurujoshua1034
    @uhurujoshua1034 6 ปีที่แล้ว +2

    safi jux usimwachie huyo mtoto