ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

Jux na Vanessa kwenye harusi na walichokifanya

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ม.ค. 2018
  • __
    Harakati za Bongo is an online magazine that specializes in educations stories and entertainment stories from Tanzania.
    Harakati za Bongo, Aloso abbreviated as HZB was started 2011 by John Sambila,who had a passion for wrinting and photography from the time he was young.
    *******************************************
    Share, Support, Subscribe!!!
    Subscribe: UC-4fDfmsXy9hIcEmPKbARIQ
    TH-cam: / hzbtv
    Twitter: / harakatizabongo
    Facebook: / harakatizabongo
    Instagram: / harakatizabongo
    Google Plus: plus.google.co...
    Website: harakatibongo.com/
    #Jux #VanessaMdee #Shilole #Harusi

ความคิดเห็น • 49

  • @anetikapami4228
    @anetikapami4228 6 ปีที่แล้ว +8

    Hongera sana shishi wangu, Mungu awabarki sana wewe na mme wako. lakini cha muhimu mvumiliane katika ndoa yenu msisikilize ya watu.

  • @fatmashabani6628
    @fatmashabani6628 6 ปีที่แล้ว +1

    vanesa it is so beautiful unalitambua hilo lakn kuwa muislam uolewe na juma jux bwanaeeee mnapendezeana sanaaa

  • @shellahabimana1457
    @shellahabimana1457 6 ปีที่แล้ว +1

    omg ..Vanessa u keep mi ..thinking about how u do it..am so inspired you d greatest friend..and gud wyf to be ...love u more n more....blessings upon u

  • @mamaqueen7991
    @mamaqueen7991 6 ปีที่แล้ว +1

    Jux n vannesa nawapendaga bure jamani ...congrts da shilole wishing u all da best in your marriage.

  • @mwaminishakalili4120
    @mwaminishakalili4120 6 ปีที่แล้ว +6

    Shishi ongera sana pia jux n’a na vanes mungu awabariki nanyi mfungashe ndoa

  • @lydiasam1494
    @lydiasam1494 5 ปีที่แล้ว

    This Is the best couple ever veejux you rock

  • @rojamillahmillah353
    @rojamillahmillah353 5 ปีที่แล้ว +3

    nijambolakumshukulu allah kwakuwafanyia wepes napia nawatakiamaisha malefusana sinakitu lakini namuomba allah anifanyiewepes niwekama diamond naminisaidie watu😥😥😥😥😥😥

  • @terrysetho4069
    @terrysetho4069 5 ปีที่แล้ว +3

    Nawapenda bure jux na vmoney

  • @keziahkamau1160
    @keziahkamau1160 6 ปีที่แล้ว +5

    Jux &vee i love this couple

  • @rosejohn1694
    @rosejohn1694 5 ปีที่แล้ว

    Nawapenda saaana v&j jamani mungu awabark muendelee kupendana na kufanya yaliyomema katika maendeleo yenu.

    • @catenzeki678
      @catenzeki678 5 ปีที่แล้ว

      @Rose John naskia eti wameachana tena

  • @annamapesa31
    @annamapesa31 6 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni saana

  • @hassanmwenda8319
    @hassanmwenda8319 6 ปีที่แล้ว +1

    hongera mmy

  • @catenzeki678
    @catenzeki678 5 ปีที่แล้ว

    Love yote iyo ya Jux na Vee ndio imeisha tu ivo...inaskitisha kwa kweli

  • @latifamtanda6312
    @latifamtanda6312 6 ปีที่แล้ว +2

    Nice

  • @mbodzebemasika7477
    @mbodzebemasika7477 6 ปีที่แล้ว

    ukiona vee yuakuna kofi la kishindo😂😂jua anamkumbusha jux..bado cc jux badi cc kkkkk

  • @reubensawe4365
    @reubensawe4365 6 ปีที่แล้ว +2

    umetishaaa

  • @shabanmussa6805
    @shabanmussa6805 6 ปีที่แล้ว +2

    Hongera dada yangu

  • @genovevatarimo3982
    @genovevatarimo3982 2 ปีที่แล้ว

    Shishi n ww ukarudishe kwa vanesa..akiolewa😆😆😆😆

  • @happyhadhiri4660
    @happyhadhiri4660 6 ปีที่แล้ว +2

    hongera shishi

  • @zuusaidibushiri5556
    @zuusaidibushiri5556 6 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mc nampenda anachekesha

  • @fatumahassani5071
    @fatumahassani5071 6 ปีที่แล้ว +2

    utulie shishi mtii mumeo swala muimu sana

  • @kelvinjohn4644
    @kelvinjohn4644 6 ปีที่แล้ว +2

    nyimbo za injiri

  • @hasnaabduly4945
    @hasnaabduly4945 5 ปีที่แล้ว +1

    Katika pita pita zangu nimekutana na hii daaa eti mmeachana kweli poaaa bana

    • @sarapaulo4718
      @sarapaulo4718 3 ปีที่แล้ว

      Mwenzangu ww acha mm npo hapa leo

  • @icramsuezy186
    @icramsuezy186 6 ปีที่แล้ว +1

    Baba Levi mbayaaa..!

  • @nururhobiecassius7890
    @nururhobiecassius7890 6 ปีที่แล้ว +3

    Vanessa en jux nawapenda bure

  • @bossngala8801
    @bossngala8801 6 ปีที่แล้ว +1

    Sam

  • @eutropiastephano2861
    @eutropiastephano2861 6 ปีที่แล้ว +3

    video

  • @salmasaid6439
    @salmasaid6439 6 ปีที่แล้ว +1

    biamondi

  • @abdulally5530
    @abdulally5530 6 ปีที่แล้ว +1

    video x