Cette cassette me rappellera les années 1997, au salon vers les heures vesperales toute la famille reunie écoutions et ceux qui maitrisaient les paroles chantaient. Vous qui avez chanté ces beaux morceaux, soyez beni à tout jamais. Ces beaux chants creent un climat de méditation, de paix et fraternité.
Hizi ndizo nyimbo original! Barikiwa sana aliyeziweka mtandaoni .
Cette cassette me rappellera les années 1997, au salon vers les heures vesperales toute la famille reunie écoutions et ceux qui maitrisaient les paroles chantaient.
Vous qui avez chanté ces beaux morceaux, soyez beni à tout jamais.
Ces beaux chants creent un climat de méditation, de paix et fraternité.
Amri iliyo kuu ni upendo(mungu ni pendo apenda watu kyala lugano Anganile)
MUNGU AWABARIKI
Tuletee albam nzima watu wa Mungu
Ubarikiwe neno li ndani ya nyimbo absolutely
Nikweli kabisa kamasina upendo mimi sikitu mungu awabariki sana
Nyimbo kama hizi daaaaaah
Huu wimbo jamani .. dah ni miaka sana nakua nauskia enzi hizo
So many years ago, the best album of all time in Tanzania
This masterpiece will always remain B.O.B! who is here ready for Christmas 2022?
God.is.good.all.the.time.god.is.good.to.me
Huu ndo wenyeweeee
I love this one
Thanks for this compilation
Winbo huu hapa jamani
Tunaomba utuletee whole album mtumishi .
Hizi nyimbo mbali yakutubariki , ila pia inatukumbusha wapendwa wetu ambao walishatangulia mbele ya haki .
Amen ,I sang the song in cu Wen in form 3 in 2000
Glory to God
Christ is love, if I can't love purely then there's no christ in me. There's more to christianism than just saying you are born again.
God is love.
LOVE ONE ANOTHER
Very touching song
A Very blessing and touching song!!!! 🙏🙏🙏
Amina
Amina,Amina na Amina
Ansante sana kutuletea nyimbo za Mabibo Lutheran Choir,nilikuwa nimezikosa kwenye youtube zikiwa ni album nzima.
Zinanikumbusha enzi za 1995.
Je ukitaka kuzi download kama audio unafanyaje
@@charleslyuki691 Ni rahisi sana,unatumia TubeMate inayopatikana kwenye Chrome.
December 2023❤❤❤❤❤❤❤❤
Kama mmetunza zingine ninaziitaji
❤❤❤❤❤
2024 🎉
Amen🙏
❤❤❤