EE MUNGU WANGU UNIFUNDISHE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 42

  • @glorymachange5716
    @glorymachange5716 2 ปีที่แล้ว +7

    Tuliorudia zaidi y mbili tujuane ♥️♥️♥️

    • @edmundmpululu4931
      @edmundmpululu4931 2 ปีที่แล้ว

      Tupoooo

    • @lilianalara8007
      @lilianalara8007 7 หลายเดือนก่อน

      Maneno ya mwisho kwenye,nota yasemaje plz,kutoa bila kuhesabu gharama,alaf ya mwisho,sijui nini kisha pumziko???nisaidie

  • @jackkatabaz5103
    @jackkatabaz5103 2 ปีที่แล้ว +4

    Wimbo mtamu mno unaweza ukala ugali mkavu na ukashuka hongereni mno

  • @kwayayamt.yohaneboscoigung3286
    @kwayayamt.yohaneboscoigung3286 2 ปีที่แล้ว +5

    Kwaya ya Yohane Bosco Igunga tunawapenda sannaaaa. Kazi nzuri mmetoa iliyobarikiwa na Bwana

    • @laitonbatista4293
      @laitonbatista4293 2 ปีที่แล้ว

      Asante sanaaaa sana ndugu zetu katika utume na katika imani Mungu mwenyezi atubariki sote

  • @christinamlowe691
    @christinamlowe691 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni Wana Parokia Kwa kaz nzuri

  • @BeatriceKerubo-d7n
    @BeatriceKerubo-d7n ปีที่แล้ว

    GOD 🙏 is everything in hawa life my your name be blessed 🙏🙏🙏🙏 Amen

  • @silvanusmushi4596
    @silvanusmushi4596 ปีที่แล้ว

    The best song of the year!. Hongereni sana wapendwa katika kristu

  • @christineliboyi1691
    @christineliboyi1691 ปีที่แล้ว

    Napenda huu wimbo huu sana,inahubiri injili.God bless you

  • @Tinahkisaka
    @Tinahkisaka 8 หลายเดือนก่อน

    tafakari nzuri sana katika maisha yetu......wimbo mzuri pia unatufundisha mengi katika maisha ya utumishi... be blessed all,,,🤗🥰

  • @mukhonyi
    @mukhonyi 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomba nota za huu wimbo tafadhali 🙏
    Kazi safi 👏👏👏💜

  • @BonifaceMzurikwao
    @BonifaceMzurikwao 7 หลายเดือนก่อน

    Nzur sana hii nyimbo

  • @annaammi4791
    @annaammi4791 9 หลายเดือนก่อน

    Hongeren sana wapendwa mmeupiga mwingi sana

  • @Phanu0200-ef9bm
    @Phanu0200-ef9bm ปีที่แล้ว

    balikiwa sana wana kwaya kwa kazi nzuli

  • @ManenoAlsen
    @ManenoAlsen 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤nawapenda buree

  • @capitalletter8082
    @capitalletter8082 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kuwapa kibali mumwimbie bila kuchoka. Ninabarikiwa na kazi zenu

  • @moseserasto2264
    @moseserasto2264 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzur wapendwa hakika mungu ndio Kila k2 kwe2🙏🙏🙏

  • @Delpri
    @Delpri ปีที่แล้ว

    Huu wimbo umenibariki sana. Wimbo uliotulia . Kazi mzuri 🙏🙏🔥🔥🔥

  • @lilianalara8007
    @lilianalara8007 7 หลายเดือนก่อน

    Nimeupenda sana huu mungu awabariki

  • @winniemaina4947
    @winniemaina4947 5 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mtamu sana. Tunaomba nota za huu wimbo tafadhali

  • @thobiasmwakyusa
    @thobiasmwakyusa 9 หลายเดือนก่อน

    Amina Mnaweza sana Mungu awabariki

  • @glorymachange5716
    @glorymachange5716 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzur san

  • @Mc_Kibonge_Mwepesi
    @Mc_Kibonge_Mwepesi 2 ปีที่แล้ว +1

    Marafiki zangu kutoka Dodoma Kwaya Mt.Agustino Dodoma nawapenda sana! Kazi nzuri sana mkono wa Shimanyi F.M

  • @ceciliamrita6220
    @ceciliamrita6220 9 หลายเดือนก่อน

    What a song. Thanks for nice and good work

  • @laitonbatista4293
    @laitonbatista4293 2 ปีที่แล้ว +1

    Noma sana Mungu awatuze na awalinde siku zote ❤️❤️❤️🙏ila nimepigwa na kitu kizito🤣🤣🤣🤣🤣🤦

  • @irenesalema3126
    @irenesalema3126 2 ปีที่แล้ว +1

    My favourite song
    Mungu aendelee kuwalinda wanakwaya wote w Mt Agustino

  • @deltaproductionskisumu9411
    @deltaproductionskisumu9411 2 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mtamu sana, hongera

  • @Mwaniki_SJ
    @Mwaniki_SJ 2 ปีที่แล้ว +3

    Saaaaaafiiiii

  • @chriclight2627
    @chriclight2627 2 ปีที่แล้ว +1

    Wooow hekoooooo zenyuuuu...👏👏👏

  • @faustampunza5501
    @faustampunza5501 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤

  • @renifridadamian2266
    @renifridadamian2266 2 ปีที่แล้ว +1

    Waooooh nice 😍😍 my mom

  • @victorpatrickmnyika5948
    @victorpatrickmnyika5948 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏🙏

  • @mathewmgao6338
    @mathewmgao6338 2 ปีที่แล้ว +3

    ❣️💯

  • @happynicolous6632
    @happynicolous6632 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU AWABARIKI WAIMBAJI NIMESIKILIZA HUU WIMBO NIMELIA 😂 UJUMBE UMENIHUISHA LEO ASANTENI WANA AUGUSTINO

  • @jescamongela3579
    @jescamongela3579 2 ปีที่แล้ว

    Very nice

  • @VincentMuendo-y2r
    @VincentMuendo-y2r 10 หลายเดือนก่อน

    How can I get the score to this song

  • @claremumbua189
    @claremumbua189 10 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @SmilingMonarchButterfly-kh4ve
    @SmilingMonarchButterfly-kh4ve 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤