MIMI MZABIBU-Kwaya ya Mt Augutino K/ndege

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 มิ.ย. 2021
  • Karibu kutazama wimbo huu wenye ujumbe mzuri Sana ,moja Kati ya jumbe zinazopatikana kwenye wimbo huu Ni kutambua pasipo YESU sisi binadamu hatuwezi lolote, Wimbo huu umetungwa na mtunzi F kayetta, nakuimbwa kwaumahiri na wanakwaya wa Kwaya ya Mt Augutino wa parokia ya Kiwanja Cha ndege ,Jimbo kuu la DODOMA
    Audio and video MTZ productions 0676 286 196
    Karibuni

ความคิดเห็น • 10

  • @user-hy3if7wr7x
    @user-hy3if7wr7x 5 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏

  • @Phanu0200-ef9bm
    @Phanu0200-ef9bm 7 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏

  • @brunopaul9672
    @brunopaul9672 3 ปีที่แล้ว +1

    Katika wimbo mkali huu ni wimbo mkali hatari.....1@kinanda kimetulia 2@wimbo wa tafakari upo very very emotional......hongereni saana. St. Augustine kndege najivunia sana ninyi

  • @joshuajahazi1711
    @joshuajahazi1711 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni familia...
    Naomba hata matukio ya misa na ibada tunazohudumu ziwe uploaded ili kutuongezea subscribers. Pia kila mwanakwaya aliye kwenye kundi la kikatoliki lolote ajitahidi ku share kuongeza viewers na subscribers ili mwisho itulipe...

  • @zawadipeter7152
    @zawadipeter7152 3 ปีที่แล้ว

    💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽🙏🙏

  • @lucypeter4819
    @lucypeter4819 3 ปีที่แล้ว

    😘😘😘

  • @josephjuniormalyusa8677
    @josephjuniormalyusa8677 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki sanaaaa ,mmeimba wimbo bora wa maisha yangu,niliusikia mwaka 1993 anikiwa darasa la 3 sijawahi usikia popote tena mpaka mmeuimba tena nyinyi.
    Nawaahidi cd yenu nitainunua kwa 50,000/=

    • @petermbuya2440
      @petermbuya2440 3 ปีที่แล้ว

      Mungu awabariki Sana wimbo mzuri

    • @petromtakati2975
      @petromtakati2975 3 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki ufanikishe kwa hilo jambo