Mimi Mzabibu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 เม.ย. 2022
  • Original Album by Kwaya ya Vijana Mabibo KKKT

ความคิดเห็น • 16

  • @magrethezekiel6354
    @magrethezekiel6354 ปีที่แล้ว +5

    Wimbo umikumbusha mbali Sana kipindi nipo darasa la kwanza nakumbuka baba angu mdogo ni dreva ndo alifika nyumbani usiku wa sa nne usiku na radio mpya akiwa anaupga wimbo juuu,kiuwel tunatoka mbali mungu ni mwema

  • @djgodybernady8851

    Wimbo uu umenikumbusha mbali sana baba yangu alikua na radio (Panasonic national ) ilikua inatumia battery 5 kubwa daaah mpaka nimedondosha machozi na nimeiludia kuisikiliza zaidi ya Mala kumi 🎵📻📻

  • @Sarah-g5q
    @Sarah-g5q 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Namkumbuka sana bibi yangu niliifaham hii nyimbo kupitia yeye, rip bibi

  • @paulmbwama2787

    Ya kale ni dhahabu.

  • @paulmbwama2787

    Ya kale ni dhahabu.

  • @africakiiza9052
    @africakiiza9052 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana. I wish you could also add Adam na Eva the original version. God bless you

  • @melissa_garden
    @melissa_garden ปีที่แล้ว

    Nimekumbuka.mbali sana

  • @symonndungu1896
    @symonndungu1896 2 ปีที่แล้ว +1

    Old is gold blessing 2022

  • @YUSUPHTULA

    Nakumbuka mbali sana nyimbo hii haichuji

  • @elizabethotati1285

    I feel so blessed whenever I hear these songs always new AMEN

  • @jenipherlyatuu6746
    @jenipherlyatuu6746 ปีที่แล้ว +1

    nakumbuka baba yangu alikuwa amenunua radio kubwa kipindi hicho cha 2000 alikuwa ananunua kanda na kuweka hii nyimbo

  • @lutegemahano817
    @lutegemahano817 ปีที่แล้ว

    Furaha sana

  • @marymbodzembodze2707
    @marymbodzembodze2707 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen