NYIMBO ZA KIKATOLIKI- Waimbaji CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS DSM Mratibu ALOYCE GODEN KIPANGULA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ค. 2022
- NYIMBO ZA KIKATOLIKI NO 2
1 ZAENI MATUNDA MEMA -Tradition
2 BWANA YESU WANIITA- Fr Mutajwaha
3 ALTARE KWA BWANA YESU-Tradition
4 HURUMA YA BWANA MUNGU- Mwarabu
5 MEMA UMETUJALIA- Mujwahuki
6 YESU ASANTE SANA- Mujwahuki
Waimbaji: CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS DAR ES SALAAM
Mratibu: ALOYCE GODEN KIPANGULA AMBAYE NI MWALIMU WA KWAYA PAROKIA YA CHANG'OMBE JIMBO KUU DAR ES SALAAM.
HIZI NI NYIMBO ZA KIKATOLIKI AMBAZO ZIMEKUWA ZIKIIMBWA SANA TANZANIA NA NCHI NYINGI ZA AFRIKA KATIKA KANISA KATOLIKI HASA KWA WATUMIAJI WA LUGHA YA KISWAHILI - เพลง
Catholic forever❤❤
Asante loo Mimi najivunia ukatoliki
Am happy when am listening this Catholic songs 😊😊.
Glory to God
Kweli kabisa nyimbo za zaman ni mzuri.
Axant mwenyez mungu japo napitoa changamoto nying xn lakini mung yu pamoj nam
Nyimbo nzuri sana nimebarikiwa
Kazi nzuri. Hongera
Mimi hulia haswa nikisikiliza
Yesu asantesana alama peendo Amen❤
Wimbo mzuri, hunibariki Sana.
Mungu awabariki
MUNGU wetu, tunashukuru kwa matunda mema kwenye familia zetu na tunazidi kukutukuza kwa nyimbo na sala. Asanteni sana chang'ombe singers.
Nyimbo zote za Roman ni nzuri
Uwamwanimba riji moyo wangu mimi mbwana muumba mbingu nanichi awa bariki 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nyimbo nzurii🙏❤
Bwana Yesu asifiwe.
❤❤❤
Tunabarikiwa
Best song for meditation!
Kwa kweli hizi tuzi zimetukuka yaani injili inazidi kuwafikia wanadamu mungu ni mwema .azidi kuwapa maona muzidi kutunga nyimbo nyingi amen 🙏
Asante Sana George
Amina
Bwana Yesu Aniita, ubarikiwe sana
Wimbo m uri sana
Mungu awambaricki
🙏🙏🙏
🤝
Nice songs
Bado ni wimbo Bora sana
🙏
I love the lyrics,please bring us more
NikoThika Kenya 🇰🇪 parokia ya Mt. Patrick's
Sauti za baraka kwetu sisi zote
Malebo
Nyimbo zinanifariji mbarikiwe sana Niko zanzibar
🙏
God bless you!🙏🙏🙏🙏🙏
Catholic the way to go! The songs are nostalgic. Congratulations 👏🎉
🙏
so lovely🥰
Muana yesu asifiwe❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wonderful songs
Mungu awabariki sana kwa nyimbo nzuri zinanibariki sana 🎉
Asante Sana Cesilia Maneno endelea kutuombea
Tumsifu yesu kristo
milele Amina
Huo wimbo wa pili hapo hunibariki sana, nakumbuka mbali mno maishani, I find myself waxing nostalgic for my old childhood church days 😢
🙏
Sanctifie ma vie oh seigneur
Nyimbo nzuri sana hongereni
Asante Sana Generosa Fidelis. Mungu atubariki sote
Nice songs be blessed
Chang'ombe. Tumsifu Yesu Kristo. Niko Maeneo ya Olkalou, Nyandarua,Kenya. Nawapenda Sana.
ASANTE SANA NDUGU IRUNGU KUTOKA NYANDARUA KENYA. ASANTE KWA KUTUPENDA NA KUTUFUATILIA. ENDELEA KUTUFUATILIA NASI TUNAKUAHIDI KUKULETEA NYIMBO NYINGINE NZURI SANA HIVI KARIBUNI LITAKUWA NI TOLEO JIPYA
❤❤❤❤
Mungu awabariki Kwa nyimbo nzuri za kufariji mioyo yetu
Amina
Nimependa sana zinatia moyo asanteni sana
Tumshukuru Mungu
Nyimbo nzuri zinanifariji ,tumsifu Yesu kristu
Milele Amina
Miller amina
Nyimbo mzuri za kupendeza
Asante Sana Veronika
Hongera sana
🙏
Am still in love with Catholic church songs and it's services despite being married to SDA family 😏😏
Am so happy to listening cathoric songs
Mungu awabariki sana
Amina
Asnte sana wapendwa wangu
Asante pia kwa kutufatilia
Wimbo mzuri
Asante.
Very nice songs.Mungu awabariki watunzi, walimu,waimbaji na wasikilizaji wote.
Amina sana
Very
Nyimbo Bora kabisa
🙏
Nyimbo nzuri zaeni matunda mema , nyimbo ya zamani lkni bado haichoshi jamani catholic ndiyo kanisa langu ,barikiweni waimbaji
ASANTE SANA- SOPHIE . TUBARIKIWE SOTE
@@AloyceKipangula me mm.
@@AloyceKipangulappppppp9
@@AloyceKipangula❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Zaeni matunda mema 😢I still remember it being written in the eulogy of my fiance in the last page I live to remember 2012>2024>>>
Nyimb tamu jamani mpka njivunia kuwa mkatoliki
Kuwa mkatoliki Raha sana