TAJIRI ATEMBEZWA TUMBO WAZI NA PENSI MPAKA KANISANI MADHABAHUNI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 23

  • @felixnicodem6233
    @felixnicodem6233 5 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu wajina wa mwanangu tokomeza kazi ya shetani

  • @nicholausmwinuka-iy5os
    @nicholausmwinuka-iy5os ปีที่แล้ว

    Tunakupata vizuri Toka songea mtumishi wa Mungu piga kazi mpakwa mafuta wa bwana

  • @nicholausmwinuka-iy5os
    @nicholausmwinuka-iy5os ปีที่แล้ว

    Mtumishi wa Mungu hongera kwa kazi nzuri ya Mungu katibu songea uje uwashughulikie wachawi maana wapo wengi

  • @josephmturusa9044
    @josephmturusa9044 ปีที่แล้ว +3

    Piga kazi mtumishi,walete walete watubu waokoke wakasimlie matendo ya Mungu.(waite mwinjiristi waje watubu)

    • @JosephOniango
      @JosephOniango 3 หลายเดือนก่อน

      Mjungaji nikodemas Mimi nimependa maubiri yako nitofauti Ni ya wengine❤

    • @JosephOniango
      @JosephOniango 3 หลายเดือนก่อน

      Namba uniombe Niko Na mahangaiko sijui Ni kwanini

  • @TAGJGCTMERERANICHURCH
    @TAGJGCTMERERANICHURCH ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana baba nimeinuliwa sana na mahubiri nakupata Toka MIRERANI simnjiro

  • @aminisanga5294
    @aminisanga5294 5 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe Sana Mtumishi Ushuhuda wako unanijenga sana Kiroho

  • @CharlesNyange-r4f
    @CharlesNyange-r4f 9 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana mchungaji niko demo piga injili baba

  • @eliaikangui6543
    @eliaikangui6543 11 หลายเดือนก่อน

    Wachawi wote wapigweeeee mpaka wafe Leo kwa jina la Yesu Kristo Aliye Hai amen

  • @Morris452
    @Morris452 11 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @eliaikangui6543
    @eliaikangui6543 11 หลายเดือนก่อน

    YESU naomba hela ya kilimo unifanikishe kabisa amen

  • @eliaikangui6543
    @eliaikangui6543 11 หลายเดือนก่อน

    Naungana na madhabahu ya Roho Mtakatifu kuwaombea wanangu waponeizimu yote

  • @annehaysanday9214
    @annehaysanday9214 ปีที่แล้ว

    Ameeen

  • @filomenaemmanuel14
    @filomenaemmanuel14 ปีที่แล้ว

    Nakupata kutoka manyara simanjiro barikiwa tingatinga laYesu nasikia kuinuka tena kupitia mahubir haya

  • @annehaysanday9214
    @annehaysanday9214 ปีที่แล้ว

    Ameeeen

  • @filomenaemmanuel14
    @filomenaemmanuel14 ปีที่แล้ว

    Yesu mzur nampenda

  • @JuliusSariamu
    @JuliusSariamu 4 หลายเดือนก่อน

    Baba nimependa injili Yako naomba uniombee nataka kua kama wewe baba

  • @annehaysanday9214
    @annehaysanday9214 ปีที่แล้ว

    Omba na mimi Mtumishi.Nakufuatilia kutoka Babati

  • @johndotto2314
    @johndotto2314 ปีที่แล้ว

    Blessed

  • @YusterManase-l6h
    @YusterManase-l6h 9 หลายเดือนก่อน

    Hivi hii channel inapatikana kingamuzi gan?

    • @lilianmbeyu
      @lilianmbeyu 6 หลายเดือนก่อน

      youtube mwenzangu

  • @evaristamwinuka6494
    @evaristamwinuka6494 ปีที่แล้ว

    Yesu ni mzuri jamani